INSPIRING KENYAN YOUTH NOT FOR SALE
CHAPTA 7
boyie
shujaaz fm! vipi mafans, ni mimi boy wenu dj b! nilipigia fan mmoja simu na akasema haya...
dj b, thanks kwa show yako! iliendaje na friend aliyechukuliwa mali yake na auctioneers?
chief, kwanini hukuzuia auctioneers kuchukua mali yangu?
uli-fail ku-provide security kwa community yetu na nikaumizwa na majambazi!
mume wangu, yaani ulikataa kusaidia huyo mama kutokana na auctioneers kwa sababu ya kabila lake? mkabila!
nitawa-spare kurushwa prison mkiniambia dj b ni nani!!! s,
ang
mag
3
sawa chief. lakini hakuna mtu anajua dj b ni nani.
kuna muhadhara?
ndio, kuna muhadhara. chief atatu-spare kufungwa jela tukimwambia dj b ni nani leo. twende ku-research.
tutajaribu. dj b ni nani?
sijui dj b ni shujaa. anaishi wapi by the way?
sijui ni kijana wa city.
sijui ni big brother ya wakenya.tunampenda.
kazi gani hii tumejiletea? dj b amekuwa fumbo...
4
ati dj b?
imagine makubwa tunaweza fanya mob na hiyo station ya dj b! tuta-control community nzima!!
hatuwezi ipatia chief hivo!
saseni. najua dj b. twende niwa-show pale anaishi.
nitamjulisha!
brathangu ameisha leo!!
boyie majamaa wa kutisha tisha wanakukujia saa hii! wanajua wewe ni dj b!
5
nimejiweka kwa shida gani? hii ni too much. siwezi jificha anymore! wakati wangu umeisha wa kuwa na hii show. lakini umesaidia watu wengi ku-improve life yao na hii show. usi-lose hope virahisi hivo boyie, umetoka mbali!!
kumbuka wakati uli-fix wheel-chair ya stima na kupigwa shock? huyo ndiye boyie nime-grow nikijua. usi-give up bro!
wewe ni dj b? kwa dj b. sawa? naishia.
6
ndio.
karibuni. naeza wasaidia vipi?
tumekujia redio station yako. tangaza kwa community kuwa tunachukua dooh za security leo usiku. mimi ni dj b wa ku-play music kwa concerts. sina redio station!
wacha kujifanya! ni open secret kuwa wewe ndiye dj b wa shujaaz fm show!
tumempata kwa station yake. si vizuri kukupatia radio station virahisi hivyo. he he he
dj b ni nani?
mmmh.. mmmmh..
wajinga! nyinyi ni wajinga! nawakujia!! tuko gangare kuruka!! hii ni shujaaz fm na mimi dj b! mambo vipi? watu wanataka kujua dj b ni nani. umewahi tishwa na watu?
yaani kuna dj b wawili? tumeji-mess!
7
lazima tu-avoid ku-threaten-iwa na watu. nitumieni experiences zenu kwa 3008 na nitawaambia jinsi ya ku-resist intimidation...
(gasp)..
auuuiii!!! tuishie!!
mtoto wangu!! tokeni!! tokeni!!
Kila mtu huwa na fighting Kuwa calm, confident na tayari spirit ndani yake. Mara nyingi, wanao kutisha kujibu maswali yatakayoulizwa . hujaribu kupunguza confidence yako kwa kusema maneno yanayo ku-hurt. Mtu anayetishwa Mtu anayetaka kukutisha atakuhuachwa akijishuku na akiogopa. Ni up to you interrupt kwa kuuliza maswali kabla kukubali au kukataa kutishwa jo! umemaliza kuongea. Mwambie akupe time ya kujibu swali aliyouliza kwanza. Julisha wengine vile unatishwa. Kuwa na facts za wakati ulitishwa na nini kilichofanyika.
kataa kutishwa!!! 8
Wanaotisha mara nyingi watakufanya kukaa kama wewe ndiye bad guy. Kuwa na good record ya mambo poa umefanya.
