Happy Green Tanzania Kitabu cha mwanafunzi
TAKATAKA zinazoweza kuoza KIOO PLASTIKI

TAKATAKA zinazoweza kuoza KIOO PLASTIKI
Mpango wa elimu ya mazingira juu ya takataka
kwa shule za msingi .
Jiunge nasi ili ujifunze zaidi jinsi ya kukataa, kupunguza, kutumia tena, kukarabati na kutengeneza tena taka taka!
Tafuta ndege wa kijani kwenye kila ukurasa wa jiji.
PLASTIQUE DÉCHETS VÉGÉTAUX PAPIER TAKATAKA zinazoweza kuoza
PLASTIKI KIOO KARATASI
Hati miliki ya maandishi:
Hati miliki ya mchoraji:
© 2024 Happy Green World Foundation/ Marlou Bessem
© 2024 Happy Green World Foundation/ Petra Houweling
Mtafsiri wa Happy Green World: Ann-Joyce Mwamafupa
Programu hii imeandaliwa na Happy Green World Foundation. Tunapenda kuwashukuru Greenmanjaro na Taasisi ya Jane Goodall kwa mchango wao kuelekea Mpango wa Happy Green Tanzania juu ya takataka.
Programu ya Happy Green Tanzania juu ya takataka unahusisha:
1. Mwongozo wa kazi
2. Kitabu cha mwanafunzi
3. Mchezo
Unaweza kuagiza nakala yako ya Programu ya Happy Green Tanzania kuhusu takataka kwa kutuma barua pepe kwa info@happygreenworld.org.
Happy Green World Foundation www.happygreenworld.org info@happygreenworld.org
Greenmanjaro Foundation www.greenmanjaro.com team@greenmanjaro.com
Jane Goodall’s Roots & Shoots
www.janegoodall.or.tz info@janegoodall.or.tz
FT Kilimanjaro www.ftkilimanjaro.org
ISBN 9789082761993
Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna ruhusa ya kuiga kitabu au sehemu ya kitabu hiki kwa njia ya kielectronik au mashine, kutoa nakala, kunakili au kupiga chapa au vinginevyo, isipokuwa imeidhinishwa kwa barua ya wachapishaji.
Utangulizi..................................
Plastiki.......................................
Takataka zinazoweza kuoza.....
Kioo...........................................
Karatasi.....................................
Cheti.......................................... 1 4 - 7 8 - 11 12 -15 16 -19 20
Taja vitu 4
vilivyotengenezwa kwa plastiki vilivyo
Jikoni Darasani na Mtaani
Plastiki
imetengenezwa kutokana na mafuta? Plastiki inaweza kutengezwa kutokana na mahindi?
Takataka za plastiki zinazoelea baharini
zinaitwa supu ya plastiki!
Tunaweza kufanya
nini ili kuzuia uchafuzi wa hewa unaoletwa na plastiki?
Injini za gari hutumia grisi aina moja?
Kuchoma plastiki zinasababisha
uchafuzi wa hewa na kuleta matatizo ya afya!
Maskini, maskini kasa! Kataa vifungashio vya plastiki na mifuko ya plastiki! Badala yake beba mfuko wako !
Ili tuwe na afya bora tunahitaji kusafisha dunia yetu!
Sa sha maeneo na tengeneza tena plastiki!
Kataa vifungashio
vya plastiki, mirija na baluni!
Tafadhali chambua na utupe takataka zako kwenye pipa la taka!
Jaza chupa yako ya maji na kikombe!
Microplastiki ni vipande vya plastiki ambavyo ni vidogo kuliko nafaka za mchele huchafua
mazingira yetu na bahari.
Tumia kontena la chakula kuweka chakula cha mchana shuleni.
Plastiki zinaweza kutengenezwa kuwa:
- vifuniko vya chupa - meza na viti - nguo za polista
Kumbe!
Plastiki inaweza kuoza kwa muda wa miaka 1000!
Kataa vitu visivyo vya lazima!
Punguza matumizi ya plastiki.
Tumia tena na tena.
Rekebisha kitu kilichovunjika.
Tengeneza kingine.
Takataka zinazooza ni nini?
Chagua jibu sahihi:
Je! Tunaweza
kufanya nini ili kutengeneza tena takataka zinazoweza kuoza?
Je! Ulijua kuwa nusu ya takataka za nyumbani kwako ni takataka zinazoweza kuoza?
Takataka zinazoweza kuoza zinaweza kufukiwa tena ndani ya udongo na kutengeneza mbolea ya samadi.
Zinaweza kutengeneza mbolea!
Mto umechafuliwa.
Mahitaji ya mbolea ni:
Tumia tena Tengeneza
Wanyama hupenda mabaki ya kijani!
Chai
Kahawa Majani Matunda Mboga
Maua
Mimea
Unaweza kutengeneza pipa la mbolea kwa kutumia wavu, kuni au kwa kuchimba shimo ardhini.
Tafadhali tupa kwenye pipa, chambua takataka zako na tengeneza mbolea!
Geuza takataka zako kuwa mbolea!
Je! Ulijua kuwa taka taka za nyumbani zinakuwa mbolea katika miezi 2-6 tu?
Minyoo husaidia
kubadilisha taka za zinazoweza kuoza kuwa mbolea!
Ni viumbe gani wengine husaidia?
