Page 1

NOT FOR SALE

PIA NAEZA KUWA SHUJAA!

CHAPTA 8


C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K


B8_pg01.pdf

1

11/09/2010

09:32:32

hapo awali...

chief aliwaambia gang wamtafute dj b na kufunga shujaaz.fm...

...lakini by mistake gang walimshika dj b mwingine aliyekuwa aki-play kwa concerts...

...na mamake dj b yule mwingine hakufurahia alipowapata kwa nyumba yake!...

...ni important sana tukatae pressure za gangs na wale wanataka kutunyang’anya biashara na pesa zetu.

BOYIE

kama ushawahi kuwa victim wa ma-gangs ni poa kuzungumza na mtu ako kwa...

Siku za mwizi ...mamlaka kama chief, ili ku-stop hii behaviour!

boosh, naenda kuambia chief vile wale vijana wakora walikufanyia! hatuwezi kuwaacha hivyo!

3


kazi yako ni kukaa kwa ofisi na kuzungusha makaratasi, huku wezi wanatuibia!

wewe chief! ni nini unafanya ili ku-control hizi gangs zinazo tuhangaisha?

walimfunga kijana wangu na kujaribu kumuibia vitu vyake vya muziki!

chief wa bure wewe!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

huyo chief ni mzembe! hata hakuskia kitu chochote nilimwambia! afadhali ninge-shout zaidi! mum, hiyo si njia ya kuongelesha chief. Ndio sababu hakukusikiza kwa sababu ya ku-shout.

4

wacha ni-try kumuongelesha vi-politely.


gang fulani ya mavijanaa wali-break into my room wakanifunga kwa kiti ati niwaeleze kuhusu redio station yangu...lakini sina.

chief, naomba muda kidogo tu wako. nataka ku-report kesi ya kudhulumiwa.

na-hope utashughulikia hiyo kesi na haki ifanyike kwa hiyo gang.

mbona hao vijanaa walifikiria uko na redio station? mimi ni boosh najiita dj b. wanaweza kuwa walini-mistake dj b wa redio.

wajinga hao!

usijali kijanaa. nitajaribu kukufanyia justice. lazima hiyo gang ilipe kwa sababu ya crime zao.

askari! lazima tukamate hii gang ina-terrorise mitaa yetu. leo tunamaliza hio reign yao.

ndio wale!

5


karao! hepeni wasee!

weee! kujeni hapa!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

kamata! nimempata, chief!

6


ninawashtaki kwa kujaribu kumwibia dj boosh.

haiya! lakini si ni wewe ulitu-show tutafute dj b!

wewe! sijui unaongelea nini? mumejaa uongo!

manze uta-regret kwa kutudanganya chief! uko alone na sisi ni kibao!

yaani hakuna mtu naweza trust? nitamtafuta dj b mwenyewe.

7


vipi ma-youth! nime-get text kutoka kwa jamaa anajiita dj b! inaonekana nina twin...lakini kumbukeni mimi ndio the one and only dj b kwa shujaaz.fm!

TIPS JuU YA KU-DEAL NA AUTHORITY Si rahisi kuongea na mtu aliye na mamlaka sababu yeye huwa na uamuzi wa hali yako. Lakini beshte yangu Boosh ana tips juu ya ku-communicate na kupata matokea uliyokuwa uki-expect kwa watu walio na authority. Kuwa umetulia kabla ya ku-meet na mtu aliye na mamlaka.

Kumbuka wakati tulikuwa shule vile tuli-treat walimu shuleni kama bad guys? Ukimfikiria mtu aliye na mamlaka kuwa adui yako, mtakaa kama mnashindana badala ya ku-discuss issues kama adults. 8

Vaa vizuri, kuwa msafi vile utaheshimika. Itasaidia ku-create impression poa na ku-demand respect. Usi-argue na mtu aliye na mamlaka. Kama umekosea, apologise ili isilete hasira juu ya kukana. Mwambie facts ukiwa calm na ume-tulia.

Kama ume ulizwa maswali, jibu kwa heshima na itazidisha chances ya kutapata results uliyokuwa ukitarajia.

