Waebrania
SURAYA1
1Munguambayealisemazamaninababazetukatika manabiikwasehemunyinginakwanjianyingi; 2mwishowasikuhiziamesemanasisikatikaMwana, aliyemwekakuwamrithiwayote,tenakwayeyealiufanya ulimwengu;
3Yeyekwakuwanimng’aowautukufuwakenachapaya nafsiyake,akivichukuavyotekwanenolauwezawake, akiishakufanyautakasowadhambi,aliketimkonowa kuumewaUkuuhukojuu;
4Amefanywakuwaborazaidikulikomalaika,kwavile alipatakwaurithijinatukufuzaidikulikolao
5Kwamaananimalaikayupialimwambiawakatiwowote, WewendiweMwanangu,mimileonimekuzaa?Natena, NitakuwakwakeBaba,nayeatakuwakwanguMwana?
6Natena,amletapomzaliwawakwanzaulimwenguni, asema,NawamwabudumalaikawotewaMungu.
7Nakuhusumalaikaasema,Afanyayemalaikazakekuwa pepo,nawatumishiwakekuwamialiyamoto
8LakinikuhusuMwanaasema,Kitichakochaenzi,Ee Mungu,nichamilelenamilele;
9Umependahaki,nakuchukiauovu;kwahiyoMungu, Munguwako,amekupakamafuta,Mafutayafurahakuliko wenzako
10Natena,Wewe,Bwana,hapomwanzouliiwekamisingi yanchi;nambingunikazizamikonoyako;
11Waowataangamia;lakiniweweunabaki;nazote zitachakaakamavazi;
12Nakamavaziutazikunja,nazozitabadilishwa;lakini weweniyeyeyule,namiakayakohaitakoma
13Lakininimalaikayupialimwambiawakatiwowote, Ketiupandewanguwakulia,hataniwawekeaduizako chiniyamiguuyako?
14Je!haowotesirohowatumikao,wakitumwakuhudumu kwaajiliyawalewatakaorithiwokovu?
SURAYA2
1Kwahiyoimetupasakuyaangaliazaidihayotuliyoyasikia, tusijetukayapoteza.
2Kwamaanaikiwanenolililonenwanamalaikalilikuwa thabiti,nakilakosanauasiulipataujirawahaki;
3Tutapatajekuponatusipojaliwokovumkuunamnahii? ambayohapokwanzailianzakunenwanaBwana,kisha ikathibitishwakwetunawalewaliosikia;
4Mungunayeakiwashuhudiakwaisharanamaajabuna kwamiujizayanamnanyinginakaramazaRoho Mtakatifu,kamaapendavyoyeyemwenyewe?
5Kwamaanahakuutiishambeleyamalaikaulimwengu ujao,tunaonenahabarizake
6Lakinimtummojaalishuhudiamahalifulaniakisema, Mwanadamunininihataumkumbuke?aumwanadamu, hataumwangalie?
7Umemfanyamdogopundekulikomalaika;umemvika tajiyautukufunaheshima,ukamwekajuuyakaziza mikonoyako;
8UmevitiishavituvyotechiniyamiguuyakeKwamaana katikakuwekavituvyotechiniyake,hakuachachochote
ambachohakikuwekwachiniyakeLakinisasahatuoni badovituvyotevimewekwachiniyake
9LakinitwamwonaYesu,aliyefanywamdogopunde kulikomalaika,kwaajiliyamatesoyamauti,amevikwa tajiyautukufunaheshima;ilikwaneemayaMunguaonje mautikwaajiliyakilamtu.
10Kwamaanailimpasayeye,ambayekwaajiliyakevitu vyotevimekuwapo,naambayekwayeyevituvyote vimekuwapo,katikakuletawanawengiwaufikilieutukufu, kumkamilishakiongozimkuuwawokovuwaokwanjiaya mateso
11Kwamaanayeyeatakasayenahaowanaotakaswawote piawatokakwammoja;kwahiyohaonihayakuwaita ndugu;
12akisema,Nitalihubirijinalakokwanduguzangu, katikatiyakanisanitakuimbiasifa
13Natena,NitawekatumainilangukwakeNatena, Tazama,miminawatotoalionipaMungu.
14Basi,kwakuwawatotowameshirikidamunanyama, yeyenayevivyohivyoalishirikiyayohayo;ilikwanjiaya mautiamharibuyeyealiyekuwananguvuzamauti,yaani, Ibilisi;
15nakuwakomboawaleambaomaishayaoyotekwahofu yakifowalikuwachiniyautumwa.
16Maananikwelihakutwaaasiliyamalaika;bali alichukuajuuyakemzaowaIbrahimu
17Kwahiyoilimpasakufananishwananduguzakekatika mamboyote,iliawekuhanimkuumwenyerehemana mwaminifukatikamamboyaMungu,ilikufanyasuluhu kwadhambizawatu
18Maanakwakuwayeyemwenyewealiteswaakijaribiwa, awezakuwasaidiawalewanaojaribiwa.
SURAYA3
1Basi,nduguwatakatifu,wenyekuushirikimwitowa mbinguni,mtafakarinisanaMtumenaKuhaniMkuuwa maungamoyetu,KristoYesu;
2ambayealikuwamwaminifukwaMungualiyemweka rasmi,kamavileMosealivyokuwamwaminifukatika nyumbayakeyote.
3Kwamaanahuyualihesabiwakuwaanastahiliutukufu zaidikulikoMose,kwavileyeyealiyeijenganyumbaana heshimazaidikulikohiyonyumba.
