JARIDA LA SHUJAA issue #2

Page 1

SHU AA JARIDA LA

MACHI: SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

DONDOO ZA AFYA

NA BURUDANI

J

JANUARI - MA

Ni mwanahabari

mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 11 sasa, amejikita katika masuala ya afya na jamii, ni mmiliki wa blogu ya Matukio na Maisha, habari na makala zake zimepata kutambuliwa

Kitaifa na Kimataifa, huelimisha jamii kuhusu

Siko Seli pamoja na magonjwa mengineyo yaliyopo katika kundi la magonjwa yasiyoambukiza.

Ni Mwanahabari Mpekuzi na mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 6

akijikita kwenye uzalishaji maudhui mbalimbali ya Video na Uandishi wa habari katika

vyombo tofauti vya habari Afrika Mashariki, Na sasa akiwa Mwanahabari chini ya Kwanza Production (USA) na Star TV Tanzania Ndiye mbunifu wa jarida la Shujaa wa Sikoseli.

Ana shahada ya Mawasilianao ya Umma; Shahada ya uzamili Sociology (Medical).

Ni mama wa mtoto mmoja( Shujaa wa miaka saba).

Anatumia kalamu na Mdomo kuisemea jamii inapohitaji jicho la muhimu. Kwa miaka 7 anajitolea kitaifa na kimataifa kushiriki midahalo na kutoa elimu ya sikoseli na kusaidia watoto wenye sikoseli nchini. Ni muajiriwa Datavision International/Dar24 Media.

| WACHANGIAJI SHU AA JARIDALA J
Veronica Mrema Zuhura H. Makuka Haithan Habib

ULIMWENGU WA SIKOSELI

I. SIKOSELI NI NINI?

DONDOO ZA AFYA

I. SIKOSELI HAIATHIRI UWEZO WA KUSOMA

2. MAMBO YANAYOWEZA KUMSAIDIA SHUJAA WAKE

MITINDO YA MAISHA

1. UNYANYAPAA ULINIPA HAMASA

2. NIPO TAYARI KUSONGA MBELE

3. MAPENZI YANAYOKUONGEZEA

MAUMIVU YA SIKOSELI ACHANA NAYO

SIKU YA WANAWAKE

I. SIKUTAKA KUWA TEGEMEZI

| YALIYOMO SHU AA JARIDALA J

UJUMBE WA MHARIRI

alaam,WapenziwasomajiwaJaridalaSAUTIYASHUJAA, tusemeninibasi?Zaidiyakusemashukrani,kwakuendelea kuwapamojanasikuanziamwanzowasafarihiipaletulipo thubutunakutoanakalayakwanzayaJaridahililaSikoseli nchiniTanzania,naWapendwawetumkalipokeanakulisoma kwamikonomiwili,Tunapendakuwajuzakuwamaoniyenu chanyatunayopokeakilasikuniburudanikwetunayanajaza mioyoyetutabasamulajuanakuzidikutupamoyokuendelea naharakatihizizakuelimishaummailikuenezaufahamujuu yasikoseli.

ToleohililapilinitolealapililamweziJanuarihadiMachi, Likijumuishamakala kwaajiliyawanafunzinawanajamii kwaujumla,tukilengakuelimishawalimupamojanawanafunzi juuyaumuhimuwamaandaliziborawakatiwakufungua shuleilikumtengenezeamwanafunzimwenyesikoseli mazingiraboranarafiki,ambayoyatawezakukuzataaluma yakenakukuzauwezowakewaufaulu.Piakusherehekea mweziwaupendoFebruaripamojanakumulikamweziMachi, Mweziwakihistoriakwawanawakewoteduniani.

Ndaniyajaridatutasikiakutokakwawanawakevinarakama Mwl.Catherine.Piautajuaunyanyapaasiokitukizurinajinsi unavyowezakutimizandotoyakokutokakwaDaktariMkufunzi wamagonjwayadamuDaktariShujaa,Catherinewa Muhimbili.Kamavilehiihaitoshiutakutananashujaa ShadyanaMarafikizakeambaowanampendanakushirikiana naekatikamasomo,naeShadyaakihasakuwaSikoseli haimzuiiyeyekuendeleanaelimuyake,Zaidiyayoteutajua kuwaelimuniufunguowaMaishahatakwamashujaa,pale utaposomakisachaMwalimunaMhadhiriwachuokikuu; Bilakusahauupendousionamipakanasurakutokakwa Bi.Latipha.

Jaridaletuhalinasogatubalipiatunakuleteahabarikatika ulimwenguwasikoselikuhusuumuhimuwabimayaafya nakatikaKID'SCORNERutapataburudanikwaafyayako yaakili.

Kufikiatamati;nipendekuwashukuruwaandishi,wahariri, wabunifunawatengenezajipamojanawafadhiliwotewa JaridahililaSAUTIYASHUJAAkwakutuwezesha kufanikishanakuwasilishaJaridahilikwajamii,bilak usahauwapendwawasomajiwetunajumuiyayoteya Sikoselinchini.

Nimatumainiyetukuwautafurahitoleohililakinizaidi utaelimikanakufahamuzaidikuhusuugonjwawaSikoseli. Miminishujaa,weweje?Kuwamjanjaijuesikoseli.

S 00 |
SHU AA JARIDALA J ARAFA SAID EMMY MWITA

SIKOSELINININI

JE,WAJUASIKOSELINININI?

Sikoselininini?

Sikoseliniugonjwawakurithiunaosababishamabadilikoyasiyoyakawaidakatikaumbolachembechembenyekundu zadamu.

●Kwakawaidachembenyekunduzadamuzinaumbolamviringoambalohuzirahisishiakupitakwenyemishipamidogo yadamuilikusafirishahewasafiyaoxygenkatikasehemumbalimbaizamwili.

●Kwamtumwenyeugonjwawasikoseli, selihizihuwatofauti;zinanatanazinaumbolamwezimchanga(mundu).

●Tanzanianimojawapokatiyanchizenyewagonjwawengiwasikoseliduniani ambapoinakadiriwatakribaniwatoto 11,000huzaliwanaugonjwawasikoseli kilamwaka.Piainakadiriwakuwa12% hadi20%yawatuwotenchiwanavinasabavyaugonjwawasikoseli(sicklecell trait),kutegemeananaeneo.

NINIHUSABABISHAMTUKUWA

NASIKOSELI?

●Sikoseliniugonjwawakurithi,ugonjwa huuhurithiwakwanjiasawanaambavyo mtuhurithirangiyakeyangoziyamwili, aumacho,urefu,n.k.Hivyobasi,mtuhuzaliwanaugonjwahuu.

●Vinasabavyasikoselihurithiwasawa sawakutokakwawazaziwotewawiliyaanibabanamama.

●Mtuhawezikupataugonjwawasiko

selikwakuambukizwakwanjiayeyote

ilekamavilekuishinakushirikianakwa ukaribunamtumwenyeugonjwahuu. Mfanohuwezikupatasikoselikwakula, kuchezaaukulalanamtumwenyesiko

seliMatatizoyakiafyaambayohusababishwanasikoseli

●Maumivu:chembenyekunduzasiko selihushindwakupitakwaurahisikatika mishipamidogoyadamu,hukwamana kuzibamzungokowadamu.Halihiihusababishamaumivuyenyeukalitofauti.

●Maambukiziyavimeleavya

magonjwa:wagonjwawasikoselihasa watotohupatamaambukiziyavimelea vyamagonjwambalimbalikamavichomi (pneumonia),homayautiwamgongona homayainikirahisikulikowatuwasiona ugonjwawasikoseli.

