Skip to main content

11 - Shujaaz.FM - Chapta 11

Page 1

Tuko Bampa

na 2011

NOT FOR SALE

CHAPTA 11


Ili ku-help ma-youth wa-improve lives zao, Boyie, ambaye hu-spend life yake akiunda ma-electronics, alijenga a pirate radio station - Shujaaz.FM. Akijiita DJ B, anaendelea ku-empower vijanaa huku anajificha from Chief na ma-gangs.

Msupa Mtaani!

3


4


5


6


7


Dee Dee Age: 18 Jina: DEEPTI DIVANI A.k.a: journalist Ambition: Kuwa investigative d, m-independent, mwerevu. Qualities poa: Ako determine Qualities zii: M-stubborn jo! p Ma-hobby: Photography, ku-cho out ukweli, kuhoji wasee Ma-talent: kuandika, ku-find Najua Deepti anaweza kuni-help kuconnect na mafans vipoa sana. So nita-work na yeye; ata-call ma-fans na kusaka info zaidi. LAKINI siwezi kum-show ati mimi ndio DJB!

8

Nitapatia Deepti messages zenu zingine ndio awacall. Anaweza call time yoyote!

Deepti anataka sana kujua DJ B ni nani. Lakini DJB ako na secret identity so anakataaga kum-meet. Lakini‌Deepti ata-discover ati Boyie ni DJ B? Na Boyie atafanyaje ndio aendelee ku-keep identity yake secret? Endelea ku-chop Shujaaz ujue!


Malkia Ajanjaruka!

mmmm... sasa nita-doo career gani nikiwa m-bigi?

Aii... kuna choice nyingi! sina idea!

vipi ma-fans? niko na maujanja za ku-make cheddas... manze nyinyi huni-inspire vi-major!

9


Cheki story ya giks. Giks aligrow eastlands, Nairobi na yeye ni huuza bidhaa kwa stall yake. Hii job unaionaje?

Ulipokuwa mtoi ulikuwa unataka kufanya nini na life yako? Nilikuwa nataka kuwa mechanical engineer, but haiku-work out. Nikaanza kufanya makibarua nikilipwa 300 per day. Nikaona naweza get more huko nje nje. Niliamua nianze works yangu juu employment haikuwa inanisaidia sana. Subject yako favourite chuo ilikuwa? Nilikuwa na-like Sciences na English. Na uli-clear chuo ukiwa how old? Nilikuwa 18. Na sasa, ulianzishaje stall yako mtaani, ukaanza kuwa vendor na kuuza bidhaa za watoi na madem? Kwanza nilifanya works kwa cousin yangu. Alikuwa na shop ya kuuza toys na stuff za beauty. Kwa ile chapaa nilikuwa na-get hapo, nika-save 8K. Pia nilikuwa member wa self-help group, na huko nikachukua loan ya 15k. Hivyo ndio nilianza bizna. 10

Unafanya ujanjez gani ndio uongeze dooh kwa bizna yako? Jioni after nifunge shop, na-deliver bidhaa kwa customers wengine wenye wame-make orders. Unafanyaje shughuli zako through the day? Mimi hurauka morning ya 6 a.m. Naenda shops za tao ama Kariokor kutafuta stock. Naendaga na bike yangu kutoka Umoja estate, so na-save dooh coz silipi fare ya matatu. Nikimaliza ku-shop, naenda kwa stall yangu Huwa nafungua shop saa nne morning, then napanga shop ikae smarter. Afternoon nakuaga busy sana. Shop inafungwa by saa moja jioni. Challenge yako biggie kwa hii works ni gani? Kwa story za fashion, kuna compe na mambo hu-change faster. Ukizubaa una-lose customers. We hu-like nini? Na-like music! Nimekuwa nikiimba since nikuwe mtoi. Naendaga choir practice Buru Church jioni.

Una dreams gani kwa future yako? Dream yangu ni kuwa na biashara kadhaa ile mimi mwenyewe nasimamia. Unaweza advise aje mavijana wale wameshindwa ni career gani wata-choose? Kama ni kitu unapenda kufanya, afadhali uanzie na hiyo kwa sababu hata kama haitakuingizia chapaa faster, ukiendelea kufanya na bidii, chapaa itaingia na ways zitafunguka.