Hebu tuambie vile ulim-get chief kusikia complaint yako!

Msalimie ili asifikiri unamchukia. Kumbuka yeye ni binadamu pia na kama wewe, anapenda apewe heshima. Ukimwongelesha vizuri, atataka kusikia mawazo yako and ku-respond.


karibuni kwa sherehe za

career day! sherehe hizi zimeandaliwa na school council yetu ili kuwasaidia kuchagua career zitakazowafaa.

Hajaweza ku-decide

tumieni fursa hii kuuliza maswali yeyote yatakayo wafaidi...

malkia, unafaa kuwa accountant! utakuwa uki-handle pesa siku mzima...

lakini mum, siko poa kwa maths...

9


bah! kama hutaki kuwa accountant utakuwa daktari!

yuck! naogopa sight ya blood...

ah! kwani unataka kukuwa nini?

si... si... sijui!

hi jipendo! ume-decide unataka job gani ukimaliza shule?

10

malkia, nimechoka na wewe! huwezi kutajirika ukiendelea na hii tabia!

ha! siwezi kujisumbua nikifikiria hizo story... nitamtafuta boyfie mdosi na m-hot anioe na alafu ni-enjoy life!


wa wa wa! gosh! cheki ule! si ni m-hoooot!!

hebu pliz uni-alert ukiona chali anaye ‘potential’ around

hi! pliz niambie vile uli-get so rich na successful

11


ilinichukua miaka mingi ya bidii but it paid off mwishowe.

nimetengeneza business yangu ya kuuza juice kwa watu wa mtaa huu

wow... hiyo ina-sound fun!

kuna mmoja wenu angetaka kujaribu kuchuna matunda ili apate experience?

12

asante kwa offer. nianze lini?


na sasa, ningependa kumwalika malkia azungumze kuhusu careers...

ummm... sijui ni nini hasa nataka kufanya nikimaliza shule...

nafikiri kama sisi sote tutado the same, tunaweza kujenga a better kenya!

lakini, hata nisipopata kazi poa, still nitajitahidi na kufanya kazi kwa bidii na ku-make something of myself.

13


Vipi mabeshte! Check out story ya mtu alitumia talent na determination kupatia life yake meaning. Paul alikuwa na talent mob akiwa mdogo, lakini hope kidogo.Saa hii ana-own studio yaku-record! Kama Paul ali-make it, unaweza pia! Paul tuambie kiasi kuhusu childhood yako‌

Wow! Na ulianza aje ku-make pesa kutoka kwa talent? Waa! Siwezi imagine ukijaribu kubeba piano kwa bike. Hiyo si ilikuwa ngumu sana? Nini ilikumotivate uendelee?

Uli-get job proper lini?

Nili-grow up area za Eastlands wakati ngoma ilikuwa mambo ya disco. Nikiwa 3 yrs nika-discover nina music talent. Nilikuwa na make-beats kwa kugonga vitu. Siku hizi na-make beats kali. Ni inspiring tu sana kujua talent na kuitumia.

Watu wengi walinitambua coz ya talent yangu. Nikawa naalikwa ku-make beats kwa studio huko Donholm (Eastlands). Watu walibambika na style yangu na nikaanza kutengenezea ma-celebs tracks. Pia nilifundisha piano lessons, lakini clients wangu hawakuwa na piano so nilikuwa nabeba yangu kwa bike mpaka kwao. Unaweza sema ni hard work lakini ilikuwa ni fun pia. Nilipenda bike yangu sababu ya kunifikisha kwa clients faster na on time. Lakini noma ilikuwa kukinyesha! 2001, baada ya kufanya job kwa bakery, nilikuwa promoted nikuwe head ya wrapping department. Nikafanya hiyo job kama supervisor for 5 yrs. Baada ya ku-save pesa poa nikaanza biashara kwa passion yangu - music. Uko na job zingine Niko kwa biashara zingine pia. Studio pekee haitoshi. au ni music tu? Saa hii mimi ni professional pianist. Mi hu-play kwa events kama weddings. Na-import magari pia. Unaweza advise mavijanaa wale wana-hustle na njia za ku-make pesa aje? Manze tuwachane na idea ati lazima uandikwe job ndio u-make pesa. Ndio u-suceed kwa life lazima ucheki zile opportunities ziko. Ma-youth watumie zile ways wako nao ambazo ni positive ku-make pesa. Biz ni poa especially kwa wenye talent. Uki-discover talent yako, ume-discover fortune zako! Unaweza hata kukuwa employer na talent yako!

