It's Popular Magazine

Page 1

TABLEOF CONTENTS 02 06 04 08 05 Discover Seta Bam Bam 01 Introducon Music by Seta Bam Bam 02 Audios Music by Seta Bam Bam Videos 03 Interview One on one with Seta Bam Bam 04

Seta Bam Bam

Seta Bam Bam

Seta Bam Bam

Wh atsPopin ’ Discover Seta Bam Bam

I am seta Bam Bam. Dirhen Makotsi Khatili is my ancestral name and a tag that my parents, Alex and Consolata placed on me on my birthday, 31st Aug 1999. Am a musical artists, recordingandperformingartistforthatmaer.Amabelieverof Jesus Christ and also an agent of love and peace I have been actively doing music for 7 years now and I thank God for he has been faithful. ough the journey hasn’t been easy upto to this point but what am grateful for is the chance to learn and to beer myself. I started off as a religious artist doing gospel music but with time I came to realize my strength, weaknessand potentials and so I found my niche. I am currently coming up with a sound and I name it Afroworld’, it's a fusion of naija afrobeats with a taste of pop and in a Kenyan local dilect hence the name Afroworld. Peace be with you asyouembarkonajourneytogettoknowme.Letsgooooooo........(Ahahahah)

+254 771 141 491

WhatsPopin’ Adverse on the go....
01

Music

W h a t s P o pi n

’ ’ ’ ’ ’ ’ ’ ’
on the go.... Away - Seta Bam Bam
- Seta Bam Bam Ban C
- Seta Bam Bam Judy SCAN TO LISTEN SCAN TO LISTEN SCAN TO LISTEN 02
Adverse
Mahustler
Haiya

Videos By Seta Bam Bam

atsPopin ’ WhatsPopin’ Adverse on the go....
SCAN TO VIEW
SCAN TO VIEW 03

Interview

Whatspopin

So Seta Bam Bam what drives you todomusic,whatkeepsyougoing

SetaBamBam

Kuna vile niko love for this music, ile love yani naipenda yani design nisipo idu sifeel niko ti. Adi kunatime nalelanga mi si msani lakininajipatanimeifanya.

Whatspopin

As you turn an year older what would you like God to bless you on yourbirthday31stAug.

SetaBamBam

Nimehave a meeting na myself kwa heart yangu naomba God anipee desireyakumjuamore.

Whatspopin

What is really your aim in doing music.

SetaBamBam

Kitu nina aim rst of all, kuna vile nakata niongeleshe wasee yani nilete message ani, if kama ni message ya love ndo io, kama ni heart break ilifanyika hivi ivo ndo reality yenye iko na how to overcome kutoka kwa io challenge, kupeana heading ni hii na kupeana

solutionyaiochallange.

Whatspopin

In what way do you want to speak to themasses.

SetaBamBam

Unajua rst of all, despite mimi kuwa artist mimi bado ni vessel, mi ni vessel kwa sababu already rst of all God amenichoose kuwa star, cheki sa mimi God amenipee choice gani naeza tumia kuspread the news in a false way ama in the truth, so everything enye mi nitakua naduu itakua all about my life eeh so and I know my life itatouch wasee wengi uko nje, either in the way vile nakatia dem, the way mi na interact na wasichana, the way naeza behave kwa party, that now my music, the way mi nataka kuishi na binadamu wenzangu, eeeh, the way mi naeza tatua story ya grudge between mi and my enemies so mi nataka tu kubring music iko na love yani ya ukweli, love andtruth

Whatspopin

What inspires your imaga, its quit a controversialimagainthesociety

SetaBamBam

rst of all something funny adi mi najiuliza ni kwanini nime-endup hapa at this image rst of all lakini of all bado kuna kitu moja sisemi nataka kuwa kama yeye, kukua kama image yake, lakini kuna venye nafeelingi am aracyed to that image, nafeelingi image ya Michael Jackson ilikua inanibamba sana, unacheki, and like mi nilitaka tu nikifanya izi vitu nitokee tu kama vijana wengine wa kawaida kwa sababu ukiangalia kuna vijana kama mimi kwa streets lakini akuna something controversial about their image. Sa adi nakutana na mtu ananiambia, “unakaa msichana” but mimi nikitengenza intention yangu ilikuwa anione kama msanii So but me I don't regret kwa sababu siezi fanya kitu kufurahisha binadamu at the end of the day mi bado ni vessel venye nimewasho so si mi najiongoza

Adverse on the go....

ni mungu. So io swali mi nabaki nikiuliza Mungu mbona imeka hapa kwa hii imagehahahaha....