4Kilanyumbahujengwanamtufulani;baliyeye aliyevijengavituvyoteniMungu
5NaMusaalikuwamwaminifukatikanyumbayakeyote kamamtumishi,ilikuwaushuhudawamambo yatakayonenwabaadaye;
6baliKristokamamwanajuuyanyumbayakemwenyewe; ambayenyumbayakesisinisisi,kamatukishikamanakwa uthabitinaujasirinafahariyatumainimpakamwisho
7Kwahiyo,kamaRohoMtakatifuasemavyo,Leo,kama mtaisikiasautiyake,
8Msifanyemigumumioyoyenu,kamawakatiwa kukasirisha,sikuyakujaribiwanyikani.
9Babazenuwaliponijaribu,wakanijaribu,wakayaona matendoyangumiakaarobaini
10Kwahiyonalihuzunishwanakizazikile,nikasema, Sikuzotehukosamioyonimwao;walahawakuzijuanjia zangu
11Basinikaapakatikaghadhabuyangu,Hawataingia katikarahayangu)
12Angalieni,akinandugu,usiwekatikammojawenu moyombovuwakutokuamini,kwakujitenganaMungu aliyehai
13Lakinimwonyanekilasiku,maadamuiitwapoLeo;ili mmojawenuasifanywemgumukwaudanganyifuwa dhambi
14KwamaanatumekuwawashirikawaKristo,ikiwa tukishikamanakwauthabitinamwanzowauthabitiwetu hadimwisho
15MaandikoMatakatifuyasema:"Leokamamtaisikia sautiyake,msifanyemigumumioyoyenukamawakatiwa kukasirisha"
16Maanawenginewaliposikiawalikasirisha,lakinisiwote waliotokaMisrikwamkonowaMose
17Lakininiakinananialiowakasirikiamiakaarobaini?Si walewaliotendadhambi,ambaomizogayaoilianguka jangwani?
18Naniakinananialiowaapiakwambahawataingiakatika pumzikolake,isipokuwakwawaleambaohawakuamini?
19Basitwaonakwambahawakuwezakuingiakwasababu yakutokuamini
SURAYA4
1Kwahiyo,ikiwaimesaliaahadiyetuyakuingiakatika pumzikolake,natuogope,mmojawenuasijeakaonekana ameikosa
2KwamaanasisitulihubiriwaHabariNjemavilevilena wao;
3Kwamaanasisitulioaminitwaingiakatikaraha,kama alivyosema,Kamanilivyoapakatikaghadhabuyangu,Ya kwambawataingiakatikarahayangu;
4Maanaaliinenasikuyasabamahalifulanihivi,Mungu alistarehesikuyasaba,akaziachakazizakezote.
5Namahalihapatena,Ikiwawataingiakatikarahayangu
6Kwahiyo,kwakuwaimesaliakwambanilazima wenginewaingiehumo,nawalewaliohubiriwakwanza hawakuingiakwasababuyakutokuamini
7Tenaawekasikufulani,akisemakatikaDaudi,Leobaada yamudamrefunamnahii;kamailivyonenwa,Leoikiwa mtaisikiasautiyake,msifanyemigumumioyoyenu
8KwamaanakamaYesuangaliwaparaha,hangalisema baadayejuuyasikunyingine.
9Basi,imesaliarahayasabatokwawatuwaMungu
10Maanayeyealiyeingiakatikarahayake,amestarehepia katikakazizakemwenyewe,kamavileMungu alivyostarehekatikazake
11Basinatufanyebidiikuingiakatikapumzikohilo,ili mtuawayeyoteasijeakaangukakwamfanouohuowa kutokuamini
12MaanaNenolaMungulihai,tenalinanguvu,tenalina ukalikulikoupangauwaowoteukataokuwili,tena lachomahatakuzigawanyanafsinaroho,naviungona mafutayaliyomondaniyake,tenalijepesikuyatambua mawazonamakusudiyamoyo
13Walahakunakiumbekisichokuwawazimbelezake;
14Basi,kwakuwatunayekuhanimkuualiyeingia mbinguni,Yesu,MwanawaMungu,natuyashikesana maungamoyetu
15Kwamaanahatunakuhanimkuuasiyewezakuchukuana nasikatikamamboyetuyaudhaifu;baliyeyealijaribiwa sawasawanasisikatikamamboyote,bilakufanyadhambi
16Basinatukikaribiekitichaneemakwaujasiri,ili tupewerehema,nakupataneemayakutusaidiawakatiwa mahitaji
SURAYA5
1Maanakilakuhanimkuualiyetwaliwamiongonimwa wanadamuamewekwakwaajiliyawanadamukatika mamboyamhusuyoMungu,iliatoematoleonadhabihu kwaajiliyadhambi;
2Ninaniawezayekuwahurumiawajinganawale waliopotoka;kwamaanayeyemwenyeweamezungukwa naudhaifu.
3Nakwasababuhiyoimempasa,kamakwaajiliyawatu, vivyohivyokwaajiliyakemwenyewe,kutoakwaajiliya dhambi.
