Worksheet (Swahili) | Jinsi ya Kuongoza Kikao chenye Uzalishaji wa Hali ya Juu ya ubunifu

Page 1

Kabla ya kikao changu An InnovatorsBox ® Innovation karatasi ya kazi

Jinsi ya Kuongoza Kikao chenye Uzalishaji wa Hali ya Juu ya ubunifu Kutengeza timu yako na kuzalisha matokeo kupitia ubunifu

Kuendesha kikao chenye maana na ufanisi ni muhimu kuliko kuleta akili bingwa za watu ndani ya chumba kimoja. Hata pale watu wote wanapokua pamoja, mikutano yako inaweza kosa tutoa mazao bora. Wataalamu na viongozi

• Kusudi la kikao changu ni lipi? Washiriki wanatarajia kupata nini kutoka kwenye kikao? Je, kusudi linalingana na matarajio? • Je nimewasilisha umuhimu na matarajio ya kikao hiki kwa washiriki? Ni njia ipi yenye ufanisi zaidi ya kuwasilisha matarajio haya? • Ni kina nani wanapaswa kuwepo kwenye kikao hiki? Je, watu hawa watakua muhimu katika kufanya maamuzi au kufikia lengo la kikao hiki? • Wakati uliopita, ni vitu gani nilivyopenda na vipi nilivyochukia katika mikutano ya aina hii?Kwa nini?What is the room arrangement like for the meeting? Does the arrangement encourage productive discussions or new ideas? • Chumba kipangajwe kwa ajili ya kikao hiki? Je, mpangilio huu unawezesha majadiliano yenye mafanikio au yaletayo mawazo mapya? • Je, kuna jambo lolote ninalohitaji washiriki kuandaa kabla hawajaja kwenye kikao ili kuhakikisha majadiliano ni fanisi? Watawasilishaje upande wao kwangu? Je, uwasilishaji huo una kikomo cha muda? • Je, nimepitia zana zangu? Kwa mfano, kifaa cha sauti na picha, vifaa vya ufundi, mpangilio wa chakula, vinywaji, na chumba?

Angalizo:

hutumia masaa mengi kwenye vikao kila siku huku wakiambulia patupu. Je, utahakikisha vipi kuwa kikao chako kijacho, kiwe ni kikao cha kuchemsha bongo,kikao cha timu cha kila wiki, au kipindi cha kujenga timu, utakua na ufanisi? Katika chati hii, tunakupatia maswali ya kutafakari katika kuendesha kikao chenye mafanikio na ubunifu zaidi. 1

INNOVATORSBOX LLC © 2019. HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA.


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.