Cheki story ya Tony Ongaria.

Tony hakungoja achorwe works kwa kampu. Pia wewe unaeza chanuka kama Tony u-make initiative ya kucreate employment.

Uipokuwa mtoi, ulikuwa unataka kufanya nini na life yako? Nilikuwa nataka kuwa pilot. But haikuwa rahisi coz ku-join colle ya ma-pilot lazima mtu a-qualify na grades fulani. Na sikuweza. Subject yako favourite chuo ilikuwa? Biology. Ulimada chuo ukiwa how old ? Nilikuwa 19. Ulianzishaje biz ya ku-collect garbage mtaani? Maboys walikuwa jobless na tulikuwa tumesota. Nilikuwa nimemada kampo na sik-get works. Kulikuwa na garbage collector mtaani na tukaona pia sisi tunaweza anzisha yetu. Tuli-make flyers ya kuji-advertise tukapea wasee mtaani. Wakarespond poa na tukagawana hao yenye mtu ata-collect takataka. Pia tukaelewana njia ya ku-share income.

Nini hukufurahisha? Nikiambiwa na customer mtaani job yangu ni poa, ni encouraging. Mtaa ikiwa clean huwa nabambika!

Challenge yako biggie kwa hii works ni gani? Transport ni blanda! Wasee wa kanjo ndio hu-provide transport ya kupeleka garbage Dandora dumpsite. Tunawategemea coz wako cheap. Time zenye wanakosa ku-come, inatubidi tutafute other means of transport na ni expe tu sana.

In a day, mnapangaje job? Weekdays, huwa naenda Inda baru ya ku-offload mabati. Sato, huwa narauka 6.30 am ndio nisupervise garbage collection. Mimi na mabeste zangu tume-employ ma-boy na tuna-collect garbage kwa keja 100. Uko na advise gani kwa mayuts wenye hawajui career yenye wanataka ku-do? Sio poa kuchagua wera. Kuwea jack-of-all trades saa zile unatafuta specialty yako. Nurture job yako, itakusaidia ku-grow-isha talents zako.

11


Cheki story ya betty njeri Huyu ni Caterer. Ana-run biz ya kupika kwa ma-wedding, bridal showers na events zingine. Hii ni moja ya jobs msee anaweza kujianzia.

Ukiwa mtoi, ulikuwa una-dream kufanya nini ukikuwa m-bigi? Nilitamani kufanya kuwa cabin crew juu ya dooh na ku-travel place mob. Nilitaka kuwa successful. Subject gani uli-like sana chuo?? Nilikuwa napenda English. Ulimada chuo ukiwa how old? Nilimada chuo nikiwa 19 then nikaenda colle nika-do Public Relations. Sasa, ilikuwaje ukakuwa Caterer tena? Mother yangu alikuwa na restaurant. Nikiwa 10 years old, nilikuwa namsaidia kupika na ndio nilianza ku-like story za catering. Food ya first yenye nilipika ilikuwa chapo; ilikuwa tamu! Vile time ilienda, nili-manage kusave 50k nikatumia ku-buy chaffing dishes, vijiko, masufuria na jiko.

12

Una-face challenge gani kwa career yako? Ni hard sana ku-transport food juu lazima ui-pack vizuri ndio isimwagike, kwanza food zenye zina supu. Food kama ugali, rice, mukimo huwa zinawekwa kwa sufuria na kufunikwa na foil paper. So, food zina supu, naziweka kwa pots kubwa. Unafanyaga ujanjez gani time zenye biz iko down? Kama sina event ya kupikia, huwa na hire out chaffing dishes zangu. Una-like ku-do nini sana? Napenda kupika! Food hunibamba most ni kuku, na na-like kuipika. Pia na-like kusaidia wasee wako less fortunate.

