Page 1

charlie avamiwa na worms!

...siku ya mwisho!!!

Hizi minyoo ni laana!!!

Zitakuwa mbaya kama... kama...

Lakini naweza kuwaokoaaa!!!

Leteni mali zenyu!!! Isipungue shilingi elfu mbili!!!

Ikipungua? Minyoo ya fumbo itaharibu shamba zenyu pamoja na wale hawatafanya ninachosema!!!

SangOma nitakuletea ng’ombe yangu!

24

Nitakuletea A.T.M. card!

Ngoja niwaambie ukweli!!!


Hiki kifaa kinaitwa pheromone trap. Kinasaidia ku-trap moths za army worm au minyoo ya fumbo.

Haiya!!

Maajabu!! Tangu lini container ya mafuta ya kupikia ikasaidia kujua juu ya army worms?

Hahahaha!

Moths huwa signs za army worms zinazoharibu mimea shambani. Army worms zinaweza kula mimea yote kwa shamba moja within 1 day!

sikizeni tafadhali...

Lakini zinaweza zuiwa kuongezeka mapema kwa kunyunyiziwa dawa.

kweli kusoma kwingi ni kupoteza wengi! Na wewe unataka kupewa nini ili tupate hiki kifaa chako? Meli? Ndege?!

Watu husema army worms hutoka binguni kama adhabu ya dhambi za watu.

Wengine wanasema kuwa kuzuia army worms ni kama kuzuia upepo.

Hiyo si kweli. Unaweza zuia army worms kuongezeka. Hii trap inasaidia kutabiri army worms kwa shamba yako.

MPENZi!

Kwanza weka hii trap chini ya mti 1 ½ meters kutoka chini.

Army worm moths zitavutiwa na hii kemicali inayotolewa wakati wa ku-mate. Kisha zinaanguka kwa hii container na kuuwawa na hii cube ilio ndani ya container.

kuJua signs za army worms mapema unahitaji kuhesabu moths kwa container. Ukipata 20 moths kwa wiki moja, Jua moths zimekuja. ishara ingine ni mvua ya milimita 5 baada ya kiangazi...

wi!!! i Ucha

Huo n

25


huyu hajui mambo!

usilete vituko kwa mambo serious, wewe jamaa! Enda na container yako mbali!!

Sangoma, Twende ubariki shamba yangu!

wiki mbili zilizofuata...

Rosie, ulienda kuangalia kama kuna moths kwa trap?

Na si leo ni turn yako?

Niliangalia jana na juzi.

Oookay, nitacheki trap uki-insist! lakini inachosha kuangalia kwa trap kila wakati na kukosa moths!

Rosie... umeona vile kumenyesha?

26

Twende tuangalie kama ile trap ya army worms imepata moths.


Ni mob!!! 20 moths!!!

20 moths zimepatikana kwa trap ya army worm moths!

Twende twambie Uncle.

Tuna siku nne za kununua na kunyunyizia dawa kwa mimea shambani ili tuharibu mayai ya army worms! Hii ni chance ya kuzuia army worms kuongezeka na kuharibu mimea yetu yote!

Ishia na stories zako za kufanya tununue dawa zako mbali hatujaona hizi army worms!!! Watoto wanaweza kudanganya. Baba, si ununue dawa ya kuua army worms ili zisivamie shamba yetu na kuharibu mimea yote!

Wooi, kumbe ilikuwa kweli!

Hakuna kitu kibaya kitafanyika kwa mimea yangu! Sangoma ameniahidi!!! Army worms ni propaganda tupu!!!

Tafadhali tuuzie dawa. Town ni mbali, tutachelewa tukiiendea! sawa! usingizi huo ulikuwa tamu! Na kumenyesha! Wacha niangalie shamba...

27


wololoyaye! mahindi zangu!

wameroga shamba yangu!!! Nimeisha!!!

sangoma atajua cha kufanya!

28


Chum Chuumm!!! Endeni!!!

usijali, baba charlie! Nimefika!

lakini si inajulikana kuwa army worms hukaa muda wa siku kumi kisha kwenda underground ili kuwa moths?

Basi! Zitaenda baada ya siku kumi!!!

Nyamaza!

Kile unahitaji kujua juu ya army worms Ω Moths zake hu-fly usiku na kufuata upepo ili kufika kwa mashamba. Mostly hazionekani na hujulikana zimefika na wakulima wakati zimeanza kuharibu mimea. Ω Zinachukua 10 days kutaga mayai chini ya matawi na baada ya 5-10 days kuwa army worms. Ω Wakulima huona worms za black, white na green kwa shamba. Hii ni stage poa ya ku-control army worms kwa ku-spray pesticides kwa shamba kabla kuwa haribifu. Baadaye zinakuwa black na kuwa haribifu na kula nyasi, grass crops na cereals. Ω Baada ya 2 weeks, zina-disappear na kujificha kwa mchanga na kuwa moths. Ω Army worms huja kwa mashamba miezi ya NovemberMay na October. Wakulima wanahitaji kujua hizi seasons

ili wajitayarishe kujua wakati zimefika kwa kuspray pesticides ili kuzuia great losses kwa mimea. Ω Pheromone trap husaidia ku-trap moths na kujua wakati army worms zimefika kwa eneo yenyu. Hii trap huwa na kemikali inayo-attract army worms zinazo ingia kwa container na kuuwawa na kemikali iliyo ndani. Ω Utajua kama eneo yenyu itavamiwa na army worms kwa kuhesabu 20 moths kwa hii trap. Ω Enda kwa your nearest agricultural officer ili kupata more information juu ya pheromone traps na pale unaweza ipata. Tumia DJ B SMS on 3008, FACEBOOK: DJBOYIE SHUJAAZ” and “TWITTER: SHUJAAZ maoni yako juu ya hii story? 29

07.d - Charlie Pele  

Chapta 7 - Charlie Pele: Avamiwa Na Worms!

Advertisement