Whatspopin

So Seta Bam Bam who are your three favorite artist that you would like tocollaboratewith

SetaBamBam

First of all nataka niseme ivi, actually I congratulate every artist mwenye ako uku nje mwenye tangu atokee amekua consistent mpaka saa hii, nim-relevant. So wasanii watatu wenye naeza taka kufanya nao ngoma, rst of all, Justin beiber alafu number two, for real, Nakuanga nimefeel uyu dem anaitwa Doja Cat, yani chenye ye unibamba anakuanga consistent design ata akitoa ngoma yake hata kama uko uku Africa utajiuliza Doja Catni nani yani ana meow meow kila pahali, Alafu Artist wa tatu it I get collabo between Odugwu(Burna boy) and Wizkid, ya Odugwu ikikuja well and good ya Wizkidikikujawellandgood

Whatspopin

Like for instant, why have you choosen Justinbeiber.

SetaBamBam

Justin Beiber rst of all napenda composition yake ya music like atafanya, uyu msee tangu nikiwa myoung k iasi, ngoma zake nimekua nikipata nikiimba na ni kizungu na apo nyuma bythewe rst of all mi sikua najua kizngu. So if kama Rhythm ya msee ani unatembea nayo alafu inakuchezea kwa akili unashindwa nayo alafu inakuchezea kwa akili unashindwa eyy, Basi gi yake iko blessed sana sababu wasanii ni wengi kwa hii dunia na kuna wasanii wazungu kamayeyenaniwabiggybado Nxt pg Continue reading

WhatsPopin’
04

lakini hawanikii kwa ear na heart yanguvenyeyeyeananikia.

Whatspopin

SowhythenameSHETHEBOY SetaBamBam

First of all I love that name, watu wenyewe ndo walinicreatia image ani kwa mind yangu ati mi naeza kuwa msichana but from mimi nizaliwe mi najua mi ni kijana So we uniniona kama msichana io ni perspective yako, Nothing good can come out of man unless ako na

Mungu na watu wengi hawajuangi ukweli hao wako uko nje wakibweka n a k u j u d g e m t u n a h a t a y e mwenyewe tukimwangalia hivi tunaeza mtoa makosa mob. So wameshani creatia kwa mind yangu mimi eeh wananitus msichana sa najiangalia kwa kioo, mi nimsichana aje? Oooh so mnataka kuniumba kama msichana so be it........nilikua

na napenda kuandika jina yangu na choka, kuna siku niliandika kwa choo SETA BAM BAM sa kuna mtu akaongeza hapo IS SHE THE BOY

Nikaona oooh, ivo ndo mnaniona nyinyi, sa wacha ikue ivo, so ivo ndo mnataka yani mi nawapenda adi nawasupporthahahahaaaaaa

Whatspopin

What’s your favourite song from your three song ’ s, Mahustler, Away &Haiya

SetaBamBam

Let me tell you leo as we speak I was with this new chile in my life so tulikuwa tunataka kujuanajuana akaniuliza which is my favourite song, Actually I love all my songs. Izi ngoma tatu nimeduu uwa na rank “Away”

Whatspopin

I know you are a believer and you believe in God, so in the Bible whose testamentinspiresyoualot.

SetaBamBam

Menh, for real, for real kuongea uweli lakini sijai kupatama na kitabu kama Psalm. Psalm imetaja vitu za old na vitu zimefanywa in present. Na inajijenga at this point yenye niko. David anajaribu kuongelea about his enemies yani kwa time yake ngumu and me time yangu ngumu ni hiyo so imekua inspiration kwangu so Nashukuru Mungu kwa Hiyochapter.

PartingShot

“You know everytime my ladies am always single for you, lakini am taken but am always single for you guys so like what I want to say. Mabadman ako nje na mangeus wenye wananiskiza na wananifeel mziki yangu na wako there kama Seta Bam Bam fan manze mi naomba tu blessing from the most high na azidi kunipea mziki kali na the sweetest melody manze nizidii tu kuwabamba nisiwai ka mahali nikawaboo lakini nikiwa na God atanifanya manze nitawabamba na manze be my fan right about now kwa sababu uko mbele kutakua over crowded so be among the days ones. All in All God is the truth. ARE YOU NOT ABELIEVER.BELIEVE

it’sTime to MUSIC

SCAN TO BUY

WhatsPopin’

Powered by

Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.