MALKIA!
HEBU CLEAR THIS MESS! UNCLE YAKO ANAKUJA KUNI-VISIT.
HAWA NI KINA NANI? 9
Oh, ni friends na classmates wangu. Sisi ni members wa peace club.
If not nitaku-transfer shule. Sawa!!??
For goodness sake Malkia! Sitaki uwe rafiki ya hawa foreigners!!!
But ni schoolmates mum! Mi si-understand sababu ya mathe kusema hataki niwe beste yenu.
Mathe Alisma ati watu wenu niwa-greedy,
Ohoo, ni hivo? Sasa nitakuonyesha vita wewe!
10
...na nyinyi ni wazembe, ...na kuwa wewe watu wenyu hutumia urogi kwa exams!
Na budangu alisema nyinyi Malkia huibaga doh kwa maskini!
Na nyinyi ati huwaga fitina na hupenDa kupigana vita.
Wacha kumpiga
Kichwa soo ntakwonyesha oxygen hu-spell-iwa aje
Heeey! Ni nini? Hii ni meeting ya peace club ama ni wrestling club?
11
i’m sorry, sikuwa nataka tupigane.
Na hii fighT imeanzia wapi? Na si ni wewe ulianza hIyo storo na mathako?
Sasa nimepata idea poa. Hii shida najuwa ina-represent wazazi wengi. So, kwa next parents meeting, situ-make ka-presentation juu ya tribalism.
Sorry kwa kukuvuruta nywele.
Come in
Excuse me sir, we want to have a presentation on tribalism in the next p.t.a. meeting.
IPAL
PRINC
We live together in harmony in school and need to show our parents how to do that...
12
That is a great idea. Prepare your presentation then call me To PREVIEW it once you are ready.
A WEEK LATER AT MALKIA’S HOME... Mum, Pleeease kuja uone play yetu kesho.
Nitakuwa niki-act
Mum thanks a million! Eee nita-try. Oookay.
Ma-Paro wame-come wengi? Ndio na ninatafuta mathangu
Simwoni.
13
“Tuachane na ukabila, kwani huleta utenganyifu, mgeni kumpokea kumbe ni kujitongea.”
Very good Malkia. The parents have received the message and understood.
MY MOM HASN’T COME...
ubaguzi
Jua kila mtu ni tofauti na special.
Mara nyingi, watu husikika wakiongea vibaya juu ya watu wa kabila, race, tabia, na tabaka tofauti na yao. Hii sio sawa.
Kuwa sensitive kwa feelings za watu wengine. Ni unfair kubagua.
Usikubali kuona wengine wakibaguana juu ya dini, lugha, kule wametoka, gender, au sura zao.
Wanaobaguliwa huanza ku-doubt watu wengine, wanaskia guilty na kuwa na low self-esteem. Utakuwa responsible citizen kwa kusaidia kumaliza ubaguzi!
Kuwa kwa activities zinazo-encourage watu wa different groups kuwa pamoja kwa concerts, sports forums, ku-visit festivals.
Jivunie kuwa from your culture, ambia watu wengine juu ya culture yenyu.
14
Tumia DJ B maoni juu ya ubaguzi on 3008, facebook Djboyie Shujaaz
Don’t be sad Malkia. Change begins with you and your generation
Teach friends zako kurespect tofauti za watu na kuwajulisha wanapo bagua. Hi DJB keep it up mnatia Wakenya moyo eg. Mi ni Mkamba I stay in Kerugoya pahali Wakamba uogopwa sana.1st niliwa-show mi ni mtu na Mkenya kama wao, u-join story za kukataa ukabila juu ata kama kwetu kuko uchawi sio kila mtu mchawi also hizo ni vitu vya kale, tena sijionangi au kujitenga kando kwa ujenzi wa taifa. Kwanza mi ni wanachama wa shule, na niliaza merry go round ya wamama ili tuwe kitu kimoja and they turned to love me and many have no problem with my tribe now. Always show people around you that, you are brothers, share your talent with them wherever you are na Kenya will be a nice place to stay.Tresa M. M from Machakos via Kirinyaga.