4Walahakunamtuajitwaliayemwenyeweheshimahii,ila yeyealiyeitwanaMungu,kamavileHaruni
5VivyohivyoKristonayehakujitukuzamwenyewe kufanywakuhanimkuu;baliyeyealiyemwambia,Weweni Mwanangu,mimileonimekuzaa
6Kamavileasemavyomahalipengine,Wewendiwe kuhanimilelekwamfanowaMelkizedeki
7Yeye,sikuhizozamwiliwake,alimtoleayuleawezaye kumwokoanakumtoakatikamauti,maombinadua pamojanakuliasananamachozi,akasikilizwakwajinsi alivyokuwamchaMungu;
8IngawaalikuwaMwana,alijifunzakutiikwamateso yaliyompata;
9Nayealipokwishakukamilishwa,akawasababuya wokovuwamilelekwawotewanaomtii;
10aliyeitwanaMungukuhanimkuukwamfanowa Melkizedeki
11Tunayomengiyakusemajuuyake,nanimagumu kuyaeleza,kwakuwaninyiniwavivuwakusikia
12Maana,iwapasapokuwawaalimu,(maanawakati mwingiumepita),mnahitajitenamtuwakuwafundisha mafundishoyakwanzayamanenoyaMungu;tena mmekuwawahitajiwamaziwa,walasichakulakigumu
13Kilaatumiayemaziwahajuisananenolauadilifu,kwa maananimtotomchanga
14Lakinichakulakigumunichawatuwazima,ambao akilizao,kwakutumiwa,zimezoezwakupambanuamema namabaya
SURAYA6
1Basi,tukiachakuyanenamafundishoyakwanzaya Kristo,tukazemwendoilituufikilieutimilifu;tusiweke msingitenawakuzitubiakazizisizonauhai,nakuwana imanikwaMungu;
2habarizamabatizo,nakuwekeamikono,naufufuowa wafu,nahukumuyamilele
3Nahilitutafanya,Munguakitujalia
4Kwamaanahaowaliokwishakutiwanuru,nakukionja kipawachambinguni,nakufanywawashirikawaRoho Mtakatifu, 5nakulionjanenojemalaMungu,nanguvuzaulimwengu ujao;
6ikiwawatakengeukanakuwafanyawapyatenahata wakatubu;kwakuwawanamsulubishatenaMwanawa Mungukwanafsizaowenyewe,nakumwaibishahadharani
7Kwamaanaardhiinayokunywamvuainayoinyeshea marakwamara,nakuzaamimeainayowafaahao wanaoilima,hupokeabarakakutokakwaMungu
8Lakinihiyoikizaamiibanamaguguhukataliwana kukaribialaana;ambayemwishowakenikuchomwamoto.
9Lakini,wapenzi,tunasadikimamboyaliyoborazaidijuu yenu,namamboyanayoambatananawokovu,ingawa twasemahivi.
10KwamaanaMungusidhalimuhataaisahaukaziyenu, napendolilemlilolidhihirishakwajinalake,kwakuwa mmewahudumiawatakatifu,nahatamngalisasahivi
11Tunatamanikilammojawenuaonyeshebidiiiyohiyo kwautimilifuwatumainimpakamwisho.
12ilimsiwewavivu,balimkawewafuasiwawale wazirithioahadikwaimaninasubira
13KwamaanaMungualipompaIbrahimuahadi,kwa sababuhakunaaliyemkuukulikoyeyeawezayekumwapa, aliapakwanafsiyake;
14akisema,Hakikakubarikinitakubariki,nakuzidisha nitakuzidisha
15Kwahiyo,akiishakuvumilia,aliipataileahadi
16Kwamaanawatuhuapakwaaliyemkuuzaidi,nakiapo kwakuwathibitishianimwishowaugomviwote
17NdaniyakeMungu,akipendazaidizaidikuwaonyesha warithiwaahadikutobadilikakwashaurilake, alilithibitishakwakiapo;
18ilikwamambomawiliyasiyowezakubadilika,ambayo kwayohaiwezekaniMungukusemauwongo,tupatefaraja yenyenguvu,sisituliokimbiliailikushikatumaini lililowekwambeleyetu;
19Tumainihilotulilonalokamanangayaroho,hakikana thabiti,tenaliingialondaniyalilepazia; 20Alipoingiamtanguliziwetu,Yesu,amefanywakuhani mkuumilelekwamfanowaMelkizedeki.
SURAYA7
1KwamaanaMelkizedekihuyo,mfalmewaSalemu, kuhaniwaMungualiyejuu,aliyekutananaIbrahimu alipokuwaakirudikatikakuwapigahaowafalme, akambariki;
2ambayepiaAbrahamualimpasehemuyakumiyavitu vyote;kwanzamaanayakeniMfalmewahaki,nabaadaya hayoMfalmewaSalemu,maanayake,Mfalmewaamani;
3Hanababa,hanamama,hanaukoo,hanamwanzowa sikuzake,walamwishowauhaiwake;balialifananishwa naMwanawaMungu;adumukuhanisikuzote
4Basiangalienijinsimtuhuyualivyokuwamkuu,ambaye Abrahamubabayetualimpasehemuyakumiyanyara
5NawalewaliowawanawaLawi,wapokeaoukuhani, wanaamriyakuchukuasehemuyakumikwawatu,kwa mujibuwasheria,yaani,nduguzao,ingawawametoka katikaviunovyaIbrahimu:
6Lakiniyeyeambayeasiliyakehaikuhesabiwakutoka kwao,alipokeasehemuyakumikutokakwaAbrahamu,na akambarikiyeyealiyekuwanazileahadi
7Nabilamabishanoyote,mdogohubarikiwanaaliyebora zaidi
8Nahapawatuwanaokufahupokeasehemuyakumi; lakinihukoanawapokea,ambayeinashuhudiwakwamba yuhai
9Nawezakusema,Lawinayeapokeayesehemuyakumi alitoasehemuyakumikwanjiayaAbrahamu.
10Kwamaanaalikuwabadokatikaviunovyababayake, wakatiMelkizedekialipokutananaye.
