Page 1


3


4


5


6


7


8


9


10


11


12


13


14


15


16


17


dan, huyu ni slim. yeye ni volunteer kwa clinic ya amua kwenye nilienda ku-get advice juu ya contraceptives.

oh...

ala! nini mbaya naye?

ah... mimi nimeishia!

kila wakati nikiongea juu ya contraceptives... hataki kusikia hiyo story.

baadaye kwa maria kim...

18

usiwe na wasiwasi. nitashow slim aongee naye. i’m sure atasikiza.

thanks, maria kim.


sasa dan? eh! hizi sunguch zenyu ni biggie!

siku nyingine...

sifa anataka tuende naye kwa clinic... mimi sielewi... mbona tusitumie methods natural? eh?

hiyo mambo ya ma-chemicals mimi sipendi!

najua hujui, lakini kitambo nilikuwa na sista. alikuwa mpoa. alikuwa na dreams na ambitions... alitaka kuenda cole apate degree...

slim... ninajua mbona umecome hapa. mimi sitaki kusikia hizo stori za ma-contraceptives!

dan, hizi stori si game. acha niku-show stori ya mine...

...halafu akapata boyfriend...

19


...mimi nilikuwa na ma-worry, lakini familia yetu hatukuwa tunaongea stori za sex openly ...

...aliget ball lakini hakuambia mtu...

...mapero wetu wangezusha...

...masomo yake ingeishia hapo...

...so alienda kwa mnyanye fulani huku mtaani...

...hakuna mtu alijua chenye kilifanyika. lakini alikuwa msick sana, tukampeleka kwa dokte...

...mnyanye hutoanga ball kienyeji...

...dokte akatushow chenye kilikuwa kimehappen...

...siku tatu baadaye, siste ali-die...

20


iza man...

sijawahi kujisamehe juu ya vile sikumuongelesha.

madem wengi wana-die juu ya kuto-take responsibility... na sisi, machali wao ndio tunawaweka kwa noma, na mtoi akipatikana tunawaruka wanakosa options. Chunga manzi yako kama unamjali.

hange-die

ongea na sifa. sijui kama uliona ile copy ya shujaaz ilikuwa na namba ya clinic?

shika hii copy yangu. namba ndio hii, wapigie simu wakupe appointment!

siku kadhaa baadaye... sifa! sifa! nimekutafuta!

eh, dan! kuna nini?

nilienda kwa clinic ya amua! ni kupoa!

hao wasee ni wapoa... hawakunijudge! hawakuniwekea pressure! na sikuambiwa eti ningoje sijui masaa ngapi. walinipa information mara that that!

Dan! Sikujua ungetaka kuenda? Hiyo ni poa!

21


22


23


24


25


oho! ni yule kijana wa foota! ana-do what leo?

pe

sa

m

ko

no

ni

26


27


28


29


30


31


35 - Shujaaz.FM - Chapta 35  

Chapta 35 - Full Comic

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you