
JinsiyaKupunguzaBeiyaChakula
Pigamarufukuponografianamatukioyauasheratikatikasinemakwasababuainahizizaburudani zitasababishanjaa.(Tobiti4:13)
Njaaitaongezabeiyachakulakwakasi.(2Wafalme6:25)
Usipigepunyetokwasababuitakufanyauwemvivu(HekimayaSulemani3:14,Mithali24:30-34)
WekaserayaNOWORKNOEAT.(2Wathesalonike3:10)
Kuongezarasilimaliasili.Tengamaeneoyoteyakandoyamtokwaajiliyakilimo.Tengenezapampu zamajiauvisimakwakilakayahasakwawalewaliombalinamito.(Isaya32:20)
Kusanyamajiyamvua(MamboyaWalawi26:3-5)
Kuzaang'ombe.(Mithali14:4)
Kukuzaukuunathamaniyakilimo.(WarakawaAristeas5:9-10,13)
Wahimizewananchikulimachakulachaowenyewe.(Mithali6:6-8;Mithali27:23-27)
Kilajijilinapaswakuwanauwezowakutoachakulachake(Mwanzo41:48)
Pentateuch
Munguakasema,Nchinaitoemajani,mcheutoaombegu,namtiwamatundauzaaomatundakwa jinsiyake,ambaombeguzakezimondaniyake,juuyanchi;Nchiikatoamajani,mcheutoaombegu kwajinsiyake,namtiuzaaomatunda,ambaombeguzakezimondaniyake,kwajinsiyake;Mungu akaonayakuwanivyema.Munguakasema,Tazama,nimewapakilamcheutoaombegu,uliojuuya usowanchiyotepia,nakilamtiambaomatundayakeyanambegu;itakuwanichakulachenu Mwanzo1:11-12,29
Munguakasema,Natumfanyemtukwamfanowetu,kwasurayetu,wakatawalesamakiwa baharini,nandegewaangani,nawanyama,nanchiyotepia,nakilachenyekutambaakitambaacho juuyanchiMunguakaumbamtukwamfanowake,kwamfanowaMungualimwumba; mwanamumenamwanamkealiwaumba.Munguakawabarikia,Munguakawaambia,Zaeni, mkaongezeke,mkaijazenchi,nakuitiisha,mkatawalesamakiwabaharini,nandegewaangani,na kilakiumbechenyeuhaikiendachojuuyanchi.Mwanzo1:26-28
BwanaMunguakachipushakatikaardhikilamtiunaotamanikakwamachonakufaakwakuliwa;na mtiwauzimakatikatiyabustani,namtiwaujuziwamemanamabaya.Mwanzo2:9
AkamwambiaAdamu,Kwakuwaumeisikilizasautiyamkeo,ukalamatundayamtiambao nalikuagiza,nikisema,Usile;ardhiimelaaniwakwaajiliyako;kwauchunguutakulamatundayake sikuzotezamaishayako;Miibanamichongomaitakuzalia;naweutakulambogazashambani;Kwa jasholausowakoutakulachakula,hatautakapoirudiaardhi;maanakatikahuoulitwaliwa;kwa maanaumavumbiwewe,nawemavumbiniutarudiMwanzo3:17-19
KwahiyoBWANAMunguakamtoakatikabustaniyaEdeni,ailimeardhiambayokatikahiyo alitwaliwaMwanzo3:23
Msichukiekazingumu,walashambaambaloAliyeJuuameamuru.Sirach7:15
Isakaakapandambegukatikanchiile,akapatamwakaulemaramia,BWANAakambariki.Mwanzo 26:12
BasisasaFaraonaatafutemtumwenyebusaranahekima,amwekejuuyanchiyaMisri.Faraona afanyehivi,naawekewasimamizijuuyanchi,nakutwaasehemuyatanoyanchiyaMisrikatika miakahiyosabayashibe.Nawakukusanyechakulachotechamiakahiyonjemainayokuja,na kuwekanafakachiniyamkonowaFarao,naiwechakulamijini.Nachakulahichokitakuwaakibaya nchikwaajiliyahiyomiakasabayanjaa,itakayokuwakatikanchiyaMisri;ilinchiisiangamiekwa njaa.Mwanzo41:33-36
Akakusanyachakulachotechahiyomiakasaba,iliyokuwakatikanchiyaMisri,akawekachakula katikamiji;Mwanzo41:48