Sheng Dictionary / Dicmusi
Mchongowano
1. Nduthe-Ku-run fast 2. Doro- Kulala 3. Mbori-Refugee 4. Blada-Rubber band/Ku mess up 5. Dondoa- Ku-drop passengers 6. Mdongera- Tajiri 7. Ubege- Njaa 8. One pack- Pot belly 9. Ndula-Kiatu 10. Fedi- Police 11. Kindema-Monday 12. Gange/Janta- Kazi 13. Ndyefi-Shida Ma-fans! Sheng 14. Mngaro- Nguo poa dictionary na 15. Kuvuta arial- Kuwa wise mchongwano ni kali, au sio? Nitumie mi DJ B 16. Harare- Kuwa unfair mchongoano na sheng words zingine moto ili tuwe smatta kama vijanaa!
Hi DJB your sheng words and mchongwano are nice keep up the good. - Ernest from Kijabe. 1. Damu yako ni sweet mpaka mosquito ina-come na cake. 2. Mko matajiri mpaka mnapikia chapati mafuta ya baby care. 3. Phone yako ni kali kwa extras iko na nailcutter 4. TV yenu ni nzee hadi Dexter anaongea kikamba 5. First time yako ya kuingia kwa mat uliwacha viatu nje na ukasalimia kila mtu na mkono 6. Una kichwa bigi ukiinama unapiga sama 7. Gari yenu ni mzee hadi ikiwa kwa jam unadhani ime-cause accident! 8. Ati budako ni mwoga hadi yeye hulala akiwa amekuja ngumi. 9. Mbwa yenu ime-watch movie mob mpaka wagondi wakija inawafuata ikisema “TEREN TEREN”
Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512 www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO.. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.
Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Bridget Deacon Layout Design: Joe Barasa Art: Daniel Muli, Eric Zøe Muthoga, Salim Busuru, Movin Were, Naddya Oluoch, Joe Barasa Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio. Well Told Story © 2010 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication. 15
Big up kwa ma-fans wote wa Shujaaz.FM comic, tumeendelea ku-grow sababu ya kupata encouraging messages kutoka kwenyu through SMS, Facebook na Twitter.
Vijana w zao na
M me kw
Shujaaz.FM comic hutokea every 1st Saturday of the month. Tegea na mabeste wenyu ili tupate ideas ya kuendelea kama vijana!
Credits How is you DJ B, hiyo story ya vijana kujiinua kimaisha imenibamba sana, mine am employed but every end of month when I get my salary I use 50% & 50% na keep because I want to employ myself . Zeddy Moi’s bridge. Niaje DJ B, imagine mi huwanga chuo na venye nilikam home nilichop hizo mag za Shujaaz na maze zinani kimbia kwa damu as in zimenijaaz. Saa hii na-feel tu mi ni Shujaa. Kip it blazing Boyie. Beth Agonya, Kisii. Hi DJ B, nimekuwa nikisoma Shujaaz.FM kwanzia chapta 1-5 hadi na-wish kungekuwa na channel kwa TV inayoitwa Shujaaz TV ndiyo niwaone kila siku. congratulations.Shujaaz FM, kusema kweli nyinyi ni mashujaaz. Denzel. Bungoma. It was ma first time to read and can’t wait for the next chaptas. God bless you for your work. Noeline Kaptich. Ever since hii samo ya magazine ya Shujaaz itokee i have learnt many things and ma life has tremendously changed alot big-ups 2 u waaaseiye!! Obiero Edwin As long as Charlie Pele and the Sangoma-beliver Dad are in you can repeat it to eternity coz he is crazziiy!! Sasha Manka Kalonje. Nacheki hiyo picture Shujaaz DJ B ukiongoza uki-raise flag ya Kenya na support ya familia nzima ya Shujaaz. Tunaangaziwa na upya wa Kenya kwenye future na hiyo nyota . Shujazz niko pamoja nanyi na mabeste wangu. Bila shaka. Asante kwa nakala safi ya hayo majuma manne. Nilifurahia kuisoma na ku-share na mabeste wangu! Hellen Mukosi Thanks for the Shujaaz mag, ilini-uplift sana to think about mambo ya bizna although nimeenda college but sijawahi get job, thanks kwa kuni-boost morale... Miriam Mwangi. Am gonna try on your ideas. Maze bro wa mine anakugotea na anani-show kuwa amependezwa na hiyo idea ya ku-paint kuku ziwe pink.. Keep it up with your ideas. Patrick Kay Ngetich. 16
Thanks for you inspiration. We student’s council i it’s working very w Mombasa
Idea za ku-make dooh Hi DJ B! nina idea ya ku-make chapaa, ningeambia wasee ati waanze ku-keep doves ama rabbits alafu wazikinde na wapate machedas na waendelee na life. DOMNIC R Nina idea ingine ya kumake doh. Kama hauna job tafuta tuwaya na ku-make tu-toy then uzia watoi kwa bei safisafi au sio ma-youth.
