ke
ma ku as ide dooh
morale
inspiration
shangwe
mashujaa
future noma
Ku make dooh
Ideaz kali
sms comix
web fm
chapta 22
s ma-ujanje
not for sale blished by pu
Utamchagua nani? Tunafaa kusherehekea tukikumbuka mayatima kama hawa ambao hawana mtu wa kusherehekea nao‌
Nimefurahi kuwa hapa na nyinyi, na nimeleta mazawadi kidogo tu ya hawa watoto wetu.
2
Roho yangu inaniuma sana nikikosa kuwa karibu na nyinyi watu wangu! Tujumuike tusherehekee siku ya leo!
3
Shika hii kidogo‌ nikianza campaign nitawachunga vizuri. Najua nilipotea nikiwa city lakini nitawalipa mfanye kama last time‌ Huyu msee ametu-enjoy vibaya! Anachezea mayuts hivi? Wazi Mzito! Wewe ndio unajali vijana.
Kades! Nimecheki huyo mbunge akilipa Scarface, ati atamlipa akianza campaign?! Kumbe ni wale wale!
Nimechoka na ma-leader kutumia mayut!
Tutajuaje leader mpoa ni nani? Mtu anatuchekesha kumbe aanajaribu tu kukuingiza box?! Nani atatuongoza kweli? Tutapata wapi msee wakutuongoza vipoa?
4
Bibi ya Chief?!
Unafanya nini huku?
Mbona mnashangaa? Nilianzisha hii centre zamani.
Tulikosa CDF nikaamua tuchange na wamama wenzangu tuanzishe hii centre. Sitaki kuona watoto wetu wanazurura mtaani na tuna uwezo!
5
Manze, ume-do something ya maana sana. Wewe ndio unafaa kua leader wetu!
Kabisa!
Mimi? Hapaana. Sijui mambo ya siasa!
Wasee kama wewe ndio wanajua nini community ina-need. Wewe ndio uko huku kila siku. Na umetu-save na risto mob sana. Wewe ndio unafaa upewe kura!
Hapana…hata sina pesa! Wacheni hiyo maneno.
6
LEADER MPOA NI YUPI? anzia hapa
2007/8
ZII
[ wewe kwanza fika hapo down kwa D]
Anakuanga around
NDIO
Huyo MP wenu, amewahi do volunteer work kwa community yenu?
Dooh zenu za CDF zimetumika kwa project za maana?
MP wenu anaishi kwa area yenu?
NDIO
ZII
NDIO
ZII
ZII
Una ofisi ya MP yenye ina-function mtaani? NDIO
NDIO
ZII
NDIO
Huyo MP ameanzisha projects za mayuts?
ZII
NDIO
Kuna msee kwa area yenu mwenye anajali masilahi ya community mwenye ungependa asimamie uongozi next time?
ZII
NDIO
ZII
ZII
A 3008 NA V S KW
sms 3008 leadership
ZII
C A
Huyu msee achana nae, MSAHAU – na usim-vote-ie tena!
Uko poa! Una leader mnoma. Endelea kum-support alete maendeleo zaidi mtaani.
B Inafaa mbongeshe huyu msee juu ya performance yake. Ana plan gani ya ku-improve next time?
E Support huyu msee hata kama hana dooh kwa sababu yeye ni a true leader na constitution inamkubalisha aendelee a-vie for governor ama senator.
D
S ZAKO UKIA IEW
Huwa mna-meet mara kadhaa na MP wenu ku-discuss shida za area yenu?
NDIO
MP wako alihonga wasee na dooh kwa election iliyopita?
MP wako amewahi bonga akiwa bunge?
SHIP TUMA SM DER
NDIO
Lini last ulicheki MP wako?
NA NENO LEA NZA
Unamjua MP wako?
Kuchagua leader ni responsibility yako. Usipo-vote, usilalamike.
8 Remember, it’s YOUR responsibility to ensure your school is a shule poa.
Mercy is a true heroine…here are some of her tips to make your school POA SANA! 1. There is power in thinking together. Let us use clubs to come up with ideas to make our school poa! 2. Takoo si poa! Cleaning duties can be shared among different classes. Do not dump your litter everywhere. Be responsible! 3. Plastic bags pollute the environment – my school BANNED them! Let’s use environmentally friendly bags instead.