Ikaanzakujamiakasabayanjaa,kamaYusufualivyosema;njaaikawakatikanchizote;lakinikatika nchiyoteyaMisripalikuwanamkateNchiyoteyaMisriilipoonanjaa,watuwakamliliaFarao awapechakula;FaraoakawaambiaWamisriwote,EnendenikwaYusufu;anachowaambia,fanyeni. Mwanzo41:54-55
Yusufuakawalishababayake,nanduguze,najamaayoteyababayake,kwakadiriyajamaazao. Walahapakuwanamkatekatikanchiyote;kwamaananjaailikuwakalisana,hatanchiyaMisrina nchiyoteyaKanaanizikazimiakwasababuyailenjaa.Yusufuakakusanyafedhazotezilizoonekana katikanchiyaMisrinakatikanchiyaKanaani,zanafakawaliyonunua;Yusufuakaziletazilefedha nyumbanimwaFaraoHatafedhazilipokwishakatikanchiyaMisri,nakatikanchiyaKanaani, WamisriwotewakamwendeaYusufu,wakasema,Tupechakula;kwaninitufembeleyako?kwa maanafedhahazifaiYusufuakasema,Toenimifugoyenu;naminitakupakwaajiliyang'ombewako, ikiwapesaitapungua.WakamleteaYusufumifugoyao,nayeYusufuakawapachakulabadalaya farasi,nakondoo,nang'ombe,napunda;akawalishachakulakwamifugoyaoyotemwakahuo. Mwakauleulipokwisha,wakamwendeamwakawapili,wakamwambia,Hatutamfichabwana wangujinsifedhazetuzilivyokwisha;bwanawangupiaanamakundiyang'ombe;hakijasaliacho chotemachonipabwanawangu,ilamiiliyetunanchizetu;utununuesisinanchiyetukwachakula, nasinanchiyetututakuwawatumwawaFarao;YusufuakamnunuliaFaraonchiyoteyaMisri;kwa maanaWamisriwaliuzakilamtushambalake,kwasababunjaailikuwanyingijuuyao;basinchi ikawamaliyaFaraoNahaowatuakawahamishampakamijini,tokamwishommojawampakawa Misrihatamwishowakemwingine.Mwanzo47:12-21
Yusufuakawaambiawatu,Angalieni,nimewanunuliaFaraoninyinanchiyenuleo;Naitakuwa katikamaongeohayo,mtampaFaraosehemuyatano,nasehemunnezitakuwazenu,zambeguza mashamba,nachakulachenu,nachajamaazenu,nachakulachawatotowenuMwanzo47:23-24
Namiakasitautapandanchiyako,nakuyakusanyamatundayake;lakinimwakawasabautaiacha ipumzikenakutulia;ilimaskiniwawatuwakowale;nawatakachosazawatakulawanyamawa kondeni.Ndivyoutakavyofanyakatikashambalakolamizabibu,nashambalakolamizeituni. Kutoka23:10-11
NanyimtamtumikiaBwana,Munguwenu,nayeatakibarikiachakulachako,namajiyako;nami nitaondoaugonjwakatiyako.Kutoka23:25
Msichukiekazingumu,walashambaambaloAliyeJuuameamuru.Sirach7:15
Namtakapovunamavunoyanchiyenu,usivunekabisapembezashambalako,walausiyakusanye masazoyamavunoyakoWalausiokotemasazoyashambalakolamizabibu,walausivutezabibu zotezashambalakolamizabibu;utaziachakwaajiliyamaskininamgeni;mimindimiBwana, MunguwenuMamboyaWalawi19:9-10
Mtazishikasheriazangu.Usiacheng'ombewakowauzaziwaainambalimbali;usipandembegu zilizochanganywakatikashambalako;MamboyaWalawi19:19
Nanyimtakapoingiakatikanchi,nakupandamitiyakilanamnayachakula,mtayahesabumatunda yakekuwanikutotahiriwa;miakamitatuitakuwakwenukamakutotahiriwa;MamboyaWalawi 19:23
Namtakapovunamavunoyanchiyenu,msiharibukabisapembezashambalenukatikakuvuna, walamsikusanyemasazoyamavunoyenu;MamboyaWalawi23:22
Mudawamiakasitalitapandashambalako,namiakasitalipeleeshambalakolamizabibu,na kuyachumamatundayake;LakinikatikamwakawasabaitakuwaniSabatoyakustarehekabisakwa ajiliyahiyonchi,SabatoyaBwana;MamboyaWalawi25:3-4
