Maria Pettersson Petra Szabo
Je, ni asubuhi sasa? – Vivlio –
Je, ni asubuhi sasa?
Maria Pettersson
Petra Szabo
– Vivlio –
Ines anaamka. Yeye ana furaha. Ines anataka kucheza. Je, ni asubuhi sasa?
Mama na baba wamelala. Ines hawezi kulala. Yeye hapendi. Ines anapenda kucheza sasa.
Mama na baba wamelala. Ines hawezi kulala. Hataki. Kwa sababu sasa Ines anataka kucheza ...
ISBN: 978-91-868990-9-7
9 789186 899097