●Upungufuwadamu:kutokanana chembenyekunduzasikoselikuwa namudamfupiwakuishi,humuweka mgonjwawasikoselikwenyehatari yakupataupungufumkubwawadamumarakwamara.

●Kuvimbakwamikononamiguu: maranyingihuambatananahoma.Halihiihusababishwanachembezasikoselikukwamanakuzibamzunguko wadamukwendakwenyemikonona miguu

●Kubanwakwakifua:kukwamana kuzibakwamzungokowadamukwendakwenyemapafuhusababishashidakwenyeupumuaji,nadalilizakeni maumivuyakifua,kukohoa,homana kupumuakwashida

●Kiharusi:kukwamanakuzibamzungukowadamukwendakwenyeubongohusababishakiharusiambacho huwezakumsababishiamgonjwaulemavunamatatizokatikauelewawake mfanoshulenin.k.

UpimajiwaSikoseli.

●Upimajiwasikoselihufanyikakwa damukwakipimochaawali(Screening)ikifuatiwanakipimochauhakiki ambachokinapatikanakwenyehospitalizakandanaTaifa.

●Hudumayaupimajiwasikoselikwa watotowachanga(newbornscreening)hufanyikaampapodamukidogo hutolewakatikakisigino,namtoto anawezakupimwakujuakamaanasikoseliauamebebavinasabavyasikoseli.

MATIBABUYASIKOSELI

Hadileohiitibapekeeyaugonjwa huunikuwekewauboho(bonemarrowtransplant)aukupandikizwakiini kwenyeshinalamfupakitaalam,'stem celltransplant'

●Tibahiihufanywakwakuchukua urotowamifupakutokakwamtuasiyenasikoseli(donor)nakupandikiza kwenyemifupayamgonjwa,hivyo kusaidiamifupayakekuanzakuzalishachembezadamuzisizonasikoseli.

●Kwaupandemwinginetibahii,pamojanakutopatikanakwasasakwa nchinyingizaAfrika,ikiwemoTanzania;tibahiiyawezakuwahatarishina kusababishamadharamakubwakwa wagonjwa,nahatakifowakatimwingine.Hivyo,huhitajiutaalamwahali yajuunamiundombinuyakisasa. Tanzaniaimeanzakutoamatibabuya ainahiikwawagonjwawasarataniya damu,hivyohapobaadayeitaweza kutolewakwawagonjwawasikoseli pia.

01 | ULIMWENGU
SHU AA JARIDALA J
WA SIKOSELI

ULIMWENGU WA SIKOSELI

Matibabuyakawaida

●Lengolamatibabuyasikoselinikupunguzamadharaamadalilizitokanazona ugonjwahuukamavilekutibunakuzuia maumivu,kuzuiamaambukiziyavimeleayamagonjwa,upungufuwadamu,kiharusink.

●KwasasanchiniTanzania,hakunatiba yamojakwamojamahususikwawagonjwawasikoselihivyomatibabuhutofautianakutokananadalilizamgonjwa mfano;kuongezewadamuaumajimwilininadawazamaumivu.

●Katikakutibuchangamotozitokanazo naugonjwawasikoseli,kunadawaza folicacidambazowagonjwawotehutumiakilasiku,piakunadawazaPenV ambazohutumiwanawatotowenyeumri chiniyamiaka6ambazohusaidiakupunguzauwezekanowakupatamaambukizi yanjiayahewa.

Matibabuyaendelevu

(AdvancedTherapies)

●KunadawayaHydroxyureaambayo imeonekanakusaidiasanakupunguza changamotohizo,kwasasahupatikana nchiniTanzaniahadikatikangaziyahospitalizamkoanahupatikanakatikavifurushivyotevyamifukoyabimayaafya.

●Matibabuhayahuhusishapiahuduma yakubadirishadamuambayonayoimeonekanakuletamatokeomazurikatika kupunguzachangamotozaugonjwahuu.

DondooMuhimuzakuishinaugonjwa waSikoselikwawatoto

UchunguziwaKiafyawamarakwa mara

a.Uchunguziwakiafyawamarakwa— aranimuhimukwawatotowachiniya mwakammoja.

Wanapaswakumuonadaktarikilabaada yamiezimiwiliaumitatu

b.Watotokuanziamwakammojampaka mitanowanatakiwakumwonadaktari kilabaadayamiezimitatu

KuzuiaMaambukizi

c.Hakikishawatotowanapatachanjozotezakawaida

d.Watotowapewechanjoyaziadayakuzuiakichomi(Pneumococcalvaccine)

e.Watotowotewenyeumrichiniyamiaka6wapatiwedawayapenicillinilikujikinganamaambukizi

f.Hakikishawatotowanakingwanamaambukiziyamalariakwakutumiachandaruachenyedawa

ZingatiaUshauriwaKitaalamu

g.Watotowanatakiwakunywamajiya kutoshawakatiwotenawapewemlo kamili,ukijumuishamatunda,mbogamboga,vyakulavyakutianguvuna vyakujengamwiliwamtoto.

h.Watotowaepukekukaakatikamazingirayajotokaliamabaridisana

i.Watotowajishungulishenamichezo mbalimbaliiliwawenafurahanaafya njema,wasichezekiasichakuwachoshasana

01 | SHU
JARIDALA J
AA

SIKUTAKAKUWATEGEMEZI

“Kilichonisukuma kujitahidi

kwenye masomo yangu ni Sikutaka kuwa tegemezi, niliamini kama sitasoma sitaweza kuwa na msaada, hiyo ilinipa chachu kubwa ya mimi kupambania Maisha yangu. Nilijua na kuumwa kwangu nisiposoma sitapata msaada mbeleni.”

“Changamoto za afya yangu hazikunisumbua na wala sikutaka kuzipa kipaumbele ili zisumbue Maisha yangu. Nilikuwa nikiumwa najua nitapona na Maisha yataendelea hivyo nikiumwa nilikua nafuata ushauri wa daktari hata kama naumwa sana naamini nitapona na Maisha yataendelea”

LatifaMashaka(miaka39) mwenyeshahadayapiliaushahadayauzamiliyauwalimu akifundishachuokikuuanasimuliamaishayakeyakielimu nachachuzilizompanguvu— pakakufikiangaziyaelimuya juu;Aligundulikaanaugonjwa wasikoseliakiwanaumriwa miaka11naafyayakeilikuwa imarakiasichakumpauhuru wakumalizaelimuyamsingi bilakuwanachangamotonyingi. Alipofikaelimuyasekondari, changamotozilianzakujitokeza hasapalealipofikiaumriwakupevuka.Alikuwaakipatachangamotozaidipaleambapoanaingiakwenyesikuzahedhijapokuwahalihiyohaikumpashida sanakwasababualiamuakutochukuliakamaniugonjwanakuamuakuwanamtazamochanya.

Wazaziwakewalimpanguvu zaidiyakusomanakumruhusu kushirikikilakituambachoanatamanikushirikiakiwashulena kuungananawenzakekatika— asomoyaziadahatambalina nyumbaninayeyealiamuakujisimamiakwaafyayake. Alikuanauhurunauwaziwa kujielezakuhusuchangamoto yakeyasikoselinachangamoto zakezamaumivu,marafikizake nawatuwaliomzungukawalimuuguzakwamoyokwasababu mwenyewealijikubali.Tatizo kubwalililomsumbuazaidikwa afyayakenichangamotozakimazingirapaleambapoanapata shulemkoa ambaokunahaliya hewaisiyoendananaafyayake ambapoilimlazimukuhamishwa shulenakurudimkoaambaohaliyahewahaimsumbuinakumpa fursayakushirikimatukioya Maishakamawatuwengine.

