Page 1

not for sale

kujenga ma-youth

published by

3 of 6 1


ni nini pato? mbona unazubaa na doh hivo?

umesema unataka ku-invest? hapo sasa umefikiria kama wajanja tisa!

mse, kwani haujawahi cheki noti ya thao?

unaeza ukaanzisha a small business, ama u-get mtu ako na business tayari halafu u-invest huko...

sio hivyo... weekend nilivisit uncle yangu, na alinipa hii thao kwasababu nilipass exams. sasa sijui nitafanya nini nayo...

aaaii!! tangu lini pesa zinakosa kazi? unaeza buy movies, games... twende tuka-buy ma-dvd

unaeza-buy sdcard mpya ya phone uweke mangoma!

enda kwa stall, uta-get ma-clad kali kali...

ninajua place iko na chips na kebab poa... na bhajia, crisps, samosa, kuku, bata...

baadaye...

nitakuwa sonko siku moja! ngoja tu! halafu huyo dem, maria kim, atakuwa wangu!

ah! hapana!

K

hiyo ni story mob! sina hiyo patience. mimi nataka ku-invest kwa kitu itanilipa chap chap!

mimi ni sonko. huoni hizi doh zote. hata nikikupatia utazeeka kabla umalize kuzihesabu, hehe! tihi! naona!

ala! chuxx umetoa wapi hizo doh zote? na ni za nini?

hizi? hizi ni za invect... yaani, infestme... ah, yaani ni za inveztben...

hapana! nyinyi mnanipoteza. nataka ku-invest hizi doh ndio ni-get returns.

2

33


one week later...

investment!! hiyo ndio nimekuwa nikifikiria leo! niko na thao hapa, na natafuta place ya ku-invest.

ahhhhh! you has come to the right man! i am a explat... aaah... expert! hizo doh zako, nipatie na nitazi-double in one week! exactly one week!

everything a-doubledouble!! hehehe!

hehehe! wewe ni mwerevu sana. nipigie simu next week nikupatie thao mbili!

double? poa! shika!

baadaye...

haiya, huyu chuxx hashiki simu yake!

wewe chuxx!! wapi pesa zangu? mbona unalenga simu yangu?

tihihi!

aah?

pesa zangu ulizifikisha kwa bank? ndio mdosi. sawa. shika hii finje kama ahsante. ahsante mzito.

44

ala! sasa ameizima! acha niende nimsakanye!

nipatie pesa zangu saa hizi ama niite polisi! niko serious!

aaak!!

sikia kijana! mchezo cheza na watu rika yako! mimi sijui pesa gani hizo unasema!

eish! pesa gani?

5


Save

utaachana na mimi!

put me down!

aaaah! mama!

mmmmff!!

mmmmff!! sijui nilikuwa nafikiria nini?

Save

Apart from investing kwa ma-bizna, nyinyi kama ma-stude mnaweza fungua bank accounts na m-save doo yenyu pole pole, so that next year mkimada fourth mnaweza jilipia fee ya colle, kuanza ka biashara, etc. Bank moja ambayo ni friendly kwa ma-youth ni PostBank, ambapo unaweza fungua “Smata� account. Ni open to anyone between ages 12 na 18 years, na unaweza i-operate either as an individual ama as a club.

Parents/guardians wako watakusaidia kuifungua. Kumbuka ni wewe alone unaeza access hio chapaa kwa account yako. Una-need opening balance ya 50 Bob alone na lazima u-maintain 200 Bob kwa account yako ndio iendelee ku-operate. Kwa hivyo, kila time mko na minimum ya 50 Bob, tafadhali ifikishe kwa account yako, ui-save alafu ucheki vile ita-grow.

'FIND OUT HOW TO OPEN YOUR VERY OWN POSTBANK ACCOUNT IN THE NEXT COMIC!!' share price NSE

savings account

if you were given 1000 kshs what would you do?

Kuwa m-Patient

Nita-buy nguo mpya za bash!

MJIN

MJIN

GA

GA

MJAN

MJAN

JA

66

Nita-buy kuku na nianze kulea kuku mob.

JA

MJIN GA MJAN JA

Nita-buy shares kwa cyber ya mtaani!

MJIN GA MJAN JA

Ni poa sana kuwa na patience ya kungoja doo yako i-grow, badala ya kutaka i-happen tu saa hii. Deal ikiwa poa sana, unafaa ku fikiria mara mbili. Msee mjanja ni mtu ana-save doo zake wisely, ana-invest wisely na anapatia investment yake time ya ku-mature. Haiwezi happen at once. Acha tuone vile Juliani hueka pesa zake.

NSE

buying shares

MEME ltd.ltd.

starting a business

OTHER ltd.

investing in anothers business

1. Chagua kitu jamo mahali unaeza invest chapaa yako, na kwa nini?

2. Ni gani utakosa ku-choose na kwa nini?

Nita-buyia mabeste wangu wote manjiva!

7


Sitakuwa kijana milele. Siwezi nikakuwa na the same energy. Ni lazima uwe na long term plan. Nili-sign deal na record label ndio ni-own the rights to my album so that in the next 5 years bado ninakula rights. Pia niko na bizna, shop ya ku-sell Kenyan goods. Dooh mi hu-get huwa naweka kwa hiyo bizna. Nashughulika saa hii so that eventually ina-work for me. sifanyi tu vitu fwaa, nataka kufika place.

TopTip The mighty buffalo is deliberate and steady, waiting all day for the hot sun to pass. It steadily grows and protects its herd. Don’t be in a hurry to make quick money that you might easily lose – wait for your investment to grow and give you real rewards!

88

Janjaruka 3  

Janjaruka is a money making comic written in sheng. It revolves around the lives of young people and gives life saving tips on how to be wea...

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you