r Chege Alexande u Nyahurur
Risto yangu na sweet potato After kumaliza high school nilienda Nairobi kutafuta works. Sikuwa lucky nika-end-up kupata kibarua tu. Job ilikuwa ngumu na dooh less. Life haikuwa easy. Niliamua ku-quit na nikafungua kinyozi ocha. Dooh nili-get nika-save for future. Kuna beshte yangu alini-advise nikomboe farm Nyahururu. Niliona idea ya New Variety Sweet Potato kwa Shujaaz na nikaipenda sana. Baada ya ku-save 35k, nikaenda Nyahururu kutafuta shamba ya ku-hire.
New improved variety za sweet potato ni tasty sana na mavuno poa. Varieties za new improved sweet potato varieties zinatofautiana na areas zenye zinamea vipoa. New sweet potato varieties ni kama Wera, Mugande, SPK013, SalyBoro, Ejumula, Kemb10, Nyawo na Mugande Vindolo Vitamu na salyboro.
28