Mwongozo Wa Baraza Kuu

Page 1

BARAZA KUU

Wajumbe wa Baraza Kuu kutoka kote duniani wanakutana Sunbury Court, Uingereza

Baraza Kuu linaundwa na wafuatao:

• Makomishena ambao bado wako utumishini ambao ni viongozi wa Teritori au walio na agizo la kimataifa au agizo la makao makuu ya nchi au uongozi wa teritori*

• Viongozi wa Teritori (Territorial Commanders) wenye daraja la Kanali

• Viongozi wa Teritori (Territorial Leaders) wenye daraja la Kanali

Baraza Kuu huitishwa na huanza na maombi na kuabudu

Rais, Makamu wa Rais na msimamizi wa mambo ya kiroho huchaguliwa

Baraza Kuu hukubaliana kuhusu Utaratibu wa mambo yatakavyoendeshwa

Kamati ya yote hujadiliana kuhusu mambo yoyote yanayohusika na uchaguzi

16,000

Afisa yeyote aliye utumishini anaweza kuchaguliwa – kuna maafisa zaidi ya duniani

Watendakazi, ni pamoja na mshauri wa kisheria, watafsiri na waandishi, husaidia Baraza Kuu liendeshwe vizuri

Wajumbe wa baraza hufanya uteuzi

Walioteuliwa hukubali au hukataa

Baraza kuu huandaa maswali kwa wastani…

Kuchaguliwa, mgombea anahitaji kura…

15 5

…k wa ajiiya w a gaebmo

…zaidi ya theluthi mbili za wajumbe

katika moja ya kura tatu

…kwa ajiliya w aodnana

…zaidi ya 50% ya wajumbe kutoka kura ya nne na kuendelea

Wagombea hujibu maswali na kutoa hotuba Kupiga kura

Jenerali mpya mteuliwa anatangazwa

Milango ya chumba cha Baraza Kuu

Inafunguliwa, Rais anamtangaza Jenerali mpya-mteuliwa na habari ni mkondo wa moja kwa moja duniani kote

Tizama mkondo wa moja

kwa moja kwenye sar.my/highcouncil

MWONGOZO WA
MCHAKATO
Chanzo: John Larsson, ndani ya Baraza Kuu (Vitabu vya WokovuSalvation Books, 2013). *Isipokuwa mwanandoa wa Jenerali wa sasa.
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.