“Nikiwanasomachuo,mwaka wamwishoniliwahikuumwa sanamdamrefunadamuilikuwa ndogokiasichawatuwanaonizungukakukatatamaakuwasitapona,lakinimimipamojanadaktarianayenihudumiatuliamini nitapona.Niliumwasananamda mrefulakininiliporudichuoni nilifanyavizurizaidikulikomiakayoteniliyokuwapalechuoni nanikamalizamwakawatatu nikiwanaalamanzurisana.”

UshauriwaLatifakwamashujaa wenzakenikuwapalewanapopatanafasiyaafyanjemawaitumieileafyanjemakamafursaambayohaitajiruditena.

01 | MITINDO
SHU AA JARIDALA J
YA MAISHA

“Nikwelitunapatamaumivu makalisanahataukimwambia mtunishikiehawezikukubali, lakinipaletunapopataafyanjematuitumieileafyakamaninafasiyakipekeeambayohaitajirudia.Tusiibebesentensiyakuwa'miminimgonjwa'napiatusiwewasiri,tuwaambiewatu kuwaunaumwanininaunahitaji msaadaganiilipaleunapopata shidausaidiwenanguvunakujiaminikwakondikokutakufanyausinyanyapaliwe.”Anasema shujaaLatifa.

“Wazaziwasituchoke,watuchukuliekamawatuwenginewa kawaida,sikoseliniugonjwakamaugonjwamwinginehivyoelimunimuhimunapalemtotoanapoumwaatibiweaendeshule iliafikiemalengoyakenawakatimwingineatanufaikanabaadaeakawamsaadakwafamilia.” Latifaanamaliziakwakuwahasamashujaawengine,wanaojitambuapamojanawazaziwamashujaakuhakikishawanafuatiliaafyazaokwaukaribu,kuhudhuriaklinikinakufuatataratibuzote zakujikinganamagonjwaambukizipamojanakunywamajikwawingi,yotehiyoitasaidiakufikiandotozakielimu.

Mwandishi: Zuhura Makuka

01 |
JARIDALA J
MITINDO YA MAISHA SHU AA

ULIMPAHAMASAYAKUSOMAHADIKUWA

UNYANYAPAA DAKTARI

“Nakumbukailikuwakipindichabaridi siku moja nikaomba nivae 'skiny tight' yule sista alinisema sana maneno makali mpaka nikajihisi vibaya na hapo hapo nikaanza kuumwa tena sana mpaka wazazi wakaja kunichukua shuleni nilikaa nyumbani miezi 2 na nusu huku wenzangu w a n a f a n y a m i t i h a n i . ” S h u j a a D k t . C a t h e r i n e .

“Kunawakatiunaumwampakaunatamaniwe,mwenyeweufeiliuondokane nahayomateso,unajikatiatamaampakaunaonawaninihapadunianiunapelekwahospitalinakurudishwa…kushindwakupumua,maumivunimakalisana.”

“KwaElimuhiiniliyofikia,Wazaziwanguwamekuwanguzokubwasanakwangu,nawezakusemabilawaomimi–isingekuahapa,wananipasanamoyo. Marafikiwanaonizungukawotewamenisaidiakunifikiahapa.”

DaktariCatherineMhandonishujaawasikoseliambayeleokatikajaridalashujaaanasimuliaalipopitiakielimumpaka kufikiahatuayakusomeaudaktarinakwasasaanaejiendelezakuwambobeziwa magonjwayadamu.

Elimuyamsingi.

DktCatherineanasema,maishayakeya shulehayakuwarahisimpakangazihii aliyofikia; “haikuwakamawatuwasasawanavyosemakitonga,aumserereko, yalikuwayakukatishatamaasana.Nakumbukawakatiniposhule,nilikuwanakaanyumbanizaidiyawiki2hadi3kwasababuzamaumivumakaliyacrisis, kupatamaambukiziyakibakteria(infection),kupumzishwa,kuongezewadamu,namatatizomengimengiyanayotokananaSikoseli.” anaelezaDkt.Catherine.

Catherineanaongeza“shuleniliyosomawalikuwawanajali zaidimichezoyaainazote,ni lazimawanafunziwotewashiriki,ilinitesasana,

nilikuwasiwezikumalizakipindicha michezobilakupatatatizo.Walimuwanguhawakuwa wanaelewasanasikoseli,mpakailipomlazimu

babakujashulenakuwaelezawalimukuhusu

ugonjwawanguilinipumzishwekushirikimichezo”

Anasemahalihiyoilimpaupwekesanakwa

sababukunaainafulaniyaunyanyapaaalianza kuipatakutokakwawalimunawanafunzi

wenzakekwasababuwalimtengahatakushangilia

ilibidikilawakatiwamichezoyeyeapelekwe

kwamhudumuwawanafunziakaehukompaka mdawamichezouishendipoaunganena wanafunziwenzake.“Halihiyoilinitesa

sanakwasababukwanzasikuwanajuanaumwa nininawazaziwanguhawakuniambiatatizo... Inaendelea...

01 |
SHU AA JARIDALA J
MITINDO YA MAISHA
|

MITINDO YA MAISHA

Inaendelea..

languzaidiyakusemasinanguvutunasitakiwikushirikimichezoyakutumianguvu.Nihaliiliyoninyong'onyeshasanakwasababuwalimuwamichezohawakutakakunionakabisanikisogeleaviwanja”Pamojanaugumualioupitia,Dkt.Catherinealifanikiwa.

Pamoja na ugumu alioupitia, Dkt. Catherine alifanikiwa kumaliza elimu ya msingi na kuendelea na hatua nyingi n e .

Elimu ya Sekondari. Alipofika sekondari Shujaa Dkt Catherine anasema unyanyapaa uliendelea kwa sababu elimu ya ugonjwa wa sikoseli haikuwa kubwa. Walimu wake walikuwa wakimpa mazoezi na kazi kama wanafunzi wengine hata wakati akiwa mgonjwa sana na hajiwezi.“Kunashulemojahiyoilikuwashulenzurisanalakiniilinibidiniondokekutokananakazizaziada.Masista walikuwa wananiuliza wewe umekuja shule au umekuja kuumwa, hata tukipewa mashamba kulima nashindwa nalia lakini naambiwa nimalize, wanafunzi wenzangu waliokuwa wananiona usiku nikiteseka kuumwa ndio waliokuwa wananisaidia kumaliza zile kazi na wanawaambia masista huyu anaumwa Kuomba kila siku kuwa wewe ni mgonjwa Ilikuwa ngumu sana kueleweka, kwa hiyo changamoto kubwa zaidi ilikuwa walimu wasioelewa ugonjwa wangu.”

Dkt Catherine anasema hofu ya kutomaliza shule ilimtawala, ikawalazimu wazazi wake kumuhamisha shule ili asome shule jirani na nyumbani ambapo kutakuwa na uangalizi mzuri. Na ndipo alifanikiwa k u m a l i z a e l i m u y a s e k o n d a r i

Elimu ya chuo kikuu. Unaweza kujiuliza nyakati za kukatishwa tamaa katika kila hatua ya masomo ya Catherine zilimuumiza kiasi gani? Anasema nyakati hizi zilimfanya aone kuwa hana thamani katika Maisha na alikata tamaa kabisa ya kuendelea na masomo.