Mercy Magake
BIGGEST congratulations to our NUMBER 1 overall winner for her excellent essay…
THIS CERTIFICATE IS PROUDLY PRESENTED TO ALL OUR WINNERS Lydia Odoyo • Maryanne Wanderi • Stacy Sang • Boniface Kuvasu • Victor Kathuri Teresa Wang’ombe • Mary Iribe • Ruth Chepleting • Erustus Munene You will all receive a school bag, a t-sho & a certificate!
SCHOOL SAFETY: MY RESPONSIBILITY!
SHULE POA Asanteni sana mafans kwa kunitumia ma-essays zenyu kuhusu Shule Poa. Tume-learn vitu mob sana kutoka kwenyu. Ilikuwa compe moja tough sana na ma-winners ndiyo hawa hapa. Congrats!
Kulazimishwa
Mum, saa vile tunatinga chuo, tutaenda ku-visit Shosh? Ah! Sidhani. Nina safari nyingi, itabidi utulie hapa uchunge nyumba tu.
KESHOYE SHULE… Una miradi gani za holiday Malkia?
Poa! Si tutakuwa na bash noma hapo kwenu?
Aki mum! Sina plan, niko tu home peke yangu, Mother hatakua…
Zii! Sitaki noma kwetu!
Aki watu wachache tu!
hepi tu kiasi, sio wasee wengi…
Nita-come na Collo!
9
siku ya bash...
BAADAE KIDOGO…
Jibambeni na keroma wasee. Jiskieni free!
NIAJE MALKIA!
Relaaaax Malkia. Jibambe! Ausio Collo? Sasa uliita chuo mzima? Hii ni noma!
Tujienjoy tumefunga chuo, acha kuwa spoiler! Mother yako hayuko, una-worry ya nini?
Si u-try hii kanywaji nimeleta ndio u-relax? Tulia Malkia – ni bash. Unafaa kuzitoka!
GR
RR R
10
R!
ISHIE
NI!! Ai! Kuna nini Jipesh?
Walalalalala! Sasa hizi ni nuks gani tena?
11
Mbona unalia?
Imagine ile time umeniacha na Collo, amenilewesha na ile drink. Halafu…halafu…
Alini-force ku-do na yeye!!
Sijui nitafanya nini. Hakuna mtu atani-believe…
Iza sana Jipesh. Simama twende na wewe clinic.
12
Naku-believe. Kila kitu itakuwa poa. Come twende.
KESHOYE
Huyo nurse amekupa counseling, na kama una worries zingine, bado
Thanks sana Malkia kwa kunipeleka clinic. Na-feel poa kiasi sasa.
Tulia sasa. Si umepewa dawa za ku-prevent-isha ushike ball na HIV? Utakuwa poa.
Usi-feel aibu. Kwanza unafaa kum-report kwa polisi. Msee kama huyo ataendelea ku-do hivyo. Lazima tu-take hatua!
...NA umejulikana vile unapenda kufuata machali?!
Wee Jipesh. Mbona una-spoil-ia Collo Cv...
Hebu chunga hiyo mdomo yako! JIpendo ana haki yak u-get justice kwa kitu Collo ame-do. Haijalishi tabia ya Jipendo, hapa ni Collo amekosea!
13
Na nisiskie tena mkiaznisha hizo rumours za kifala!
Thanks Malkia!
USILAZIMISHWE! Wasee, kama hautaki ku-do na chali, hata kama ni chali yako, una haki ya kukataa coz:
i, i, basi hautak Kama hautak ect! sp re uchali ak na lazima huyo
Msee akiku-threaten ndio ukubali, bado ni rape. a NO. NO inamaanish zimishane! ila us , Ukiambiwa NO
o u-have sex,
Ukileweshwa ili usijijue ndi bado ni rape.
Hata kama huyo msee hana sila ha lakini mameku-force, bado ni rape na unafaa kum-rep ort. Kama msee anakulazimisha, kata a clearly, piga nduru, HEPA kama unaweza!
