
1 minute read
Historia Ya Marehemu
from eulogy
Kuzaliwanamaishayaawali
Marehemu Zakaria Sore Imanya alizaliwa tarehe 15 Septemba 1945 na marehemu Baba Simon Imanya Mboi na marehemu Mama
Advertisement
Magdaline Khachiti katika kijiji cha la Ziwani eneo la Nakuru Town East.
Alikuwa mtoto watatu kuzaliwa katika familia ya watoto 11 jinsi ya orodhaifwatayo;MarehemuJosephShivutse,marehemuJohnSalim, marehemu Vincent Jom, marehemu Pius Mboi, marehemu Silvanus
Ambata, Festo Wahero, Paulina Mukhanyi ,Stella Ingato, Elizabeth
MusavinaFridaTabu.
Masomo
BwSorealianzamasomoyakekatikashuleyamsingiyakisulisulimjini nakuru ambapo alimaliza shule ya msingi kisha alijiunga na shule ya upiliyaNakuruHighSchool.
Baada ya shule ya upili aliendeleza masomo yake ya Chuo Kikuu latikaChuochaMakererenchiniUgandaambapoalihitimushahada.
KAZI
Marehemu alikuwa meneja katika kampuni ya reli ya Kenya kuanzia mwakawa1962-1997.Baadayakustaafualikwendakufanyakilimo.
Maishayaukristo
Katika miaka yake ya mapema kwenye wokovu Bwana Sore alikuwa mshirikialiyejitoleasanawaKanisaKatoliki.
Baadaye alijiunga na African Divine Church, ambako alibatizwa na kutawazwakamamshirikikamili.
AlibarikiwakuhudumukamakatibuwaKanisanaMzeewaKanisakwa pamoja.
Ndoa
BwZakariaSorealioawakewawilimarehemuSulumenaShironzona KeziaKavesa.
Alibarikiwanawatoto8kwamajina;JacklineMuhonja,Simonimanya, Frank Amgune, Mildred Khatichi, Peter Shikoli, Brenda Ikoha, Bella MudeisinaKentonMulusa.
Maishayakifamilia
Bw. Sore alikuwa na shemeji 5; Joyce Imanya, Koleta Khasoa Mboi, JosephineOngachi,EverlinAmbata,MargaretFesto.
AmeachanyumaWajukuu12 naVitukuu4.
Maradhi Namauti
Mnamo Tarehe 16 Mei 2023 mida ya 2:47 pm,Bw. Sore Alimpigia simu mwanawe Franco akilalamika kuhusu maumivu ya kifua na kukohoa sana. Kwa vile Mr Sore alikuwa akiishi peke yake ilimbidi Mwanawe (Franco) ajaribukutafutamtuwakumpelekaMrSorehospitaliniiliapokeematibabu.
Franco Mwanawe Mr. Sore ambaye ni mkaazi wa nakuru pamoja na wenzake walijaribu kuwasiliana na watu wakaribu na hatimaye wakafanikiwakupataMamamaxwellmidayasaa6:37jioni.MamaMaxwell alikuwa tayari kumpeleka mr Sore hospitalini lakini alikataa na kusema kwamba masaa yamepita sana.Kupitia kwa simu walizungumza na mwanaweFrancolakiniMrSorealishinikizakwambaangependakumuona
Daktari siku iliyofuata. Baada ya majadiliano alimuomba mama maxwell anapotokaafungemlangokwaupandewanjenakishaaendenafunguo. Siku iliyofuata tarehe 17 Mei karibu 6:48 asubuhi wakati mama maxwell alipokuja kumpeleka Bwana Sore hospitalini alijaribu kumuamsha lakini hakujibu,ndipoalipogunduakuwabwanaSorealikuatayariameagadunia.
Kwa Mungu Tunarudisha Utukufu Wote.
Tributes
Franco Sore Son ,
My dad was my hero, he was the most courageous and resourceful man, I never questioned if he ever loved or cared for me because he made it so obvious that everyone around us could witness. Even though you have left at this time that I needed you most, forever in my heart I shall remember you in all my lifetime. Rest in Peace Dad..
Simon Imanya, Son
My dad you are the only person who made me who I am today. I have lost a dad, brother and best friend . I will always remember the good advice you gave me dad. I will always miss you. May Almighty God give you rest. Your Rest in Peace Dad.
Trina Magdaline, Grandchild.
Today we mark the end of our beloved grandpa. My grandpa was the one of the funniest, encouraging and loving people. As for me I saw him as the treasure of my life. He always worn a big smile on his face. We shared many jovial moments with him. And when I had he died my heart felt in tears caused was heartbreaking. To God be the glory. I loved you and you will always have a place in my heart. Rip Grandpa.