Una dream gani?What are your dreams and ambitions? One day, na-hope nita-make bizna yangu ikuwe biggie na ijulikane poa. Kwa msee mwenye hajui anataka ku-do career gani, utamadvice nini? Amua kitu unataka ku-do. Jiamini na ufanye kitu umeamua bila wasiwasi. Unaweza anza bizna na kitu yoyote yenye uko nayo na soon utakuwa juu!


Cheki story ya jamlick butali. Yeye ni Interior Designer. Yeye hudesign makeja, mahoteli, pharmacies na offices. Kama Jamlick ame-make, pia wewe unaweza make, kwani!?

Jamlick, ebu tu-show ulikuwa unataka ku-choose career gani ukigrow? Nilikuwa nime-like sana art and design. Favourite subject yako ilikuwa gani? Drawing, Design na French. Wacha! Na uli-clear chuo ukiwa how old ? Nikitoka high school nilikuwa 18 , na nikimada university nilikuwa 24. Ilikuwaje ukaamua kuwa Interior designer? Nilikuwa nataka kufanya architecture kampo but nika-realise kuna vitu mob ningeweza kufanya instead. Nikasomea interior design. Nilipomaliza niliandikwa works kiasi halafu baadaye nika-quit ndio nianzishe kampuni yangu ya interior design.

Noma! Kwa day moja unakuwaga na shughuli gani? By 5.30 a.m nakuaga nishaamka. Nafanayga job kwa desk yangu mpaka 9.30 am then naenda kucheki sites. Baadaye huwa ninafanya supervision na inspections mpaka 5 pm.

Kwa mayuts wenye saa hizi hawajui ni job gani wata-do, unaweza kuwa-advise nini? Jiamini kwa kitu una-do. Kila kitu ni bidii, unaweza achieve anything, bora ukuwe na bidii. Lazima uanze ukiwa down, baadae uta-get kitu.

Challenge yako biggie kwa hii works ni gani? Hii company ni small n shida biggie huwa ni story za dooh. Kuna clients hawa-pay vipoa sana especially ama ni mara yao ya first. Nini hukufurahisha maishani? Nikimaliza job huwa nabambika . Tena, nikiona client ako satisfied huwa nafurahi‌kulipwa baada ya job pia huwa inani-jazz.

Una dreams na ambitions? Nataka hii bizna yangu i-grow mpaka nje ya Kenya na ijulikane vifiti. 13


m

po? i ukizubaa ha in n ya n fa a n alkia u uncle yako!! ie ik p u a fa a n u

hey... labda naeza kuwa chef!

Mafans, cheki story ya huyu fan wa Shujaaz FM mwenye ame-realize dream yake!

Maze when I was young, I admired a certain old man who was a mechanic.Diz inspired me n I enquired watI was 2do to achieve this goal.Diz became ma dream n aftaku-hustle, I made it 2 eldy poly wea Ituk mechanical engineering. Am now com4table wid ma career in mechanical engineering n am planning 2 get a degree in de same profession.Guyz, believe in what u wanna do n definatelyyou will makeit. Am currently providing 4ma parents who saw me thru colle n paying 4 ma bro skulfees. This is what am trying to say: You can make it if u wanna!

Eric Odundo – Mechanic 14


Well Told Story © 2010 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

Content producers: Audrey Wabwire Content: Paul Peter Kades, Charles Ouda, David Ouma Art Producer: Fatima Aly Jaffer Layout Design: Joe Barasa Art: Daniel Muli, Eric Muthoga, Kevin Mmbasu, Movin Were, Salim Busuru, Joe Barasa Radio: Eunice Maina Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 www.wts.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

Sheng Dictionary

Sekete (n) Old

Vuta Aerial/ Panda roof (v) Kuwa mjanja Njako (n) Polisi/Karao

Scan (v) Kuwa alert Ngupi (n) Pingu/Handcuffs

Rodhi/rothi (n) Trouser

Roho safi (v) Kuwa na uzuri

Ronga (n) Rongai

Una macho biggy hadi unaitwa ‘eye witness’.

Manzi yako mnono, ukimchinjia, lazima umuingize box tatu.

Una kichwa kubwa mpaka ukiingia class teacher ana kuambia no groupwork today.

