Page 1

Baba Charlie Anaangukia Dame!

saaaaaasa...

hawa kuku wetu wameenda wapi?

charlie! kwani umerogwa na hiyo mpira?!?! Kuja nikupe kazi!

niko na date with a special lady leo! ooooh!

na ninataka kumpatia kuku moja kama zawadi, lakini siwaoni kuku wetu! wametuhepa tena!

warudishe kabla giza iingie!!! haujui kuku ni pesa?!

24


wazi, charlie!

meep 25


woooishe, kuku huyu karibu aliwe! ameogopa!

Ala! Kuku mwingine amejinyonga kwa fence!

...oops!

26


baadaye... karibu giza iingie na tumepata kuku wawili tu! tutafanya nini?

rosie, kimbia! kuku anaenda kwa jirani!

kuku mwingine!

haiya!

itabidi tuchague mmoja!

na kama si wetu?

WEZi!

27


Aki mathe tafadhali kuku wetu ali...

hatusikizi! tuhepe!

kwendeni huko, nyinyi watoto watundu!

aki rosie, nimechoka! hata mimi! twende tukunywe maji!

sawa!

nisiwashike! nitawakaranga na mayai!!!

hee, sitaki kusumbuka na hizi kuku tena! si labda mjenge pen ndio kuku zisipotee tena?

hmmm...

nimejua! tutengeneze chicken pen! ala!

28


iko poa sana! asante kwa kunisaidia! wacha nimuite mbuyu aione...

iko poa!

kijana, unanisumbulia nini? niko busy!

DADDY! come ucheki!

wapi kuku yangu, nyinyi watoto watundu?!?

ni nyinyi!

hepa, rosie! matha mso kama huyo atatuumiza vibaya akitushika!

cheki tumemake chicken pe...

KUKU = DOOH!!!

Ukitaka kuchunga kuku vipoa: Zi-protect kutoka predators kama mwewe. Uki-dye kuku pink, mwewe hatazichukua. Cheki Chapta 1

Wasee, kuku moja ni kshs 300. So ukiuza kuku moja, unaweza buy bag moja ya new variety maize!

Zilishe fiti. Hii si expensive juu unaweza zilisha termites.

Ukiuza kuku 5, (Kshs 300 x 5= 1500!!), unaweza buy gunia moja ya fertilizer.

Cheki Chapta 2.

Ama hata boots za football! Msee mjanjez hawezi tupa tu dooh hivyo. Chunga kuku na uta-save dooh!

Zi-vaccinate ndio zisipate Newcastle disease yenye hufagia ma-kuku vibaya! Cheki Chapta 5 Lakini, ukitaka kuzi-protect kutoka mongoose na wanyama wengine wenye hukula kuku, unaweza ku-buy Chicken Pen yako for only kshs 250. Ama, unaweza kuzijengea chicken pen kama ya Charlie. Ukifuga kuku hapa, wanyama hawawezi kuzi-get!! Soma comics zote za Shujaaz FM online kwa www.shujaaz.fm asante fips for the information!

www.fipsafrica.org

29

11.d - Charlie Pele  

Chapta 11 - Charlie Pele: Baba Charlie Anaangukia Dame!

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you