Takataka zinazoweza kuoza
MAHITAJI YA MBOLEA:
Chagua jibu sahihi:
Takataka zinazoweza kuoza
Minyoo
Maji
Ya uvuguvugu
Hewa
Yote hapo juu
Wadudu wengine ni:
Kiwavi wa bito Jongoo
Tandu
Konokono
Siafu
Vipande vidogo vya plastiki ni hatari kwa wanyama wa baharini na kwetu!
Karibu taka zote za nyumbanizinaweza kutumika au kutengenezwa tena.
TAKATAKA
zinazoweza kuoza
Ninatengeneza mbolea na kuitumia kukuza mboga zangu.
Wanyama kulawanapenda mabaki ya matunda na mboga.
Kidokezo kuhusu vioo! Vioo vinaweza kutengenezwa kuwa :
Kioo huundwa kutokana na mchanga.
Wamisri walikuwa wa kwanza kutumia shanga za kioo.
Kioo huchukua miaka milioni 1 kuoza!
Ni nini tunaweza kufanya ili kuzuia uharibifu wa vioo?
Chupa, mitungi, shanga, taa na bidhaa zingine za vioo.
Usitupe vioo barabarani!
Kioo kilichovunjika kinaweza kuumiza watu na wanyama.
Tafadhali tupa kioo ndani ya pipa sahihi la taka.
Habari njema! 100% ya kioo inaweza kutengenezwa upya!
Jaribu kila wakati kukarabati vifaa vyako.
Tupa kwenye pipa, chambua, tumia tena na tengeneza kioo.
Ninaweza kufanya nini ili kusafisha mito?
Nitachambua, nitatumia tena na kutengeneza tena kioo.
Ninatengeneza kioo tafadhali...
Nitakusaidia. Tusafishe mji pamoja!
Jambo mbaya, Je! Ulikatwa mguu wako na kioo kilichovunjika?
Tuache tabia ya kutumia vitu na kutupa tuwe na tabia ya kutengeneza tena vitu na kuvitumia tena.
KUONDOA KABISA
Uzalishaji Sambaza
MATOKEO
Matumizi Takataka
Uchafuzi wa hewa
Uchafuzi wa maji
Uchafuzi wa ardhi
Matatizo ya afya
Tafadhali tupa
kwenye pipa, chambua tumia tena!
Tumia tena
chupa za kioo kuhifadhi
bidhaa.
UCHUMI WA KIJAMII Anza
Sekta ya kutengeneza
Uzalishaji
UCHUMI WA KIJAMII
Tumia tena, Rekebisha, Tengeneza
MATOKEO
Sambaza
Matumizi
Hakuna takataka
Tumia vitu vya asili
Mazingira safi
Watu wenye afya na furaha
KIOO
Sekta ya tengeneza
Tumia tena, Rekebisha, Tengeneza
Ni nini mfumo sahihi wa uchumi wa kijamii?
Ninakusanya taka kutoka kwenye mto na kuiweka ndani ya pipa.
Karibu taka zote za nyumbani zinaweza kutumika tena au kusambazwa tena.
Jibu, ndio au hapana?
Karatasi
imetengenezwa kwa kutumia miti.
Ndio Hapana
Ninatumia pande zote mbili za karatasi.
Je! Tunawezaje kupunguza
kiwango cha miti kukatwa?
Moja kati ya mifuko 3 ya taka za majumbani ni karatasi na kadibodi.
Ndio Hapana
Unatumia miti michache wakati
karatasi inachapishwa tena.
Ndio Hapana
Ndio Hapana
Inachukua mwezi mmoja kwa mfuko wa karatasi kuoza.
Ndio Hapana
Kutengeneza
sanaa kutoka na karatasi iliyotumiwa inafurahisha!
Ndio Hapana
Miti hutoa oksijeni tunayohitaji kupumua.
Ndio Hapana
Fukwe na miji huonekana vizuri wakati ni safi.
Ndio Hapana
Kataa, punguza, tumia tena na tengeneza upya karatasi!
Bidhaa zinazowekwa kwenye vikombe vya karatasi.
Pande zote mbili za karatasi.
Tafadhali kataa, punguza, tumia tena, tupa kwenye pipa, chambua na tengeneza taka taka tena.
Tengeneza sanaa au tumia tena na tena bidhaa ya karatasi.
Tena kwenye mzunguko wa asili au uliotengene zwa na mwanadamu kwa kutengeneza mbolea au kutengeneza tena karatasi.
ipsum
Umejifunza mengi juu ya takataka!
Sasa ni wakati wa kuonyesha ulichojifunza.
Elezea familia yako kwa nini ni muhimu kutumia pipa la taka.
Elezea kikundi cha marafiki kwa nini mazingira safi ni muhimu kwako?
Elezea kwa wazazi wako maana ya kukataa, kupunguza, kutumia tena, kuchambua taka na kutengeneza tena taka.
Karibu taka zote za nyumbani kwako zinaweza kutumika tena au kutengenezwa tena.
Maji ni safi. Naweza kuona samaki mzuri.
Ninakuza mboga zenye afya, kwa kutumia mbolea yangu mwenyewe!
Watu na wanyama ni wenye afya na furaha na pia mji ni msafi na kijani.
Jina la mwanafunzi:
Kwa kufanikiwa kuchangia mradi wa
urejelezaji plastiki
(Shule ya)