14


Cheki hizi sheng dictionary na mchongwano moto moto!

nary ShengbatiD/icMantio zi/ Msupa/

1. Achum leng - Msichana. Mude/Shp skeli. 2. Blaki - Bai ble. 3. Choz - Trou gari poa. u jaa/ rims za K e 4. Chrom - Police. ko/Karo/Sinya 5. Danse/N ja atatu. ushuka kwa m K a k do on D 6. er micide - Quart 7. Double ho ku ya roast. mbili za ku ot utembea on fo 8. Shuzuk - Kkuwa broke. sababu ya le/Fashion. 9. Swag - Sty . Watu wengine 10. Wenengi -

Mchongowano Ati milango inafungwa n ya gari yenyu huwa a vifungo v ya shati! Computer yenu Wewe ni ni old school hadi antivirus legged na manbow yake hutumia mawe zi ni knock-kne wako ku-destroy viruses! mkisimama pa ed, muna 
spell ‘Omoja X’! Ati wewe ni mfupi mpaka Ati wewe ni unaendesha panadol 
 choyo mpaka ! m re ty ma ka n unameza piritole! ila o yo ndio min Nyi muko wengi hadi mkipigwa Ati umezoea family photo wengine ku ride bike hadi wana-hang kwa frame ! ukiingia kwa gari unakunja traoo! u n e w k ia k as N a hadi mko mumeendele s za u ji! na teabag

Nitumie mchongwanos na sheng words zingine moto moto kwangu na zikinibamba, Utaziona kwa shujaaz comic!

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512 www.wts.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO.. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Bridget Deacon Art Director: Fatima Aly Jaffer Layout Design: Joe Barasa Art: Daniel Muli, Eric Zøe Muthoga, Salim Busuru, Movin Were, Naddya Oluoch, Joe Barasa Special thanks to Sodnet and Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio. Well Told Story © 2010 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.


Ma-fans, Shujaaz.FM ina-grow from strength to strength na yote hii ni kwa sababu yenyu vijana! Endeleeni kunitumia SMS on 3008 and messages kwa Facebook na Twitter. Usisahau kuandika jina lako, age na location yako kwa message! Hizi ndizo messages mlinitumia nyinyi mashujaa! Big ups!!

big ups kwa shujaaz.fm! Hi DJ B, niko na certificates mpaka kampo though siku-do well, but segment yako ya vijana wanaoimprove maisha yao imeni-syke! Will do something. Hi DJ B, manze na-wish hizo mag zenu za Shujaaz zingekuwa newspaper za Kenya. Yaani the main ones. Ni Sir-me from Mwala School. Hey DJ B, maze mimi nakuanga wochi ( Watchman), lakini tangu nianze kufuatilia storo zako, nime-change mind. Victor Siundu. Busia.

Ideas za kutusaidia kama vijanaa Niaje DJ B. Idea ya ku-keep sungura ni noma. Kuna makuku mob mtaani. Ni Deno from Chuka Kaanwa. Construction ni mob tao, kama huna experience just kuwa boy wa mkono somewhere, good moniez! - Hubert Kipruto Koech. Why don’t you try buying pineapples from Eldoret @ 20/= and sell them in Nairobi @80-100/= not bad profit ukianza na kama 1000 fruits. - Rogers Sambu. Wanaeza jifundisha ku-make chapo na chai ama kahawa, kisha wana-bring tao usiku. Wana-sell kwa watu wa taxi, watu kwa stage na wanao toka shift usiku. Sisi hu-need some hot coffee ya ten bob kwa street, nipoa sana. - Helen Treza Mukosi.

army worms

16

Hi DJ B, maze hio risto ya armyworms imeni-help tu sana juu hizo vitu zilikuwa zime-disturb shosho yangu sana but sasa tumepata solution. Thanx. Gloria Thika.

Vijana wanao improve lives

Hi DJ B, skills ndogo ni nom nilisaidia mathe kupanda s vitunguu na cabbage na kuuza nikamaliza kusoma computers - Beaty, Eldama Ravine. Vipi DJ B! Hiyo storo Sun K nimei try, sio mbaya. Saa h yetu ina-save dooh na ni cheap Hi DJ B. Manze hapa mtaan trenches mob yenye waste So kuna group ya vijana weny wamejitolea kuzi-clean, henc dooh mob by collecting 30/= Mary Atieno from Umoja 2, N Imagine nilijaribu ile idea y sukuma kwa gunia zina-de na hivi karibuni nitazi-sell na k profits. Ma-youth waijaribu n dooh mob. - Joas. Wow! I never knew it would seed soaking. We now hav money/food 4 our family of 5 Thanks a 1,000,000:-) for th Na-run video cafe na hope dooh smart ndio nieze ku-e bizna. -Dennis Thoya.

Thanks Shujaaz.FM, you have given ma-youth a reason to be proud. Before, no good ideas were believed to come from us ma-youth but now even o paroz are getting new ideas. I told mum of the idea of soaking beans before planting and was happy to try the idea. Also there is this idea ya ku-have a mob M-Pesa operate in the rural areas. Nilizi-dye chicks zangu pink. Hazikukuliwa na mwewe. Shukrani! Hi DJ B, mimi sikusoma, nilianza kaz ya house girl nikafungua account. Sasa niko na duka. - Ginia, Kutus. Vipi DJ B, I live in Nyeri, nilianza biz kuwa fyeka nywele after form 4. Nime-save dooh nataka ku-buy motorb ya kubeba watu nione what next.


ao es zao!

ni noma! Imagine nda sukuma, kuuza na puters na hizo doo!

Sun King Solar Saa hii, family cheap. - Bosco. mtaani kuna waste na sewage. wenye hence wana-earn 30/= a month. a 2, Nairobi. idea ya ku-grow na-develop vipoa ell na ku-make ribu na wata-make

would work about w have enough y of 5 children. for the tips! hope ku-make e ku-expand this

given . ved to even our d mum re idea. a mobile s.

krani! za kazi unt. . za biz ya 4. otorbike

Unakumbuka wakati tuli-vote kwa referendum? Vipi DJ B? Manze on Wed 4th August, 2010, nilifika kwa polling Centre Oyugis, nika-vote. Imagine it was my first time ku-vote. I was amazed to see large numbers of female, male youth, wazee na mathaz pia wakijitokeza ku-vote. Ilikuwa poa, but the most important thing in my life is peace and to make history for every Kenyan and every generation to come. Special thanks to DJ B for supporting and guiding youths to follow the right road. - Danex from Oyugis.

Experience ya Malkia na ku-learn ku-soak seeds Hi DJ B, nili-soak mbegu na kupanda. Mbegu zote zime-grow healthy na fast. After 2 months nitaaza ku-make dooh. Bila shaka wakulima pandeni mjionee. Wangui from Thika. Helen Treza Mukosi Djb! Nime-smile kusoma ile storo yako “umewahi tishwa na watu?� We ni munoma tu sana. Big ups to you and the rest of the comic stars. You are our models,we cant live with out ur educative skills.tunakuwakilisha kote. Kijana Ya Cucu Ikifungwa chief atakua ame-succed na tena wasee hawataendelea kuelimika venye wamekua wakielimika b4 ni haki yetu.

Ma-fans walijitokeza kwa kunitumia advice juu ya wakati nilitishwa na Chief na ma-gangs. Cheki.

c yako iko juu! I am Manze DJ B, hii comi ue itatoka when? iss wondering the next

Kumbuka kupata free copy yako kwa Saturday Nation every first week of the month. Ukiimiss, unaweza pata Shujaaz.FM copy yako free kutoka kwa participating M-Pesa agents.

