NOT FOR SALE
d
o
ta ap h ! c o s at is s m xt ’t n ne
3
hapo awali kilicho-happen na boyie...
boyie alijaribu kum-convince dede asome constitution...
boyie
...gang inawaambia wanaweza make easy money kutoka kwa constitution...
...na godPAPA ANA PLAN ISIO POA...
tulieni! tulieni majamaa! kila mtu ata-get fifty bob yake! Na mjue job lazima ifanyike vipoa ndio dooh zaidi itoke! zitoke
C
M
Y
CM
MY
CY
CMY
hee, at least nimeficha dooh kiasi. sasa mimi niko mbele...
K
dede! ni nini?!
2
dede! ngoja!
dede! ngoja!
woi!
dede!
wuuuu! dede! mtoto wangu, kumetokea nini?
ngoja!
boyie ncic pg 2.pdf
7/5/2010
7:16:49 AM
dede! ngoja!
dede! ngoja!
dede!
dede! si sinilikukataza dede! nilikukataza kuenda huko! sasa hebu angalia sura yako. hiyo gang inakutumia tu!
muangalie mwangalie boyie, ako na alama yeyote? si ukue kama yeye?
woi!
wuuuu! dede! mtoto wangu, kumetokea nini?
ngoja!
C
M
Y
CM
MY
CY
CMY
badala ya kuenda dede! kuwafanyia kazihuko! gangs sinilikukataza kuenda sasa hebu angalia sura yako. hiyo gang chapati inakutumia tu! gangs, kazi, ukinisaidia kupika mimi nitakulipa... K
aa na ma-gangs. M noma ya kujihusish watu - kwao wewe ya u ju na sa ria Fiki tumia hawajali wanavyo a lose, leaders wa gangs hawana kitu wan s ng ga a w s er ad Le kushikwa ni puppet tu. Makikiumana - kuna tu ki la ki za te po adwa. lakini vijanaa hu izwa, na hata kum na ma-gava, kuum rity. Ina adhiri ngs huleta insecu Kumbuka ma-ga kufanya maisha yetu na baadaye hi nc ya y om on ec a kila mtu. e na magumu kw iv ns pe ex e w ya , jo enea vinoma huwa mob na hu ce en ol vi za a id Sh huezi amini. ESOTA GANG, UTABAKI UM IN -JO KU A KW KA! HAKUNA MANUFAA WAKIZIDI KUDOSI HUKU MASONKO
muangalie boyie, ako na alama yeyote? si ukue kama yeye?
badala ya kuenda kuwafanyia kazi gangs, ukinisaidia kupika chapati mimi nitakulipa...
skiza mathako dede! hiyo story ya chapati ni poa na sio risky!
skiza mathako dede! hiyo story ya chapati ni poa na sio risky!
3
nyinyi mmesoma katiba, au sio? tafadhali tuisome na tuelimike kabla ya kupiga kura...
baadaye...
kuna mambo mengi yanayohusu wananchi...
weweee!
! booo! uwongotoka hapo! ?
!
karao! kimbia! panda haraka! ni nyinyi mnadanganywa na pesa kidogo mlete fujo!
ulisikia mambo?
4
wapi? kulitokea nini?
mavijanaa walilipwa kuharibu ile rally ya jana. wengi walishikwa na police!
oi?!.. sijui kama dede aliwa-join...i hope alikuwa sensible na hajashikwa ... pia...
Je, Dede pia alishikwa na polisi...? Cheki comic ya next sato...
hapo awalI...
EX-PREFECTS HAWAJAPENDEZWA NA VILE SCHOOL COUNCIL INA-RUN STUDENT AFFAIRS...
...WALIDECIDE KU-TAKE ADVANTAGE YA MAMBO...
...NA KUJARIBU KUJIRUDISHA KWA UONGOZI...
Wanafunzi…leo ni siku muhimu sana katika history yaa shule yetu. Mnafahamu kuwa tulianzisha School Council badala ya kuwa na prefects.
