ArafaNaArafaSaid&EmmyMwita







UJUMBEWAMHARIRI: “Sikoselisiougonjwawakurogwa”hayonimanenoyaBi.FatumaUbwa,JaridalaShujaanindotoyetusotekatika jumuiyayaSikoseli,Kupatanafasiyakukaribishaduniayetukushirikinakujifunzamengikuhusuugonjwawasikoseli, Tunapotamkaneno,“Ugonjwa”Kilammojawetuanakimbiliaudhaifu,kamawahaririwajaridahililaSHUJAA lengoletu kuunikuchorapichachanyajuuyasikoseli,ndiomaanaukiendeleakusomajaridahiliutaonakuwa kunastorizamashujaakama,AboubakariKilazaambayenimwanamuzikiwaBongoFlava; ambaowanakupamotishanakuhimizakuwaSikoselihaikuzuiikuishiMaishayakawaidanakutimizandotozako. UtakutananamuigizajiwaBongoMoviesThadeusal-maarufkamashetaniwamguummoja,yeyeanatuhimiza kutokatatamaapamojanachangamotozakiafyaalizopata,hadithiyakenidhahirikuwanihadithiyaushindi.
NdaniyaJaridapiautajifunza kuhusuafya,mitindoyaMaisha napiautapatataarifamuhimu kwayaleyanayojirikatika ulimwenguwetuwaSikoseli. LengokuulaJaridahilini kuwafunguliaduniawanajamii wasikoselikuwawezeshakupata chomboambachokitawawezesha kupazasautiyaonakuufikia ulimwengukwaujumla. Tunapendakutoashukraniza dhatikwawaandajiwotenatimu nzimailiyoshiriki katikakuwezeshajaridahili kukamilika.
Nimatumainiyetukuwa utalipokeanakulisomakwa mikonomiwilijarida hililaSHUJAA.
Emmy
Kilamwaka,juni19nisikumaalumkwajamiiyasikoselidunianikamailivyoazimiwanaumojawamataifa mwaka2004kilasikuyatarehe19itakuasikuyauhamasishajinaufahamuwasikoseliduniani.Hivyokilamwaka, juni19,jamiiyakimataifayasikoseliinaunganakuadhimisha,kutoaelimunauelewajuuyasikoseli.
Leotutatazamayaliyojirikatikamaadhimishoyasikuyasikoseliduniani,nchiniTanzania.Tutaangaliamatukiona taarifakutokamikoambalimbaliambazoziliadhimishasikuhiyorasmiambayoniJuni19,2022.
KwanzatuelekeeArusha,ambapokwa marayakwanzamaadhimishohayo yaliadhimishwajijinihukoKitaifa katikaHospitalikuuyajijilaArushaya MountMeruReferralRegionalHospital; MgeniRasmiakiwaNaibuKatibuMkuu WizarayaAfyaDkt.SeifShekalaghe kwaniabayaNaibuWaziriDkt.GodwinMollel,
JumuiyayaWatuWenyeSikoseliTanzania iliwakilishwanawajumbewaokutoka SickleCellCommunitygroup, ambapo walishirikikatikamatembeziyakilomita1, yaliyoanziaofisiyaHalmashauriyaManispaa yajijilaArushanakumalizikakatikaHospitali yaMountMeru;Nabaadayahapoutambulisho nahotubakutokakwaNaibuKatibuMkuu WizarayaAfyaDkt.SeifShekalaghenawageni muhimuwaalikwa, Ikifuatiwanatukiomaalum lauzinduziwaklinikimpyayasikoseli Hospitalinihapoikiwanijambolakherikwa watuwenyesikoselimaanawatapatahuduma kwaukaribuzaidinapiaitasaidiakuepuka gharamazakuhudhuriaklinikibinafsi.
Piamaadhimishohayoyalipambwa narisalanashuhudakutokakwawatuwenye sikoseliwaliohudhuriaambapowalipata kushirikishaadharajuuyasafarizaokamawatu wanaoishinasikoselinakutoahamasana ufahamukwahadhara.
KutokaZanzibartunaelekeahadiPwani,BagamoyoambapoSickleCellDiseasePatients'Communityof TanzaniailiandaamaadhimishoyasikuyasikoselidunianikushirikiananahospitaliyawilayayaBagamoyo, sikuyaTarehe25Juni,2022.MaadhimishohayoyaliyofanyikakatikaviwanjavyaShuleyaMsingiMwambao, wilayaniBagamoyo;MgenirasmiakiwaMheshimiwaKaimuMkurugenziwaWilayayaBagamoyoBw.MajidMhina. SherehehizizilifanakwaburudanikutokakwavikundivyawaaigizajinawasaniiwangomazaasiliBagamoyopamoja naElimuyasomolaLisheBorakutokakwamtaalamuwaLishenaAfyaBora;ikifuatiwanahotubakutokawamgeni rasmiKaimuMkurugenziWilayayaBagamoyoBw.MajidMhinanauzinduzirasmiwaklinikiyasikoseliwilayani Bagamoyo.