Dkt.Catherineanasimuliakuwawazaziwakewalifanya jitihada za ziada kuhakikisha anapata elimu katika mazingiraboranakujaliafyayakehivyoelimuyachuokikuu alisomea nje ya nchi. “Chuo walau kule nje sio kubayakamahapakwetuilabadoilikuangumukwasababu unatamani upate mtu wa kuku hudumia kwa ukaribu ukiwa unaumwa lakini hupati mtu huyo” Ni kwa msaadawaushauriwakisaikolojiaalioupatakutokakwawazazi, marafiki, ndugu na jamaa ambao walimpa moyo wa kuendelea kila alipokata tamaa. Marafiki zake walimpamudawakusikitikakutokananahaliyakenabaadae wakimshauri kunyanyuka na kuhakikisha anafikia ndoto zake za kusaidia mashujaa wenzake kwa

kuwa mbobezi wa magonjwa ya damu.“Kwa sasa hapa nilipo ni daktari ninaeweza kujitibu lakini bado kuna n yakatiambazonahitajimsaada,nashukurusanamadaktari wenzangu hapa Muhimbili wananifahamu na kuna wakati wakiniona sipo sawa wananisaidia napumzika” U s h a u r i k w a w e n y e s i k o s e l i .

Anasema changamoto za sikoseli ni nyingi lakini kuka tishwa tamaa ni jambo jingine baya zaidi ambalo usipo lishinda ndilo litakufanya shujaa usifikie malengo “Wasikatishwe tamaa na maneno ya watu, wasikatishwe tamaa na jinsi wanavyojiona wadhaifu, wasijiwazie kwamba ni wagonjwa, ukiweka nia hakuna kitu kitaka chokuzuia kufikia elimu na malengo yako unayotaka.”

Ushaurikwajamiinafamiliakwawatuwenyesikoseli. Dkt. Catherine anawashauri watu wote na jamii nzima kuhakikisha kuwa wanakuwa na uelewa mkubwa na halisi kuhusu ugonjwa wa Sikoseli.Anasema jamii inatakiwa ipunguze unyanyapaa kwa wagonjwa wa magonjwa ya kudumu. “Wasifuate maneno ya mitaani kuhusu ugonjwa huu, wapate ushauri wa wataalam, wasimamie masharti ya kiafya wanayotakiwa kumtunza shujaa, wapunguze unyanyapaa kwa sababu hata sisi hatujataka kuzaliwa hivi; Mimi binafsi nimenyanyapaliwa sana na hivyo mnatuumiza sana kwasababu hata sisi tunatamani kuwa na familia na tuna uwezo wa kuzaa pamoja na changamoto tulizonazo, mtu unakataliwa sehemu usiolewe kwa sababu una ugonjwa wa sikoseli. Hii haifai hata sisi ni binadamu. Kitu ambacho kimenifanya mimi kuamua kusomea magonjwa sugu ya damu ni kuwaambia mashujaa wenzangu kuwa unaweza kuwa popote na chochote unachotaka kwa sababu mimi kuna wakati nilijiona nakufa sasa, ila nipo hapa leo ni daktari” Zaidi ya yote Dkt Catherine, Shujaawetuwaleoanamaliziasimuliziyakekwakuwashauri mashujaa na wazazi wasiache kliniki kuhak i k i s h a k i l a u s h a u

...kwawatalaamwaafya

wanafanyiakazi, kwasababukukaakaribuna wataalamundiotijakubwa

kwashujaawasikoseli

iliapambanenamaishayake nakufikiandotozakekielimu.

Mwandishi: Zuhura Makuka

01 |
SHU AA JARIDALA J
_

NIPOTAYARI

01

MITINDO

SHADYASALEHE, Januari8,mwakahuumsimumpya wamuhulawamasomoumeanza rasmi,ShadyaSalehe(14)yupotayarikusongambele,anayofurahakubwakwanisasaanaingiakidatocha pili.NishujaawaSikoSeli,Shadya anaishinawazaziwakekatikaMtaa waUrambouliopohukoWilayaya Ilala,DaresSalaamnaanasomakatikaShuleyaSekondariTuriani. JARIDALASHUJAAlimemtembeleanyumbanikwaonakufanyamahojianohayamaalum.“Natamani niwedaktariiliniwezekusaidiawenzangukamaambavyomimihuwa nasaidiwanamadaktari”anasema Shadya.Je!namnaganianamudu mapambanodhidiyaSikoSelihuku piaakihakikishaanapambaniandoto yake?Shadyaanasema“Changamotozipo,kunanyakatinaumwahivyo nashindwakuhudhuriamasomoyanguvemakamawanafunziwenzangu;Piaikitokeanimeumwashuleni huwanasaidiwanamwalimu,napewaPanadolnakamanimezidiwasanawanampigiasimumamaanakuja kunichukua.Nikiwanyumbani (akijiuguza),huwanaendakwamarafikizangu,nawaombadaftarina kuandikakileambachosikuandika, marafikizanguwanajuaninaumwa SikoSeli.”Anaongeza“Nikiwasiumwinajitahidikusoma,nikirudinyumbanisaa10jioni,naendakupumzika(kulala),nikiamkasaamojanasomahadisaatatuusiku”Amina SelemannirafikiwaShadyaanasema...

“Darasanitunasaidianakwamfano swalihalijuimiminalijua,namfundishanakamamimisijuiananifundisha,”anasemaMariamJuma.

Shadyaanaongeza“Nikwelimifupahuwainaniuma,inakuwakama vileinavutanainaumasana. Wakatimwinginehuwanajishikilia, kushukachinisiwezimamahunibeba,”anasema.AnasemaSikoSelini ugonjwaambaohusababishahaliya anemia,nahisinguvuhuna,unaanza kuumwahatanguvuyakutembeahuna,unahisikizunguzungu.

RahmaChihomanayenirafikiwa Shadyaanasemakunawanafunzi wengineambaohumnyanyapaakwa kileambachohupitia.“Wanapomtaniahuwasisirafikizaketunamsaidia,tunakwendakwamwalimunakumueleza,wanaadhibiwa…tangu tumewasemea(marayamwisho) hawajamtaniatena.Marafikihao kwapamojawanasemawanatamani elimukuhusuSikoSeliifikishwe shulenikwaoiliwanafunziwengi zaidiwawezekupatauelewa.

LakininitofautikwabintimdogoShadyakwanianapatahofu kuwaendapowenzakewengi watajuakuhusuugonjwa huokwamba huendawatamtaniazaidi.

“Watanichekakwasababumiminaumwasikoseli,”kaulihiiinaonesha wazikwambabadokunauhitajiwa elimukwenyejamiikuhususikoseli huo.Pamojanahayo,Shadyaanasemamchezowaredenikatiyaile anayoipendamnolakinikwasasa hawezikushirikikwanianapocheza huhisikizunguzungukingi.“Kwa kuwasiwezikuchezaredehuwanapendakuigizakamamwalimu,nikiwanyumbani,nafurahiapia,” anasema.

ZulekhaSalumnimamakenaShadyaanasemanimwanawewakwanza naaligundulikaanaSikoSelitangu akiwanaumriwamiakaminne.

