Page 1


Mwaka wa 2008 baada noma ya election, coaches wa vikundi 10 za mpira huko Kibera walijoin wakaanzisha project ya kupanda mboga kwa gunia kama njia ya kuwasaidia kupata chakula na kuinua maisha. Hawa vijana hawakuwa na jembe. Wanatumia vijiti kupanda mimea yao na inafanya kazi. Ona picha zifuatazo. Q. Mlianzisha hii project aje? A. macoaches wa hizo teams kumi Walifikiria vile wangefanya ili kuji-keep busy wakati hawana game ama wakati maplayers wakoshule. mbeleni, hii shamba ilikuwa ni bush karibu na field yetu. Tukajipanga na kutrainiwa kupanda kwa gunia.. ilitubidi ku contribute kila mtu mia mia kununua magunia. Q. Hii group yenu iko na members wa umri gani? A. Tuna wasee wako kati 16 years hadi 26 years. Q. Nyinyi huwa mna manage hii project aje? A. Sisi huwa na duty roster ya kumwagilia maji na tuna siku ya kuweed pia. tunakuja pamoja Sato kufanya tizi, na huo ndio time tunacheki shamba juu iko karibu na field. Q. Nini iliwafanya kuanza hii team? A. Kwanza, kupanda sukuma kujisaidia kupata food ambayo kwa sasa imekuw expensive.

Na kutuwezesha kuwa na discipline na kufanya job pamoja kama mandugu. Q. Ni kitu gani poa unaona kutoka na sukuma za gunia A. Ni vipoa juu inatumia space kidogo. pia inatu-fanya ku avoid mambo kama kuwa idle, na kuji-involve na crime ambayo imekuwa common.

01.c - Mwanzo Hadithi  

Chapta 1 - Maria Kim

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you