Page 1

NGA A G M INE C C A V yule daktari wa wanyama, uncle rosie, ameniibia customers wengi tu sana...

ai, biashara siku hizi ni mbaya!

itabidi nianze ku-strategize aggressively...

...kabla nianze kuisha!

wah! vile figure yangu inakuwanga sweet...

grrr!

weweeeee!!!

ngoja tu nimpate huyo uncle rosie!

nimejazzika tu sana!

ai! sasa hawa ni akina nani?

ni taabu na mwenye kelele nyingi, charlie pele!

naenda home ku-make dye ni-colour hizi chicks mpya!

25


nizi-make pink kama zile zingine? Ama labda ni orange this time?

oho!

strategy imeiva!

ama green, kuzitofautisha? ama blue?

ama purple???

wah, unajua hizi chicks ni vile nitaanza kuchanga dowry ya komwoa purity? itabidi nizilee vizuri...

baadaye...

...unajua, hizi kuku ni pesa! huwezi kuzilea bila mimi kuzi-bless! zitakufa!

na vile wewe ni customer mpoa, niko na special offer, kuku moja tu badala ya mbili zangu za kawaida... ...ni dj B kwenye dial, na leo tunawakilisha wakulima! sikizeni stori fulani...

eh, sijui mambo ya hizi chicks za taabu, lakini siwezi kuhata offer...

uncle rosie?!? umeshafika???

26

sangoma! habari yako?


unafanya nini hapa? nimekuja ku-vaccinate hizi chicks...

sikizeni! DJ B anaongea juu ya stori kama hii yetu!

kwenda huko na hizo madawa zako! blessings zangu pekee ndio zinahitajika hapa!

ehm, taabu ndiye ameniita...

aaaah, hawa watoto wanajua nini? wacha kudanganya watu na hizi madawa zako!

wasee!

dj b, thanx 4 da tip about chicken vac. i've started a project 2 help generate sme income.

pia nimeweka trees flowers nursery coz we need them and also i'll get some money big ups 4da gudwork. lydia amagoro.

lydia, asante sana kwa hiyo message yako, hiyo ni stori poa sana... si utuelezee more kuhusu project yako?

27


Base: Webuye, lakini nasoma Machakos Technical Age: 33 years

Name: Lydia Amagoro Namaemba

Tulikuwa na kuku mob sana kwetu time nilikuwa mdogo. Then later vile nilienda high school, kuku zetu zilianza ku-reduce pole pole. Sikujua reason then, but baadaye Mum aliniambia diseases zilikuwa zimeongezeka sana. Later on long baada ya kumaliza shule, nilikuwa tu home. Most of the time nilikuwa free. Around hiyo time ndio niliona story ya chicken vaccines kwa Shujaaz.FM. Nili-realize kuwa kama ningechukua hatua, maybe kuku zangu zingeacha kufa ovyo ovyo. That is when niliamua kutafuta place yak u-buy vaccines. Kulingana na wasee wa hapa mtaani, kuku zinalindwa na Mungu. In case of disease outbreak, wanaziacha tu zife na zile zina-survive ndio wanaanza nazo afresh. Mimi niliamuanii-give a try nione kama ita-make a difference.

28


So outbreak ilipo-come, nilienda kwa agrovet na nikam-show symptoms. Huyo msee anajua kazi yake. Alinipa dawa flani inaitwa Coprsol ambayo hu-prevent chicks kupata magonja. Ali-advise nizipe for 4 days only. According to instructions, hii dawa inafaa kuwekwa kwa maji ili chicken zikunywe maji pamoja na dawa. Yeye alini-advise nizipatie drops za hiyo maji mwenyewe kwa sababu haiko guaranteed zitakunywa ukiiweka hapo nje.

After the 4 days nilianza kuzipatia Avapox ambayo nilizidunga kwa mabawa. Imagine hiyo dawa yote ilini-cost 65 bob! Of the 13 chicks ambazo zilikuwa na dalili ya ugonjwa, only 1 died. Saa hii niko na over 60 chickens, nimeuza more than 10 na zenye nimepeana kwa harambee hazihesabiki. Thanks to Shujaaz.FM, nina project inani-susutain nikirudi home during holidays. Pia pocket money ni constant.

29


TO. TUMA S I RIS

WA 3008 UTO UK

Advise yangu kwa ma-youth na farmers ni, tuwe wajanja. C ati kuku zinajilinda. Hizo kuku zinakula uchafu na ni lazima tuzitunze sisi ili kupata faida zaidi. Vaccine ni cheap lakini outcome ni rewarding. Kuku moja inauzwa 450 A NENO KU N K MS at the moment huku ocha. Imagine utapata how much kwa kuku 60! Pia sms tunauza mayai, na tunakula incase tunataka mboga. 3008 kuku Thanks sana DJ B!

AONI JUU YA HI EM

na-hope stori ya lydia imewasaidia, wasee! tupatane next time! tuko gangare!

agh, sawa, basi. mnaweza kuzivaccinate.

grrr... uncle rosie... ngoja tu! siku moja nitakupata...

30

23.d - Charlie Pele  

Chapta 23– Charlie Pele: Mganga Vaccine

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you