“Alikuwaanaumwaumwakilamara,anasumbuliwanakifua,viungo, mkiendahospitalinakutibiwabaada yasikumbiliunakutaanaumwatena. Anaongeza“Nilikuwanampeleka hospitalimojahukoKariakoo,baadayedaktarimmojandiyealinishauri tumpelekeAmanaakachunguzwe SikoSelinaalipochunguzwaalikutwa naugonjwahuo.”Anasemamdogo wakeShadyanayeamekutwa nasikoseli,anashukurumume wakeyupokaribusanana wanawenawanashirikiana vizurikatika maleziyao.

|
“NIPO TAYARI KUSONGA MBELE.” SHU AA JARIDALA J
YA MAISHA

“Tunazingatiamatibabu,hatu-jawahikuwapeleka kwawagangawakienyeji,niugonjwawakurithi hatamamamkwewangualiwahikuniambiahuko kwaokunamtotoaliwahikufarikikwaugonjwa huu.“Mimipiakwaupandewangu,yupodada yanguambayenayeanamtotomwenyeSikoSeli, niwakurithi,”anasisitiza.Anasemamiongoni mwamambomuhimuanayozingatiakwawanawe iliwawenaafyanjemanawawezekuhudhuria vemamasomoyaonimatundanajuisiiliiwasaidie kuwanadamuyakutoshamwilini.“Nazingatia mlokamilinahuwanawahimizakunywamajiya kutoshamarakwamara,japohiinichangamoto hasakwahuyumdogolakininashukuruMungu kwambawanajitahidikuzingatia,”anasema.

Anasemapiahuzingatiakwamba wanapatadawayafolicacid,kwaninayoinaumuhimumkubwakatikakuwasaidiawatotowake.

Anatoaraipiakwawazaziwengine walionaWatotowenyesikoseli, kuhakikishawanawasima-miavema watotowaoiliwaishivemanawawezekuzifikiandoto walizonazo kamailivyokwawatotowengine wasionaSikoSeli.

na.

SHU AA JARIDALA J
Imeandaliwa Veronica Mrema

SIKOSELI HAIATHIRI UWEZO WA KUSOMA.

Wanachotakiwakujuawalimuna wazazini;kuwanaugonjwawasikoselipekeehaiathiriuwezowamwanafunzikusomashuleni,ilaatharizinginezinazosababishwanasikoselizinawezakuathiriuwezowawanafunzikushirikikatikamasoma,mwanafunziatahitajimsaadazaidinakutiwa moyoendaposikoseliitaingilianana shule.Uchovumwingikutokanana haliyaanemianausingiziusiotulivu vinawezakutokea,hivyohalihiiinawezakuathirikumbukumbunauwezowakutulianakushirikikatikamasomonashughulizingineakiwashuleni.

Ninikifanyike?

Watuwanaoishinasikoseliwanaweza wakashirikikatikashughulizashule namichezo,ilakwasababuyahali yaoyaanemia,uchovuwamwilipia nahaliyakupungukiwamajikwakiwangochajuu,uangaliziwakaribu unahitajikakuhakikishawanakuakatikamazingirarafikiyashule, Zingatiamamboyafuatayo;

-Epukakuchezakupitakiasi.

-Kuweponaupatikanajiwamaji yakunywa,kuoganawakatiwotekwawanafunzi.

-Kipindichamichezowanafunzi wenyesikoseli,wapatemajina vimiminikakwawingizaidi.

-Kuwanahaliyaanemia,uchovu wahaliyajuunimojawapoyaatharizasikoseli,hivyowanafunzi wanawezakuhitajimudamwingi zaidiwamapumzikokulikowengine.

MAENDELEOYATAALUMA

KWAWANAFUNZIWENYESIKOSELI.

Wanafunziwenyesikoselikwaasilimiakubwawanaufaulusawaauzaidi yawanafunziambaoniwazimaasilimia100,hivyomatarajioyawanafunziwenyesikoseliyanapaswakuwa sawatuunawanafunziwengineambaohawanasikoseli,kuwanaugonjwa sugukunawezasababishakushukakwa...

...kwakujiaminidarasani,hivyobasi nimuhimukwawazazinawalimukuwatiamoyowatotohawakwahamasa zaidi.

HIZINISABABUZINAZOWEZA

KUSABABISHAWANAFUNZIWENYESIKOSELIWASIFANYE VIZURIKAMAWENZAO.

1.KukosaMahudhurioShuleni. Wanafuziwenyesikoseliwanaweza kukosashulekwasababuya;Mahudhurioyakliniki,Kulazwakutokanana maumivumakaliyanayohitajimatibabuhospitalini,Kupatacrisisnamaumiviambayoyanawezayakahitaji— apumzikonakutibiwa.Hiiyoteinamaanishakuwamwanafunziatapata— udamchachewakuhudhuriamasomo kulinganishanawenginenatunajua kwamujibuwatakwimuufauluwa wanafunziunalinganamojakwamoja namahudhurioyaoshuleni.Hivyo wazaziwanasahuriwakuwasilianana walimuilikuwasidiawanafunzikujifunzakilewalichokikosakipindiwanaumwailikuwasawanawenzio.

2.ShidayaMishipayafahamu. Mmojakatiyawatototanowenyesikoselianapatakiharusichakimya, kiharusichakimyanikilekinachotokeabilakugundulikakwahaliyakawaidaisipokuwakwavipimomaalumhospitalini.Halihiiinawezakusababishakupunguakwauwezowa— totokutulianakusikilizadarasani, kupangiliamambo,piakuathirikauwezowakutunzakumbukumbu.Kamakiharusichakimyakitagundulika mapemakubauwezekanowakutibiwa;kamamwanafunzianaonekanakupatachangamototajwa,mshauriafuateushauriwakitabibu.

JINSIGANIWALIMUWANAWEZAKUSAIDIAWANAFUNZI WENYESIKOSELIKUFANIKISHAMALENGOYAOYAKIELIMUNAKIJAMII.

-Kuelimikanakufahamukuhususikoseliilikujuajinsiinavyoweza...

...kuathirimaendeleoyawanafunzi.

-Kutoamsaadawapekeekwawanafunziwaliokosakuhudhuriabaadhiya sikushulenikutokananakuumwa.

-Kushirikiananawazazikwapamoja kuwasaidiawanafunziwenyesikoseli kufanyavizurikielimu

-Kuelimishawanafunzikuhusuimani potofunamanenoyanayozungumzwa mtaanikuhususikoseli,kamamacho yanjanonauambukizajiwaugonjwa.

01 | DONDOO
SHU AA JARIDALA J
ZA AFYA

DALILIMUHIMU/HALITOFAUTIZAKUANGALIA:

Mojayahali/dalilizifuatazozikitokea, mpelekemwanafunzikwenyekituo chaafyachakaribu.

-Kupumuakwashida.

-Kupotezafahamu.

-Maumivumakaliyakichwa.

-Kuongeakwashida.

-Miguukukosanguvu.

-Kifafaaudegedege.

-Homakaliyajotoridizaidiya37.5

-Mwilikuchokasanabilasababuna kutapika.

KUMBUKA.

Sikoseliniugonjwawadamuwakurithi,Dalilikuumbilizasikoselini haliyaanemianamaumivumakaliya viungokutokananakukwamakwa selikwenyevishipavidogovidogo vyadamu.Haliyaanemiahutokea kutokananakuvunjikakwaselimara kwamara,ambayohusababishakushukakwakiwangochadamunakusababishamanjanoyamacho.Maumivuyaviungohusababishwanakukwamakwaselikwenyemishipamidogomidogoyadamu;Maambukiziya damu,uchovunaupungufuwamaji vinawezakuchangiamaumivumakali pia.Usitumiabarafukutibumaumivu, Kamamtotoanahoma,pigiasimuili wazaziwajekumpelekahospitalianayotibiwakwamatibabusahihi. Kamawalimuwatakuwanauelewa naufahamuwaugonjwawasikoseli, wanawezakutafutanjiazakuwasaidia wanafunziwafanyevizurizaidikwenyemasomoyaokwakutengenezamazingirarafiki.