11Basi,kamaukamilifuungekuwapokwaukuhaniwa Walawi,(maanawatuwaliipokeatoratichiniyake), kulikuwanahajaganitenayakuhanimwingineainuke kwamfanowaMelkizedeki,asiyeitwakwautaratibuwa Haruni?
12Maanaukuhaniukibadilishwa,lazimasherianayo ibadilike
13Kwamaanayeyeambayemambohayayanasemwajuu yakealikuwawakabilanyingine,ambayohakunahata mmojawaoaliyeitumikiamadhabahuni
14KwamaananidhahirikwambaBwanawetualitoka katikaYuda;kabilaambayoMusahakunenanenojuuyake katikahabariyaukuhani
15Najambohilinidhahirizaidi,kwakuwaametokea kuhanimwinginemithiliyaMelkizedeki.
16ambayeamefanywa,sikwasheriayaamriyamwili, balikwanguvuyauzimausionamwisho
17Maanaameshuhudiaakisema,Wewenikuhanimilele kwamfanowaMelkizedeki
18Kwamaanakunakubatilishwakwaileamri iliyotanguliakwasababuyaudhaifuwakenakutokufaa kwake
19KwamaanaSheriahaikukamilishachochote,bali kuletwakwatumainilililoborazaidikulifanya;ambayo kwayotunamkaribiaMungu
20Nakwakuwahakufanywakuhanipasipokiapo;
21(Maanawalemakuhaniwalifanywapasipokiapo,lakini huyukwakiapokwayeyealiyemwambia,Bwanaaliapa walahataghairi,Weweukuhanimilelekwamfanowa Melkizedeki;)
22KwakadirihiiYesuamekuwamdhaminiwaagano lililoborazaidi
23Naokweliwalikuwamakuhaniwengi,kwasababu hawakuruhusiwakuendeleakwasababuyakifo
24Lakinimtuhuyu,kwasababuakaamilele,anaoukuhani usiobadilika.
25Kwahiyo,awezakuwaokoakabisawaowamjiao Mungukwayeye,maanayuhaisikuzoteilikuwaombea
26Maanailitupasasisikuhanimkuuwanamnahii,aliye mtakatifu,asiyenahatia,asiyenauchafu,aliyetengwana wakosaji,aliyejuukulikombingu;
27Yeyehanahajakilasiku,kamawalemakuhaniwakuu, kwanzakutoadhabihukwaajiliyadhambizake mwenyewe,kishakwaajiliyadhambizahaowatu;
28Kwamaanatoratihuwawekawatuwalionaudhaifu kuwamakuhaniwakuu;lakininenolakiapolililokuja baadayatorati,limemwekaMwana,ambayeamefanywa mtakatifuhatamilele.
SURAYA8
1Basinenokuukatikahayotuliyonenanihili:Tunaye kuhanimkuuwanamnahii,aliyeketimkonowakuumewa kitichaenzichaUkuumbinguni;
2mhudumuwapatakatifu,nawahemayakweli,ambayo Bwanaaliiweka,walasimwanadamu.
3Kwamaanakilakuhanimkuuhuwekwailikutoamatoleo nadhabihu;
4Kwamaanakamaangalikuwaduniani,hangekuwa kuhani,kwakuwawakomakuhaniambaowanatoazawadi kufuatananasheria
5Wanatumikiakwakielelezonakivulichamamboya mbinguni,kamavileMusaalivyoonywanaMungu, alipokuwatayarikutengenezahema;
6Lakinisasaamepatahudumailiyoborazaidi,kwajinsi alivyomjumbewaaganolililoborazaidi,lililoamriwajuu yaahadizilizobora
7Kwamaanakamalileaganolakwanzalingekuwalisilo nadosari,nafasihaingetafutwakwalilelapili
8Kwamaanaakiwalaumu,asema,Tazama,sikuzinakuja, asemaBwana,nitakapofanyaaganojipyananyumbaya Israeli,nanyumbayaYuda;
9Sisawasawanaaganonililofanyanababazao,sikuile nilipowashikamkonoilikuwatoakatikanchiyaMisri;kwa sababuhawakudumukatikaaganolangu,namisikuwajali, asemaBwana
10Maanahilindiloaganonitakalofanyananyumbaya Israelibaadayasikuzile,asemaBwana;Nitatiasheria zangukatikaniazao,nakatikamioyoyaonitaziandika, naminitakuwaMunguwao,naowatakuwawatuwangu;
11Walahawatamfundishakilamtujiraniyake,nakilamtu nduguyake,wakisema,MjueBwana;
12Kwamaananitausameheuovuwao,nadhambizaona maovuyaositayakumbukatena
13Kwakusema,Aganojipya,amelifanyalilelakwanza kuwakuukuu.Sasakilekinachoharibikanakuchakaakiko tayarikutoweka
SURAYA9
1Basiaganolakwanzalilikuwanakanunizaibada,na patakatifupakidunia.
2Kwamaanahemailitengenezwa;yakwanza,mlikuwana kinarachataa,nameza,namikateyawonyesho; panapoitwapatakatifu.
3Nanyumayapazialapili,ilehemaiitwayoPatakatifupa patakatifu;
4aliyekuwanachetezochadhahabu,nasandukulaagano lililofunikwadhahabupandezote,ndaniyakemlikuwana bakuliladhahabulenyemana,nafimboyaHaruni iliyochipuka,navilevibaovyaagano; 5najuuyakemakerubiyautukufu,yenyekivulikiticha rehema;ambayokwasasahatuwezikuizungumziahasa
6Basi,mambohayoyalipokwishakutengenezwahivyo, makuhaniwalikuwawakiingiandaniyahemayakwanza sikuzote,wakifanyahudumayaMungu.
7Lakinikatikachumbachapilikuhanimkuupekeyake huingiamaramojakilamwaka,sibiladamu,ambayo hutoakwaajiliyakemwenyewenakwaajiliyamakosaya watu.
8RohoMtakatifuakionyeshanenohili,yakwambanjiaya kupaingiapatakatifuilikuwahaijafunuliwabado,ilehema yakwanzailipokuwabadoinasimama;
9ambayoilikuwanimfanowawakatiuleuliopo,ambao katikahuomatoleonadhabihuzilitolewa,ambazo hazingewezakumkamilishayulemhudumukwadhamiri; 10ambaowalisimamakatikavyakulanavinywaji,na kutawadhakwanamnanyingi,namaagizoyakimwili, yaliyowekwajuuyaompakawakatiwamatengenezo
11LakiniKristoamekwishafika,akiwakuhanimkuuwa mambomemayatakayokuwapo,kupitiahemailiyokubwa nakamilifuzaidi,isiyofanywakwamikono,yaani,isiyoya ulimwenguhuu;
12walasikwadamuyambuzinandama,balikwadamu yakemwenyewealiingiamaramojatukatikaPatakatifu, akiishakupataukomboziwamilelekwaajiliyetu
13Kwamaanaikiwadamuyamafahalinambuzina majivuyandamayang'ombeambayoyanyunyiziwawatu walionajisiyanatakasahatakuusafishamwili;
14SizaidisanadamuyakeKristo,ambayekwambakwa RohowamilelealijitoanafsiyakekwaMungukuwa sadakaisiyonamawaa,itawasafishadhamirizenuna matendomafu,mpatekumwabuduMungualiyehai?
15Nakwaajilihiyoyeyenimjumbewaaganojipya,ili, kwanjiayamauti,hatakuletaukomboziwamakosa yaliyokuwachiniyaaganolakwanza,walewalioitwa wapokeeahadiyaurithiwamilele
16Kwamaanaaganolilipo,lazimaiwepokifochayule aliyelifanya
17Kwamaanaaganolinanguvubaadayakufakwamtu; 18Kwahiyoaganolakwanzahalikufanywabiladamu.
19KwamaanaMusaalipokwishakusemakilaamrikwa watuwotekamailivyoamriwanatorati,akaitwaadamuya ndamanambuzi,pamojanamaji,nasufunyekundu,na hisopo,akakinyunyiziakitabu,nawatuwotepia; 20akisema,HiindiyodamuyaaganoambaloMungu amewaamuruninyi.
21Tenaakanyunyizakwadamuhemayakukutaniana vyombovyotevyahuduma
22Nakatikatoratikaribuvituvyotehusafishwakwadamu; napasipokumwagadamuhakunaondoleo
23Basiilikuwashartimifanoyamamboyaliyombinguni isafishwekwanjiahizo;balimamboyambinguniyenyewe yenyedhabihuzilizoborakulikohizo
24KwamaanaKristohakuingiakatikaPatakatifu palipofanywakwamikono,ambaonimfanowaPatakatifu halisi;balialiingiambingunikwenyewe,aonekanesasa usonipaMungukwaajiliyetu;
25Walasikwambaajitoemwenyewemaranyingi,kama vilekuhanimkuuaingiavyokatikaPatakatifukilamwaka pamojanadamuyawengine;
26kamaingalikuwahivyo,ingalimpasakuteswamara nyingitangukuwekwamisingiyaulimwengu;
27Nakamavilewatuwanavyowekewakufamaramoja,na baadayakufahukumu;
28VivyohivyoKristonayealitolewasadakamaramoja azichukuedhambizawatuwengi;nakwawale wanaomngojeaatatokeamarayapilipasipodhambikwa wokovu
SURAYA10
1Kwamaanatorati,kwakuwanikivulichamambomema yatakayokuwa,walasisurayenyeweyamambohayo,kwa dhabihuzilewanazozitoakilamwakadaima,haiwezi wakatiwowotekuwakamilishawakaribiao.
2Je!kwamaanawaabuduo,wakiishakutakaswamara mojatu,wasingekuwanadhamiriyadhambitena
3Lakinikatikadhabihuhizokunaukumbushowadhambi kilamwaka
4Kwamaanahaiwezekanidamuyamafahalinambuzi kuondoadhambi.
5Kwahiyoajapoulimwenguniasema,Dhabihunasadaka hukutaka,balimwiliumeniandalia;
6sadakazakuteketezwanadhabihuzadhambi hukupendezwanazo
7Ndiponikasema,Tazama,nimekuja(katikagombola chuonimeandikiwa)niyafanyemapenziyako,EeMungu.
8Hapojuualiposema,Dhabihunasadakanasadakaza kuteketezwanasadakazadhambihukutaka,wala hukupendezwanazo;ambayohutolewanasheria;
9Ndipoakasema,Tazama,nimekujakufanyamapenzi yako,EeMungu.Anaondoalakwanza,ilialisimamishela pili
10Katikamapenzihayotumetakaswakwatoleolamwili waYesuKristomaramojatu.
11Nakilakuhanihusimamakilasikuakifanyaibada,na kutoadhabihuzilezilemaranyingi,ambazohaziwezi kamwekuondoadhambi;
12Lakinihuyu,alipokwishakutoadhabihumojakwaajili yadhambihatamilele,aliketimkonowakuumewaMungu;
13Tanguwakatihuoakingojeampakaaduizakewawekwe chiniyamiguuyake
14Maanakwatoleomojaamewakamilishahatamilele walewanaotakaswa.