Ngweru (n) Beshte

Ngware (adj) Mapema

Ngomi (adj) Fala

Neti (n) Jela

Pori (n) Kibeti/Purse

Potanga (n) Viazi

Pasua (v) Chukua short-cut

Paka rangi/Panga (v) Con/ Sanya

Pandhre/Panji (n) Indian

Okwonkwo (n) Sonko/ Kiongozi

Oboho (n) Bad boy

mchongoano

Falafulani, gari yenu ni mzee hadi nyi hufunga punda kuivuta TV yenyu ni bwaku, Tom and Jerry wakikimbizana wakifika katikati wanapumzika kwanza.

Una kichwa bigi hadi ukiingia mat emergency door inafunguliwa.

Ati kwenu nyi ni ma-gondi design Ali Baba & the forty thieves walikam kwenu attacho.

Wewe ni m-ugly, ukiingia bank wanazima surveillance cameras.

Ati una comp noma ukifinya escape inapotea!

15


happy new year 2011! Ma-fans, big up kwenu kwa kuwa na mimi hapa Shujaaz FM mpaka this New Year 2011! Cheki risto zenye watu wameshare na mimi.

sms

MONEY-MAKING IDEAS Nime-come ku-realize kuwa kuna project mob sana which have been abandoned! If ma-yuts can form groups, they can do a lot of work like: 1. Taking photographs n selling them to tourists. 2. They can start a local museum for their cultures in Kenya n charge people a little fee 2 access the museum, especially during the holidays 3. We can also make traditional clothes using animal skins n decorate with ornaments n sell 2 tourists! - KEMESH A. E. The easiest way yaku-make money, ni ku-come 2gether ma-yut kama 10 hivi. Kila yut na mtungi moja wa maji. This will be 10 mitungis and imagine 10 x 50! Wakiuza maji places kama Emba ambako maji ni problem, in a day these guy can make over 5k! - DAVY L. M Niaje DJ B? Chapta7 ilikuwa ina shikaaje! Cheki nina idea ya ku-make doo, inagharama, but ukitoboa una-save sana. Kama kwenu kuna TV haitumiki waweza nunua playstation moja then ukatafuta place ufungue. Watoi hu-like sana. Na uta-make chapaa zakueleweka then utaweza kununua mo machines na TV. - DOMINGO ndani ya MOMBASANI 16

LEADERS WHO USE MAYUTS

Friend wangu ametoka slum. Yeye na watu wengine wachache walipewa hongo iliku-cause riot. Alipewa 2k ku-throwia gari stonz. Sikuweza kum-help kwa sababu ali-catch-iwa na police. Friendz zake walihepa na yeye ata si jui pahali alipelekwa. Na the best ni ku-stay away from tama ya pesa. Beta safe than sorry. Dedicated to Ken, former player of Livorno FC. (again, will have to confirm this name of Livorno FC) - FAHEEM S. Nishawahi approach-iwa na politician fulani eti atanilipa 4k niki-organize watu waandamane mtaa fulani juya rival wake. But kudos 2 my mum alini-tell eti si poa n I didn’t do it n that politician alini-threaten but I was firm n I told my dad n everything was kul. So na-tell ma-yuts, hawa watu wanatutumia na sisi ndio tunaumia so pliz msijipe kwa hawa watu. - UGIN N. S. I think ma-yuth wazinduke. Ukiona mwanasiasa anakutumia kuanzisha vita na anakutumia wewe mwambie “kwanini wewe usiende mwenyewe?” - BRANTON M.

USITISHWE! DJ B manze hiyo story yakutishwa: beste yangu alikuwa hawezi apply job cos yeye ni kabila ingine. But ame-add confidence yake naku-apply akapata job! - DAN O.

