Kilimanjaro Game (Swahili)

Page 1

4.03 Kilimanjaro Game Front.pdf

1

HEWA N. Popo Hapana huku chakata taka na zimeongeza harufu mbaya, na kuhatarisha dampo. Nenda hatua 6 nyuma. M. Tai - Mizoga Watu wanachoma taka za plastiki moto unaweza kuzuka ukachoma makazi yetu na kuleta uchafuzi wa hewa! Badilishana nafasi na mchezaji wa mwisho.

MILIMA L. Kapunji Unatumia tena kontena lako la chakula na chupa yako ya maji, inasaidia eneo letu zuri la mlimani kubaki safi. Nenda mbele hatua 2. K. Minde Uchimbaji haramu unaharibu makazi yetu. Nenda nyuma hatua 4. J. Sokwe Unapanda miti! Badilishana nafasi na mchezaji anayeongoza.

TAMBARARE

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

I. Panzi wa Tanzania Hujaheshimu mazingira na umeacha takataka zako juu ya Mlima Kilimanjaro. Nenda mwanzo H. Tembo Umeleta mfuko wako wa manunuzi. Nenda mbele hatua 2. G. Simba Wanyama wote wakubw a kwa wadogo wanathamani! Tunatakiwa kuhifadhi uwiano huo. Subiri, wakati huo okota takataka 3 katika eneo letu tambarare. F. Duma Umelinda makazi yetu na kutunza vyanzo vyetu vya maji! Nenda mbele hatua 2. E. Faru mweusi Tafadhali wazuie majangiri wanachukua pembe zetu. Nenda hatua 4 nyuma. D. Kobe Umeanza kutengeneza mbolea ambayo inasaidia mimea iliyo kwenye makazi yangu ya Mlima Kilimanjaro. Nenda mbele hatua 2.

BAHARI C. Kasa ngozi Bahari imejaa takataka na mimi, nimetegwa na plastiki. Subiri wakati unamsaidia kasa aliyenaswa. B. Johari (aina ya samaki) Tulimeza plastiki nawe unaweza kudhurika tumbo lako. Nenda hatua 3 nyuma. A. Matumbawe Usitukanyage tafadhali, utatuumiza. Nenda hatua 2 nyuma.

4/3/20

8:50 am


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.