Congrats zinaenda kwa wale wote waliopata kwa messages zao! Keep them flowing ili tusaidiane kujenga hii country yetu sisi mavijanaa! 17


hapo awali...

bro wa maria kim na friends zake walisaidia kuwajulisha watu juu ya latf meeting...

...ndio watu waliweza ku-attend na kumchagua pastor kuwa chairman wao...

...na wali-present shida zao za kupelekwa kwa latf for consideration...

Committee ya LATF imekubali ku-fund ujenzi wa latrine mpya!

Anafuatilia Asante sana Baba J.K. Chakula kilikuwa kitamu. Mimi nitaelekea home kunakuwa usiku.

Lazima tusherekee hii achievement! Twendeni dinner leo jioni?

Wa! Maria Kim amesahau purse yake.

Wacha niku-push.

Ah asante J-K. Lakini niko poa.

18


Hii ni last warning! Wachana na mambo hayakuhusu, ama life yako na bro yako itakuwa kwa danger!

Aki J.K! sijui ninge-do nini kama hungetokea!

19


Vitu zimekuwa worse...

Nilikuwa mjinga ku-think dame mdogo kama mimi anaweza change kitu yoyote.

Usi-give up manze! Wewe ni inspiration kubwa. Usiwawache wa-win.

Sitaki kuweka bro kwa risk zaidi.

Asante J.K. Goodnight.

baada ya weeks kadhaa...

Siz, umesikia news? Latrine imeshamaliza kujengwa!

20

Hio ni poa. Wacha nikaione.


Lazima unilipe ndio utumie choo!

Shika pesa zako.

?!

Huh? Maria Kim hakunitetesha juu ya kuwa-charge watu? Ni nini mbaya...?

Sasa mdem? Umebadilika! Huna problem na charge yetu?

Sijali siku hizi.

21


Bro yako ameshikwa na Chuux! Ati hajalipa kutumia choo!

baadaye... Maria Kim! Come haraka!

Nini? No one hurts my bro! Twende!

Mnafanya nini sasa? Mnavunja sheria hapa! Hii choo ni ya public.

Ilijengwa na pesa za LATF! Hamufai ku-force watu walipe kuitumia. Wacheni kuwa lazy na kudai pesa bure. Tafuteni kitu ya ku-do!

‌Ni responsibility yetu ku-maintain na kuchunga hii choo. Kama hatuishughulikii itachukuliwa na watu kama hawa.

Tuko pamoja?

Wachana na story za hii choo, na utuache vile umetupata!

ndio! tuko!

22


enda!!

toka hapa!!

wazi! maria kim is back!!

nitamtumia dj b text nim-show hii story

i

Life itakuwaje vijana waki-participate kwa LATF? Saseni wasee, mnajua juu ya LATF kuwa ni fund iliyo available kwa watu wote ili-wa-improve area yao. Lakini si watu wengi wanajua juu ya LATF. Kwa hivyo nili-meet na George Owuor wa Kenya Social Forum na nikamuuliza atueleze more juu ya hii fund... Alikuwa na haya ya kusema:

Maria Kim: KSF inafanya kazi gani ya LATF? George: Tumekuwa tuki-inform vijana na wenyeji wa Kisumu importance ya ku-participate kwa mambo ya LATF/ Local Authority Transfer Funds for 5 years. Maria Kim: Nini iliwafanya m-focus on LATF? George: Kwa new constitution, maendeleo yata-depend on participation ya watu, na dooh zitakuwa zikipitia LATF. Tuta-decide vile dooh zitatumika ili zitusaidie. Maria Kim: Mnatumia methods gani ku-inform watu wa Kisumu juu ya LATF? George: Tuna-hold seminars kwa community na ku-engage wenyeji kwa discussions za kuwa-help kujigundulia umuhimu wa kuparticipate kwa LATF meetings na projects. Vijana wanapata platform ya ku-discuss na ku-address issues za areas zao.