...Lakini kuna wanafunzi wanaofikiri kuwa turudishe kikundi cha prefects. Ili ku-avoid shida ya kutosikiana na enforcing school rules… Kwanza, tutamsikia prefect representative. Makofi…
…tutakuwa na uchaguzi. But before electing, let us listen to what the leaders of each group have to say.
5
Thank you, Mr. Principal. When we were prefects, there was order in the school. Rules were followed‌
‌Vote for Prefects! Thank you!
Hello, Students. Sisi kama School Council tuna-try ku-improve relationship ya students na admin ku-create environment iliyo beneficial kwa wote...
...Vote for the school council!
6
Makofi tena. Thank you all! Now students, we’ve all heard what the prefects and the student council are offering. Please make sure you think carefully about what system you want before you vote.
Choose the side you feel will be best for you as you will have to stay in that system for the years you study here. Good luck!
Choose the side you feel will be best for you as you will have to stay in that system for the years you study here. Good luck!
Watu wakifika position za power, wanaeza jaribu chochote ili kukushawishi uwa-support. Ni rahisi kuchanganyikiwa ukijaribu kuona uta-support nani. Lakini kila unapo decide hakikisha kuwa: Unasikiza kwa makini na kucheki facts kutoka pande zote. Tafakari itaku-affect vipi wewe binafsi.
Fikiria effects za baadaye ya kila choice. Usichague kwa kuwa ume kuwa impressed na wanaobonga kuhusu kila choice, sikiza wanachosema. Usichague jambo kwa ubeshte ama kikabila.
Kumbuka: Piga kura kwa jambo, sio kwa mtu!
Students wata-choose system gani? Cheki comic ya next sato...
Well Told Story © 2010 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication. Shujaaz™ is published by Well Told Story Ltd. P.O. Box 1700 - 00502 Nairobi, Kenya. Tel. 020 603214 / 0719 407512. www.welltoldstory.co.ke. Printed on recycled paper Printed by Colourprint Limited. P.O Box 44466 – 00100, Nairobi, Kenya.
7
The information in this box is exclusively brought to you by the Committee of Experts on Constitutional Review and does not in any way reflect the views of the publishers or their partners
Kwa clause ya LANDS n SETTLEMENTS ni kweli eti lazima mtu awe na land over 2.5 acres? Iz it true au false? - Terry @gatua, ktl!
Why tha huge number of representatives/ senates? Cabinet size lean or otherwise? - Kelvice Ambia.
Si kweli, proposed constitution haisemi juu ya minimum au maximum acreage ya shamba mtu anatakikana ku-own. - COE
Number ya representatives imeongezwa ili kuimarisha representativeness iliokuwa wish ya Wakenya. Wakenya pia wali-request Cabinet ndogo. - COE
Cost ya ku-run the new government itakuwa more kuliko the one we have now? Lazima kuwe na changes kutokana na constitution, lakini haitakuwa mzigo kwa taxpayers - COE
Qs to hi constitution. Ita-reduce cost ya land? Now vijana cannot buy and own land. For how long will they be tenants? Hii constitution ina-recognize categories za land na kuweka mechanism za ku-ensure land inakuwa managed vipoa na pia administration inafanywa vi poa. Kila mtu ana haki ya ku-own land regardless of age. - COE
Is thea any law limiting land ownership in terms of private ownership? Proposed constitution hai-limit ownership ya land kwa njia yoyote. Parliament ndio iko na amri ya ku-say maximum na minimum ya land yenye msee anaweza kuwa nayo. Wakenya watakuwa consulted kabla ya law kama hii ikuwe enacted. - COE
Your Questions on th
CONSTItUTI answered by the
Committee Of Expe
Ma-fans! Mlinitumia big questions juu ya constitution thru SMS, Facebook na twitter na nime-pata real answers kwa ajili yenu directly kutoka Committee of Experts! Cheki Shujaaz.fm Special Edition 3 ili uone maswali mengine yakijibiwa hapa!
