ulinzi wa matangi ya maji Wakati wa majira ya kiangazi au wakati wa ukame, ndovu na binadamu huweza kuingia kwenye migogoro juu ya rasilimali kama maji.
Vizuizi mbalimbali vinaweza kutumika kulinda vituo vya maji kutokana na uharibifu wa ndovu.
Njia ya 1 : Minara ya Maji
Njia ya 2 : Vizuizi vya Mawe Meupe Hiki ni kizuizi cha mawe yenye ncha makali, yaliyopakwa rangi nyeupe. Hii inaweza kutumika kuongeza ulinzi kwenye uzio au ndani ya shamba.
Hii inaweza kuwa jengo la chuma, tofali au la mbao, ambalo lina urefu wa angalau mita 3 kwenda juu. Hakikisha msingi wake ni imara na jengo lina nguvu ya kutosha kuweza kubeba uzito wa tangi la maji lililojaa. Kutegemeana na ukubwa wa mfumo wa maji, kadri tangi linavyokuwa juu, ndivyo ambavyo litalindwa vizuri zaidi dhidi ya ndovu. Hakikisha kuna ngazi na ufikiaji salama kwa watu.
Tumia mawe meupe yenye ncha kali ili kuongeza ulinzi zaidi kwa mabomba ya maji.
Kutumia mchanganyiko wa vizuizi itakusaidia kuongea ulinzi wa vituo vya maji.
Mawe haya ni kero na yenye maumivu kwa ndovu kutembea juu yake.
Njia ya 3 : Kuta za mawe Ukuta unabidi uwe sawa ili kuzuia ndovu kupanda.
www.ehranamibia.org
1.
Njia hii inatumiwa Namibia kusaidia migogoro juu ya vyanzo vya maji kwa ndovu wa jangwani.
https://encosh.org/en/initiatives/water-point-protection/