Page 1

leo ni siku ya soko! naenda kuuza kuku zote, nibuy chuja mpya na hizo dooh! hata hizo stori za newcastle disease hazinitishi, juu mzee sangoma ametibu kuku zangu!

25


wakati huo kwa nyumba ya akina charlie... nimesikia kuku zote za jirani mwingine zimekufa.

hiyo ni urogi ya kabila yao!

na urogi umefika kwangu!?!?

tumeishaaa!!!

charlie! nenda ukachunge kuku na uone kama zimepata maradhi na usitoke hapa hadi nirudi. sawa!!

...AKI..

26

nimeenda kuchukua sangoma!

kijana wangu, ngoja utamea beak ya kuku!


eee charlie! umesikia vile makuku yamekufa?

uncle yangu ni vet na anakuja kwa center ku-vaccinate kuku.

kwa nini?

na zetu bado!

si ndio zisipate newcastle disease inayo ua kuku kama za neighbor wenu.

leta zenyu.

wee! staki shida na fathe. atanizushia.

sikujua kuwa wewe ni mwoga hivo!

sawa! twende saa hi!

oe! twendeni mtibiwe!

itabidi tuzibebe ndani ya nguo...

mbona chicks zako ni za pink?

oh, nilizipaka ili zisichukuliwe na mwewe!

sawa, mimi huweka chicks zangu safe kwa basket cage.

27


hahahahaaa!

ai!

hebu tuharakishe! ni mbali!

uncle!

umefanya vizuri!

haha!!!

nimezileta!

hakuna sababu ya kukosa ku-vaccinate juu utajiokoa hasara ya kuku zote kufa kutokana na newcastle disease.

uza kuku moja na utapata pesa za kununua vaccine ya ku-vaccinate kuku 100 kwa mwaka mzima.

kwanza, hakikisha kuwa kuku imetulia wakati unavaccinate.

28


Ili kuweka vaccine aina ya drop, shika kuku vizuri na uinamishe kidogo. then weka 2 drops za vaccine kwa kila jicho au maskio.

kwa vaccine ya sindano, shika kuku vizuri mabawa yake yakiwa karibu na mwili wake halafu udunge vaccine kwa breast section au kwa thigh.

asante!!!

uuuwi! ndio hao wanaingia hao saa hii! tuhepe na nyuma...

29


alililililiiiiiii!

mumeona?

basi.

sangoma oyee! nilijua ungesaidia!

fathe anafanya kama kuku zenyu same mistake na zitasurvive, nadhani neighbour kwa kuleta sangoma! itakuwa juu ya uncle wangu, na si sangoma

vaccination kweli ina-work!

snif!

na vaccination yangu iko?

wacha nitextie boyie ujumbe huu mpya!

Vaccinate kuku zako Umewahi notice kuwa kuku wengi hufa kwa specific months kwa mwaka? Hii sio sababu zimerogwa lakini ni juu kuku zime-infectiwa na Newcastle disease. Symptoms za Newcastle disease ni Kukosa appetite, production ya mayai ina-drop, kuhara green, uvimbe wa maji kwa kichwa na ku-lose weight Ili ku-control Newcastle disease i-spread, ni muhimu: a) Weka kando kuku zilizo- infected b) Ua zile infected c) Kuosha pahali kuku infected zilikuwa zinaishi na kui-disinfect d) Vaccination e) Hakikisha levels za usafi pale kuku zinaishi Kuna aina mbili za vaccination against Newcastle disease a) Ya sindano - ITA: Kuku anakuwa protected kwa mwaka mzima. Ku-vaccinate kuku moja itaku-cost about 4/- Ni affordable b) Ya kuweka drops - AVI: Kuku anakuwa protected for 6 months

kwa hivyo inafanywa mara mbili kwa mwaka Njia ya ku-vaccinate kuku 1. Shika kuku yako firm na uhakikishe kuwa imetulia 2. KWA Injection: Dunga kuku yako katikati ya breast section 3. Kama ni vaccination ya drops, weka drops mbili kwa macho au maskio Hizi vaccines hutegenezwa na watu ku-train-iwa jinsi ya kuvaccinate kuku. . Wengine wamejianzia business ya ku-vaccinate kuku na kutengeneza dooh. Training ni free of charge na unaweza kuwa trained kuwa vaccinator. Ili kujua mengi juu ya ku-train-iwa kuwa vaccinator, tuma SMS on 3008 ilio na aina ya vaccine unayotaka halafu #constituency [kwa mfano: ITA#Kisumu Town West] kisha utume on 3008 na utapata immediate response ya nearest agent. 30

05.d - Charlie Pele  
05.d - Charlie Pele  

Chapta 5 - Charlie Pele: Sangoma vs. Science

Advertisement