15RohoMtakatifunayenishahidiwakekwetu;
16Hilindiloaganonitakalofanyanaobaadayasikuzile, asemaBwana,Nitawekasheriazangumioyonimwao,na katikaniazaonitaziandika;
17Nadhambizaonamaovuyaositayakumbukatena
18Basiondoleolahayolikiwapo,hakunatoleotenakwa ajiliyadhambi
19Basi,ndugu,kwakuwatunaujasiriwakupaingia patakatifukwadamuyaYesu;
20kwanjiailempyailiyohai,aliyotuwekea,ipitayokatika pazia,yaani,mwiliwake;
21tenatunayekuhanimkuujuuyanyumbayaMungu;
22natukaribiewenyemoyowakweli,kwautimilifuwa imani,halitumenyunyiziwamioyotuachedhamirimbaya, tumeoshwamiilikwamajisafi.
23Natushikesanaungamolaimaniyetu,bilakuyumba; (kwamaanayeyealiyeahidinimwaminifu;)
24natuangalianesisikwasisinakuhimizanakatika upendonakazinzuri;
25Tusiachekukusanyikapamoja,kamailivyodesturiya wengine;balituonyane;nakuzidikufanyahivyo,kwa kadirimwonavyosikuilekuwainakaribia
26Kwamaana,kamatukifanyadhambikusudibaadaya kuupokeaujuziwailekweli,haibakidhabihutenakwaajili yadhambi;
27Balikunakuitazamiahukumuyenyekutishanaukali wamotoutakaowalawaowapingao.
28YeyealiyeidharausheriayaMosealikufapasipo hurumakwamashahidiwawiliauwatatu
29Mnadhaniatahesabiwakuwaanastahiliadhabukali zaidikiasigani,yeyealiyemkanyagaMwanawaMungu, nakuihesabudamuyaagano,aliyotakaswakwayo,kuwani kitukisichotakatifu,nakuidharauRohoyaneema?
30Kwamaanatunamjuayeyealiyesema,Kisasinijuu yangumimi,miminitalipa,asemaBwana.Natena,Bwana atawahukumuwatuwake
31NijambolakutishakuangukakatikamikonoyaMungu aliyehai.
32Lakinizikumbukenisikuzakwanza,ambazo mlipokwishakutiwanuru,mlistahimilimashindano makubwayamateso;
33Kwasehemu,mlifanywakuwakituchakutazamwakwa lawamanadhiki;nakwasehemumlipokuwawashirikawa walewaliotumikahivyo.
34Kwamaanamlinioneahurumakatikavifungovyangu, mkakubalikwafurahakunyang’anywamalizenu,mkijua nafsinimwenukwambamnamaliiliyoboranaidumuyo mbinguni
35Basimsiutupeujasiriwenu,ambaounamalipo makubwa
36Kwamaanamnahitajisaburi,ilikwambamkiisha kuyafanyamapenziyaMungumpateileahadi.
37Kwamaanabadokitambokidogo,nayeyeajayeatakuja, walahatakawia
38Lakinimwenyehakiataishikwaimani;
39Lakinisisisimiongonimwaowanaorudinyumana kuangamia;baliwawalewanaoaminikwawokovuwa roho.
SURAYA11
1Basiimaninikuwanahakikayamamboyatarajiwayo,ni bayanayamamboyasiyoonekana
2Maanakwahilowazeewalishuhudiwa.
3Kwaimanitwafahamukwambaulimwenguuliumbwa kwanenolaMungu,hatavituvinavyoonekana havikufanywakwavituvinavyoonekana.
4KwaimaniHabilialimtoleaMungudhabihuiliyobora kulikoKaini;ambayokwahiyoalishuhudiwakuwaana haki,Munguakazishuhudiasadakazake;
5KwaimaniHenokoalihamishwa,asijeakaonamauti; lakinihakuonekanakwasababuMungualimhamisha; maanakablayakuhamishwaalishuhudiwakwamba amempendezaMungu
6Lakinipasipoimanihaiwezekanikumpendeza;kwa maanamtuamwendeayeMungulazimaaaminikwamba yeyeyuko,nakwambahuwapathawabuwale wanaomtafutakwabidii
7KwaimaniNoa,akiishakuonywanaMungujuuya mamboambayobadohayajaonekana,kwakuogopa, aliundasafinakwakuokoanyumbayakekwahayo aliuhukumuulimwengu,akawamrithiwahakiipatikanayo kwaimani
8KwaimaniIbrahimualipoitwaaliitika,atokeaende mahalipaleatakapopapokeakuwaurithi;akatoka,asijue alikokwenda
9Kwaimanialikaaugeninikatikanchiyaahadi,kama katikanchiyaugeni,akikaakatikahemapamojanaIsaka naYakobo,warithipamojanayewaahadiiyohiyo; 10Maanaalikuwaakiutazamiamjiwenyemisingi,ambao mwenyekuubuninakuujenganiMungu
11KwaimanihataSaramwenyewealipokeanguvuza kuwanamimba,akazaamtotoalipokuwaamepitaumri, kwasababualimhesabiakuwamwaminifuyeyealiyeahidi 12Kwahiyowalizaliwanamtummoja,ambayealikuwa kamamfu,wengikamanyotazambinguninakama mchangaulioufuonimwabahari,wasiohesabika
13Hawawotewalikufakatikaimani,bilakuzipokeazile ahadi,baliwakazionakwambalinakuzishangilia,na kukirikwambawaoniwageninawasafirijuuyanchi
14Kwamaanawalewasemaomambokamahaya wanaonyeshawazikwambawanatafutanchi.
