21.a – Maria Kim

Page 1

Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!

Mkutano ya Sifa Sifa ni wapi huko unataka * tujikate?

Kuna place wanapanda nyanya, na I think ni njia poa sana ya * ku-make mawinch.

Sasa nyanya mtu anaanzaje kupanda?

* cheki meaning kwa sheng dictionary

KUPANDA NYANYA NI IDEA KALI SANA...…

Penye uta-control environment ya mimea yako. Pia ni rahisi ku-control pests kwa greenhouse.

• Uta-harvest ba ada ya miezi 3 Ha rvest early – 2 mo • Utaziuza bei po nths a na u-get profit! • Buy mbegu po a. Utaziuza kwa mu da mreeefu!! • Hizi nyanya zin a-taste poa na zin a demand!

1.

CHEKI REASONS…

KU-STAR

T UTA NE

ED...

Ni rahisi kuzi-install na ina-economise utumizi ya maji. Pia utawezaku-store maji.

2.

greenhouse

water tank 3.

3

fertilis

er

Buy fertiliser poa ndiyo pia uweze kujipatia harvest safi...

+ irrigation h awa p

system ia wan

Amiran

awez a

ku-h el p ...

Kenya Lt

CONTA d CT: Amira nK P. O Box 30327-00 enya Limited www.am 100 Nai robi ira email: af nkenya.com k@amira nkenya.c TEL: 07 om 19095000 /226/327

Ina-sound kama dooh mob lakini mkiwa kwa group, mnaweza apply-ia loan. Vitu zikienda poa, mtalipa hiyo loan mkianza ku-make dooh ya maana!


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.