Walio na kwa messages zao wamejishindia T-sho ya Shujaaz.FM. Congra mashujaa!!! Endelea kunitumia ideas poa poa kama hizi juu ya Shujaaz kwa kuni-SMS on 3008, Facebook: Djboyie Shujaaz na Twitter: Shujaaz. Tuendelee kujijenga sisi vijanaa ili tujenge Kenya yetu!!!
wana-improve lives ideas za Shujaaz
Chicken vaccine
Mafans, jaribuni ideas za mine!!! Mtasaidika kama hawa vijanaa. Nitumieni essages juu ya vile ideas za mine kutoka wa Shujaaz.FM zime-change lives zenyu. Benson kutoka Lewa primary school ni fan aliyeonekana akisoma copy ya Shujaaz. Thanks Benson. Umejishindia T-sho.
DJ B unani-inspire sana. Nyuma ya keja, mi hu-plant skuma ndani ya gunia. Am doing well. Miry Nyahururu.
ur great e have started the in our school and well. Dan Oduori.
ats
Nili-apply ile style yako ya kupanda kale (sukuma wiki) na zile dooh ni poa. Nilifanya course ya comp Egerton na nimemada. Hiyo dooh nimepata kiasi imeni-help kununua CPU ya comp. Thanks for the ideas. Roy Omondi.
Hi. DJB, ni Kanga from Nakuru, storo ya ku-vaccine kuku umeni-coach pakubwa, thank’s alot Shujaaz.fm.
Big ups kwa mafans walionitumia SMS wakiniuliza juu ya chicken vaccine. Ningependa mnieleze vile chicken vaccine imesaidia kuku zenyu. Jua Kuwa: Chicken vaccine aina ya drop huwekwa kwa macho na si kwa maskio kama ilivyo semwa kwa chapta 5. Pole kwa any inconvenience
Peace
Hi DJ B, vijanaa lazima waseme NO to violence roundi hii. I choose Kenya, I choose peace. Dogg.ta wa Eldoret. Watu wa kabila nyingine huwa na vitu mob za kutu-teach so tuki-associate na wao watatufunza vitu mob na tuta avoid Nepotism na Tribalism in this way. Hapa Antony kutoka Gilgil. Tukitaka kumaliza tribalism na kuokoa Kenyan youth wetu, tunaweza ku-form kama time za ball, na zinginezo. Shujaaz .FM mko poa. Obiero Edwin. PEACE should be the middle name of all Kenyans tuko pamoja. Benard Ikua. soma encouraging storo ya Tresa M. M from Machakos kwa page ya Malkia. Amejishindia T-Sho pia! 17
skuma ni ten bob kwa bunch.
nifungie mbili what? latf meeting 14th september mnaalikwa kw a mkutanowa lat f ili kufuatilia miradi ya ma endeleo kwa ward s. venue: coun ty hall time: 8:30
sawa asante
september 14th ni leo! na watu hawajui! very good! watu hawajui, kama tulivyo panga. niliambiwa ukitaka kuficha kitu from an african, ifiche kwa maandishi.