Mwakahuowahamsiniutakuwayubilekwenu;msipandembegu,walamsivunekitukilichomea chenyewe,walamsikusanyezabibukatikamizabibuisiyokatwa.Kwamaananiyubile;litakuwa takatifukwenu;mtakulamaongeoyakeyatokayoshambaniMamboyaWalawi25:11-12
Kwahiyomtazifanyaamrizangu,nakuzishikahukumuzangu,nakuzifanya;nanyimtakaakatika nchisalama.Nanchiitazaamatundayake,nanyimtakulanakushiba,nakukaahumosalama.Na kamamkisema,Tutakulaninimwakawasaba?tazama,hatutapanda,walahatutakusanyamaongeo yetu;ndiponitaamurubarakayanguiwejuuyenukatikamwakawasita,naoutazaamatundamuda wamiakamitatu.Nanyimtapandambegumwakawanane,nakulamatundayazamanihata mwakawakenda;hatamatundayakeyatakapoingiamtakulaakibakuuMamboyaWalawi25:1822
Mkienendakatikaamrizangu,nakuyashikamaagizoyangu,nakuyafanya;Ndiponitawanyeshea mvuakwawakatiwake,nanchiitazaamazaoyake,namitiyamashambaniitazaamatundayake. Nakupurakwenukutafikiamavunoyazabibu,namavunoyazabibuyatafikawakatiwakupanda; nanyimtakulamkatewenuhatakushiba,nakukaakatikanchiyenusalama.MamboyaWalawi 26:3-5
Tenazakayoteyanchi,kamanimbeguyanchi,aukamanimatundayanchi,niyaBwana;ni takatifukwaBwana.MamboyaWalawi27:30
KwakuwaBwana,Munguwako,anakuingizakatikanchinzuri,nchiyavijitovyamaji,nachemchemi navilindi,vibubujikavyokatikamabondenavilima;nchiyangano,nashayiri,namizabibu,namitini, namikomamanga;nchiyamizeituniyamafuta,naasali;Nchiambayoutakulamkatebilashida, hutapungukiwanakitundaniyake;nchiambayomaweyakenichuma,nakatikamilimayake
Msichukiekazingumu,walashambaambaloAliyeJuuameamuru.Sirach7:15
wawezakuchimbashaba.Utakapokuwaumekulanakushiba,ndipoutambarikiBwana,Mungu wako,kwaajiliyanchinzurialiyokupa.KumbukumbulaTorati8:7-10
Tenaitakuwa,mtakapoyasikizakwabidiimaagizoyanguninayowaamuruleo,kumpendaBWANA, Munguwenu,nakumtumikiakwamoyowenuwote,nakwarohoyenuyote,ndiponitawapamvua yanchiyenukwawakatiwake,mvuayakwanza,namvuayavuli,upatekuvunanafakayako,na divaiyako,namafutayako.Naminitaletamajanikatikamashambayakokwamifugoyako,upate kulanakushibaKumbukumbulaTorati11:13-15
Utatoazakayamaongeoyoteyambeguzako,yatokayoshambamwakabaadayamwaka. KumbukumbulaTorati14:22
Usipandembeguzaainambalimbalikatikashambalakolamizabibu;KumbukumbulaTorati22:9
Ukatamavunoyakokatikashambalako,ukasahaumgandashambani,usirudikuuchukua;utakuwa wamgeni,nayatima,namjane;iliBwana,Munguwako,akubarikiekatikakazizotezamikonoyako. KumbukumbulaTorati24:19
ItakuwautakaposikiasautiyaBwana,Munguwako,kwabidii,kutunzanakufanyamaagizoyake yotenikuagizayoleo,ndipoBwana,Munguwako,atakapokutukuzajuuyamataifayoteyadunia; Utabarikiwamjini,utabarikiwanamashambani.Utabarikiwauzaowatumbolako,nauzaowanchi yako,nauzaowang'ombewako,maongeoyang'ombewako,nawadogowakondoozako. KitabarikiwakikapuchakonachombochakochakuhifadhiachakulaKumbukumbulaTorati28:1-5