15Nakamawangaliikumbukanchiwaliyotoka,wangepata nafasiyakurudi
16Lakinisasawanatamaninchiiliyoborazaidi,yaani,ya mbinguni;kwahiyoMunguhaonihayakuitwaMunguwao; 17KwaimaniIbrahimualipojaribiwa,alimtoaIsakakuwa dhabihu;
18ambayeilisemwakwambakatikaIsakauzaowako utaitwa.
19akihesabuyakuwaMunguawezakumfufuahatakutoka kwawafu;kutokahukopiaalimpokeakwamfano
20KwaimaniIsakaakawabarikiYakobonaEsaukwa habariyamamboyatakayokuja
21KwaimaniYakoboalipokuwakaribukufa,aliwabariki wanawotewawiliwaYusufu;akasujudu,akiegemeajuu yafimboyake
22KwaimaniYusufu,hataalipokuwaakifa,alitajahabari yakuondokakwawanawaIsraeli;akatoaamrikuhusu mifupayake
23KwaimaniMusaalipozaliwa,alifichwamiezimitatuna wazaziwake,kwasababuwalionakwambanimtotomzuri; walahawakuiogopaamriyamfalme
24KwaimaniMosealipokuwamtumzima,alikataa kuitwamwanawabintiFarao;
25akaonaafadhalikuteswapamojanawatuwaMungu kulikokujifurahishakatikadhambikwakitambo;
26AkahesabukushutumiwakwakeKristokuwaniutajiri mkuukulikohazinazotezaMisri;
27KwaimanialitokaMisribilakuogopaghadhabuya mfalme;
28KwaimanialiadhimishaPasaka,nakunyunyizadamu, iliyulemwenyekuwaangamizawazaliwawakwanza asiwaguse.
29KwaimaniwatuwalivukaBahariyaShamukana kwambakatikanchikavu,Wamisriwalipojaribukufanya hivyo,wakazama.
30KwaimanikutazaYerikoziliangukabaadayawatuhao kuzingirwakwamudawasikusaba
31KwaimaniRahabu,yulekahaba,hakuangamiapamoja nawalewasioamini,kwakuwaaliwakaribishawale wapelelezikwaamani
32Nanisemeninizaidi?kwamaanawakatiungenikosa kusimuliahabarizaGideoni,naBaraka,naSamsoni,na Yeftha;waDaudi,naSamweli,nawamanabii;
33Ambaokwaimaniwalishindamilkizawafalme, walitendahaki,walipataahadi,walifungavinywavya simba;
34Walizimaukaliwamoto,waliokokamakaliyaupanga, kutokakatikaudhaifuwalitiwanguvu,wakawahodari katikavita,wakayakimbiamajeshiyawageni
35Wanawakewalipokeawafuwaowakiwawamefufuliwa; iliwapateufufuoulioborazaidi;
36Wenginewalidhihakiwanakupigwamijeledi,zaidiya hayokwavifungonakutiwagerezani
37Walipigwakwamawe,walikatwakwamisumeno, walijaribiwa,waliuawakwaupanga;wakiwamaskini, wakiteswa,wakiteswa;
38(ambaoulimwenguhaukustahilikuwanao)walitangatangakatikanyikanamilimaninakatikamapangona mapangoyanchi
39Nawatuhawawotewakiishakushuhudiwakwaimani, hawakuipokeaileahadi.
40Mungualikuwaametanguliakutuwekeasisikitukilicho borazaidi,iliwaowasikamilishwepasiposisi
SURAYA12
1Kwahiyosisipia,kwakuwatunazungukwanawingu kubwalamashahidinamnahii,natuwekekandokila mzigomzito,nadhambiileituzingayokwaupesi;na tupigembiokwasaburikatikayalemashindano yaliyowekwambeleyetu;
2TukimtazamaYesu,mwenyekuanzishanamwenye kutimizaimaniyetu;ambayekwaajiliyafuraha iliyowekwambeleyakealiustahimilimsalabanakuidharau aibu,naameketimkonowakuumewakitichaenzicha Mungu
3Maanamtafakarinisanayeyealiyestahimilimapingamizi makuunamnahiiyawatendadhambijuuyanafsizao, msijemkachokanakuzimiamioyonimwenu
4Badohamjafanyavitampakakumwagadamu, mkishindananadhambi.
5Tenammesahaumaonyoyaleyasemayonanyikamakwa watoto,Mwanangu,usidharaukurudiwanaBwana,wala usikatetamaaunapokemewanaye;
6MaanayeyeambayeBwanaampenda,humrudi,na kumpigakilamwanaamkubaliye
7Mkistahimilikurudiwa,Munguhuwatendeakamawana; kwamaananimwanayupiasiyerudiwanababaye?
8Lakiniikiwahamnaadhabuambayowotewanashiriki, basininyiniwanaharamu,walasiwana.
9Tenatulikuwanababazetuwamwiliwalioturudinasi tukawastahi;je!