Kuwa supportive kwa msee amekuwa raped, msaidie ku-report. NENO RAP E
sms 3008
3008 UTO KWA
STO. TUMA SM II RI
S NA
Ukilazimishwa ku-have sex:
AONI JUU YA H EM
• Enda kwa clinic au hosi haraka iwezenakavyo ili upate matibabu. • Bonga na mtu una-trust aku-help ku-report. Wasee wenye hu-rape huwa wanaendelea ku-do hivyo so ni poa uwa-stop!
14
Kumbuka! HAKUNA mtu huwa anaitisha kuwa raped. Ni hatia na una haki ya kupata justice.
rape
mchongoano 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11.
Ati wewe ni muoga, ukishtuka, shadow yako ina-vibrate. Swag naskia wewe ni mras hadi ukilala una ngorota bwow bwow ate kabom. Frank Boyie wewe ni mzee hadi ukiwa shule History ilikua inaitwa breakn news. Yvonne Peters We zuzu eti first time yako you heard about facebook uliuliza, “INA PAGE NGAPI?” Yusuph Wewe ni mfupi hadi unapiga pena na chest…. Lynnette Ati manzi wako ni mweusi hadi tangu umuingize box hujawahi kumwona tena!! DJ B mko wengi kwa nyumba hadi nyi hupewa chai na sprinkler. Roberto Ojwang Nasikia we ni ugly hadi picture yako hutumiwa kufukuza panya na mende kwa nyumba. Roberto Ojwang Ati wewe ni mjinga, ukiona lightening una-smile ukifikiria unapigwa picha. Rus Ngash Ati nyinyi ni wachafu hadi mkiingia kwa maji, samaki zinatoka kutafuta fresh air!! Ati uko na kisogo sharp hadi ukienda kinyozi unamaliziwa kunyolewa na sharpener. Haggai Dos Santos
umeshinda t-shoo
sheng
dictionary 1.
Makata - Kudanganya
8.
Neti-jela
3.
Kilami – Ngoso/English
9.
Gife-bank
10. System-scho ol
5.
Hepi – Bash
7.
Kuzitoka – Kujibamba
2.
Ndialala - Shida/Ngori
4. Miradi - Mipango 6.
Keroma – Chakula
11. Tenje-phone
12. Debe- music system kwa matatu. 13. Kobiz – job/wax
Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. ,
special thanks
P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214, www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: USAID, Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom. Content producer: Audrey Wabwire Content: Paul Peter Kades | Vincent Muthini | David Ouma | Bridget Deacon | Sylvia Thuku Art Producer: Tim Odero Layout Design: Tim Odero Art: Daniel Muli | Eric Muthoga I Shin Tuxedo | Naddya Aluoch | Joe Barasa | Noah Mukono Radio: Eunice Maina | Dominic Oigo Finance: Dorothy Acholla Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio Well Told Story © 2011 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
15
VITA A Z RY STO HERIA NA S
conduct. . Nina cert ya gud a hata. . .!! do a sin juu ko .ni Gracie doc mmoja Shida ni, kuna 2 a ku-sign afa an nairobi yote Liwa Sheik. !... rs! pe pa ma o hiz
aani tunawagwa C C mavijana mt zi get boy we hu di ma yankee ha watadai wee ju r o ni disaste akidai p3. Man, hiy wazae buda. saa ma p3 ni za ndio rui mtaani i an Zack Mutam
Mi mtaani ku na beshte ya yake kofi. K ngu flani al wa hiyo kù vurugana si ipiga dame ikavunjika mu (nokia hizi za thao). Dem ya huyo dame akidai amep alienda 2 st igwa na an enje ad akarudi na ai iyo form mabeast. H uyu boi aliv ya p3.Then mabeast!! Bo urugwa na y hao aka-buy sim wetu alilipa huyu dam e, u ya thao na ne juu huyu na pia simu yake ilikuwa hizi dame alidai za kisasa. H stenje siku uyo boy ak mbili. Edga alala r Kartel Watu hapa mtaani wan a-chuz kum kinyumban alizana i boss. Mam bo na kara Msee anak o na makes uambia poi i zi. nt b yako buda itahitaji nion lank: ouch! hiyo knoc k-out e doc. We le tutaongea baadae. Ft ta soo tano Karis
TUSIBAGUE WALEMAVU
Niaje DJ B. ubaguzi ina Hii risto ya make was because ina Watu walemavu wa-feel unwanted & unloved. eza Unaw lity. inabi not is ility disab e wakumbuk come to regret. ni juu DJ B, chapta 20 ilikuwa short xana c'jui iss inam a ilikuw r corne art na part ya boyie h nini? lakini maria kim na Shujaa of tha mont lity. inabi not is ility disab we Enye real. it made kawa. Luv ya me kwa Shujaaz.fm ina-flow kama Fay kutoka Embu.
apozz Jo! DJ B nafikiri Maria Kim akona Strato ama (strategie poa). Ni poa tuwache ubaguzi, niaje wakenya?
IDEAS ZA KU-MAKE MACHEDA
Hey DJ B! I was in a gang huku Athi. Lakini nilis risto ya kufeed kuku mi hupata 5000 kwa mont gang tena. J.K from Athi
Nimegundua njia ya ku-make do. Ku-make hay ni njia smata xana ya kumake do!
Niaje DJ B. Ni Maxwel Jomo kutoka Bungoma. Ha hu-mek bricks toka kwa udongo kisha tunacho kuchapisha. Moja ni 5 bob na zikiwa haba ni 7. ukiwa na bricks soo moja hiyo ni k 5 unazo. Ma hu-mek colabo na kuokoleana kwa hio janta. Im ma-yuts kupata fulusi na maboiz hawa-idle. Hi DJ B! Naku-thank tu sana. Manze naomba uambie ma-yuts kuku ni dooh! Nilipoanza kulisha kuku nili-change life yangu. Ni Kush kutoka Maua Meru.
SUNGUCH INA FAIDA bt ma al bt sikufuga suguch Mi nilichukua that ide ha and ilis kuz hw we bora uju pigs manze ni kj smart ja ndume na mo tatu pig na a anz kip them clean nili pig 36 za grade. mbili kike sai niko na Joel
kuzi fry noma kuwayi, waweza Makert ya sunguch si to na get wa see wa a kw , uch na kusell meat ya sug de. stu ma a e kw wakiwa mob sell som John Odede
Niko na sunguc h na zinaleta do o sana coz zin afta 2mnths na azaa pia ni ready m eat. Angy Talianah Cjafuga bt cuzo wa myn ako cl ass 4 amezifuga He's 1 rich kid .. na haringi! Xtina Taffgee Sunguch si ny ama na dooh tu ambayo ukiwek ! Pia hutoa mbo a shambani hu lea tokea mavuno ya ajabu… Bosley Lukong o Sunguch zimen ipa faida kubw a, kwani ngozi ya nasafirisha inch ke i za ngambo. Kiarie Jirani yangu an afuga varietie s mbili ya sung 2500-5000 moj uch. Anauza a. Inadoo mob sana!! Hata na partnership cj ona 2kiform ui ka atakubal i, hebu niask kw anza! Monique Niaje DJ B Hio risto ya sungur a imenimbaba sana.Nitanunu sungura nami nilishe nijisaidi e. Benjamin wa Ka ngundo. Hi DJ B! I’m Hu rlllimgtone Gr ondy from Kitale Aruba.nimebam side za bika na ideas zako za kufuga nimejaribu n is sungura na good thanks 4 ur good work keep it up.
oma ile h na mi si
!
apa ivi C ma na 5 bob. So boiz meokolea
‌
a
BIG-UP SHUJAAZ Hi DJ B! kudos for the Hope ur gud. I juz wanted to say My son & I aaz. Shuj good job u r doing with th is the mon last ya e Issu h. deat to it love aza, yani I ilinij lie char ya bro bomb! Stori ya king! The laughed so hard my ribs were brea d even rstoo unde form P3 ya stori e humor mad ths mon next for wait 't to my 7yr old son! Can Polly. aaz‌ Shuj up big issue and your Vipi DJ B! Manze I like what you of Kenyan team are doing changing the lives her. brot up it youths. Keep is poa Naitwa Liz kutoka Nanyuki. Ua show mob. Sir ee wath dia asai inaw mag az Shuj n githaa God awabless tu sana tuchekiane ingine.
DJ B, maze umewai point kali xana.wa2wengi hawana habari kua dawa zinaezakua harmful.especialy antibiotics. Abdi Kithiye First-aid C mbaya DJ B, bora maumivu yakizidi umwone daktari. Cayte Ngari The number ya fake doctors na chemists saa hii ni unprecedented. Nilikua na skin disease once. Lo! Si hawa watn walinimanga doh! Mara tumia ointment mpya, mara sugua hii, mara ... Aai... Ft Karis Mi namsupport xana malkia coz kuna wa2 wanaojidai Madaktari prof. hili kumek doh, wamekuwa kibao na unaweza kosa kujua ni miti ipi ametumia na labda si ya ugonjwa wako hence u end up kujiongeza problems juu ya maproblems. Pata ushauri kutoka kwa daktari 2 b on the safe side. Matilda Evelyn
SHUJAA OF THE MO
NTH!
JINA: Ronald Ijaami BASE: Nairobi {Ngong Forest Primary School} Age: 14 yrs
Nilisoma kuhusu sungura kwa Shujaaz. Niligundua kuwa naweza pata kitu ya kufanya baada ya shule instead of kucheza. Since kuna beshte wangu alikuwa anfuga sunguch, nilim-convince aniuzie mbili. Nika-buy moja male na moja female. Kulikuwa na crates za mkate za kitambo kwetu. Niliona hizo ndizo material nitatumia. Nikajenga ka-hao then crates nikaweka juu ili zipate place ya kuchezea. Soon nilikuwa na sungura sita. Nikapeleka kadhaa ocha na zingine nikauzia friends wangu. Nashukuru sana Shujaaz kwa hii idea juu huwa zinani-keep bussy time siko chuo na pia zinanipa pesa. Na-hope zitaendelea kuongezeka.
Ni pouwa ku-get proffesional advices hata kaa unatumia maherbal , get a proffesional in herbal medicine ucje ukatumia the wrong medication. Watu wazoee ma-professionals na waache kufanya exprerimentation na milili yao. Lenny K
LI E W K A NI POUJITIBU? K
SMS 3008 ni 5/tu!!
KUMBUKA: INCLUDE JINA NA LOCATION KWA MESSAGE
Nitumie message ya mpendwa wako na nitazisoma kwa VALENTINE special Show
Kujiamini
aki! siku moja! ngoja tu!
Eh! sasa chuxx? unakaa poa! naitwa knight. natafuta msee wa kuni-buy-ia lunch... si uni-buy-ie? uko na smile poa!
aaaah... lunch, eh?
sasa knight? si utakumbuka kuniletea ile kitu on monday?
aaaaahh....!
18
sawa metty!
kwani una miaka ngapi wewe?
mimi sitaki ndialala. enda, usiniongeleshe tena!
twelve. kwa nini?
ngoja! niko na idea poa!
kuna wakati kuliwaka moto mtaa. kama sio yeye, nyumba nyingi zingeungua. ali-organize wasee tukazima moto. hata mimi nilikuwa huko!
mtoto tu kama wewe unbehave aje?
kunaa dem fulani ningependa uongee na yeye. huwa na advice poa sana.
sina noma. twende nimuone.
halafu time ingine classroom iliwaka moto. kama sio huyu dem, msichana moja angekufa ndani ya moto!
siku ingine akavamiwa na wakora kwa street. sijui kuliendaje, lakini hao wakora waliona
moto!
19
hajawai nikubalia niingie hapa kwake. lakini leo venye nimekuja na wewe...
inaitwa killing two stone with one birds! hehe!
kilami ngumu kweli!
sasa chuxx na rafiki yako?
eh, msupa! unakaa m-hot! huyu ni knight. nimemlete ubonge naye hizo story wewe hupenda... about responbisi... responsibull... ah! unajua!
ala! nilidhani mimi ndio the hottest hii base!
ingia, knight. wewe chuxx ngoja hapo nje!
20
knight, unajua decisions ana-make saa hizi zitakuaffect in future. so inafaa u-make the right decisions ndio usipate mashida baadaye...
acha niku-show story ya mine...
knight?
hakuna kitu unani-show!
Nikiwa na miaka 10, mother alikuwa m-sick na AIDS. Hatukuwa na dooh za ku-buy madawa...