ZiadayahayokulikuwanaupimajiwauvikopamojanaelimuyaafyayakinywakutokaColgate,vilevileugawajiwa kitabuchaAmanaShujaawaSikoselikilichoandikwanaBi.ArafaSaidhukutukiohilolikiambatananaushuhuda kutokakwashujaamwenyeumriwamiaka70,akielezanijinsiganiamewezakuishinakustahimiliadhazaugonjwa huohadikufikiamiakahiyo70hukuakivunjaImanipotofuzakuwamtumwenyesikoselihawezikuishizaidiya miakamitanoaukupatamafanikiokatikaMaisha.Tafrijahizizikiwanikilelechamaadhimishoyasikoseliduniani nchiniTanzania,zillfikakikomomidayajioni.
Kamaumewahikusikiaauunafahamukuhusudawayahydroxyureautakuwapiaunatambuaumuhimuwake kwawatuwenyesikoselikatikakuhakikishakuwawanaishiMaishayenyeuboranaafyakwakupunguza dalilihatarishizinazosababishwanaugonjwawasikoseli.HivikaribunikatikakongamanolaKisayansi lililofanyikaChuoKikuuchaAfyanaSayansiShirikishiMuhimbili(MUHAS),KatibuMkuuwaWizarayaAfya,
Prof.AbelMakubiakiwamojawapoyawagenirasmialiahidi kushughulikiasualahilonakulikamilishaharakahii nikatikakuhakikishautekelezajiwamojawapoyaserazawizaraya afyaTanzaniaikiwapamojanakuboreshahudumazaafyakwawatu wenyesikoselinchini.MheshimiwawaKatibuMkuuWizarayaAfya Prof.AbelMakubialiagizahayowakatialipokiwaanahitimisha kongamanolasabalakisayansi,chuokikuuchaAfyanaSayansi ShirikishiMuhimbili(MUHAS).NukuuyaMheshimiwa Prof.AbelMakubi,“NHIFhakikishenimnatekelezahili, hivividongevipatikanekwenyevifurushivyotevyabima, mnipemajibumapemamlipofikia,ilitufanyemaamuzi” AliagizaMheshimiwawaKatibuMkuuWizarayaAfya, Prof.AbelMakubi.
PiaMhe.KatibuMkuu,Aliongezakwakusemakuwasualahilo, kuhusuupatikanajiwaHydroxyurealitazamwenakushughulikiwa kwauzitokwaniDawayaHydroxyureanimuhimukutokanana KwambawatuwengiwenyesikoseliwanaishikatikaMaishaya kupatamaumivumarakwamaranadawayahydroxyureainawasaidiakupunguzadalilinyingizingizinazosababishwanasikoseliikiwemopamojanakupunguzahaliyakuishiwadamu;naukosekanajiwadawahiyokatika vifurushivyamfukowaAfyawaNHIFunawalazimuwanajamiiyasikoselikulipiagharamaambazowengihawazimudukwaajiliyakupataHydroxyureakwamatibabuyao.MheshimiwaKatibuMkuuWizarayaAfya, Prof.AbelMakubialiongezakwakusema,“Tuangaliejinsiyakusaidiawagonjwahawakatikahili,hukabiliwa namaumivumakali,wanaishiwadamulakinidawahiiinawasaidiakuwapunguziahayo”mwishowanukuu.
JaridalaShujaalinatumainikuwahabarihiinifurahakwajamiinzima yasikoselikwanibaadayakilionachangamotozamudamrefukatika upatikanajiwadawayaHydroxyureasasawahusikawotewenye BimayaNHIFwanawezakupatadawahiyobilamalipokatikavituovya Afya;HabarihiiinaletamawanganamatumainiyakuishiMaishabora naafyatelebilamasumbukokwawatuwotewenyesikoselinchini.
UgonjwawaSikoseliniugonjwawakurithiambaounaathiriselihainyekunduzadamunakubadiliumbolakekutoka katikaumbolakawaidaladonatinakuipaselihainyekunduumbolandiziaumunduhiihutokananaupungufuwa oksijeni,protinikatikaHemoglobinyaseli;Hivyohalihiiinapelekeamtukupatadalilikamamaumivumakaliya viungonahatahaliyakupungukiwadamu(anemia). TafitizinaoneshakuwaTanzanianimojawapoyanchizinazoongozakatikachatiyaduniakwakuwanaasilimiakubwaya watuwenyesikoseliikishikanafasiyanne;PiatafitizinaoneshakuwakilamwakaWatoto11,000huzaliwanasikoselinchini, Tanzania.Piamakadirioyanaoneshakaribuasilimia20%yawatanzaniawanazaliwanavinasabavyasikoseli;
Piakutokananauhabawaupatikanajiwahudumazaafyanamatibabusahihi kwawagonjwawasikoselibilakusahagharamazajuuzamatibabu,hiiinapelekea asilimiakubwayawatuwenyesikoselikushindwakumudugharamazamatibabu katikavituobinafsinakupelekeakufelikupatamatibabusahihihivyoafyazao kuzorotakutokananaatharizinazoletwanaugonjwahuohivyokupelekeawengi waokupotezaMaishakatikaumrimdogokwasababuyakukosauangaliziwa mapema.