18
ha ha ha haaaa!!!
nimepata hii kwa newspaper article. si watu wengi wanajua juu ya hii meeting. Tutafanya nini?
rusha mkono maze! rusha rusha!
si tuambie brathako na beste zake waende waki-announce barabarani juu ya hii meeting? thanks, j.k. kweli wewe ni genius!
twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!
endeni mkisema hivi: “twendeni kwa county hall! latf meeting ni leo kwa county hall!� sawa? then nitawapatia sweets.
19
twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!
twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!
sikujua ni leo. kwanini hawakutuambia? twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!
haki yeetu!
ona hata hakuna watu wengi
20
haki yeethua! ki yeetu!
aii! siachwi nyuma!
hamwezi fanya latf meeting bila watu wa community kuhusishwa!!!
na sisi ni akina nani madam? i am the councillor of this ward! si makosa yetu kuwa mmechelewa!
na sindio! na by the way, councillor hana mamlaka ya ku-chair mkutano wa latf, ni mmoja wa community anatakikana kuwa chair.
in fact, regulations imesema chairman awe appointed by the majority.
nani alisema hivo? kijana unataka kunionyesha kazi yangu?
nina chagua chuxx, nani anani-support? hakuna!! na...huyu...pastor?
ndiooo!!!
21
asanteni kwa kunichagua. hebu tuseme shida gani tuko nazo kwa community halafu tuziandike.
stima!..maji!
hatuna maternity iliyo karibu!
tunahitaji street lighting ili kukumbana na insecurity!
sawa. haya yote tumesema na nimeandika ile issues tatu mmesema kua muhimu. nitaandika minutes na kupatia latf committee. pangeni ku-attend annual latf meeting iatakayo kuwa next month. hapo mtajua kama miradi yetu itakubaliwa na kupatiwa funds. kisha mtatakikana ku-participate kwa miradi yenyu.
hawa ni wajinga!!! wanafikiri wameshinda? huu ndio mwanzo wa mapambano!!
22
siku ya leo ilikuwa a success! nimeanza kupenda company yako siku hizi
thanks to you kwa kutoa idea poa. i loved it!
ng!
kriing! kriii kriing!
najua, na mimi naku-like sana. nilikuwa nataka kuuliza...
tunakudai sweets zetu! wazee! tulikuwa na fun mob! Lakini chuxx akaja kutufunga mdomo ati tusiende tukiwaita watu kwa meeting.
Hiyo ilikuwa kitu serious! kuna watu wanapinga kazi tunafanya. jichungeni!
Je, community ya maria kim ita-pata funding? Cheki next comic!
Wengi wanaweza kuwa victims kama watu wa community yetu. Nime-share information tuliopata juu ya LATF na dj b.
Vile LATF inavyo operate Ulijua kuwa 5% ya national personal income ya tax collections huwekwa kando kwa matumizi ya LATF fund? LATF fund husaidia ku-improve service delivery kwa communities na local council. Pia, inasaidia management ya finances za local authorities na kupunguza deni. Councils hu-manage funds za LATF na ku-guide-iwa na Local Government Act. Unaweza participate kwa LATF fund ya area yenu
a) Attend meetings za LATF. Jua time na location ya meetings. Hizi hu-anounce-iwa kwa gazeti. b) Kwa LATF meeting, ongea juu ya mahitaji ya community na uwe involved kuchagua projects zitakazoanzishwa kwa area yenu. Itasaidia watu ku-own miradi yao. Watu walio na selfish interests watazuiwa ku-benefit na miradi ya community. c) Follow up miradi ya area yenyu na ujue inavyoendelea. Itafanya viongozi kuwa accountable. d) Soma financial reviews za LATF funds zinazowekwa kwa newspapers ili ujue vile pesa zimetumika kwa projects mlizochagua kwa area yenyu. Go ahead ma-fans na m-participate kwa LATF meetings za area yenyu na mtafaidika na maendeleo nyote!!
