likizo imeisha! vijana wangu hawatakaa nyumbani fwaa!
unajua, meneja hafai kuchelewa...
lakini baba...
boss alisema ataniita. ofisi yetu inahama...
kwanza huyo coach kabila yao ni ile mbaya...
14
unaenda wapi?!
badala ya kuwa hardworking uwe meneja kama bratha yako kila wakati ni mpira mpira tu!
mwagilia shamba maji. shika bucket!!!
charlie fanya hii, charlie fanya ile!!
maisha ni nooma!
shhh!
hebu nifanye tizi, inaonekana sitamake prako ya ball...
usiambie fathey!
buda anafikiri mimi ni meneja lakini nafanya kibarua kaa watchie!
mshahara si poa, mwaka mzima nime-save only 2 thao... sitaki kurudi. afadhali kulima!
aa, cheki vile shamba ya coach iko poa!
lakini ... coach pia ako na ka-daughter kapoa!
cheki vile yetu ni mbaya, lazima iwe coach wanatumia uganga ndio wako poa...
sasa taabu! ni aje? mna do?
15
hakuna... ni charlie anapeleka maji kwa shamba...
come niwa-show!
PELE 3 na ndoo?
sisi hutumia hii pump!
unaweka kwa mto... alafu mmoja ana-pump, mwingine akinyunyizia. ni rahisi sana! elfu nne pekee!
tuchekiane! asante sana! kanakaa poa! we nyamaza!
tutatoa wapi 2 thao?
16
si tu-buy hiyo pump na zile 2 thao? hazitoshi! na sina shamba ya kutumia hiyo pump!
nimejua! nimlimie coach anilipe, alafu nipate dooh za pump kwa shamba ya kukodisha!
wiki imepita. haurudi ofisi?
ee... nimeongezewa leave miezi mbili...
PELE 4
miezi mbili imepita. hurudi kazini?
boss alisema atanipigia...
fathey atakulipa vipoa. kazi ilikuwa mob pia na imejilipa.
taabu, mboga zako ziko poa!
mwezi ujao nitavuna...
huyu taabu miezi tatu nyumbani! kwani alifutwa kazi? hapa iko kitu.
17
nilijua tu! unalima kwa hao wachawi! rudi town!!!
watchman?
baba... mimi huenda town. lakini kuuza mboga... natengeneza pesa nyingi kuliko nikiwa watchie...
sasa ulinionyesha money maker pump... naweza kununua yangu!
nitakusaidia ku-pump...
kweli. nilidanganya... sasa maisha yangu ni hapa kama mkulima.
Tumia MoneyMaker Pump kuongeza mapato yako kila mwezi Wakulima wengi Kenya na Africa wameendelea ku-benefit kwa kutumia KickStart MoneyMaker Hip Pump kama Daniel Karanja Njenga na mke wake Nancy Gathoni walivyogundua. Daniel alipoteza mali na makao yao wakati wa post election violence, na kuwa IDPs. Daniel aliona hii pump kwa promotion ya KickStart na akaona ni poa kuitumia ili kulima. Daniel alifanya vibarua, Ili kupata dooh ya pump. Hii pump sio nzito, ni rahisi kutumia, affordable na hu-operate manually. Daniel aliweza kulima wakati wa kiangazi. Hii pump inaweza kunyunyizia maji kwa shamba la 1 ¼ acres. Maisha ya Daniel yameimarika na anaplan ku-expand shamba lake ili ku-manage family yake.
BCLB NO. 001565
Family • Life • Success
18
Imarisha Kilimo Promotion! Hadi 30th June 2010 KickStart itapeana 10 meters pipe FREE ya kuingiza maji kwa kila MoneyMaker pump utakayonunua! Kwa hivyo, nunua MoneyMaker Hip Pump kwa Kshs. 4,009 badala ya Kshs. 4,709 ikiwa na pipe ya kuingiza maji na ingine ya kutoa maji. Nunua Super MoneyMaker Pump kwa Kshs. 8,750 badala ya Kshs. 9,450 ikiwa na pipe ya kuingiza maji na ingine ya kutoa maji. Nunua pump yako leo au upige 0725 790050 kujua KickStart Authorised MoneyMaker Pump dealer aliye karibu nawe!
da n i h S mp! Pu
Shujaaz mwezi huu inapeana 2 MoneyMaker Hip Pumps na 1 Super MoneyMaker Pump. 3 FREE kwa lucky readers wetu!! Tuma SMS ikiwa na PUMP, JINA LAKO, na kujibu swali ifuatayo kwa 3008: MoneyMaker Hip Pump katika Imarisha Kilimo Promotion inauzwa pesa ngapi pamoja na pipes mbili? Hii compe itaisha April 24th 2010; Washindi wa hii compe wata announce-iwa kwa Daily Nation Staff and employees of WTS and Kickstart International are not qualified to enter this competition