Kwamiakamingijamiiyasikoseliukijumuishanawanaharakatiwasikoseli wamekuawakipazasautijuuyaumuhimuwaupatikanajiwahudumaborana matibabusahihikwawanajamiiyasikoseliilikuongezauborawaMaishana afyazao.Hatimayeserikalikushirikiananawashikadaumbalimbalikatika sektayaafyawalisikiaviliovyaonatokamwaka2007mpakasasa,kumekua ongezekolaklinikimpyazasikoselikatikavituovyaafyavyangaziyamsingi, wilayanahataTaifakwaajiliyauangaliziwakaribukwawatuwenyesikoseli.
Nikiongeza,nakwamwaka2022Jaridaletulingependakukuhabarishakuwasasa wigowahudumazaafyakwawatuwenyesikoseliunazidikutanukanakukukua kwanikuachaklinikizaMloganzila,Mwananyamala,TemekenaKlinikiiliyopo HospitaliyaTaifaMuhimbili,serikaliyetukupitiawizarayaAfyaimeongezakliniki nyinginempya,hiiikiwemoKlinikiyaSikoselimkoaniKilimanjarokatikaHospitali yaKCMC,tunapendakuwahabarishawanajamiiwasikoseliwaliopoMoshi, Kilimanjarokuwasasahudumazaafyakwaozimesogezwakaribukabisa,kwani kunaklinikimpyayasikoseli,katikajingolaHemophiliaCenter,Kitengocha matibabuyasaratani.
Piabilakusahaukuwamwezihuusikuyamaadhimishoya sikoseliduniani,jijiniArushakatikaHospitaliyajijiMountMeru,Mheshimiwa NaibuKatibuMkuukatikaWizarayaAfyaDkt.Shekalaghealizinduaklinikimpya yasikoselikatikaHospitalihiyoKongwe,tukielekeamkoaniPwani,Wilayani Bagamoyonapohawakuwanyumakatikaharakatihizi,MheshimiwaKaimu MkurugenziwilayayaBagamoyo,PwanialikatautepenakufunguarasmiKlinikiya SikoseliBagamoyonaKuagizakuwawapeweushirikianonaHalmashauriya WilayayaBagamoyo,hiinipamojanauangalizinaupatikanajiwavifaatiba. Tukifungakurasahii,Tunawezakusema,“HarakatizasikoseliTanzania,Kumenoga ”Nimatumainiyetukuwauwepowaklinikihiziutapunguzaadhawaliyokuwa wakipitiawagonjwawengiwasikoselimikoaninanjeyajijilaDaresSalaamkwa kusafiriumbaliilikupatamatibabuaukulazimikakuhudhuriamatibabukatikavituo binafsihivyokubebamzigomkubwawagharamazamatibabunapiahatuahii itapelekeakupunguzavifovyaawalivyawagonjwawasikoseli.
Shujaaingependakuendeleakuwahasanakusisitizawanajamiiwasikoseli kuhudhuriaklinikihiziilikupatamatibabusahihinaendelevu,piakwaserikali yetutukufutunasema,“shukraninakaziiendelee”
arshahiiilifanyikaJuni22,2022kuanziasaatatuasubuhi mpakasaatisaalasirikatikaukumbiwakampasiyachuo chaMUHAS;Ilijumuishawatoahudumayaafyapamoja nakitengochaSikoseliMUHAS,wazaziwoteambaowana watotowenyeSikoselinawaliogunduliwakupitiakipimo chaNewbornScreening.
Lengolawarshahiyolikiwanikutoaelimukwawazazihao kupitiamatabibuwenyeujuzinawelediwajuu;Piakuacha elimuyamalezikwaWatotowenyeSikoseliwalitoaelimu juuyaumuhimuwakuwanabimayaAfyayaNHIFili kuwawezeshakupatahudumazotemuhimuzamatibabuna klinikikwaWatotohaohivyokuwapunguziamzigowa gharamazakulipiakwanjiayafedha. Kuachaelimuiliyotolewanawataalamuwaafyawaalikwa, wazaziwalipatanafasiyakuelezajamiijuuyasafarizao kamawazaziwaWatotowenyeSikoselinawaliogundulika katikaumrimchanganapiawazazihaowalielezajinsisafari hiiinamilimanamabondemenginavilekuwanamtoto mwenyemahitajimaalumnisafariyakuwanaSubira, upendonakuwatayarikujifunzakilasikunakushirikiana naasasizilizoponawatoahudumailikuhakikishamalezi yamtotoyanapewakipaumbelenaanapatamatibabuna hudumasahihizaafyakwaukuajimzuri. HudumazavipimovyaNewbornScreeningzinapatikana katikavituovyaafyavyaAmana,Temeke,Muhimbilina Bugandonchini,Tanzania.
Kongamanolasabalakisayansilililoandaliwanawanazuoninawataalamuwatibanasayansiwachuokikuu chaAfyanaSayansiShirikishiMhumbili(MUHAS)naKufanyikachuonihaposikuyaTarehe26,Januari 2022katikaKampasi kuuyaDar-es-salaam;Lengokuuikiwanikujadilimwelekeompyawanchikatika kukabiliugonjwawasikoseliambaounaathiriasilimiakubwayaWatotonchini,Tanzania.