Tumia DJ B maoni juu ya LATF on 3008, Facebook kwa Djboyie Shujaaz na Shujaaz kwa Twitter ili tujengane kama vijana!!!
23
charlie avamiwa na worms!
...siku ya mwisho!!!
Hizi minyoo ni laana!!!
Zitakuwa mbaya kama... kama...
Lakini naweza kuwaokoaaa!!!
Leteni mali zenyu!!! Isipungue shilingi elfu mbili!!!
Ikipungua? Minyoo ya fumbo itaharibu shamba zenyu pamoja na wale hawatafanya ninachosema!!!
SangOma nitakuletea ng’ombe yangu!
24
Nitakuletea A.T.M. card!
Ngoja niwaambie ukweli!!!
Hiki kifaa kinaitwa pheromone trap. Kinasaidia ku-trap moths za army worm au minyoo ya fumbo.
Haiya!!
Maajabu!! Tangu lini container ya mafuta ya kupikia ikasaidia kujua juu ya army worms?
Hahahaha!
Moths huwa signs za army worms zinazoharibu mimea shambani. Army worms zinaweza kula mimea yote kwa shamba moja within 1 day!
sikizeni tafadhali...
Lakini zinaweza zuiwa kuongezeka mapema kwa kunyunyiziwa dawa.
kweli kusoma kwingi ni kupoteza wengi! Na wewe unataka kupewa nini ili tupate hiki kifaa chako? Meli? Ndege?!
Watu husema army worms hutoka binguni kama adhabu ya dhambi za watu.
Wengine wanasema kuwa kuzuia army worms ni kama kuzuia upepo.
Hiyo si kweli. Unaweza zuia army worms kuongezeka. Hii trap inasaidia kutabiri army worms kwa shamba yako. Kwanza weka hii trap chini ya mti 1 ½ meters kutoka chini.
MPENZi!
Army worm moths zitavutiwa na hii kemicali inayotolewa wakati wa ku-mate. Kisha zinaanguka kwa hii container na kuuwawa na hii cube ilio ndani ya container.
kuJua signs za army worms mapema unahitaji kuhesabu moths kwa container. Ukipata 20 moths kwa wiki moja, Jua moths zimekuja. ishara ingine ni mvua ya milimita 5 baada ya kiangazi...
wi!!! i Ucha
Huo n
25
huyu hajui mambo!
usilete vituko kwa mambo serious, wewe jamaa! Enda na container yako mbali!!
Sangoma, Twende ubariki shamba yangu!
wiki mbili zilizofuata...
Rosie, ulienda kuangalia kama kuna moths kwa trap?
Na si leo ni turn yako?
Niliangalia jana na juzi.
Oookay, nitacheki trap uki-insist! lakini inachosha kuangalia kwa trap kila wakati na kukosa moths!
Rosie... umeona vile kumenyesha?
26
Twende tuangalie kama ile trap ya army worms imepata moths.
Ni mob!!! 20 moths!!!
20 moths zimepatikana kwa trap ya army worm moths!
Twende twambie Uncle.
Tuna siku nne za kununua na kunyunyizia dawa kwa mimea shambani ili tuharibu mayai ya army worms! Hii ni chance ya kuzuia army worms kuongezeka na kuharibu mimea yetu yote!
Ishia na stories zako za kufanya tununue dawa zako mbali hatujaona hizi army worms!!! Watoto wanaweza kudanganya. Baba, si ununue dawa ya kuua army worms ili zisivamie shamba yetu na kuharibu mimea yote!
Wooi, kumbe ilikuwa kweli!
Hakuna kitu kibaya kitafanyika kwa mimea yangu! Sangoma ameniahidi!!! Army worms ni propaganda tupu!!!
