UWEZO WA MPESA
Huna pesa za kutosha za kununua sabuni ya M-SOAP mara moja? Usijali - jibu lipo na
Mbali na kuweza kununua na kumiliki sabuni ya MSOAP, MPESA itakuwezesha pia... Kutuma au kupokea pesa kutoka simu nyigine au akounti ya benki
Kunua mjazo wa simu yako au ya mwingine aliye na laini ya Safaricom
UTAPATA MSOAP PIA Hauhitaji kulipa kwa jumla ili umiliki sabuni ya M-SOAP. Hauhitaji akaunti ya benki pia.
Kulipa bill zako ka vile maji na stima au maji Kulipia bidhaa dukani
. Uchohitaji ni kulipa Sh 5 kila siku ukitumia lipa na MPESA kwa simu yako - Nenda kwenye Mpesa Menu - Chagua Lipa na MPESA MPESA
kila siku kupitia
Jinsi ya kulipia M-SOAP kupitia MPESA Chagua Buy Goods and Services Lipa na MPESA
Send Money
Pay Bill
Withdraw Money
Buy Goods and Services
Buy Airtime Lipa na Mpesa
Bonyeza 424678 (Till Number) halafu OK Lipa na MPESA Enter Till No 424678 OK
Utapokea swali hili
Lipa na Mpesa
Buy goods and Services from 424678 KSH 5 OK
Jibu OK
Utapokea ujumbe wa kuthibitisha malipo na maelezo muhimu MPESA JXXXXX000imethibitishwa. Umelipa SH 5 kwa MSOAP. Deni lako ni SH200. Mwezi wa kukamilisha malipo Desemba 30 2016