KongamanoilolilishirikishanakukutanishawashikadaumbalimbalikatikasektayaAfyanaSayansi,likijumuisha WizarayaAfya,wanazuoninawakufunzimbalimbali,watafitikatikasektayaAfya,watoahudumanaMfukowa BimayaAfyaNHIFpamojanawengineowengi.Mojawapoyamamboyaliyozungumziwailikuwanipamojana utekelezajiwaserayabimayaafyapamojanakujumuishadawayaHydroxyureakatikavifurushivyamfukowa BimayaAfyaTaifa,NHIFkwafaidayawagonjwawasikoselinchini.
Dkt.AgnesJonathan,DaktariBingwawaAfyayaJamiipamojanakuwaMratibuwaMradiwaSikoseli (SPARCO,TANZANIA)MUHASkatikauwakilishiwakewamadajuuyasikoselialisema,tafitizinaoneshakuwa kadiriyaWatoto11,000huzaliwanaugonjwawasikoseli,hivyoyeyekamamratibuwamradiwa SPARCO,TANZANIApamojanatimunzimawamefanikiwakuwaingizakwenyemfumowaTibanaufuatiliajiwa karibukatikamatibabuyaklinikiyasikoselitakribaniWatoto5000napiawamewapatiavitabuambavyovinabeba taarifazaomuhimuzaafya.
Dkt.AgnesJonathan,aliongezakuwatafitizinaoneshakuwatakribaniasilimia13hadi20yawatanzaniawamebeba vinasabavyaugonjwawasikoselinaasilimiailiyosaliabadohawajuihalizao. PiamojawapoyawagenirasmiwaalikwaalikuaMheshimiwaProf.AbelMakubiKatibuMkuuwaWizarayaAfya, ambapoalisisitizajuuyaumuhimuwahydroxyureakujumuishwakatikamfukowaTaifawaBimayaAfya,NHIF kwasababuyaumuhimuwadawahiyokwawatuwenyesikoseli,PiaMheshimiwawaProf.AbelMakubi,Katibu MkuuWizarayaAfyaaliongezakwakusema,“Tanzaniainastahiliiwenakituochaumahirikwaupandewasikoseli” mwishowanukuu.
TaasisiyaJumuiyayaWagonjwawaSikoseliTanzania(SCDPCT)nayohaikuachwanyuma,ikiwakilishwana MkurugenziMwanzilishiwake,Bi.ArafaSaid;Akiwakilishahojajuuyaumuhimuwauboreshwajihudumazaafya kwawatuwenyesikoseliTanzaniapiaalichukuanafasihiyokuwaelimishanakuzungumzajuuya,“UzoefunaMaisha yawagonjwawasikoseli”akiwakilishajumuiyayawagonjwawasikoseliTanzania. NidhatikuwaKongamanoilolasabalaKisayansilililoandaliwanachuokikuuchaMUHASlilikuwachachuya mabadilikokatikaTibanaHudumazaAfyakwawatuwenyeSelimundukwaniBaadayahapo, DawazaHydroxyureaziliwezakujumuishwakatikamfukowaTaifawaBimayaAfyaNHIF,nasasawatuwote wenyesikoseliwanawezakupatadawahizoburebilakulipagharamayeyotekupitiaBimayaNHIF
aoneshoyavikundivyawanaharakatiwasikoseliTanzaniayalifanyikaTarehe28Januari,2022katikakituocha SickleCellCentre,MUHAS.MaoneshohayoyaliandaliwanataasisiisiyoyakiserikaliyaJumuiyayawagonjwa wasikoseliTanzania(SCDPCT)ikishirikiananaMUHASSickleCellProgram.
LengolamaonesholikiwanikuwaletapamojawanaharakatiwaSikoselinchininakuwapauwanjawakuonesha kazizaonaufanisiwalionaokatikakuhakikishaelimunaufahamujuuyaSikoseliunakuweponchiniTanzania. TaasisiyaJumuiyayawagonjwawaSikoseliTanzania(SCDPCT)ilipatanafasiyakuoneshabaadhiyakazizao katikawarshahiyoilifanyikakatikakituochaSikoseli,MUHAS.MojawapoyaKazizetuambazotulionesha zilijuimushavitabuvyaSHUJAAnaAMANASHUJAAWASIKOSELInamachapishoyaelimuyaSikoseli, hiiikijumuishatoleolakwanzalakijitabuchaSAUTIYASHUJAAambaponimjumuishowamasomokuhusu mambombalimbaliyaAfyaambayoyanaathiriwagonjwawaSikoselikwaujumla.Piatulipatanafasiyakuonesha kupitiapichaKampeninaKazizaKijamiiambazoTaasisiinafanyailikuenezaelimunaufahamuwaSikoselikatika maeneonamikoambalimbaliTanzania.
Lengolakazihizizotenikuhakikishakuwaelimunaufahamujuuyaugonjwawasikoseliunafikiawatanzaniawote napiawanaharakatiwasikoseliwanapatafursayakuoneshakazizaonakujumuikanajumuiyawawenyeSikoseli nakujuamahitajiyaoilikuweponamaboreshokwakipindikijachombeleni. Maoneshoyalifikakilelelnawanavikundipamojanawaalikwawalipatakujifunzanakuonakazimbalimbaliambazo vikundihivyovyawanaharakatinawajumbewajumuiyayaSikoseliwanazifanyailikukabiliananachangamoto zilizopokatikajamiijuuyasikoselinapiailikuhakikishadhanapotofuzinapoteanakunakuweponauelewa, ufahamunaelimujuuyaSikoseli.