Tafadhali tuuzie dawa. Town ni mbali, tutachelewa tukiiendea! sawa! usingizi huo ulikuwa tamu! Na kumenyesha! Wacha niangalie shamba...
27
wololoyaye! mahindi zangu!
wameroga shamba yangu!!! Nimeisha!!!
sangoma atajua cha kufanya!
28
Chum Chuumm!!! Endeni!!!
usijali, baba charlie! Nimefika!
lakini si inajulikana kuwa army worms hukaa muda wa siku kumi kisha kwenda underground ili kuwa moths?
Basi! Zitaenda baada ya siku kumi!!!
Nyamaza!
Kile unahitaji kujua juu ya army worms Ω Moths zake hu-fly usiku na kufuata upepo ili kufika kwa mashamba. Mostly hazionekani na hujulikana zimefika na wakulima wakati zimeanza kuharibu mimea. Ω Zinachukua 10 days kutaga mayai chini ya matawi na baada ya 5-10 days kuwa army worms. Ω Wakulima huona worms za black, white na green kwa shamba. Hii ni stage poa ya ku-control army worms kwa ku-spray pesticides kwa shamba kabla kuwa haribifu. Baadaye zinakuwa black na kuwa haribifu na kula nyasi, grass crops na cereals. Ω Baada ya 2 weeks, zina-disappear na kujificha kwa mchanga na kuwa moths. Ω Army worms huja kwa mashamba miezi ya NovemberMay na October. Wakulima wanahitaji kujua hizi seasons
ili wajitayarishe kujua wakati zimefika kwa kuspray pesticides ili kuzuia great losses kwa mimea. Ω Pheromone trap husaidia ku-trap moths na kujua wakati army worms zimefika kwa eneo yenyu. Hii trap huwa na kemikali inayo-attract army worms zinazo ingia kwa container na kuuwawa na kemikali iliyo ndani. Ω Utajua kama eneo yenyu itavamiwa na army worms kwa kuhesabu 20 moths kwa hii trap. Ω Enda kwa your nearest agricultural officer ili kupata more information juu ya pheromone traps na pale unaweza ipata. Tumia DJ B SMS on 3008, FACEBOOK: DJBOYIE SHUJAAZ and TWITTER: SHUJAAZ maoni yako juu ya hii story? 29
Wasee, tuonane kwa wall ya DJBOYIE SHUJAAZ kwa FACEBOOK na Shujaaz kwa Twitter ili tu-connect kama vijana!!! Visit website yangu on www.shujaaz.fm na utapata ku-view na ku-download chaptas za shujaaz.FM comic zile hukupata. Tutaweza ku-discuss juu ya stories za Shujaaz.FM, ku-share ideas, uta-meet na mashujaa wengine, uta-chat na mimi. Ni-suggest kuwa friends na mabeshte wako yaani, hujui ni kile una-miss. Ma-fans, tuchekiane online coz niko only a click away!!! Kumbuka, Djboyie Shujaaz kwa facebook Shujaaz kwa Twitter. www.shujaaz.fm website ya mine!!!
Skiza Shujaaz.FM show na mtaskia stories zile za comic in more detail, kupta more info juu ya stories za shujaaz. Mafans, nimeweza kupenya hizi radio shows moto moto. Tune in wasee ili tu-connect na kenya nzima!!!
QFM 94.4FM & 87.9FM Mombasa @4PM Pamoja FM 99.9 FM @4:10PM Hossana FM 89.5FM @6:55am, repeat 7:55PM Radio Lake Victoria 92.2FM @ 9:30am Koch FM 99.9 FM@4:30PM MMU (Multi-media University radio) Sifa FM Garissa 101.1 MHz 2 @ 6:55PM Mandera FM 100.7 MHz @6:55PM Marsabit FM 101.1 MHz @6:55PM Maata FM Lodwar 101.9 MHz @ 6:55PM Wajir FM 101.7 MHz @ 6:55PM Sifa Lamu 101.1 MHz @ 6:55PM