NayeBWANAatakufanyauwenawingiwauheri,katikauzaowatumbolako,nauzaowang'ombe wako,nauzaowanchiyako,katikanchiBwanaaliyowaapiababazakokwambaatakupa.BWANA atakufunguliahazinayakenjema,nayonimbingu,kwakutoamvuakwanchiyakokwawakatiwake, nakubarikiakaziyoteyamkonowako;naweutakopeshamataifamengi,walahutakopawewe KumbukumbulaTorati28:11-12
Historia
Wewe,nawanao,nawatumishiwako,mtamlimiashamba,naweutaletamatunda,ilimwanawa bwanawakoapatechakulachakula;lakiniMefiboshethi,mwanawabwanawako,atakulachakula mezanipangusikuzote.BasiSibaalikuwanawanakuminawatanonawatumishiishirini.2Samweli 9:10
KukawananjaakuukatikaSamaria,natazama,wakauzingirampakakichwachapundakikauzwa kwavipandethemaninivyafedha,naroboyakitandachamaviyanjiwakwavipandetanovya fedha.2Wafalme6:25
TenaakawaamuruwatuwaliokaaYerusalemuwatoesehemuyamakuhaninaWalawi,iliwapate kujitiamoyokatikasheriayaBwanaHatailipotokahiyoamri,wanawaIsraeliwakaletakwawingi malimbukoyanafaka,nadivai,namafuta,naasali,namazaoyoteyashambani;wakaletakwa wingizakayavituvyote.NawanawaIsraelinaYuda,waliokaakatikamijiyaYuda,naowakaleta
Msichukiekazingumu,walashambaambaloAliyeJuuameamuru.Sirach7:15
zakayang'ombe,nakondoo,nazakayavituvitakatifu,alivyowekwawakfukwaBwana,Mungu wao,wakaviwekachunguchungu.2MamboyaNyakati31:4-6
nakuletamalimbukoyaardhiyetu,namalimbukoyamatundayoteyamitiyote,mwakabaadaya mwaka,nyumbanikwaBWANA;tenawazaliwawakwanzawawanawetu,nawang'ombezetu, kamailivyoandikwakatikatorati,nawazaliwawakwanzawang'ombezetu,nawakondoozetu, kuletanyumbanikwaMunguwetu,kwamakuhaniwanaotumikakatikanyumbayaMunguwetu,na sadakazakwanzazasadakazaMunguwetu;matundayamitiyanamnazote,divainamafuta,kwa makuhani,mpakavyumbavyanyumbayaMunguwetu;nazakazaardhizetukwaWalawi,ili Walawihaowapatezakakatikamijiyoteyakulimakwetu.Nakuhani,mwanawaHaruni,atakuwa pamojanaWalawi,Walawiwatwaapozaka;naoWalawiwataletazakayazakakatikanyumbaya Munguwetu,vyumbani,ndaniyanyumbayahazina.KwamaanawanawaIsraelinawanawaLawi wataletamatoleoyanafaka,nadivaimpya,namafuta,katikavyumba,vilimovyombovya patakatifu,namakuhaniwahudumu,namabawabu,nawaimbaji;nasihatutaiachanyumbaya MunguwetuNehemia10:35-39
NingemtafutaMungu,nakwaMunguningewekanenolangu;mamboyaajabuyasiyohesabika; anyeshayemvuajuuyanchi,nakuyatumamajijuuyamashamba;Ayubu5:8-10
Umemfanyakuwamtawalajuuyakazizamikonoyako;umevitiavituvyotechiniyamiguuyake; Ndegewaangani,nasamakiwabaharini,nakilakipitachonjiazabahariniEeBWANA,Bwanawetu, jinsililivyotukufujinalakodunianimwote!Zaburi8:6-9
Humeeshamajanikwaajiliyamifugo,nambogakwaajiliyakumtumikiamwanadamu;Nadivai kuufurahishamoyowamtu,namafutayakung'arishausowake,namkateutiaonguvumoyowa mtuZaburi104:14-15
Huigeuzajangwakuwakisimachamaji,Nanchikavuikawachemchemizamaji.Hukoamewakalisha wenyenjaa,iliwatengenezemjiwakukaa;mkapandemashamba,mkapandemizabibu,ipatekuzaa matunda.Nayehuwabariki,hatawakaongezekasana;nawalahakuwaachawanyamawao kupunguaZaburi107:35-38