W wa me mume mar C

Enyewe sisi ma-yuts hutumiwa vibaya na hawa mabuda. Sijatumiwa but nimeona wakitumiwa ocha kwetu. Kama 2008, waliletewa mapanga ndio wazushe. Walifanya vile walifanya, lakini after that regret-ion mob! Mwenye alikuwa akiwatumia sasa hivi yeye humanga na kusinzia bungeni kama mtoi. Since 2008 huyo msee huonekana tu kwa tele na si ati akibonga, hapana, akiwa amedoze! Ali-show ma-boyz ati ata wa-provide-ia jobo. Walipewa jobo kidogo yenye hawa kulipwa...regret-ion! Regretion...enyewe 2012 mabuda watarauka tena, lakini aki kushow love...kataa hiyo na umshow mgongo. Sawa ma-boyz? Let’s make our own decision! - MAX D. Kuzo yangu ali-bribe-iwana chief ili aende aki-force wadhii kum-vote-ia kwa 2007 elections. Alipo kamatwa na karao aliwa-explain-ia kila kitu lakini chief ali-insist kuwa haku-du kitu ka hiyo. Mpaka wa leo kuzo ako prison. - BRIAN K.

THANX SHUJAAZ!! DJ B uko poa tu sana kwa kutujuza juu ya issues kama sexual harassment, kutumiwa vibaya na politicians na pia kuwa na morale kwa kila kitu ma-yuts wana-du positively. U r the Best n dats for sure! - VICTOR.


Wale ambao wana kwa essage zao, eshinda T-SHO ra hiyo hiyo! CONGRATS!!

shujaa of the month!

fan page

dj boyie

PEACE CLUBS Nasomea national skul na nime jazika na hio risto ya Malkia yakufight tribalism. Tumeanza peace council kwa chuo na ina-work poa. - ROBERT K.

CHECK US OUT ON OUR WEBSITE WWW.SHUJAAZ.FM

Hi DJ B! Tuli-follow idea ya school council na sasa tukona democracy kwa shule. Kila stude akona right yaku-expose anavyo feel. Hakuna mambo ya bullying tena. Thanks for the good ideas continue with that heart! - SHELDON from MALINDI

NEW VARIETY MAIZE Story ya Charlie Pele yakutumia mbegu new variety ilinishika sana, mimi ni young farmer na hii story si only juu ya kutumia mbegu new variety pekee, pia kutumia njia za kisasa za ukulima. - SAM L.

Abdihakim Mowlid 19 years Garissa

Dj B unajua umenielimisha hadi nimesave 2clans waki fights huko garissa jo! Hadi ma youth wa garissa wananiita hero. Alafu nika kutaambulisha kwamba wewe ndio umenieliimisha. Thanx DJB! Kuna group ya Dj Boyie tume-create kwa migg33.com. Plz advertise kwa magazine au hata kwa fan page. Kuna fan wako 350 wame-join hiyo group. join

New variety nipoa kuliko za kawaida juu za kawaida lazima uweke kwa maji ndiyo ikue poa which niku-waste time. - HUMPHREY R. na ni-follow kwa

careers Nilipomaliza Form 4, nili show buda nataka kufanya fashion & design, na bro alikua ananifundisha kuchora kiasi. Nilifurahia sana kuchora, lakini fathe akani-show hana pesa za kunilipia course ya fashion & design. Nililia sana, kwani sikuona future bila hiyo course. Baadae nikaongea na neighbor wetu fulani, ambaye alikua hotelier. Akanishow si lazima niwe in fashion & design, naweza choose career za hotel industry. Nikazi cheki zote, nika choose front

office/restaurant cashier. Nikaenda colle nika soma.Nili-choose kua restaurant cashier, coz nita-interact na watu wengi, and in the process nita-learn different languages. Pili, with the experience of cashiering nitaweza run cafe yangu in future. It’s also hard: kuna time na-give out wrong change, napata shortage and it has to be recovered by the end of the shift. Lakini haina stress mob, we work as a team with waiters/ waitresses. It’s fun and I like what I do. - HELEN T.

shujaaz

17


huyu dem wa mtaa ni orphan anaye-raise bro wake, na huku anang’ang’ana na chuo. Ana-face challenges mob sana, Lakini hakubali anything kumzuia kuzima corruption. mafala pekee ndio hu-try kum-challenge. only the brave hujaribu kum-ask out!

