Utamchagua nani?
TUMEKUJA HAPA KUOMBOLEZA KWA MAZISHI YA MAREHEMU.
MASKINI MAREHEMU ALIKUWA KIJANA MWENYE HEKIMA SANA
2
sema Boyie, YULE MP WA MTAANI AMEKAM KUFUNGUA ILE BRIDGE
NIMEHUZUNIKA SANA NA MKASA HUU uliofanyika juzi, LAKINI NIMEHAKIKISHA HAUTAFANYIKA TENA
KAMA MBUNGE WENU, NIMEAMUA KUZUIA MKASA KAMA HII KUFANYIKA TENA, NJOO MJIONEE…
…MNAONA NIMEJENGA DARAJA NZURI AMBAYO ITAZUIIA VIFO
MHESHIMIWA YEEEY!!
HIYO NDIO BRIDGE?
ULIKUWA WAPI WADHII WAKI-DIE?!!
3
HIYO BRIDGE NI MBAO TU UMEWEKA!!
EHEE EHEE…
WASEE, PIGIENI MSEE WA NGUVU KA BI AMANI, HATA AMEJENGA CHILDREN’S HOME PEKE YAKE…
WACHIENI HUYU MP HII BRIDGE YAKE FAKE! TUKO PAMOJA?
4
TUISHIE KADES! HAWA WASEE NI WAOOOGA
5
DERE, HII NDIO KEJA INAANGUSHWA
ATI NINI?? SITOKI HAPA, LABDA MNIKANYAGE KAMA MNATAKA KUBOMOA…
NIACHENI, NIACHENI!!! TOKA HAPA MATHE!!
KWANZA WE BOYIE UTAFUNGA HIYO MDOMO BIGI
NIACHENI, MNANI-TAKE WAPI
6
KUWA donga SIO KUWA LEADER!
Hii story ya political intimidation lazima ma-youth wamalize. Tusiitikie kutumika kwa violence. Kama MP wenyu ha-perform, ishieni kwa debe na m-make choice poa.
Sheria inasema hivi kwa Chapta 7 ya Constitution: “Msee yeyote anaweza simamia uchaguzi kama independent candidate kama yeye – sio member wa chama yoyote registered ya kisiasa…” STO. TUMA SM II RI
S NA
NENO DON G
sms 3008
WA 3008 UTO AK
donga
AONI JUU YA H EM
kama wewe ni: Unaweza kuwa MP r. • Registered Vote ation nduct cert na educ co od go na o Uk • a). h na Kisw yako iko juu (Englis see thao moja wa ya t or • Uko na supp y yenu. kutoka constituenc
Youth leaders wenyu wanangoja views zenu kwa facebook. Wana need mu-washow vile mnataka kwa page ya Inter-Party Youth Forum (IPYF) au page yao na ukue fan. Hii ni chance yenu kubwa ku-make positive change.
Inter-Party Youth Forum (IPYF) 7
KUWA READY
KU-VOTE!
CHUKUA ID YAKO SASA KAMA UNATAKA KU-REGISTER KUPIGA KURA! Ndio hii information yote unahitaji ili Nani ana-qualify ku-register kama voter? • Lazima uwe Mkenya. • Lazima uwe over 18. • Lazima uwe na ID ama Kenyan passport.
kuhakikisha umepiga kura kwa election ina-come. Kumbuka, kama uko over 18, ni right yako na duty yako kupigia kura leader wako.
Na-registrer aje kama voter? • • • • • •
Enda kwa registration clerk kwa designated registration centre. Patia clerk ID ama passport yako. Huyo clerk ata-fill OMR form ambayo uta-sign na kuweka thumb print. Clerk ataandika ID number ama passport namba kwa register. Voters card yako itaandikwa, ikuwe laminated kisha upewe. Kama uko na voters card mzee rudisha kwa polling clerk upewe mpya.
ILANI:
Kuuza ama kuharibu voters card yako ni kosa kwa laws za Kenya! Naweza katazwa ku-register kupiga kura? Kama… • • • •
Nimekuwa declared bankrupt Kama court ishawahi kunipata guilty of any election offence Kama uko neti/gerezani Kama kotiko/koti imeku-declare chizi
Q&A
Nafaa ni-register wapi kama voter? Kila constituency iko na offe inafunguliwa six months before elections. Zitakuwa advertised soon kwa daily papers kwa hivyo, kaa gangare. Naweza change registration details zangu? Ndio. Unaweza change jina yako na address ukienda kwa centre ya voter registration.
Naweza register zaidi ya mara moja? Zii/Hapana. Ni noma kubwa sana kisheria ku-register more than once. Unaweza fungwa miaka sita ama u-fainiwe tenga tano ama both.
Niki-lostisha voters card yangu inaweza kuwa replaced? Ndio. Lazima u-present national ID yako kwa registration clerk mahali ulikuwa ume-register lakini ujue haiwezi kuwa replaced on 8 election day.
So kuwa prepared! Kama ushafikisha miaka 18 na hauna ID bado….Usingoje mpaka last minute! Utakuwa disappointed. Ili kupata information zaidi cheki www.IIEC.or.ke ama visit facebook page yao “IIEC Voter Education” INTERIM INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION