3 minute read

Kiambatisho cha 6

Next Article
Kiambatisho cha 2

Kiambatisho cha 2

Utoaji wa maelezo

Kupokea maelezo Kutoa maelezo Uchunguzi

Utangazaji Rasmi Ukumbusho

Maombolezo ya mtu binafsi Maombolezo ya pamoja

Mazoea ya kidini Mazoea ya kitamaduni

Haki ya jinai

Uhalifu Mashataka ya jinai

Suluhisho

• Fidia • Marejesho • Urekebishaji • Kuridhika • Dhamana za kutorudia

Dak. Melanie KLINKNER

Mkuu wa Masomo katika Sheria ya Kimataifa, Idara ya Binadamu na Sheria, Chuo Kikuu cha Bournemouth

Dak. Ellie SMITH

Mtafiti, Idara ya Binadamu na Sheria, Chuo Kikuu cha Bournemouth na Mshirika Mkuu wa Kampuni ya Usalama wa Ulimwenguni na Usimamizi wa Majanga

Washiriki-wataalamu wa mazungumzo ya ana kwa ana

Esma ALICEHAJIC

Mwanaakiolojia wa Uchunguzi wa Kisheria na Mwanaanthropolojia, Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu

Dak. Alessandra LA VACCARA

Msimamizo wa Mpango wa Wahamiaji na Wakimbizi Waliopotea, Tume ya Kimataifa ya Watu Waliopotea

Sareta ASHRAPH

Wakili katika Baraza la Mahakama la Garden; Mkurugenzi, Ofisi ya Uchunguzi katika Eneo kwa Timu ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa ili Kuhamasisha Uwajibikaji kuhusiana na Uhalifu Uliofanywa na Da’esh/ISIL;Mshauri Mkuu wa juhudi za uwajibikaji kwa uhalifu uliofanywa katika Syria na Iraq; Mwalimu Mgeni katika Shule ya Masomo ya Kiserikali ya Blavatnik, Chuo Kikuu cha Oxford

Caroline BARKER

Mwanaakiolojia wa Uchunguzi wa Kisheria na Mwanaanthropolojia, Mkuu wa Kitengo, Mwanaanthropolojia wa Uchunguzi wa Kisheria, Timu ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa ili Kukuza Uwajibikaji kwa Uhalifu Uliofanywa na Da’esh/ISIL (UNITAD)

Dak. Denis BIKESHA

Mkuu wa Kitivo cha Shule ya Sheria, Chuo Kikuu cha Rwanda

Claudia BISSO

Mwanaanthropolojia wa Uchunguzi wa Kisheria, Timu ya Jopo la Watu Waliopotea wla Afrika Kusini na mshirika wa Timu ya Anthropolojia ya Uchunguzi wa Kisheria katika Ajentina (EAAF)

Dak. Agnes CALLAMARD

Mwandishi Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mauaji ya Kiholela, Yasiyo ya Haki au Yasiyo na Msingi

Tina GAENTZLE

Afisa Ujasusi wa Uhalifu wa Jinai, Usaidizi wa Upelelezi wa Wakimbizi/Uhalifu Mkubwa wa Kimataifa, INTERPOL

Alistair GRAHAM

Kiongozi wa Timu ya Uchunguzi, Mahakama ya Kimataifa ya Jinai

Dak. Ian HANSON

Mwanaakiolojia na shahidi mtaalam wa uchunguzi wa kimataifa na Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Akiolojia na Anthropolojia katika Tume ya Kimataifa ya Watu Waliopotea; Mchunguzi katika Chuo cha Sayansi ya Uchunguzi wa Kisheria cha Marekani; Mchunguzi Mgeni katika Chuo Kikuu cha Bournemouth

Carolyn HORN

Mshauri Mkuu na Mwandishi Maalum kuhusu Mauaji ya Kiholela, Yasiyo ya Haki au Yasiyo na Msingi

Andreas KLEISER

Mkurugenzi wa Sera na Ushirikiano, Tume ya Kimataifa ya Watu Waliopotea

Dean MANNING

Mpelelezi wa zamani wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai katika Yugoslavia ya zamani, mwanachama wa Timu ya Uchunguzi wa Pamoja ya MH17, na Kiongozi wa Timu ya Jopo la Kuchukua Mali ya Canberra

Peter MCCLOSKEY

Wakili Mwandamizi wa Kesi katika Ofisi ya Mwendesha Mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai katika Yugoslavia ya zamani (amestaafu)

Bw. Howard MORRISON

Wakili wa Uingereza na Jaji katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hapo zamani, Baraza la Mahakama ya Kimataifa ya Jinai katika Yugoslavia ya zamani

Dak. Claire MOON

Profesa Mshirika katika Idara ya Sosholojia, Shule ya Uchumi ya London na kiongozi wa utafiti kwa mradi wa ‘Haki za Binadamu, Mabaki ya Binadamu: Ubinadamu katika Uchunguzi wa Kisheria na Siasa za Kaburi’

Mark MUELDER

Mratibu wa kitengo cha Utambulisho wa Waathiriwa wa Majanga cha INTERPOL

Gauri PRADHAN

Kamishna wa zamani (Mwanachama) na Msemaji wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (NHRC), shirika la kitaifa la kikatiba la Nepali

Stefan SCHMITT

Kiongozi wa Mpango wa Uchunguzi wa Kisheria wa Kimataifa katika Kituo cha Kitaifa cha Sayansi na Teknolojia cha Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Florida, mwanachama wa Madaktari wa Haki za Binadamu na mwanzilishi wa Wakfu wa Anthropolojia ya Uchunguzi wa Kisheria wa Guatemala

Ali SIMOQY

Mtafiti huru, mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanachama wa Timu ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa ili Kukuza Uwajibikaji kwa Uhalifu Uliofanywa na Da’esh/ISIL (UNITAD)

Dak. Deborah RUIZ VERDUZCO

Mkuu wa Mipango ya Asasi za Kiraia, Tume ya Kimataifa ya Watu Waliopotea

Rupert SKILBECK

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali REDRESS, wakili na Mkurugenzi wa zamani wa Mashauri katika Mpango wa Haki wa Jumuiya ya Wazi

Wanachama wa Kikundi cha Uendeshaji

Profesa Roger BROWNSWORD

Profesa wa Sheria katika Chuo cha Kings College London na Chuo Kikuu cha Bournemouth

Profesa Dinusha MENDIS

Profesa wa Mali ya Uvumbuzi na Naibu Mkuu wa Kitivo kwa Utafiti na Kazi ya Kitaalam katika Chuo Kikuu cha Bournemouth

Profesa Louise MALLINDER

Profesa wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Queen’s Belfast

Dak. Annelen MICUS

Mkuu wa Mpango wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Bonavero katika Chuo Kikuu cha Oxford

Mradi huu unafadhiliwa na Baraza la Utafiti wa Sanaa na Binadamu la Uingereza. Sanaa na Binadamu huchunguza maadili na imani ambazo zinathibitisha sisi ni nani kama watu binafsi na jinsi tunavyotekeleza majukumu yetu kwa jamii yetu na kwa ubinadamu ulimwenguni.

This article is from: