Tik Tok Magazine Issue No. 2

Page 91

MAHUSIANO / yake. Nikawa msikilizaji zaidi, huku nikisoma body language ya dada yule na maelezo yake. Hapo zikaibuka story za kufanana na kupigwa. Kwa dakika kadhaa wote tukiwa tunasikiliza kisa cha ugomvi wa mapenzi kingine kutoka kwa rafiki mwingine aliyekuwepo mezani hapo, sikuweza kusubiri kuuliza swali jingine. Hakika nilikuwa nayo mengi, na hasa yule rafiki mwingine alipokuwa anacheka cheka na ishara zote kwamba anafahamu zaidi ya kilichotoka pale. Ikanikaa kutaka kujua zaidi, nikauliza. “ Sasa anvokung’ata ulikuwa umemkosea nini mapaka asikie kukutafuna” Vicheko vikasikia kwa wote waliokuwepo mezani, pamoja na mhusika akacheka, akanyanyua macho yake kwa upole na kunambia. Hii kung’atwa naomba uiache, maana utashangaa. “Try me, wala sitoshangaa” nikamjibu “Shemeji yako alining’ata tukiwa kwenye raha” “Weka wazi” Nikaropoka kutaka kumfanya awe muwazi zaidi. Vicheko tena, safari hii vilikuwa vya muda vikiambatana na kelele za hapa na pale. “Usijifanye uelewi jomonii” Aliongezea dada mwingine, huku nikishangaa matumizi ya neno jamani to Jomonii nilielewa mtu mzima hatamki maji mma pasipo sababu. Ila nilijifanya kutoelewa ili apate kusimulia zaidi. Nikatabasamu na kujibu, “sijaelewa” “Heeh!! Ngoja nikupe kwa uwazi, sasa rafiki namba 2 akajibu, aling’atwa walipokuwa wanafanya mapenzi, usichoelewa ni nini?”

aunt kinky

hili, na niliona vema kuweka jitihada za kuongea zaidi na muhanga juu ya jambo hili. Faida za rafiki wa rafiki nizitumie ipasavyo. Wala sikuchelewa nilichukua namba yake na kumualika out siku inayofuata, nikiadhimia kumwambia adhimio langu kwa uwazi ili anielewe, katika kikao kile wala hakusita akanielewa na akaamua kunipa mkasa wake. Ni kwamba mwanaume wake anamng’ata na wakati mwingine hata kumchapa vibao anapokuwa katika hitimisho la tendo la ndoa. Dada anasema hajui afanye nini kwasababu alichogundua mwanamme huyu humchapa na kumng’ata wakati huo tu, na wala si nje ya hapo, anashindwa afanyaje kwasababu wakati mwingine huwa extreme na anaumia zaidi ya kovu alilokuwa nalo la kung’atwa. Na mumewe akishamaliza husikia vibaya kwa alichofanya hasa kama ikiwa imezidi. Pia alinionyesha makovu ya michubuko ambayo huonyesha ni kucha, japo yaikuwa yamepona ila yalionekana kwa uwazi. Aalilalamika jinsi yanavomuudhi na kumuondolea kujiamini pindi atakapo kuvaa nguo ya wazi. “Kwenye suala la kucha, nimefanikiwa kumdhibiti, maana nahakikisha kucha zake fupi kila mara, yaani fupi zisizokuwa na madhara”. Nikawaza na zile cover za midomo mbwa huvikwa wanapokuwa wanahudumiwa wasimg’ate daktari kitaalamu zinaitwaje? Zingeweza kusaidia juu ya hili suala la kung’ata. Nashukuru sikuwaza kwa nguvu ningeongea nisinge eleweka, wakati mwingine mawazoni vyema kuyahifadhi yatokako, ukiyatoa yanaweza kuwa pumba isiyobebeka. Japo niliahidi kumsaidia, kwa kuwasiliana na sex therapist ninaye mfahamu, pia niliona vyema hii ikawa topic yetu hapa likawa somo kwa ukurasa huu, kuna vingi vya kufananania, ni vile tu wanawake tunafunzwa ya ndani ya chumba na mumeo yasitoke, hivo mengine hata ya kuumiza na kukukosesha raha unaishia kuyaweka moyoni. Sex therapist anasema hizo tabia zipo,ushauri na maoni yake juu ya mada hii vitawekwa katika blog. Usiache kusoma makala hizi online kupitia www.tiktokafrica.co.tz/auntykinky Niandikie barua-pepe kupitia auntykinky@tiktokafrica.co.tz , usihofie. Sito andika jina lako wala unakotoka. Kwaheri.

Wakati huu, nikadhimia kuandika juu ya jambo WWW.TIKTOKAFRICA.CO.TZ

NOV - DEC 2017 / TIK TOK

91


Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.