01 |
SHU AA JARIDALA J
DONDOO ZA AFYA
Imeandaliwa Na. Dr. Furahini. PichaNa:NiasNyalanda

DONDOO ZA AFYA

MAMBOYANAYOWEZAKUMSAIDIASHUJAAKATIKAUFAULUWAKESHULE.

Unawezasasaukawaunajiulizaje? Nimamboganimuhimuambayoyatatengenezamazingirarafikikwamtotomwenyesikoselikusomanakufauluvizurishuleni?

JaridalaShujaatumefanyamahojiano maalumunaMwalimuCatherineKobakutokaShuleyaSekondariSaranga,fuatananasi...Anasemakwauzoefuwakeshulenihapo,wamekuwa nawatotowannewenyesikoselina kwambawapopiawenyechangamotozamagonjwamengine.“Wawili wamemalizamwakajananawawili wapokidatochatatuhivisasa,sirahisikuwajuaisipokuwapaletuunapochukuahatuanakuzungumzanao,” anasema.

Anaongeza“Maranyingihuwasi wachangamfukamawenzao,huwa hawanafuraha,kunanyakatihuugua nahivyokushindwakuhudhuriabaadhiyavipindi,nakwasababuhiyo hujifunzamambokwataratibukuliko wenzao.Shulenikwetukuna'grade' AhadiD,waleambaowanakuwana uwezomzurizaididarasanihukaa 'grade'A;Wanajitahididarasani, kunaambayealikuwa'grade'Aakashukakidogo'grade'B,mwingine alikuwa'grade'Dakapanda'grade'C. Yulemwinginealishukakwasababu yakuumwa,iliwasizidikushukadarajahuwatunalazimikakuwasaidia zaidi.”anasema.

'KAZIZAKUFANYANYUMBANI'

Anasemawalimuhuwapakazizaziada {yaanimamboambayowatapaswa kuhakikishawanajifunzawakiwanyumbaninahayoniyaleambayowenzaotayariwameshasomakatikakipindiambachohawakuwezakudhuria darasani}.“Walewawiliambaowamemalizakidatochanne,walikuwa darasaninalofundishahivyoilikuwa rahisikwangukuwafuatiliakilahatua, walioposasanidarasalinginelakini badohainizuiikuwafuatiliakwaukaribunakuwasaidia.”

'MTIHANIMAALUM'

Mwl.Catherineanasemakunanyakati inapotokeashujaaameuguanadarasa lakelikawakatikakipindichamitihani, anaporejeawalimuhumpatia'special test'{mtihanimaalum,sawanaule waliofanyawenzake} Anaongeza“Huwanawatiamoyokwambawakirudi tushuleniwahakikishewanamfuata mwalimuwasomohusikailikwazile sikuambazohakuwepoawezekumsaidiakwanamnahiyo.

'KUWATAMBUANIMUHIMU'

Mwl.Catherineanasisitizailikuweza kuwasaidiawatotowenyeSikoSeli shuleninimuhimukuwatambuana kutambuachangamotoambayowanaipitia,kwamfano:shuleinawanafunzi600,inakuakutambuaniyupiili uwezekumsaidiazaidi,inakuwasi rahisikutoamsaada,lazimaumtambuekwanza.Anaongeza“Shulenikwetunipomiminakunamwalimu— wenginepiaambayekwapamojahuwatunashirikianakusaidiawatotowenyechangamotombalimbali...

01 |
SHU AA JARIDALA J

'ADHABUMBADALA'

Anasemakunanyakatiambazowanafunzihufanyamakosawanapokuwa shuleninahivyokujikutawakiadhibiwalakinikwasababuyachangamoto ambazowenginehupitiaikiwamo

SikoSelikunaadhabumbadalaambazohupatiwa.“Kwamfanokamawenzaowatapatiwaadhabuyakuchapwafimbo,waotunawapaadhabunyinginekwamfanokuokotakaratasina kuwaruhusukwendadarasaniauunawapamaswalimengikishawanakwendakufanyanyumbani,”anabainisha Mwl.Catherine.

'CHANGAMOTO'

Anasemamwanawepianishujaa {anaSikoSeli},katikashuleanayosomazipochangamotokadhaaambazohuzipitia.“Uelewawao{wenye SikoSeli}huwataratibukwasababu yachangamotoyakuuguamara kwamaranakushindwakuhudhuria masomovemadarasanikamawenzao; Mfano,kunawenzaoambaohuwaambiahawanaakiliauwapowapotu nahawanaeleweki,mwananguhukumbananachangamotohiishulenikwao, hujakulalamikakwangu.

Kuna

kipindialikuwaananiambianimuhamishe,nilikwendashulenikwaona kuzungumzanamwalimuwakewa darasaaweanaongeanawenzake {wasimnyanyapae},”anasimulia. Anaongeza“Nishuleya'private'{binafsi}changamotowalimuhuwahawakaikwamudamrefu,leoukienda unamkutahuyu,unazungumzanaye lakinikeshounawezakukutaameondoka,unamkutamwingineauunakutapiakunaunyanyapaakutokakwa walimuKwasababuhiyo,huwanalazimikakwendamarakwakwamara nakuzungumzanawalimuwake.” Mwl.Catherineanaongeza,“Niwatotowenyeuwelewawawastanidarasani,walewaliomalizakidatocha nne(mwakajana)wamefanyavizuri katikamtihaniwa'mock';kwasasa tunasubirimatokeoyamtihaniwa Taifa,bilashakawatakuwawamefanyavizuripia,”anasisitiza.

'MWALIMUMSHAURI'

Anasemanimuhimukilashulekuwa namwalimummojamshaurinakiongoziambayeatakuwamahususikwa kusaidiawatotowenyemahitajimaalum...

“Nimeelezamazingirayashulenininakofundisha,mimindiyeambayehusimamiawatotohawapamoja namwenzangummoja,nivemapia katikashulezinginewawenamwalimuatakayesimamiakwadhatiwatoto,”anasema.Anasisitiza“Ikitokea hivyoitakuwanafuukwasababumiminaguswamojakwamojanajiuliza, ikitokeakwenginehakunaanayeguswainakuwaje.“Akiwepomwalimu wa'ku-deal'nawatotohawanivizuri, itakuwavizurimno,mimikunawakatihuwanawahifadhiampakamadaftariyaokwenyemezayangu.“Ili wasibebemzigomzito,pamojanahawawenyeSikoSeli,kunawenye HIVnamwengineanashidayamifupa,figo,moyonainikwapamoja,”... anabainisha.“KunawakatimtotomwenyeSikoSelianawezakupata'crisis'akiwashuleni,huwatunawapadawazakutulizamaumivu,majimengi,chakula, chaiaumajiyamotokamahudumaya kwanza,”anabainishaMwl.Catherine. Mwalimuhuyoanasemawanafunziwa kikewenyemahitajimaalumshulenihapohuwaunganishapiakatikaShirika mojalinalosaidiawatotowenyemazingiramagumu.“Changamotoinasalia kwawatotowakiume,kwasababushirikahilohusaidiawatotowakikepekee, ikiwaSerikaliitaonaumuhimuwakuwahudumiamatibabu{maanawengine hawanabimayaafya},wasaidiwe,”anashauri.AnasemanivemapiaelimukuhusuSikoSelinamagonjwamengine ikaendeleakutolewakwajamiikwani jamiiitapatauelewanahivyokuondosha unyanyapaa.

Makalahiiimeandaliwana VeronicaMrema.