So wat happens if da constitution passes? – Nicky Sly Lewinsky Kutakuwa na implementation commission itakayo saidia kufanya new constitution kuanza kufanya kazi. Storo ya abortion na khadhi courts wafafanue. – Khadija Nyambu.
Niaje shujaaz, naskia hii new constitution ina favour ma-dame kuliko ma-boy?
How long would it take 2 make the amendments incase the constitution goes thru?
Hii new constitution haija favour mtu yeyote. In fact Article 27 (3) inasema ma-dame na ma-chali wana haki ya usawa mpaka kwa mambo ya politics, economy, culture na pia mtaani. - COE
Kama amendment inafanywa through Parliament, lazima prezi a-publish hiyo bill kabla ya siku 30 baada ya kuwa enacted na Parliament.
Section 26A inasema abortion imekatazwa na proposed constitution na kukubaliwa tu wakati wa emergency au wakati maisha ya mama iko in danger.
Mazee, I like the document but hiyo article ya citizenship hainibambi. Kwanini mtoto asiyejulikana ataassumiwa kuwa mkenya? – Abdul-razaq Ereng.
Kadhi courts hu-deal na mambo ya divorce, marriage, inheritance kwa waislamu. Kadhi courts hazitahusika na watu wasio wa dini ya ki-islamu. - COE
Proposed constitution ina-protect watoto wasio na wazazi wa kuwachunga na kulea. Lakini mtoto akiwa juu ya miaka nane au wazazi wake wakipatwa na kujulikana kuwa si wakenya, mtoto yule hapewi citizenship ya kuwa mkenya. - COE
he
ION
erts
Special thanks ni kwa Committee of experts waliojibu maswali yenu!
Kama amendment inafanywa na wananchi, IEBC wataipokea, na kupatia county 3 months ku-consider hiyo bill. Itapelekwa kwa parliament immediately. President atapublish hiyo bill itakapo pitishwa na parliament. - COE
hapo awalI...
charlie na rosie walikuwa wanacheza waliposikia watu wakiongea hate speech...
10
...charlie alihuzunika alipokumbuka noma za postelection violence...
... na wali-decide kutake action ili kustop hate speech...
11
Plan ya Charlie na Rosie ita-succeed...? Cheki comic ya next sato...
Hate speech kulingana na sheria ya NCIC, Article 13 (1) inasema‌ Mtu yeyote ambaye (a) Anatumia lugha ya kutishia, kutusi, ama maneno ya kutusi, au tabia, au kuonyesha maandishi ya kutisha na kutusi; (b) Anachapisha ama kudistribute maandishi hayo; (c) Anaonyesha ama ku-direct hadharani mchezo/drama; 12
(d) Ana distribute, kuonyesha ama anacheza picha zilizorekodiwa; (e) Ana-provide, kutengeza ama ku-direct vipindi; ... ambazo zinatishia, zinatusi, ama zinahusisha utishiaji, maneno ama tabia za kutusi, basi atakuwa amekosea kama mtu mwenyewe anataka kuzusha chuki ya kikabila, ama kama ukicheki circumstances zote, chuki ya kikabila inaeza chochewa.
Ukisikia ‘hate speech’ usinyamaze! Inabidi u-report mwenye kukosea kwa: NCIC for Investigation P. O. Box 7055-00100 Nairobi, Kenya. Tel: 020-8073264/5. Au tuma sms kwa 6397 free. Wenye kubonga chuki vi-hate speech wanaeza kushikwa na gava na kufungwa hadi miaka tano ama kupigwa faini ya hadi million moja, ama zote mbili! Positive action starts with you!
hapo hapoawali... awali...
maria-kim maria-kimna najk jkwalimsikia walimsikiapolitician politician akiongea akiongeavitu vituwalishuku... walishuku...
...so ...sowali-check wali-checkfacts factsna naku-decide ku-decide ...lakini ...lakinichuxx chuxxaligundua aligunduaplan planyao yao ku-share na ku-shareukweli ukwelina nawengine... wengine... naaka-decide aka-decidekuwaharibia... kuwaharibia...
godPapa, nimemleta yule inspector atakaye tusaidia kuhusu vijana wale wanatuharibia plans.