Sikoseli/selimunduninini? Sikoseliniugonjwawakurithiunaosababisha mabadilikoyasiyoyakawaidakatikaumbola chembechembenyekunduzadamu.
Kwakawaidachembenyekunduzadamu zinaumbolamviringo ambalohuzirahisishiakupitakwenyemishipa midogoyadamu ilikusafirishahewasafiyaoxygenkatikasehemu mbalimbaizamwili.
Kwamtumwenyeugonjwawasikoseli, selihizihuwatofauti; zinanatanazinaumbolamwezimchanga(mundu). anzanianimojawapokatiyanchizenye wagonjwawengiwasikoseli dunianiambapoinakadiriwatakribaniwatoto11,000 huzaliwanaugonjwawasikoselikilamwaka. Piainakadiriwakuwa12%hadi20%yawatuwotenchi wanavinasabavyaugonjwawasikoseli (sicklecelltrait),kutegemeananaeneo.
DondooMuhimuzakuishinaugonjwawaSikoseli.
a.Uchunguziwakiafyawamarakwamaranimuhimukwawatotowachiniyamwakammoja. Wanapaswakumuonadaktarikilabaadayamiezimiwiliaumitatu
b.Watotokuanziamwakammojampakamitanowanatakiwakumwonadaktarikilabaadayamiezimitatu KuzuiaMaambukizi
c.Hakikishawatotowanapatachanjozotezakawaida
d.Watotowapewechanjoyaziadayakuzuiakichomi(Pneumococcalvaccine)
e.Watotowotewenyeumrichiniyamiaka6wapatiwedawayapenicillinilikujikinganamaambukizi f.Hakikishawatotowanakingwanamaambukiziyamalariakwakutumiachandaruachenyedawa ZingatiaUshauriwaKitaalamu
g.Watotowanatakiwakunywamajiyakutoshawakatiwotenawapewemlokamili,ukijumuishamatunda, mbogamboga,vyakulavyakutianguvunavyakujengamwiliwamtoto.
h.Watotowaepukekukaakatikamazingirayajotokaliamabaridisana
i.Watotowajishungulishenamichezombalimbaliiliwawenafurahanaafyanjema, wasichezekiasichakuwachoshasana.
agonjwawengiwasikoseliwanawezakuwanamwilimdogolakinikunahatariyakuwanauneneuliopita kiasi.Wanashauriwakulavyakulavyenyekaloriyajuunavyenyevirutubishovingitanguutotoni. LisheBora;niileambayoinajumuishaainazotezavyakulaambavyovinavirutubishovinavyohitajikamwilini. Ililisheiweboralazimasahaniiwenamjumuishoufuatao:1/4iweWanga,1/4iweProtinina1/2iwena vyakulavyenyeVitamini.
SahaniyakoinatakiwakuwanaWanga(ugali,wali,mtama,mhogo,gimbi,viazi,ndizietc),Protini,VitaminiA, B6,C,D,Enavirutubishovinginevidogokamazinki,kalsiamunamagnesiamu.Lisheboranimuhimukatika kuongezachembezadamu,kuimarishamifupa,kuupa mwilinguvunakuongezakingayamwili.
Ilikuhakikishakuwaunapatalisheborakatikamlowakowakilasikunimuhimukuzingatiamamboyafuatayo; Angalausahaniyakoiwenaaina1yaProtininamboga namatunda(chakulakimojakinawezakuwana kirutubishozaidiyakimoja),kwawaleambaoni ngumukuepukakuongezewadamumarakwa marawanashauriwakupunguzavyakulavyenye madinichumakwaasilimiakubwapia unashauriwakulavyakulavinavyotoka/ vinalimwaardhinikwanjiayaasili (organicfoods)hivyoniborazaidiya vilevyaviwandaninavinavyochakatwa kupitakiasi.Bilakusahauumuhimuwa majikatikammeng'enyowachakula, usafirishavirutubishokatikamwili, msukumomzuriwadamu. Unashauriwaglasi8sawana Lita2au3kwasiku.
Watuwengiwanashindwakulalisheborakutokana nakuwanauhusianombovunavyakula; Lisheboranivileunavyopangilia sahaniyakonavirutubishoutakavyoweka.
MakalahiiyaLisheBora imenukuliwakutokakatikachapisholakwanza laSAUTIYASHUJAA,somoambalo lilitolewanaDkt.VictoriaMsambichaka, mtaalamuwalishekutoka HospitaliyaTaifaMuhimbili.
“NinaishinaSikoSelimiaka70sasa. Nikiwanamiaka15nilianzakuuguamarakwamara, awalihaikujulikanatatizolangunini,nilikuwanaishiwa damumarakwamara,nalazwakunanyakatipianiliongezewamaji,” anasimulia.
“NinaishinaSikoSelimiaka70sasa. Nikiwanamiaka15nilianzakuuguamarakwamara,awalihaikujulikanatatizolangunini,nilikuwanaishiwa damumarakwamara,nalazwakunanyakatipianiliongezewamaji,”anasimulia.