01 |
SHU AA JARIDALA J

MITINDO YA MAISHA

'MAPENZIYANAYOKUONGEZEA

MAUMIVUYASIKOSELIACHANANAYO’

JaridalashujaalimepatanafasiyakuongeanashujaaLatiphakuhusuMaishayakekamashujaawasikoselinamahusianoyake.Makalahiiitakufunguliamwangashujaawasikoselinajamiijinsiyakuishikwenyemahusiano nashujaawa sikoselibilakuathiriafyayake.

Changamotozakupatamumezilikuaje? Niliolewanamwanaumeanaenipenda, alisemaugonjwawangusiotatizokwake alinipamoyokuwamagonjwahutokea kwayoyotenayeyealiaminianaweza akakakataakunioaleonakeshoakapata ajaliakawakilemaboramimimzimaninaewezakujihudumia.Hivyoaliukubali ugonjwawangunasasahiviyeyenishujaawangu.

Vipiuliwezakupatamtotoikiwawengi wanaaminishujaawasikoselihawezikuzaa?

Nilipatashidasanakutafutaujauzito, mimbazilitokazikiandamananamaumivuyakilawakatinampakanilikatatamaakuwanitakuanamtotowangu,tukakubaliananamumewangukuwatutaasili mtoto.Baadaewakatinimeshakata...

tamaandipoikatokeaujauzitoambaoulikaampakanikajifunguabintiyanguambaeniFarajakwetukwasasanayeyeamebebavinasabavyasikoseli'carrier'kwakuwammewangunimzimakabisa.

Imenisaidiasanabaadayakujifungua,hata“crisis”zimekuachachesana,ingawamiminakunywamajisanakwasikunawezakumalizahata lita5kamanikiamkavizuri.

Unawezakuelezeachangamotoza mahusianokwamashujaawasikoseli?

Kikubwasanakinachotuangushasisi wagonjwawasikoselinistress,na katikamahusianoyakimapenzihuwezikuepukastress,hivyowengi wakiwakwenyemahusianowanawezakupatacrisiskilawakatikwa sababuwapenziwaohawajaliaina yawatuwalionaohivyowanawapa stresssanawanawachoshasana.

“unakutamtuanatakaafanyemapenzinamgonjwawasikoselikilasiku aukwamdamrefu,lazimautamuumizakwasababumwiliwakeunahitaji...

kupumzikanakutotumianguvunyingisanakilawakati.”

Nikwelisikoseliinawezakukufanyaukawanawanaumetofautikwa sababumtuakianzakukwambia 'ILoveyou'ukianzamahusiano–naekablahujamwambiashidayako sikuunamwambiamiminimgonjwawasikoselihapohapona'Ilove you'zinaisha.Nasikoseliukitaka kuishinayovizurijikubali,jiachie, jipeamani,furahimwenyewe,hivyounatakiwausememapemasana kwamtumpyakuwawewenimgonjwailinayeyeaishinawewekamaulivyo.

Nikipikilikupashidasanawakati unatafutamume?

Unakutananamwanaumeanakwambiaminikaenamwanamkeambaeanaumwakilasaaajeanifiekitandani?

01 | SHU AA JARIDALA J

MITINDO YA MAISHA

Aumimini'datemwanamkeambaehatanizaliakwasababuwanaaminiwenye sikoselihawazai.Tusiruhusumapenzi yatuongezeemaumivuyasikoseli. Ukionaunaanzakuchokamahusianowe pumzikakaamwenyewejitafakarijiachiekulasana,furahisanabilakuwana— mtuanaekuulizaupowapiunafanyanini. UkikaakwamdaFulaniunakuwaumejipanguvumpyayakuanzamahusiano— mapyanaukionatumpenzihuyoanakuongezeastressyaniachananaekwasababundieatakaekufanyauzidikuumwa. Naiposikuunapatamtuambaeatakujali ulivyo.

Unawashaurininimashujaawasikoseli?

Napendakuwashaurinduguzangu,wana sikoseliwenzangu,kuwawajikubali,wajipende,wajiamini,mahusianoyaoyakimapenziwayawekewazikuwawaoni mashujaa,wasiangaliewatuwanawafikiriaje,wanawaongeleaje.Wakiumwawaendehospitaliwakiamininikamawana malariatunawatapona.Wakatimwinginemtuanaendahospitalianaumwahaponiharakakwasababukaendanastress zinaongezeakuumwakwake.

“Sisimashujaatunatakiwatuwaaminishe watukuwahuuniugonjwakamamagonjwamenginenaitasaidiasanauishiMaishayakoyotebilashidayoyote.”

Mwandishi:ZuhuraMakuka

01 | SHU AA JARIDALA J

KLINIKI YA AFYA YA UZAZI MUHIMBILI KWA WATU WENYE SIKOSELI

Mikonoyakeilitarajiakupokeana kupakatapachawake{wawili}wakiwahai,shaukukubwaikaujaa moyowake“Baadayasafariya miezitisanamiminitaanzakuitwa mama”.

“Miminimgonjwa{ShujaawaSiko Seli},nikiwamjamzitonilikuwahuko Katavi…nilipatawakatimgumusana,”anasimuliaVeronicaJohnambaye hivisasaanaishiDaresSalaam.

Anaongeza“Nilikuwanikiendakliniki naonwanawataalamu{madaktarina wauguzi}wakawaida,kilawaliponichunguza,niliambiwa{watoto}wanacheza.

“Kumbewalikuwahawachezi,pianilikuwanaShinikizolajuulaDamu, mgongoulikuwaunaniumausikusilali lakinikilaniliporudiklinikiniliambiwanihaliyakawaidaambayomjamzitohupitia.

Veronicaanasimuliazaidi“Nilikuwa nahisimaumivumakali{kadrimuda ulivyoendelea}mimbailipofikishamieziminaneusikunilipolalanilihisi {watoto}wanahamiaupandemmoja.

“{Hospitali}walisemanihaliyakawaidahuendammojahachezinimzito. Nilionasiwezikubishananama-nesi namadaktariilifikakipindinililazwa.

“Huko{akiwawodini}daktarimmoja bingwawawakinamamaalinipatiadawa kunisaidia,uchunguulianzanilijifungua {kwanjiayakawaida}.

Anaongeza“Mtotowakwanzaalitoka alikuwawakiumewapiliwakike{nayealitoka}lakiniwotewalikuwawamefarikidunia.

“Niliruhusiwakurudinyumbani,nilikaa wikiyakwanza,yapilinilianzakuona nyamainatoka{sehemuzasiri},nilirudishwahospitaliniwaliponipimawalisemamtotommojaalikuwaameozaupandemmojakwahiyozilenyamaambazo zilibakitumbonimwangundiyozilikuwa zinatoka,”anasimuliakwahuzuni.

Anadaiinasemekanawatotowakewalikufamudamrefuhataalipokuwaakihudhuriaklinikitayariwalikuwawameshakufa.

Anasemabaadayamiezimitatukupita {tangualipojifungua}alianzakuhisiganzimwilinimwakenamiguukuumapamojananyonga.

“Rafikiyangummojaaliniambianije DaresSalaamkunamadaktariwazuri watanitibiakwasababukulenilipokwenda{hospitalini}nilipewadawazamaumivulakinibadohazisaidii.

“Hadileonatembeakwashida.Usiku silali,maumivunimekuwakamamlemavusasa,nilijifunguamwaka2021lakini hadileobadonahisimaumivumwilini mwangu,ileilikuwamimbayanguya kwanza,”anasimulia.

UZAZINASIKOSELI

AfyayauzazikwamashujaawaSiko Seli,inatazamwakwa'jicholatatu'na sasanimiongonimwavipaumbele–ndaniyaIdarayaMagonjwayakina mamanawajawazito,Hospitaliya TaifaMuhimbili{MNH}.