OK Afande, Kuna kazi na hizi pesa, unaifahamu?
Kabisa!!
Vipi majamaa, tunataka kuichambua constitution kiasi at least pia sisi tuielewa badala ya ku-rely on ma-leaders tu. Ama vipi?
Manze, kuna hii section ambayo sielewi poa. Inaongea juu ya‌
si ndio. Kama mtu ana issue au swali, aseme me please.
NiNivyvyemema akukujuajuakakatiba ina tiba inavyosema kakablablahuhujacjachahagugua utapig vyosema a utapiga akukuraraupupanandede upupi. i.UkUkichichekeki ku i kunanapapartsrtsamambabazozonini ngngumumu,u,taftafuta utawewenznzakako omjmjadadiliailianenena na msmsaidaidianiane ekukueleeleweshana weshanaitaitaadadhirhiri kil a i kil a mm mmojaojakivkivipiipi. . MaMajadjadiliailianonoyayaamani na amani nayeyenynye e kukununufaifaisha shaninimamazuzuririkwkwanani ha i hapopondndipoipo tun tunaeaelimlimikaikananakukufah fahamamu ukukutoftofauautiatianana kim kimawawazo azosiosiojam jambobombmbayaya!a! 13 13
hey! Nyinyi ni kina nani? Mmeruhusiwa na nani kukutana hapa?
you are under arrest! Kujitetea ni mbele!
Wewe, mrembo... We ndiye in charge? Twende!
This is an illegal rally!
Hi si rally! Hamwezi kutuarrest! We know our rights!
HAHAHA! Rights ama wrongs, sisi hatutaki kujua!
Hee, haka ni kajuaji. Na vile ni kadogo, hakana hata kura.
Officer, hata kama siwezi kupiga kura, na jua hii katiba inanihusu mimi and future yangu.
Pia najua itani-affect kwa njia moja au nyingine ndio naisoma ni jue zaidi. Kusoma katiba sio hatia.
Uko poa, Maria-Kim? Wewe madam, wachana na hii mambo ya mikutano!
14 14
Shughulika na urembo yako, madam!
Zii! Hii si haki. Nataka ku-fight back!
Hatuwezi ku-react vile. Hivyo ndivyo wanataka!
Najua. Lazima tufikirie vile actions zetu zita-affect watu na nchi nzima. Tusirudie mistakes zilizoleta postelection violence.
Kesho ni siku ya kupiga kura…
I hope kutakuwa peaceful… Na na-pray tutaishi vipoa after hii referendum. Aki God ibariki Kenya yetu…
z z z
z zz z
zz
z
ZZ z z
Eh? Ni nini saa hi?
Oh No!...
…Oh God! Not again!
Maria-Kim ata-deal ata-deal vipi vipi na na noma noma hii? hii? Maria-Kim Cheki comic comic ya ya next next sato... sato... Cheki
Thisspecial specialedition editionhas hasbeen beenproduced producedatatthe therequest requestofofNational NationalCohesion Cohesion This andIntegration IntegrationCommission Commissionwith withthe thesupport supportofofCommittee CommitteeOf OfExperts Experts and andGTZ, GTZ,inincollaboration collaborationwith withSafaricom Safaricomand andSaturday SaturdayNation. Nation. and Factualcontent content&&technical technicalinfo: info:National NationalCohesion Cohesionand andIntegration IntegrationCommission Commission&& Factual CommitteeofofExperts. Experts.Producer: Producer:Fatima FatimaAly AlyJaffer. Jaffer.Layout Layoutdesign: design:Joe JoeBarasa. Barasa. Committee Art:Daniel DanielMuli, Muli,Eric EricZoe ZoeMuthoga, Muthoga,Salim SalimBusuru, Busuru,Movin MovinWere, Were,Joe JoeBarasa. Barasa. Art: