
1 minute read
Maagizo ya Kudumisha
Solar panel na kikusanyo cha nishai ya jua zinafaa kupanguzwa mara kwa mara ili kuondoa vumbi na chembe zinazoweza kuadhiri utendaji wa mtambo wa kuchemsha maji.
Solar panel na kikusanyo cha nishai zinafaa kuwekwa kwenye eneo wazi lisilo na kivuli chochote.
Advertisement
17
Ikiwa mtambo wa kuchemsha maji hautatumiwa kwa muda mrefu, funika kusanyo cha nishai kutumia kitambaa, turubai au plastiki isiyopitisha mwangaza ili kuzuia joto jingi kutokana na miale ya jua.
Kagua mabomba na viunganishi vyao mara kwa mara ili kutambua sehemu zinazoweza kuwa zinavuja maji.
Vidokezo kwa Matokeo Bora
1. Funga solar panel yako vizuri ili isipotee. 2. Panguza solar panel angalau mara moja kwa wiki ili kutoa vumbi na chembe zinazowea kuadhiri kuchaji kwa betri ya Kontrola.. 3. Credit moja ya M-KOPA linaweza kutumika kutoka saa sita usiku hadi saa sita usiku ya siku inayofuata. Hakikisha kwamba una credit za kutosha ili usikatizwe kutoka huduma la maji moto. 4. Hakikisha kwamba una salio ya angalau credit moja wakati wote ili upate maji moto. 5. Fanya malipo inavyostahili kulingana na mradi wa kulipa uliochagua. 6. Unavyolipa haraka ndivyo utakavyoweza kutumia mtambo wako wa kuchemsha maji BURE kwa haraka. 7. Lipa haraka ili umiliki mtambo kwa haraka na upewe punguzo ya bei kwa kumaliza malipo mapema. Ni muhimu kudumisha kufanya malipo wakati unaofaa ili uwe na rekodi bora ya malipo. 8. Kumbuka kununua credits mapema ili uweze kutumia huduma ya maji moto kwa muda mrefu uwezekanavyo kwa siku.
18