Kwamarayakwanzahistoriaimeandikwanchinikatikamapambano dhidiyaugonjwahuo,ambapoMNH imeanzisharasmiklinikimaalumya afyayauzazikwawagonjwahao.

01 | MITINDO YA MAISHA SHU AA JARIDALA J
| |

MITINDO YA MAISHA

DaktariBingwawaMagonjwaya WanawakenaMbobeziwaMimba HatarishiMuhimbili,HellenMrina anasemaklinikihiyoitatoahuduma kwawanawakenawanaume.

“TumeanzishaklinikimpyainawahusuwenyeSelimundu/SikoSelikatikakipindichauzaziaupalewanapotarajiauzazi,tunafahamuniugonjwawakurithinakunaidadikubwa yawatuwenyetatizohili,”anasema.

Anaongeza“Kuimarikakwahuduma zaafyanaupatikanajiwadawamuhimuikiwamohydroxyulea,kumesaidiakwakiasikikubwakuboresha halizakiafyakwawagonjwawaSiko Selinchini.

“Wanaafyanjemanawengiwanakujakwenyeuzazinatunawaonawanakujakujifungua,wanakaribiakupatawatotoautayariniwajawazito,” anasema.

AnasemawanawahimizawatuwenyeSikoSelikufikahospitalinikupatahudumazauzazi,watapatataarifa muhimukuhusuafyayauzazihata kablayakubebaujauzito.

“IkizingatiwaugonjwawaSikoSeli unawezakuingiliananaujauzitowengiwangependakupatataartifana hatakablayakujifunguawapatetaaricayauzaziwampangonamambo mengine,

“Kwakuonapengohiliidarayamagonjwayakinamamanawajawazito tumeanzishaklinikimaalumitakayo kuwainatoahudumakwakundihili,” anabainisha.

Anasemaklinikihiyoitatoahuduma sikuyaijumaakuanziasaasitamchanahadikuminanusujioni.

“Tutatoahudumazaujauzitonauzazi,ushauriwakupangafamili,hudumawakatiwakujifunguanaushauri wakatiwakunyonyesha.

“KundilamwishoniwatotowanaoingiakwenyeutuuzimaambaowanatakiwakupatauelewakuhusuSiko Selihususanhaliwaliyonayonakuelewamambomenginekadhalika.

01 |
SHU AA JARIDALA J | |

MITINDO YA MAISHA

CHANGAMOTOZENYEWE

DaktariBingwawaMagonjwayaWanawakenaAfyayaJamiiMuhimbili, FadhilunAlwyanatajabaadhiyachangamotoambazohuwakabiliwatuwenye SikoSeliwanapohitajiwatotonipamoja nakupotezaujauzito,kujifunguakabla yawakati{watotonjiti}.

“{Nyingine}nikupatawatotowadogo {>2.5kg}na'chance'{uwezekano}ya kujifunguakwanjiayaupasuajinikubwa,hivyonivizurimashujaahawawa SikoSeliwawenaklinikimaalumna uangaliziwakaribuzaidi,”amesema.

Anaongeza“HiihaimaanishikilamwakanmkewaSikoSeliatapatachangamoto, wapoambaowanafanyavizurinawako wanaopatachangamotopia.

“Kamamadaktariwawakinamamana uzazitunatamanikilamwanamkeapitie kipindichaujauzitokwasalamanaamaninaafyanzurikwaninikipindichafuraha.

Taarifahiyoimepokewakwafurahana mashujaawengiwaSikoSeliwakisema nihatunanzuriyamafanikionayakupongezahukumadaktarihaowakitoaahadi yakuwasaidiakwadhatimashujaahao

Veronicaanasema“Ileklinikiniliyokuwanahudhuriabaadayakufikahapa DaresSalaam,niliachakwendakwasababusionimatokeochanyayatibaninayopewahuko.

“BadosijaanzakuhudhuriaMuhimbili, nilipoona'group'lenuFacebookndiyo nilijiunganakuanzakufuatiliamafunzo yanayotolewanawatalamu.

“Nimefurahikusikiakuanzishwakwa klinikihiyoyauzazikwawenyesiko selinaninamatumaininamimiiposiku nitajaliwakupatamtoto/watoto.

AnasemaninyakatingumumnomtuanayekabiliwanaSikoSelihuzipitiakatika uzazihukuakitoamfanowakehaikwambamamayakealimsaidiamnokatika kipindikigumualichopitiailamwenza wakealimuachanakuondoka.

“{Mchumba}aliondokanakuniachapekeyangubaadayamkasa{wakuharibikiwamimbayapachawake}.

“Hiyohali{kukimbiwanamchumba} ilinipawakatimgumukuipokea,ilamamayangu amenisaidiamno,”anasimulia.

Anaongeza“Watu{mashujaa}wahuu ugonjwa{kulekijijinikwetu}tunatazamwanakuchukuliwa{kufananishwa/kulinganishwa}kamawatuwenyemaambukiziyaVirusiVyaUkimwi.

“Kwasababuunamagonjwayakurithi, kulekijijinihatadawaambazozinapatikananizilezakutulizamaumivutuza kawaida,aukuongezewadamuikiwa umepungukiwa,”anasema.

Anasemaanaaminiiposikuhudumaza afyakwawatuwanaoishinaSikoSeli zitaimarishwanakuboreshwahukokijijinikwaokamazilivyokatikamaeneo yamajijimakubwakamaDaresSalaam.

MakalaYameandaliwanaVeronicaMrema.

01 |
SHU AA JARIDALA J
|

SELIMUNDU NA UJAUZITO

JE, UNATATIZO LA SELIMUNDU?

JE, NI MJAMZITO? JE, UNAMPANGO WA

KUPATA UJAUZITO SIKU

ZA HIVI KARIBUNI?

01 |
SHU AA JARIDALA J
MITINDO YA MAISHA

NI KWA KIASI GANI UNAFAHAMU KUHUSU SIKOSELI?

PLAY PUZZLE

01 | GAME SHU AA JARIDALA J
SHUJAA
MANJANO DAMU MALARIA VIDONDA VYA MIGUU PENISILIN DICLOFENAC FOLIC ACID HYDROXYUREA SELI NYEKUNDU ZA DAMU
#ChezaKishujaa JOTOLIDI MAJI ELIMU UELEWA SIKOSELI
LISHE KIHARUSI HEMOGLOBINI
FAHARASA

BLACKART

04 MATANGAZO SHU AA JARIDALA J

matukionamaisha.blogspot.com

Kwahabarinamakalazakinakuhusumasualambalimbaliyaafyanajamiitembelea jukwaalamatukionamaisha.blogspot.comniakaunti iliyotambuliwakwatuzona BarazalaHabariTanzania(MCT)mwaka2021jukwaaborakatikakuripotimasuala yaafyaTanzania, AidhaMmilikiwakeVeronicaMremamwaka2021alitunukiwa tuzonaShirikisholaVyamavyaMagonjwaYasiyoambukizaAfrikaMashariki miongonimwawaandishiborawanaoripotivema.

04 MATANGAZO SHU AA JARIDALA J

Meals on Wheels is a private registered enterprise that offers catering service for more than three years now Meals on Wheel works to make any event or meal time a delicious one

04 MATANGAZO SHU AA JARIDALA J
04 MATANGAZO SHU AA JARIDALA J
| SHU AA JARIDALA J Follow Us IG: @sicklecellpatientstz FB: Sickle Cell Disease Patients Community of Tanzania
Ahsante kwa kusoma

Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.