Page 1

itakuja!

Mnataka maji‌.Chagua

Stima?

godpapa!

ataleta!

atawapatia!!

Ati mnataka?... eeeh?...

Hata hiyo, godpapa atawaletea! nitamwambia!

Ni muhimu tupate water connection iliyo karibu kwetu. Lakini tunahitaji nini ili kuwa na water connection?

Si tujaribu tuwekewe maji kwa mtaa

Lakini tutatoboa kweli?

Tu-apply kwa watu wa water. Bora tujiunge pamoja

15


Maji? mimi chuxx nawaambia...

tuchague mtu wetu godpapa!

ataleta!!

Sasa tupange watu, tuchimbe mtaro, wa-connect maji

Najuwa watu watajitolea

Imechukuwa muda mrefu!

Maji?... Inakuja mkichagua godpapa tu!

Chagua godpapa na mtapata maji!

Maria, Leo tuna-connect-iwa maji!

hahaaaa!! leo!

aki ya nani leo

nitaoga!!

16


Moto!!!

Pigia zima moto simu!!

Aaauuuiii!

pigia redio!!!!

17


ni sisi!!

chuxx, kunaungua!!

ni naani?!

Si wewe ni wa kabila yetu

Hii ni saa ngapi kuamsha mkubwa?

na tunapigia godpapa kura... tusaidie!

ah! sio nyumba yangu inaungua! Pigieni polisi!

Oi!

Ala? ‘pigia godpapa’! na hawatusaidii!!

cheki!!

Pangeni laini…. Pitisheni maji!!

Ile mfereji ya mtaa imetu-save!

18


Thankx, jana mlijitolea Asante. ni wewe ulitupanga Kama sio wewe hatungekuwa na maji ya mfereji

Si tukuchague badala ya godpapa?

Chuxx ni maneno tu! Lakini vitendo, hakuuna!

Apana...

mimi niko chuo. Nilifanya what was needed, sio kutafuta cheo

hebu nitumie djb sms nimshow risto yetu!

Leader mpoa Kila msee anaweza kuwa leader akijuwa skills zinazohitajika. Hizi skills zinaweza saidia kuidentify na kuchagua leader mpoa ambaye;

a) Ni mtumishi, msaidizi, mwalimu na leader b) Huchukua muda, kufikiria kabla yaku-take action

c) Huchagua maneno yake kwa makini kabla kuyasema kwa anao ongoza

d) Huwa na mwelekeo na hu-direct watu kuachieve goals

e) Huwa na concern ya ku-serve community f) Hu-develop waonafanya job nao ili kuleta the best in them

g) Huskiza na kusaidia ku-develop umoja h) huona potential ya kila mtu kwa community na ku-encourage watu kujiendeleza.

i) Anaona wale anaongoza kama partners j) Husikiliza na kuelewa mahitaji ya anaoongoza

k) Huwa ana share challenges na anao ongoza, ku –invite, ku-share ideas zao na kusikiliza ideas zao za kusolve shida.

Ili kupata communit y co n nectio n ya maji unahitaji a) En da kw a nearest water service pr ovi der upa te applicatio n form b) En da na certificate of registratio n kuto ka kwa social ser vices c) Mtalipa 2,500/= ya wasee wale watasurvey communit y ye nu. Baad a ya kupata approval ya kue n de lea na registratio n, Mtalipa deposit d) Commun it y membe rs watahitajik a kuchang a ama kupata dooh za kusaidiza co n nectio n ya maji e) Commun it y huwa organise jo b bo ya kulay pipes n a baadaye watu wa m aji huco n nect maji.

19

03.c - Maria Kim  
03.c - Maria Kim  

Chapta 3 - Maria Kim

Advertisement