Cow Signals Msingi - Cow Signals Swahili edition

Page 1

Basi hauna budi kukisoma kitabu hiki cha Masuala ya msingi katika ufugaji wa Ng’ombe. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha inayoeleweka kwa urahisi. Kina zaidi ya picha 200 na michoro ambayo inafanya taarifa kuwa wazi na za uhalisia. Mambo ya Msingi ya Ng’ombe hufanya mfugaji yeyote wa ng’ombe wa maziwa kuelewa usanifu wa kuhudumia ng’ombe wa maziwa na mifugo wadogo, kwa taswira ya ng’ombe mwenyewe.

te d

Unavutiwa na ng’ombe wa maziwa na labda unawahudumia mara kwa mara? Je unataka kuelewa vyema jinsi ya kuwahudumia ng’ombe? Kuhakikisha wana afya njema, wanazalisha, na kukua vyema au kutoa maziwa mengi?

Toleo la Afrika Mashariki

ec

Kinalenga haswa mtu anayefanya kazi na ng’ombe wa maziwa na kuwekeza kwenye ng’ombe wa maziwa.

Cow Signals Msingi

ot

Toleo la Afrika Mashariki

Cow Signals Msingi Toleo la Afrika Mashariki

Cow Signals Msingi

Profesa Bockline Omedo Bebe, Chuo Kikuu cha Egerton

op

Profesa Charles K. Gachuri, Chuo Kikuu cha Nairobi

yr

Wahariri wa maudhui ya cow signals - msingi –wahariri wa toleo la afrika mashariki:

ig

ht

pr

Jan Hulsen, mhariri na mtaalamu wa ng’ombe

David Maina, Perfometer Agribusiness Ltd Peter Ngure, Kampuni ya Mauzo na Uchapishaji ya The Olive

C

Mradi huu umefadhiliwa na:

www.cowsignals.co.ke

www.roodbont.com

www.vetvice.com

www.cowsignals.com

Kuelewa wanachohitaji ng’ombe ili wawe na afya na kuzalisha ifaavyo Jan Hulsen


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.