Ewemvivu,mwendeechungu;zitafakarinjiazakeukapatehekima,Ambayehanakiongozi,wala msimamizi,walamtawala,Huandaachakulachakewakatiwakiangazi,Hukusanyachakulachake wakatiwamavuno.Mithali6:6-8
Akusanyayewakatiwakiangazinimwanamwenyehekima;Mithali10:5
Alimayeshambalakeatashibachakula;Mithali12:11
Ukulimawamaskinihuwanachakulakingi;Mithali13:23
Mahalipasipokuwanang’ombe,kibandachang’ombenisafi;Mithali14:4
Msichukiekazingumu,walashambaambaloAliyeJuuameamuru.Sirach7:15
Mtumvivuhatalimakwasababuyabaridi;kwahiyowakatiwamavunoataomba,asipatekitu. Mithali20:4
Nilipitakaribunashambalamvivu,nashambalamizabibulamtuasiyenaakili;Natazama,yote yalikuwayameotamiiba,naviwavivimeufunikausowake,naukutawakewamaweulikuwa umebomoka.Ndiponikaona,nakutafakari;Badokulalakidogo,kusinziakidogo,Kukunjamikono kidogoupateusingizi;Ndivyoutakujaumaskiniwakokamamsafiri;nauhitajiwakokamamtu mwenyesilahaMithali24:30-34
Fanyabidiikuijuahaliyakondoozako,nakuwaangaliasanang'ombewako.Kwamaanautajiri haudumumilele;Majanihuonekananamajanimabichihuchipuka,nambogazamilimani hukusanywa.Wana-kondoonikwamavaziyako,nambuzinibeiyashamba.naweutakuwana maziwayambuziyakukutoshakwachakulachako,nachakulachawatuwanyumbanimwako,na pakuwatunzawajakaziwako.Mithali27:23-27
Alimayeshambalakeatakuwanachakulatele;Mithali28:19
Huangaliashambanakulinunua,KwamatundayamikonoyakehupandamizabibuMithali31:16
Zaidiyahayofaidayadunianikwawote;mfalmemwenyewehuhudumiwanashambaMhubiri5:9
Kaziyoteyamwanadamunikwakinywachake,lakinihatahivyohamuyachakulahaishibi.Mhubiri 6:7
Yeyeatazamayeupepohatapanda;nayeayatazamayemawinguhatavunaAsubuhipandambegu zako,walajioniusiuzuiemkonowako;Mhubiri11:4,6
Manabii
Namasikioyakoyatasikianenonyumayako,likisema,Njianihii,ifuateni,mgeukapokwenda mkonowakuume,namgeukapokwendamkonowakushotoNanyimtakitiaunajisikifunikocha sanamuzenuzakuchongazafedha,napambolasanamuzenuzadhahabuzakusubu;utaiambia, OndokahapaNdipoatatoamvuayambeguzako,utakayoipandanchi;namkatewamaongeoya nchi,nayoitakuwatelenatele;sikuhiyong'ombewakowatakulakatikamalishomapana.Na ng'ombenapundawalimaonchiwatakulamalishosafi,yaliyopepetwakwakoleonapepeo.Isaya 30:21-24
Herininyimpandaokaribunamajiyote,nakupelekamiguuyang'ombenapundaIsaya32:20
Naudongouliokaukautakuwaziwalamaji,nanchiyenyekiuitakuwachemchemizamaji;Isaya 35:7
Mbonamnatoafedhakwakituambachosimkate?nakaziyenukwayaleyasiyoshibisha?nisikilizeni kwabidii,mlekilichochema,nanafsizenuzifurahieunono.Isaya55:2
Msichukiekazingumu,walashambaambaloAliyeJuuameamuru.Sirach7:15
Kwamaanakamavilemvuaishukavyo,nathelujikutokambinguni,walahairudihuko,bali huinyweshanchinakuizalishanakuizalisha,ilikumpampanzimbegu,namlajimkate;ndivyo litakavyokuwanenolangu,litokalokatikakinywachangu;halitanirudiabure,balilitatimizamapenzi yangu,nakufanikiwakatikamamboyalenitakayoyatuma.Isaya55:10-11
MaanaBwanaawaambiahiviwatuwaYudanaYerusalemu,Limenimashambayenu,wala msipandembegukatiyamiiba.Yeremia4:3