Jamiiimegubikwanadhananyingipotofujuuyaugonjwahuu,wengihukimbiliakwawagangawakienyeji wakiaminiwamerogwaaukukumbwanapepowabaya;Pamojanahaowapowengineambaohuaminimgonjwa waSikoSelihawezikuishizaidiyamiaka18.
LakinimaishayaFatumaUbwa,MkaziwaBagamoyomkoanihapaniushuhudatoshakwambamtizamohuo sisahihi.MwanamamahuyoJuni,mwakahuuamesherehekeamiaka70yakuzaliwakwake,nimgonjwawa SikoSeli.
Zaidianasimulia....
“Nikiwanamiaka15nilianzakuuguamarakwamara,awalihaikujulikanatatizolangunini,nilikuwanaishiwa damumarakwamara,nalazwakunanyakatipianiliongezewamaji,”anasimulia.
Anasemakutokananahalihiyowazaziwakewalihisiamerogwanawapowanajamiiambaowalishauriapelekwe harakakwawataalamu{wagangawakienyejiakatibiwehuko}.
“Lakinibabayangualikataa,hivyoniliendeleakupelekwahospitalininahukobaadaeniligundulikaninaSikoSeli. Hivyo,nimezaliwanaSikoSeli,naishinayokwamiaka70sasa.”
AnasemaamejaliwakupatawatotowanneambaowaohawanaSikoSeli,vilevileamejaliwawajukuukadhaa ambaonaohawanaugonjwahuu.
Usowakeumejaatabasamu,kilaanaposimuliasimuliziyakewengihuvutiwanakustaajabunamnaganiameweza kumudukuishinaokwamiakayotehiyo?
Anasemawazaziwakewalizingatiakumpelekaklinikikilaalipohitajikanakwambaameishihivyoakizingatia maelekezoanayopatiwanawataalamuwaafya.
Fatumaanaongeza“SikoSelisiugonjwawakurogwa,hautokaninauchawi…mtuanazaliwanaopaleanapokuwa amerithivinasabakutokakwawazaziwetuwotewawili{babanamama};Tusiuonenikituchaajabuauugonjwa waajabuniwakawaidatu,Mungukeshatupatunapokea,”anatoarai.
Anasemawatuwasiwenawasiwasikuhusuugonjwahuo,hukuakishauri “Ukimuonamtotowako{anaugonjwahuu}mpelekehospitaliafuatiliweafya/haliyakeiliapatiwetibastahikina elimunijambolamsingihakikishaunampelekashulekamawatotowengine.
Anaongeza“KunawatuwapokazininawanaSikoSelinamiminilisomampaka'formtwo'{kidatochapili} ShuleyaSekondariMiembeSaba. “Zamanishulezilikuwambalizasekondari,lakininilishindwakuendeleaSikoSeliilinizidisana;Naninauchungu sanakwasababunilishindwakumalizalakininapendasana,nilitamaniniendeleelakinindiyohivyoilinibanasana,” anasema.
ShujaahuyowaSikoSelianasisitiza“Nawaombeeniduamlionamatatizohayampone, muendeleenakazizenuvizuri.”
“Madaktariwanguwotenawaombea,mnanisikilizavizuri,mnanitibiavizuri,nashukuruMungukwahilo.”
MartinDeusTheoalmaarufuShetaniwamguummojaauunaweza kumuitaChibaKismatinikijanawaumriwa miaka36,alizaliwa mpandaAgosti1985naalipofikaumriwamiaka2, wazaziwake waligunduakuwaanasikoseli,taarifaambazo walizipokea kwaugumukutokananakwambawaliambiwa kuwa ugonjwahuohaunatibanamwanaoasingeweza kuishikupitamiaka18.
ChibaKismatianatoasimuliziyakekwajaridalashujaa kwakuongezakuwa,baadayawazaziwakekuambiwa kuwaasingewezakuponanakuwaasingeishikwazaidiya miaka18,walichukuamaamuziyakugeukiakwenyetibaza Kienyejiambapoalipelekwakwawagangambalimbali,mikoa tofautitofautinchinihukuakipewatibazamadawayakienyeji kwaahadiyakuwadawahizozingetibunakuondoaugonjwahuo waSikoseli,anasemakuwaalitumiatibazaajabuambazohazikusaidiabalizilizidikudhoofishaafyayake,mfanokunawakati alishauriwakutumiakinyesikilichokaukakwamadaiyakuwanitibayasikoseli.Hayayoteyalitokeakutokananakwambayeyepamojanawazaziwakehawakuwanaufahamu naelimuyasikoseli.