Chuxx Arudi Ocha!

Manze alisema mimi ni kaa mtoi wake...

Lakini saa hizi ameniacha {hic!} Hata amesahau vitu alini-promise….niko alone. ALONE!

Siezi trust huyo Godpapa tena. Nita-change nianze life freshi.

18


Nitakuwa good boy! {hic!}

Wee! Ebu angalia kwenye unaenda!

Ah, msuper! Niaje? Cheki, uliniambia ukweli juu ya Godpapa, huyo msee hanijali.

Nishaamua, kuanzia saa hizi, nitakuwa good boy.

Nahitaji family. Nimekuchagua ukuwe wife wangu! Ulijuanga nina shamba ocha? Nita-visit budangu na ni-mshow ndio niirithi. Manze time yangu ishafika.

Chuxx ishia. Umelewa!

19


Mtoto wangu amerudi! Nduma! Umerudi? Ah, umenifurahisha sana!

Nimekuja ku-cheki urithi wangu. Baba, time yangu ikifika, nitaanza works kwa hii shamba.

Lakini unaona kijana, kazi ya shamba si rahisi. Ni lazima utie bidii kabisa.

20


Manze ina-bore! Nahitaji gauge initulize kiasi‌

hii ni first time nimewahi toa hiyo jacket yangu ya green... eh!!

unajua wase huni-enjoy ati hii t-shirt yangu maybe haina mgongo? eh, na hawa...? hawachoki?

Aki Baba, Nduma ni m-lazy tu vile alikuaga. Si-believe utamwachia shamba. acha nipige pose hapa kidogo

Rhoda, ndugu yako amechoka tu kwa sababu ya safari. Mwache apumzike kidogo. Shhh‌nyamaza wee kuku! Ni kutoka kwako ndio nita-get doh za ku-buy crate mzima ya gauge bariiiidi!

leta keg! patia kila mtu moja moja!

bosh... {hic!} we ni mshee wa nguvu!

21


Nduma, amka! Unaaibisha hii familia sana. Usidhani nitakuachia shamba yangu hivyo tu. Nimeifanyia kazi ngumu sana!

Ni miaka mob sana mimi na Baba tumekuwa tunafanya job hapa kwa shamba ndio ikuwe bizna ya maana. Wewe umekuja tu hivi na umetupotezea pesa mob sana kwa usiku moja tu!

Wewe ni mnoooono na uko greedy sana!

Mnanidisciminate tu juu nimenona?! mimi ndio first born son hapa!

Nonsense!

22

Hata nikikufa, Rhoda ndio atarithi hii shamba. Sio wewe. Ameweka bidii yake kujenga hii shamba.

Hebu ondoka kabisa!


Godpapa hawezi ni-discriminate, yeye ndio msee wa kabila yangu hapa mtaani…

Niaje DJB? Chuxx ana-complain juu budake alikataa kumpe shamba. Juu ya vile ako m-lazy, ame-loose opportunity ya kuwa na bizna ocha. Anajionaje? Ati sis wake hawezi rithi shamba juu ni dem?!

oh, umerudi? Hebu osha gari yangu!

Mayuts wengi wanawaste dooh mob kwa pombe na mwishowe wana-lose chances poa in life.

Niliuliza ma-fans juu ya hii noma Facebook na hivi ndio walisema…

BOY G Chuxx fanya bidii uwe na shamba yako. Budako akikunyima ni haki yake coz alifanya bidii na niyake. Sasa kama wewe ni mlevi na uko kwenye gang sidhani kama wataka kuji endeleza na hiyo plot. Kuna bob yako hapo kwa plot? Hauoni haya bado chaliii mkubwa una tegemea wazazi? Aibu hiyo bwana!

JARED I Chuxx a-relax a-buy yake coz huyu akipewa hiyo shamba, ataiuza. So buda asimpatie.
 
PETER B. L Kufikiria hio ploti ndo inafanya mjamaa awe mzembe. Fikiria out of the box; anza kuona vitu zingine muhimu kama kuuza makaa, panda skuma kwa gunia, fuga kuku….ni mob bana! FIKIRIA!