Ilibidi niache shule nimchunge...
Mbuyu pia alikuwa m-sick. Siku moja akaenda ocha na hakuonekana tena...
Kabla mother a-die, alini-show nisiache shule kama yeye. Nikam-promise nita-struggle nimalize kusoma na pia nitamchunga bro asome, asiwe jambazi wa mtaani...
Nikajikaza nikaanza biz ya ku-make na kuuza mandazi...
Nika-save dooh kiasi nikampeleka bro daycare...
21
Life ilikuwa hard na stress kibao. Nikajikaza juu nili-feel mum yuko na mimi akini-encourage...
nikaendelea kuenda chuo... na nikaachana na stori za ma-boys wenye hutaka tu kututumia...
22
Madem lazima tuvumilie na tu-focus ndio tupate mambo poa kwa life. Cheki hii huyu Shujaa:
Gitau airimu Jina: W 8 Age: 2 e Mathar ANADA! Base: oC k a a s a Kwa s
Nime-grow Mathare na huko ndio nilisomea. Tangu utoi nilitaka kuwa journalist na sikuwahi sahau hiyo dream yangu! Mimi na mkanya wangu tuli-make chang’aa ndio tupate dooh za kunisomesha. Nilipomada primo, mother ali-make sure nimeenda seco. Wasee walisema hakuna haja ya kupeleka mdem wa ghetto seco lakini mother wangu ali-believe in me an nikasoma seco.
23
ka. oh. Sikucho kuwa na do sts tu re ha te u in ju wa-show ilikuwa hard mtaani nika e flani Kufikia Uni po se ha M b. za jo ’s O na a NG aidia Nilienda kw er na kuwas sor na niki-volunte alinisaidia ku-get spon place zangu huku el er av te tr un eol m -v ni ki nili-meet ni journalist na ni me-get i ni im a pi m e a w ni. Sas na. Mwisho sa a nikaenda U . m rs no te mea Mas ku-do jobs kadhaa na Canada kuso ja ku ya p hi scholars
Ningependa madem wote wajue, kila mtu anaweza ku-succeed. Kama niliweza, wewe je?
Kumbuka:
NENO KUJI
RISTO. TUMA SM HII
VE KWA 3008 U LIE
-BE A • Elewa ni nini unataka na u-make decision kufuata SN sms hiyo dream yako. 3008 • Cheki news, kuwa na updates juu ya vitu poa ili kuji believe u-get ideas poa za kujiendeleza. • Mabeste wako ni muhimu wa kuwe wasee wapoa wenye wanakujali. • Kuwa na plan, jaribu uwezavyo utimize hiyo plan yako.
MAONI JUU YA TOE
24
JIAMINI NA UTAFIKA!
JAA SHU DER! XAN ALE unakumbuka vile kulienda...?
25
26
Kupanda sweet potato vines Kupanda sweet potato vines 1. Chagua vine ya urefu wa 1 foot ilio healthy (green bila yellow veins) 2. Chimba shimo isio-deep juu ya rows utakazo tengeneza ili kupanda 3. Weka 2/3 ya nundu kwa mchanga na 1/3 ya nundu iwe juu
Kuzalisha sweet potato vines kwa nursery 1. Tayarisha pale utapanda new improved variety ya
sweet potato kwa kuchanganya mchanga na manure kisha uweke maji. Tengeneza kivuli juu yake. 2. Chukua mmea wa sweet potato
usio na magonjwa au yellow stripes kwa matawi 3. Kata matawi ukitumia sharp
blade vertically kwa sehemu utakayopanda kwa mchanga ukibakisha node moja juu 4. Ili kupata mbegu ya kuzalisha, hesabu nundu tatu kwanzia sehemu ya chini halafu ukate stem. Endelea kukata hivyo ili kupata mbegu mob za kupanda na kuuza.
