

TANZANIA


Imagine Tips zako sasa ni free !
Sasa mgeni anaweza kuchagua kulipa platform fee mwenyewe.�� Hii inamaanisha unaweza receieve 100% ya tip yako.
Na unajua nini? ���� 85% ya wageni tayari wanafanya hivyo.

Ongea na team yetu leo kulearn more
![]()




Imagine Tips zako sasa ni free !
Sasa mgeni anaweza kuchagua kulipa platform fee mwenyewe.�� Hii inamaanisha unaweza receieve 100% ya tip yako.
Na unajua nini? ���� 85% ya wageni tayari wanafanya hivyo.

Ongea na team yetu leo kulearn more
Kila safari inaweza kukuachia tip poa. For Dennis Ole Muli, hizo safari zimeleta change kubwa kupitia Shukran.

“Nimereceive over USD 40,000 in tips through Shukran kwa miaka tatu sasa. Shukran imefanya iwe rahisi for wageni from anywhere in the world kutip ....

Shukran sasa iko na package mpya kabisa ya ma-guide! Tip Card, QR Code, Online Profile na Tip Wallet , kila kitu ready kukusaidia upate tips zaidi.

�� Usibaki nyuma! Jiunge na ma-guide wenzako wako Shukran.


Last month, CEO wetu pamoja na team ya Zanzibar walikutana na hotels na hospitality partners. Waliwaonyesha venye Shukran inarahisisha kupokea tips.



Lengo letu ni kuona hotels na lodges nyingi zaidi zikitumia


Shukran ili service workers wapate tips kwa urahisi zaidi