NenolaBwanalikanijiatena,kusema,Mwanadamu,nchiitakaponitendadhambikwakosakuu, ndiponitaunyoshamkonowangujuuyake,nakulivunjategemeolamkatewake,nakutumanjaa juuyake,nakuwakatiliambaliwanadamunawanyama;Ezekieli14:12-13
Ulikuwaumepandwakatikaudongomzurikandoyamajimengi,upatekutoamatawi,nakuzaa matunda,uwemzabibumzuri.Ezekieli17:8
Nanyimtakaakatikanchiniliyowapababazenu;nanyimtakuwawatuwangu,naminitakuwa Munguwenu.naminitawaokoanauchafuwenuwote,naminitaitanafaka,nakuziongeza,wala sitawekanjaajuuyenuNaminitazidishamatundayamti,namazaoyashambani,ilimsipatetena lawamayanjaakatiyamataifa.Ndipomtazikumbukanjiazenuwenyewembaya,namatendoyenu yasiyokuwamema,nanyimtajichukianafsizenukwamachoyenukwaajiliyamaovuyenunakwa ajiliyamachukizoyenu.Ezekieli36:28-31
Jipandienikatikahaki,vunenikwarehema;limeniudongowamashambayenu,kwamaanani wakatiwakumtafutaBwana,hataatakapokujanakuwanyesheahaki.Hosea10:12
Tenanimewapausafiwamenokatikamijiyenuyote,naupungufuwamkatekatikakilamahali penu;lakinihamkunirudiamimi,asemaBWANA.Tenanimewanyimamvua,ilipobakiamiezimitatu kablayamavuno,naminikanyeshajuuyamjimmoja,nikanyeshamvuajuuyamjimwingine;Basi mijimiwilimitatuilitanga-tangakwendamjimmojailikunywamaji;lakinihawakushiba,lakini hamjanirudiamimi,asemaBWANAnaliwapigakwaukavunaukungu;bustanizenu,namizabibu yenu,namitiniyenu,namizeituniyenuilipoongezeka,tunutuwaliila;lakinihamkunirudiamimi, asemaBWANA.Nimetumataunikatiyenu,kwamfanowaMisri;vijanawenunimewauakwa upanga,nafarasizenunimewachukua;naminimekupandishauvundowakambizenuhatamianzi yapuazenu;lakinihamkunirudiamimi,asemaBWANA.Amosi4:6-10
Ingawamtinihautachanuamaua,walamizabibunihamtakuwanamatunda;kaziyamzeituniitaisha, namashambahayatatoachakula;kondoowataondolewazizini,walamazizinihamtakuwana ng’ombe;Habakuki3:17-18
Je!niwakatiwenu,enyi,kukaakatikanyumbazenuzilizoezekwakwasakafu,nanyumbahiiikiwa ukiwa?BasisasaBwanawamajeshiasemahivi;ZitafakarininjiazenuMmepandambegunyingi, lakinimmevunakidogo;mnakula,lakinihamshibi;mnakunywa,lakinihamkujazwanakileo; mnajivika,lakinihapanaaonayejoto;nayeyeapatayemshaharaapatamshaharailikuutiakatika mfukouliotoboka-toboka.Bwanawamajeshiasemahivi;Zitafakarininjiazenu.Hagai1:4-7
Msichukiekazingumu,walashambaambaloAliyeJuuameamuru.Sirach7:15
Kwamaanambeguitasitawi;mzabibuutazaamatundayake,naardhiitatoamazaoyake,nambingu zitatoaumandewake;naminitawamilikishamabakiyawatuhawavituhivivyote.Zekaria8:12
Letenizakakamilighalani,ilikiwemochakulakatikanyumbayangu,mkanijaribukwahayo,asema BWANAwamajeshi,kamasitawafunguliamadirishayambinguni,nakuwamwagienibaraka,hata isiweponafasiyakutoshakuzipokea.Namikwaajiliyenunitamkemeayeyealaye,walahataharibu mazaoyaardhiyenu;walamzabibuwenuhautapukutishamatundayakekablayawakatiwake katikashamba,asemaBWANAwamajeshiNamataifayotewatawaiteniheri;maanamtakuwanchi yakupendezasana,asemaBWANAwamajeshi.Malaki3:10-12
Injili
Kishaakawaambiawanafunziwake,Mavunonimengi,lakiniwatendakaziniwachache;Basi mwombeniBwanawamavunokwambaapelekewatendakazikatikamavunoyake.Mathayo9:3738