10Kwamaanawaokwasikuchachewalituadhibukama walivyopendawenyewe;baliyeyekwafaidayetu,ili tuushirikiutakatifuwake
11Adhabuhaionekanikuwayakufurahisha,baliyahuzuni; 12Kwahiyoinuenimikonoinayolegeanamagoti yaliyolegea;
13Nanyimfanyiemiguuyenunjiazilizonyoka,ilikitu kilichokiwetekisipotoshwe;baliafadhaliaponywe
14Tafutenikwabidiikuwanaamaninawatuwote,nahuo utakatifu,ambaohapanamtuatakayemwonaBwana asipokuwanao;
15MkiangaliasanamtuasiipungukieneemayaMungu; shinalauchungulisijelikachipukanakuwasumbua,na watuwengiwakatiwaunajisikwahilo;
16AsiwepomwasheratiaumtuasiyemchaMungu,kama Esau,ambayealiuzahakiyakeyamzaliwawakwanzakwa chakulakimoja
17Kwamaanamnajuakwambabaadaye,alipotakakurithi baraka,alikataliwa,kwamaanahakuonanafasiyakutubu, ingawaaliitafutakwamachozi
18Kwamaanahamkuufikiliamlimauwezaokuguswa, uliowakamoto,walaweusi,nagiza,natufani;
19nasautiyatarumbeta,nasautiyamaneno;sautiambayo walewalioisikiawalisihililenenolisisemwekwaotena;
20(Kwamaanahawakuwezakustahimilinenolililoamriwa, Nakamamnyamaakiugusamlima,atapigwakwamawe, aukwamishale;
21MaonohayoyalikuwayakutishahataMusaakasema, Naogopasananakutetemeka.
22BalininyimmeufikiliamlimaSayuni,namjiwaMungu aliyehai,Yerusalemuwambinguni,nakundilamalaika lisilohesabika;
23kwamkutanomkuunakanisalawazaliwawakwanza walioandikwambinguni,naMungu,Hakimuwawote,na rohozawatuwemawaliokamilishwa;
24naYesumjumbewaaganojipya,nadamuya kunyunyizwa,inenayomemakulikoileyaAbeli.
25AngalienimsimkataeyeyeasemayeKwamaanaikiwa hawakuokokawalewaliomkataayeyealiyesemaduniani, zaidisanasisihatutaokokasisitukijiepushanayeye asemayekutokambinguni; 26sautiyakewakatiuleiliitikisanchi;
27Nanenohili,Maramojatena,linaonyeshakuondoshwa kwavituvinavyotikisika,kamavilevilivyofanywa,ili visivyowezakutikisikavibaki
28Basi,tukipokeaufalmeusiowezakutetemeshwa,na tuwenaneema,ambayokwahiyotumtumikieMungukwa njiaipendezayo,pamojanaunyenyekevunakicho 29KwamaanaMunguwetunimotoulao.
SURAYA13
1Upendowakinduguuendelee
2Msisahaukuwakaribishawageni;kwamaanakwanjia hiyowenginewamewakaribishamalaikapasipokujua.
3Wakumbukeniwalewaliofungwakanakwamba mmefungwapamojanao;nawalewanaodhulumiwa,kama ninyinanyimlivyokatikamwili.
4Ndoanaiheshimiwenawatuwote,namalaziyawesafi; lakiniwazinzinawazinziMunguatawahukumiaadhabu
5Mwenendowenuuwebilachoyo;muweradhinavitu mlivyonavyo;
6ilitusemekwaujasiri,Bwanandiyemsaidiziwangu, walasitaogopamwanadamuatanitendanini.
7Wakumbukeniwalewaliokuwawakiwaongoza, waliowaambianenolaMungu;
8YesuKristoniyeyeyulejananaleonahatamilele.
9Msichukuliwehukunahukunamafundishombalimbali nayakigeniKwamaananijambojemamoyokufanywa imarakwaneema;sikwavyakula,ambavyohavijawafaa walewaliojishughulishanavyo
10Sisitunayomadhabahuambayowalewanaoitumikia hemayahemahawanahakiyakulavituhivyo
11Kwamaanamiiliyawalewanyamaambaodamuyao huletwandaniyaPatakatifunakuhanimkuukwaajiliya dhambi,miiliyaohuchomwanjeyakambi.
12KwahiyoYesunaye,iliawatakasewatukwadamu yakemwenyewe,aliteswanjeyalango
13Basinatumwendeenjeyakambi,tukiichukuashutumu yake
14Kwamaanahapahatunamjiudumuo,balitwatafutaule ujao
15Basi,kwanjiayakeyeye,natumpeMungudhabihuya sifadaima,yaani,tundalamidomoiliungamayojinalake. 16Lakinimsisahaukutendamemanakushirikiana; 17Watiiniwenyekuwaongoza,nakuwanyenyekea;
18Tuombeenikwamaanatunaaminikwambatunadhamiri njema,tukipendakuishikwaunyofukatikamamboyote.
19Lakininawasihisanamfanyehivyo,ilinirudishwe kwenuupesi.
20BasiMunguwaamani,aliyemletatenakutokakwa wafuBwanawetuYesu,yulemchungajimkuuwakondoo, kwadamuyaaganolamilele;
21Awafanyeninyiwakamilifukatikakilatendojema, mpatekufanyamapenziyake,akitendandaniyenulile lipendezalomachonipake,kwanjiayaYesuKristo; utukufuunayeyemilelenamileleAmina
22Nanawasihi,akinandugu,mvumilienenolamaonyo, maananimewaandikiabaruakwamanenomachache.
23JuenikwambanduguyetuTimotheoamewekwahuru; ambayeakijaupesinitawaonapamojanaye
24Wasalimuniwotewenyekuwaongoza,nawatakatifu woteWanawaItaliawanawasalimu
25NeemanaiwepamojananyinyoteAmina