SikoseliiliathiriMaishayakekatikaNyanjakamaelimu,alishindwakuendeleanaelimukutokananakuumwakwavipindi vyamdamrefuhadimiezi6,hivyoilimlazimukusitishaelimu yakepalealipofikakidatochasabandioikawakikomokwake lakinipiaanasemakutokananakupatavidondakatikamguuambachokilipelekeayeyekupataosteomyelitisnakupelekeakupotezamguukutokananamaambukizihayoyamifupa.BaadaealihamakutokampandanakuhamiaDaressalaamambapoalikuaanapata matibabukatikaklinikiyaWatotopaleHospitaliyaTaifaMuhimbili. KatikaKukuakwakeanasemaalihisikamawatuwalikuawanampuuza aswakutokananakuwanaulemavuwamguu,yeyekamamsaniiwa sanaayauigizajiinakuangumukupatakazinapiakutokananachangamotozaafyanapiakukosaelimukulipelekeaMaishayakekuwadunikutokananakukosakazinahivyoakaamuakuingiakatikatasniayauigizaji lakininahukopiaalipatachangamotokutokananahaliyakeyaulemavu. Chibaanakanushakauliyakuwamtumwenyesikoselihawezikuishi
miakazaidiya18kwa kusemakuwa,yeyeanamiaka36nayupo,anahimizakikubwani kupataelimunakuzingatia ushauriwamadaktarinalisheboranakuepukakazinzitokupita kiasi;anatoaushaurikuwainawezekanakuishimiakazaidiyamiaka70piaanahimizakuwepo seminamkoakwamkoa,nchini.
Pamojanakuwanasikoselianasemahawezikukatatamaakwanianatumiafursazausaniikatikakuelimishaumma kuhususikoselinapiayeyenibabawafamilianaanategemewakamakichwachafamiliayakehivyosikoselihaijamzuiakuwanaMaishamazuri.Anafuatiliamatibabukwakuhudhuriakliniki,anazingatialisheborapamojanakanunizaafya,anashukurumadaktari,jumuiyayaSikoseliTanzania.Inaendelea...
...jumuiyayaSikoseliTanzania.Inaendelea... LengokuulakuwanataasisiyaChibaKismatinikutoafursanajukwaakwawasaniiwenyeulemavuna kuondoamatabakanaunyanyapaauliopo.Yupokwaajiliyajamiinakwalengolakujitoakwajamii. Anategemeakutoaelimuzaidikupitiataasisiyakeyachibakismati;kuanziamikoayaArusha,Tanga, PwaninaZanzibar.Anaombaserikalikuangaliawatuwenyesikoselikwasababuugonjwaniwamdamrefu, anaombawizarahusikaiwasaidiekatikakup-unguzagaharamazamatibabunakuwajumuishakatikabima. MatarajioyakenikutumiasanaayakekufikishaujumbekwawanajamiikuhusuSikoseli.changamotoni kukosamiundombinunarasilimalizakuwezeshakazihiyoyauhamasishaji.
Ujumbewakekwajamii,wasikatishewatuwenyesikoselitamaanakusemakuwahawawezikuishi mdamrefukwaniyeyenimfanotoshakuwaameishimpakasasaanamiaka36,nawenginewengi wenyemiaka60,70,90nakuendelea;Piaanawahasawanajamiiyasikoseliwasitumiesikoselikama kudekanakurahisishaMaishayao,wafanyekazizaokwabidiinavizurikwaniSikoseliniugonjwa kamamenginetu.
AboubakarJumaKilaza,Miaka35niMsaniiwaMuzikiwaBongoFlava; naSikoselinakwasababuwazaziwalipataelimukuhusu kealikuanimuuguzinaBabayakealikuanimuuguzi;kutokananakwambawazaziwakewalikuanaufahamuwasikoseliwalijitoakatikayeyekupatamatibabu,walihangaika katikazahanatimbalimbalikutafutamatibabunahatimaewalifikaHospitaliya Muhimbili,hapondipoalipopatamatibabuyakenakuanzaklinikiyasikoseli.Kuwa naSikoselihakukufanyaajionetofautina waanahitajikakumezadawakamaFolics dhuriakliniki.
Alizidikukuanakuelewahadikupelekeayeyekuwabaloziwa Tanzania.Anasemakwaujumlahajaathiriwanasikoselikabisakwani Sikoselikwakeimekuakamafursayakuwakijanamwadilifunakuepukamakundikamayawavutabanginamamboambayoyanaendakinyumenajamiinapiakwakuwaanafanyakazizasanaa mpafursayakutumiasanaayakekatikakuhamasishaummakuhusu Sikoseli.Yeyekamamsaniianawakilishanakuelimishakuhusu koselikwenyenyimboanazotunganaanapendakujulikanakwa jinalaMr.SickleCellKilanyimboanayotoaanawekajinahilo kamautambulisho.
Anasemayeyehawezikuonekanadhaifukwakuwafamiliayakeanaiendeshamwenyewe,anaongezakusemakuwaSikoselihaimfanyikuwadhaifukwanihatabilaSikoselimtuunawezakuwadhaifu.AnahudhuriaklinikinaanafurahishwanahudumazinazotolewalakinipiaanaombaserikalipamojanajamiiitambueSikoselinawashirikianekatikakuboreshanakuimarishahudumazamatibabuyaSikoseli.