Maria Kim: Kwa hiyo 5 years KSF imekuwa in operation, mume-achieve mambo gani? George: Wenyeji wameanza ku-follow up maendeleo ya LATF kwa area yao, na kuaddress shida kwa area zao. Maria Kim: Na challenges, kuna any mmepata? George: Tumetishwa sababu ya ku-empower wenyeji ku-own projects na ku-ensure ufisadi unaisha na haijatuzuia. Watu few walijua na ku-attend LATF meetings sababu zina-announce-iwa kwa magazeti tu. KSF ina informers kwa council wanao-inform wenyeji meetings za LATF ili wa-participate. Thanks George Owuor kwa kubonga na mimi. Shujaaz fans, mumepata 1st hand information juu ya LATF. Unawezamake a difference kama Kenya Social Forum vile wame-succeed kwa area ya Kisumu.

Si ujaribu hii idea kisha utumie DJ B message kwa 3008 au facebook page yake on DJBOYIE SHUJAAZ juu ya hii story ya LATF.

23


wooooi, woi, woi...

Ati mbegu gani?

...nitafanyaje na hizi seeds sasa?

sigh

mambo? una-do nini na hizo seeds?

24

nataka kuziuza sokoni...

daddy!

lakini hizo seeds zake ni


tunge-make doh poa kama tu tungekuwa na good variety seed.

zile shiny za dark brown...

sasa... maisha yangu ilizoroteka lini?

nakumbuka nikiwa kijana...

...ndoto yangu ilikuwa kutembea kila mahali ulimwenguni...

...nikipanda mimea kila mahali niendapo!

lakini sasa, vile maisha inaenda, itabidi hata mimi nianze kucheza game chafu!

25


nitachoma hizi seeds hadi ziwe brown na shiny!

halafu nitakuwa na vifaa vya kuuza sokoni!

na vile nazipenda!

asante, baba!

sikukupikia!

na vile hizo njugu ni mbaya!

26


oho! ndiyo huyo baba charlie sasa amefika sokoni...

seed poa! Nunua seed mzuri hapa!

mzee, kweli una certification ya kuuza seeds?

madam, siwezi kudanganya. hizi seeds hapa ndizo zimesimama katika mkoa huu wote! ngoja ucheki vile mimea zako zitakuwa kubwa!

muda si muda, twampata baba charlie nyumbani akichungulia kwenye store...

ha! mimi si mjinga kama wale watu sokoni. nimeweka seed zangu hapa kwa store, ndio nisipoteze pesa kwa kununua seed mpya!

27


ulisafisha store kabla uweke seeds? nimerogwa na majirani wenye hawataki kuniona nikifaulu!

no.

ulitumia lids kufunika containers? ulidisinfect storage container zako?

labda kuna sababu ingine, baba...

na nyinyi mnajuaje hizo stori zote za seed storage?

iko kwa shujaaz ya this month!

mwizi!!!!

28

la.

hapana.


ndio huyo mzee yule aliyetuuzia seed mbovu!

woishe, mbuyu amepatikana... labda next time hatajaribu stunt kama hizo...

si mimi! aki!

Ili uwe na

Pata/nunua mbegu zako Kausha mbegu zako healthy seeds vizuri kabla ya kuzi-store na kutoka kwa mahali pana aminika. za kupanda... Wakulima wamekubaliwa kuuza u-test chache kwa kuziweka mbegu wenyewe kwa wenyewe sokoni ndani ya tissue paper iliyo na kiasi au nyumbani kama hazijafungwa kwa paketi, cha maji. Zikianza ku-germinate baada ya lakini kama hizi mbegu zimefugwa, zitahitaji siku chache, jua seeds zako ni healthy na kuwa na certification kutoka kwa Kenya Plant zitamea vipoa. Health Inspectorate Services. Safisha na u-disinfect pale uta-store Tumia mbegu safi zisizo na diseases ili mbegu zako kwa kutumia pesticides. Uliza upate mavuno poa. agro agent aliye karibu juu ya dawa za kuzuia wadudu unazoweza kutumia. Ili kuzuia diseases zinazo-spread kwa mchanga na mbegu, tumia crop rotation kwa Store mbegu kwa air-tight shamba yako na u-maintain usafi. containers na kwa pahali safi, dry, penye ventilation poa na hewa baridi. Panda disease-resistant Hii itasaidia kuweka mbegu zako seed varieties ili kupata mbali na viini na wadudu wanaoweza mavuno ya juu na mengi. kuziharibu. Unaweza weka mbegu hizi kwa Treat mbegu zako gunia mpya au iliyosafishwa. Kama utana dawa kabla ya kuziweka store kwa gunia, iweke juu ya platform kwa store ili ku-improve i n ie ya mbao, sio chini kwa sakafu. quality ya mbegu. a Ros 29 Uncle w ! seeds pro wa


asante Kwa NCIC kwa kufanya kazi na Shujaaz.FM na ku-encourage peace wakati wa referendum. Big thanks kwenyu ma-fans wa Shujaaz.FM kwa kusaidia ku-maintain peace wakati wa referendum.

Tuma SMS ikianza na the word PEACE na utume kwa 6397 ili ku-report mambo yanayofanyika kwa area yenyu yanayoleta violence. (Sample: Peace) K24 Wed@ 9:30PM & Midnight Thur@ 11AM & 3:30PM Sat@4PM KBC Sundays@ 1:30PM

Mpate Louis Otieno aki-travel kote nchini akipata maoni ya Wakenya na wakiwa kwa discussions za kuleta Uuwiano nchini We are very hard working. We are proud and need to allow others to lead so that we do not end up kuangamia. Am a Kikuyu but today I have changed to a Kenyan. I have travelled in this country. In 1980 I was in Northeastern and was called Mathumathu – meaning nywele ngumu, I later went to Kisumu and was called Chalapono - people who eat potatoes. Am 58yrs and I say I will give my children land when am on my dying bed, they do not like it.


Wasee nipate pamoja na mashujaa wengine kwa Facebook na Twitter ili tuconnect kama vijana! Facebook: Djboyie Shujaaz Twitter: Shujaaz

Tutaweza ku-discuss juu ya stories za Shujaaz.FM, ku-share ideas poa, uta-meet na ku-chat na mimi. Ni-suggest kuwa friends na mabeshte wako! Yaani, hujui kile una-miss!

Visit website yangu on www.shujaaz.fm na utapata na ku-download chaptas za Shujaaz.FM comic zile hukupata. Ji-update na Shujaaz.FM website.

Ma-fans, tuchekiane online coz niko only a click away! Tuchekiane ma-fans online!


Shujaaz.FM radio show is smoking ma-fans!!! Hii ni coolest radio show ever! Ma-fans, nimeweza kupenya hizi radio shows moto moto!

RADIO DJ B iko k , show wa gani? statio n Na Nisikie nikipenya n ga p saa i?

waves za hizi radio stations kwa Shujaaz.FM show.

Koch FM 99.9 FM@ 4:30PM

94.4F M 7.9 F M ba s a 8 & M om @4 P M r FM Wa ji M Hz 101.7 :55 P M @6

a i c to r i Lake V M R a di o F M @ 6: 3 0 A 91 . 1

FM abit Ma r s .1 M H z 101 55 P M @ 6:

Hi DJ B, yako ninape nda show e kuvinoma. Ninge -lik skills show vijana kuwa aweza zin o og nd ko za kuwape leka far. ru. Rac heal M. Wawe

Sta r Nairo F M 105.9 Garis bi &97.1 F M sa @ 11:10AF M M M MU 9 Kila S a 9.9 F M tu a ft e r n r d a y oo n

@ 8:30 AM

Hossana FM 89.5FM @ 6:55AM, repeat 7:55PM

Sifa Lamu 101.1 M Hz @ 6:55 P M

Man 100 dera @ 6 .7 M H F M :55 z PM

J B, N iaj e D how. ou r s y e v o . l a h Bg m - Farid

Maata FM Lo d 101.9 M Hz war @ 6:55 P M

Utapata more info juu ya stories za Shujaaz comic na ujue mambo poa yenye vijana wengine wanafanya ili ku-improve lives zao. Tune in wasee ili tu-connect na tujenge Kenya ya mashujaa!

08 - Shujaaz.FM Chapta 08  

Chapta 8 - Full Comic

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you