Akawaambiamambomengikwamifano,akisema,Tazama,mpanzialitokakwendakupanda; Alipokuwaakipanda,mbegunyingineziliangukakandoyanjia,ndegewakajawakazilaNyingine ziliangukapenyemiamba,pasipokuwanaudongomwingi;nakwasababuhawakuwanamizizi, zikanyaukaNyingineziliangukapenyemiiba;ilemiibaikamea,ikaisongaNyinginezikaanguka penyeudongomzuri,zikazaa,mojamia,mojasitini,namojathelathini.Mwenyemasikionaasikie. Mathayo13:3-9
Akawatoleamfanomwingine,akisema,Ufalmewambinguniumefanananapunjeyaharadali, aliyoitwaamtunakuipandakatikashambalake;nayonindogokulikombeguzote;Mathayo13:3132
Kwahiyoakawaambia,Mavunonimengi,lakiniwatendakaziniwachacheBasimwombeniBwana wamavunokwambaatumewatendakazikatikamavunoyake.Luka10:2
Akanenamfanohuu;Mtummojaalikuwanamtiniumepandwakatikashambalakelamizabibu; akaendaakatafutamatundajuuyake,asipate.Kishaakamwambiamtunzashambalamizabibu, Tazama,miakamitatuhiinajanikitafutamatundajuuyamtinihuu,nisipatekitu;kwaniniunaitesa ardhi?Akajibuakamwambia,Bwana,uuachemwakahuunao,hataniuchimbenakuutiasamadi.Na ikiwautazaamatunda,vema;Luka13:6-9
Ninyihamsemi,Badomieziminne,ndipoyajamavuno?tazama,nawaambia,Inuenimachoyenu, mkatazamemashamba;kwamaananinyeupetayarikuvunwaNayeavunayehupokeamshahara, nakukusanyamatundakwauzimawamilele,iliyeyeapandayenaavunayewafurahipamoja. Yohana4:35-36
Amin,amin,nawaambia,Chembeyanganoisipoangukakatikanchi,ikafa,hukaahaliiyohiyoiyo pekeyake;Yohana12:24
Marawalipofikanchikavuwalionamotowamakaanasamakiwametiwajuuyakenamkate.Yesu akawaambia,LetenibaadhiyasamakimliowavuasasaYohana21:9-10
Msichukiekazingumu,walashambaambaloAliyeJuuameamuru.Sirach7:15
Walakinihakujiachapasipoushuhuda,kwakuwaalitendamema,akitupamvuakutokambingunina majirayamatunda,akiijazamioyoyetuchakulanafurahaMatendo14:17
Nyaraka
Lakininasemanenohili,Apandayehabaatavunahaba;naapandayekwaukarimuatavunakwa ukarimu2Wakorintho9:6
NaMunguawezakuwajazakilaneemakwawingi;ilininyi,mkiwanarizikizakilanamnasikuzote, mpatekuzidisanakatikakilatendojema;(kamailivyoandikwa,Ametapanya,amewapamaskini, hakiyakeyakaamilele.Nayeampayembegumpandajiatawapachakulakwaajiliyachakula,na kuzizidishambeguzenu,nakuongezekamatundayahakiyenu;)mkitajirishakatikakilajambola ukarimu;2Wakorintho9:8-11
Tenatusichokekatikakutendamema;maanatutavunakwawakatiwake,tusipozimiaroho Wagalatia6:9
Kwamaanahatatulipokuwapokwenutuliwaagizanenohili,kwambaikiwamtuhatakikufanyakazi, asile2Wathesalonike3:10
Apokrifa
Kwamaanakamavilemkulimaapandavyombegunyingijuuyanchi,nakupandamitimingi,lakini iliyopandwanzurikwamajirayakehaikumei,walayoteyaliyopandwahayatiimizizi;hawataokolewa wote2Esdra8:41
kamavilembeguyamkulimaiharibikavyo,isipomea,walahaikupokeamvuakwawakatiwake;au mvuanyingiikinyeshanakuiharibu:Vivyohivyonamwanadamualiyeumbwakwamikonoyako ataangamia,akaitwamfanowakomwenyewe,kwakuwaunafanananaye,ambayekwaajiliyake ulifanyavituvyote,ukamfananishanambeguyamkulima2Esdras8:43-44