Lazima tukuwe responsible as mayuts kama tunataka ku-develop. Work hard ujitafutie kitu poa badala ya kutegemea wengine. Hatuwezi kuendelea kutumiwa na ma-leaders ati juu unataka easy money. Ni bidii yetu ndio itatuinua jo!

KATHY O. Hio ni sweat ya fathe na anakula sweat yake! Lazima Chuxx a-reap chenye yeye amepanda si ya baba yake! JOHN L. Ni right yake. Buda aachane na vijisababu. Apewe shamba ajiendeleze. Kama sivyo, buda naona yuko taabani. Chuxx ataterrorise ocha. Maybe anataka ku-invest ama ana-marry.

Ehe! Kama wewe ndio hao wasee wanangoja tu kurithi vitu, job yako ni pombe tu, ebu acha hiyo tabia mara that! Weka bidii!! Kaa gangare! Unatuaibisha jo! 23


Baba Charlie Anaangukia Dame!

saaaaaasa...

hawa kuku wetu wameenda wapi?

charlie! kwani umerogwa na hiyo mpira?!?! Kuja nikupe kazi!

niko na date with a special lady leo! ooooh!

na ninataka kumpatia kuku moja kama zawadi, lakini siwaoni kuku wetu! wametuhepa tena!

warudishe kabla giza iingie!!! haujui kuku ni pesa?!

24


wazi, charlie!

meep 25


woooishe, kuku huyu karibu aliwe! ameogopa!

Ala! Kuku mwingine amejinyonga kwa fence!

...oops!

26


baadaye... karibu giza iingie na tumepata kuku wawili tu! tutafanya nini?

rosie, kimbia! kuku anaenda kwa jirani!

kuku mwingine!

haiya!

itabidi tuchague mmoja!

na kama si wetu?

WEZi!

27


Aki mathe tafadhali kuku wetu ali...

hatusikizi! tuhepe!

kwendeni huko, nyinyi watoto watundu!

aki rosie, nimechoka! hata mimi! twende tukunywe maji!

sawa!

nisiwashike! nitawakaranga na mayai!!!

hee, sitaki kusumbuka na hizi kuku tena! si labda mjenge pen ndio kuku zisipotee tena?

hmmm...

nimejua! tutengeneze chicken pen! ala!

28


iko poa sana! asante kwa kunisaidia! wacha nimuite mbuyu aione...

iko poa!

kijana, unanisumbulia nini? niko busy!

DADDY! come ucheki!

wapi kuku yangu, nyinyi watoto watundu?!?

ni nyinyi!

hepa, rosie! matha mso kama huyo atatuumiza vibaya akitushika!

cheki tumemake chicken pe...

KUKU = DOOH!!!

Ukitaka kuchunga kuku vipoa: Zi-protect kutoka predators kama mwewe. Uki-dye kuku pink, mwewe hatazichukua. Cheki Chapta 1

Wasee, kuku moja ni kshs 300. So ukiuza kuku moja, unaweza buy bag moja ya new variety maize!

Zilishe fiti. Hii si expensive juu unaweza zilisha termites.

Ukiuza kuku 5, (Kshs 300 x 5= 1500!!), unaweza buy gunia moja ya fertilizer.

Cheki Chapta 2.

Ama hata boots za football! Msee mjanjez hawezi tupa tu dooh hivyo. Chunga kuku na uta-save dooh!

Zi-vaccinate ndio zisipate Newcastle disease yenye hufagia ma-kuku vibaya! Cheki Chapta 5 Lakini, ukitaka kuzi-protect kutoka mongoose na wanyama wengine wenye hukula kuku, unaweza ku-buy Chicken Pen yako for only kshs 250. Ama, unaweza kuzijengea chicken pen kama ya Charlie. Ukifuga kuku hapa, wanyama hawawezi kuzi-get!! Soma comics zote za Shujaaz FM online kwa www.shujaaz.fm asante fips for the information!

www.fipsafrica.org

29


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
11 - Shujaaz.FM - Chapta 11 by Shujaaz - Issuu