Kwawasiojuanakwafaidayawanajuasiombayatukikumbushanakuwamweziwaseptembanimweziwakutoa uelewanaufahamujuuyaugonjwawaSikoseliduniani.HivyoTaasisiyaSickleCellDiseasePatients'ofTanzania kuungananataasisinajumuiyakimaifailiadhimishasikuhiyokwakuandaamatukiombalimbaiyauhamasishaji, uelimishajinakutoauelewajuuyaugonjwawasikoselinchiniikishirikiananataasisinawashikadaukatikasekta yaafya.KamajumuiyayawagonjwawasikoseliTanzanianakamawanaharakatinawashikadaukatikaelimuna ufahamujuuyasikoseliwaliandaaJukwaalaMashujaamkoaniPwani,wilayayaMkurangakushirikiananaHospitaliyaWilayaMkurangalengokuulajukwaahililikiwanikutoafursayamajadilianoyawazikatiyawanajamiiwamkuranganawataalamuwaafyakuhusuSikoselinapiawataalamuwaliruhusuwasaawamaswalinamajibuambapochangamotombalimbalinaImanipotofuzinazozungukaugonjwawasikoselizilijadiliwanakutolewa majibusahihiilikuelimishawahudhuriaji;piawahudumuwalitoafursayaushaurinasahakwamtummojammoja. TamashalaJukwaalaMashujaalilifuatiwanatukiolamnamotarehe27,SeptembaambapotaasisiyaSCDPCT iliandaaUpimajiwaSikoselibureikishirikiananaHospitaliyaWilayaBagamoyonaZahanatiyaMwaviiliyopo katayafukayosi,mkoaniPwani,upimajihuuuliambatananaushaurinaelimujuuyasikoseli, piaSickleCellDiseasePatients'CommunityofTanzaniakushirikiananawafadhiliwakewalifanikiwakuwafadhili bimaWatotowaliochiniyaumriwamiaka16,BimazaafyazaNHIFilikuwasaidiakupatamatibabukwagharama rahisinapiakuwahamasishakuhudhuriaklinikizasikoselikwamatibabusahihiilikuboreshaafyazao.Mwezi septembaulifungwanakampenizasautiyashujaa,ambapotulipokeavideombalimbalikutokakwawanajamii, madaktarinawauguzi,washirikakatikasektayaafyawakitoaelimunaufahamujuuyasikoselikwawanajamii kupitianjiayavideo. Septembailinoga,tunakukumbushanakuhamasishakuwausikosekushirikiharakatihizikwamsimumwingine waseptembayanimwaka2023kwaniyajayoyanafurahisha.
MajiniuhailakiniumewahikukaanakufikirikuwaDamuniuhaipia? Tukizidikuhimizajamiijuuyaumuhimuwakuwanaufahamunauelewawasikoseli,tungependakuwakumbusha piakuwazaidiyawatu100,000uzaliwanaugonjwawasikoselikilamwakanaTanzanianimojawapokatiyanchi ambazozinaongozakwakuwanaasilimiakubwayawatuwenyesikoseliduniani. Mgonjwawasikoselianawezakuhitajimpakauniti100zadamukwamwakakwaajiliyamatibabuyaatharizinazotokananaugonjwahuo.
Hakunaaliyewahikupungukiwakwakutoanapiakutoakutokamoyoninizawadikwamuhitaji;kukosadamuni mojawapoyasababuzinazochangiakatikakupotezaMaishakwawagonjwawengiwasikoselikwasababukwao damuniuhai.
UnawezakuwamwokoziwaMaishayawengikupitiakuchangiadamu,unawezakuokoaMaishayamtualiyepata ajaliyagari,mgonjwawasaratanianayehitajidamukwamatibabuyake,zaidikwawagonjwawasikoseliambao wanahitajidamukwaMaishayaoyoteilikuishi.
Faidazakuchangiadamunipamojanakuchangiadamunifaidakwamoyowabinadamukwanikwakuchangia damuutawezakuulindamoyowakonamaradhiyamoyokamavileshinikizonakugandakwadamu.Piautapata kujuahaliyaafyayakokupitiavipimovinavyofanywakablayakutoadamu,pianifurahakujuakuwakupitiakuchangiadamuunaokoaMaishayawenginifurahayakuishinakujitoakwaajiliyawenginewenyeuhitajikwenye jamii.
Kuchangiadamuniburekabisa,hakunamalipounawezakuwashujaawamtukwakuchangiadamunakuokoa Maishayakeburekabisa.Fikirianilinimarayamwishoulipatakutoamsaadaburebilakulipiagharamayeyote bilakuhitajikashahadayeyoteauubunifuwowote. Mwishoniniseme,unapochangiadamuunaongezamwakamwinginewaMaishakwampokeajidamu,unatoasiku ingineyaMaisha,sikuingineyashereheyakuzaliwa,zaidiunaongezasikuinginechiniyausikuwanyotauliojaa tabasamunaafya,unatoanafasinyingineyakutimizandotonaunatoazawadinyingineyaMaishakwawapendwa wampokeajidamu. Hivyonikuhimizechangiadamu,okoaMaisha…Timizandoto.
matukionamaisha.blogspot.com
Kwahabarinamakalaza kinakuhusumasualambalimbaliyaafyana jamiitembeleajukwaala matukionamaisha.blogspot.comni akaunti iliyotambuliwakwatuzona BarazalaHabariTanzania(MCT)mwaka2021 jukwaaborakatikakuripotimasualayaafyaTanzania,
AidhaMmilikiwakeVeronicaMremamwaka2021alitunukiwa tuzonaShirikisholaVyamavyaMagonjwa YasiyoambukizaAfrikaMashariki miongonimwawaandishiborawanaoripotivema.