Akanijibu,akisema,Kamalilivyoshamba,ndivyozilivyombegu;jinsimauayalivyo,ndivyorangipia; jinsimfanyakazialivyo,ndivyoilivyokazi;nakamavilemkulimaalivyomwenyewe,ndivyona shambalakepia;2Esdras9:17
...kwamaanakatikakiburiniuharibifunataabunyingi,nakatikauasheratiniuharibifunauhitaji mwingi;kwamaanauasheratinimamawanjaaTobiti4:13
Yulekijanaakafanyakamamalaikaalivyomwamuru;nawalipokwishachomawalesamaki,wakamla; kishawakaendawotewawili,hatawakakaribiaEkbataneTobiti6:5
Naheritowashiambayekwamikonoyakehakufanyauovu,walakuwazamaovujuuyaMungu; HekimayaSulemani3:14
Msichukiekazingumu,walashambaambaloAliyeJuuameamuruSirach7:15
Msichukiekazingumu,walashambaambaloAliyeJuuameamuru.Sirach7:15
Alimayeshambalakeataongezalundolake,nayeawapendezayewakuuatapatamsamahakwa uovuSirach20:28
Ukiishakujipatiamalikatikashambalote,pandambeguzako,ukitumainiawemawambeguzako Sirach26:20
Ndipowakalimaardhiyaokwaamani,nayonchiikatoamazaoyake,namitiyakondenimatunda yake.1Wamakabayo14:8
VitabuVilivyosahauliwavyaEdeni
Kwahiyowatuwanalazimikakujishughulishanakilimonakulimaudongoilikwanjiahiiwawena ugavimwingiwamazao.Kwanjiahiikilimochakilaainakinaendelezwanamavunomengihuvunwa katikaardhiyoteiliyotajwahapojuu.BaruayaAristeas5:9-10
Watuwamashambanikwakuhamakutokawilayazamashambaninakukaamjiniwaliletakilimo katikasifambaya;nahivyoilikuwazuiawasiishimjini,mfalmeakatoaamrikwambawasingekaa humozaidiyasikuishirini.BaruayaAristeas5:13
Basi,wanangu,msijaliuzuriwawanawake,walamsifikiriemamboyao;balienendenikwaunyofu wamoyokatikakumchaBwana,nafanyenikazikatikakazinjema,nakatikamasomo,najuuya makundiyenu,hataBwanaawapemkeamtakaye,ilimsipatetabukamamimiAganolaReubeni 2:1
Uinamishemigongoyakokwenyeshamba,najitaabishekatikaukulimawakilanamna,ukimtolea Bwanazawadikwakushukuru.KwamaanaBwanaatakubarikikwamalimbukoyadunia,kama alivyowabarikiwatakatifuwotetanguHabilihatasasaKwamaanahamtapewasehemunyingine isipokuwamanonoyanchi,ambayomatundayakeyamekuzwakwataabu.Kwamaanababayetu Yakoboalinibarikikwabarakazadunianamalimbuko.AganolaIsakari1:39-42
Nilikuwawakwanzakutengenezamashuabaharini,kwakuwaBwanaalinipaufahamunahekima ndaniyakeNanikateremshausukaninyumayake,nanikanyooshatangajuuyakipandekinginecha mtikilichosimamakatikati.Naminikasafirindaniyakekandoyaufuo,nikivuasamakikwaajiliya nyumbayababayangu,hatatukafikaMisri.Nakwahurumanilishirikisamakiwangunakilamgeni. Namtuakiwamgeni,aumgonjwa,aumzee,nilipikawalesamaki,nakuwawekavizuri,nikawapa watuwotekamakilamtualivyohitaji,nikiwahuzunishanakuwahurumia.KwahiyopiaBwana alinishibishakwawingiwasamakikatikakuvuasamaki;kwamaanaanayeshirikipamojanajirani yakehupokeamaranyingizaidikutokakwaBwana.Kwamudawamiakamitanonilivuasamakina kumpakilamtuniliyemwona,nakuwatoshajamaayoteyababayangu.Nawakatiwakiangazi nilivuasamaki,nawakatiwabaridinilichungakondoopamojananduguzanguAganolaZabuloni 2:6-13
Msichukiekazingumu,walashambaambaloAliyeJuuameamuru.Sirach7:15