5. Ukipanda, hakikisha kuwa nundu mbili ziko kwa
4. Spacing ya kupanda ni 1 foot (30cm)
STO. TUMA SM II RI
NENO UKUL I
sms 3008
KWA 3008 UT MA
S NA
ukulima
mchanga na nundu moja iko juu. Nyunyizia maji kila siku. 6. Mimea ya sweet potato vines itakuwa tayari kupandwa kwa shamba after 2 1/2 months 7. Vines zinaweza kuvunwa baada ya wiki kadhaa na kuuzwa for 1 bob kwa majirani. Unaweza anzisha bizna yako simply kwa kupanda new improved variety ya sweet potato seeds! 8. Sweet potato vines zinaweza pandwa kwa areas zenye hazina mvua ya kutosha kwa kufunika nursery yako na nylon paper. Fungua sehemu kidogo ya nylon paper mchana. Toa plastic bag 2 weeks kabla ya ku-harvest ili mimea izoee hewa kavu. Weka mulch ili ku-conserve maji.
27
MAONI JUU YA H OE
r Chege Alexande u Nyahurur
Risto yangu na sweet potato After kumaliza high school nilienda Nairobi kutafuta works. Sikuwa lucky nika-end-up kupata kibarua tu. Job ilikuwa ngumu na dooh less. Life haikuwa easy. Niliamua ku-quit na nikafungua kinyozi ocha. Dooh nili-get nika-save for future. Kuna beshte yangu alini-advise nikomboe farm Nyahururu. Niliona idea ya New Variety Sweet Potato kwa Shujaaz na nikaipenda sana. Baada ya ku-save 35k, nikaenda Nyahururu kutafuta shamba ya ku-hire.
New improved variety za sweet potato ni tasty sana na mavuno poa. Varieties za new improved sweet potato varieties zinatofautiana na areas zenye zinamea vipoa. New sweet potato varieties ni kama Wera, Mugande, SPK013, SalyBoro, Ejumula, Kemb10, Nyawo na Mugande Vindolo Vitamu na salyboro.
28
Nilianza na half an acre ya shamba. Haikuwa rahisi juu sikuwa na experience ya farming. Nili-employ wasee wanisaidie. Hiyo season haikuwa poa vile. Harvest ilikuwa kidogo juu kulikuwa ku-dry sana.
Siku-give up. Next season pia nilipanda potatoes and believe it or not, nili-harvest 110 bags of white potatos! Hii ilinipatia morale na nikaongeza shamba hadi 3 acres. Saa hii nafanya farming na nina kinyozi.
kumbuka: Vines za new variety sweet potato hazitazalisha tubers mob lakini ni kubwa zaidi in size. Nyunyizia maji vines kila siku. Unaweza pata up to mbegu 10 kutoka kwa sweet potato vine moja.
29
Thanks to Shujaaz, I earn a living in a way that I can be proud of. Ma-youth wajue kwamba, ile knowledge kidogo uko nayo ndio itakufikisha mbali. Tia bidii na usi-lose hope incase haija-work-out the first time. Jaribu tena na tena na matokeo yatakufurahisha!
Challange ambayo na-experience huku ni bad roads. Inakuwa expensive sana kufikisha harvest zangu sokoni. Hata hivyo, farming inaniwezesha kusaidia familia yangu na hata nalipia siblings wangu fees chuo.
kumbuka: Vines za new variety sweet potato hazitazalisha tubers mob lakini ni kubwa zaidi in size. Nyunyizia maji vines kila siku. Unaweza pata up to mbegu 10 kutoka kwa sweet potato vine moja.
30
Congrats to wale wali participate kwa drawing ya army worm. hawa ndio ma-winners - nyi wote mtapata ma t-sho za google!
name: FRancis gakuru age: 11 years base: kiambu
name: justin mzenge
name: FRancis gakuru age: 11 years base: kiambu
Name: MARK ODHIAMBO OTIENO
name: felista kanini age: 18 years base: kikima
name: FRancis gakuru age: 11 years base: kiambu
name: deborah nekesa masibo age: 13 years base: nairobi
name: nisiya h. dossage base: malindi
31
M oF mb FM 5 ga :4 M u 0 2 . 3s @ 125PM 1 day 5:1 5, ur Sat 0, 4:4 2:3
MMU 99.9FM
5 Saturdays @ 12:4 2:30, 4:45, 5:15PM
Shujaaz.FM radio show inapenya kwa hizi station kenya mzima. pata story zote za comic kwa show yangu. cheki time na ukae rada!