Page 1

FREE FROM

NOT FOR SALE

d

o

ta ap h ! c o s at is s m xt ’t n ne

2


by the way, dede, umesoma constitution? eeh! hiyo kitabu inakaa bigi!

imagine hii ni first time yangu ku-vote!

sawa, enda u-vote tu!

dede, wacha mchezo! ni right yako! pia ni decision itaku-affect in future!

mbona una-sound kama huko interested?

lipeni deni kwanza!

niko undecided. sioni reason ya ku-vote.

tutalipa! deal yetu inaiva kesho...pesa zina-come!

tokeni! out!

2


nini ime-happen? mmh! kwani anadhani tutakufa njaa?

ajue kuna duka zingine! aishie!

lakini jo, kweli tumesota..! saseni, msi-lose hope! chukueni action! si msome constitution halafu m-vote?

si lazima tusome hiyo constitution! hiyo kitu itatudosisha bila kusoma!

dooh

nai-suspect

boyie, ni turn yetu kukupatia ideas za ku-make doh! kuja saa moja leo usiku utajirike!

a vijanaa Ni poa kila mtu - hasw -affect sote kusoma katiba. Ina tu KO na kuhusu na ni kuhusu haki ZA yo ni muhimu future YAKO, kwa hi kama ni poa WEWE uisome ili ujue o. ama ni mbaya kwak

3


kwa ofisi ya godpapa...

mpango iko sawa? umepata watu wa kutosha?

habari boss! umeni-ita?

ndio boss, hakuna shida. tuko rada.

watu ni pesa! hehehe... naona iko sawa.

perfect!

ise za vikundi juu Usivutiwe na prom noma na kuzusha zitakuingiza kwa ukua control ya noma. Instead ch simamo wako. maisha yako na m iri kwa kuwa Piga kura kwa ujas ta affect future matokeo yake ya yako jo! 4

godpapa ana-plan nini...? Cheki comic ya next week...


Yaaay! Break time!!

Tuanze meeting ya School council?

Weh! Ni mimi na-ongea kwanza!

Ebu ngojeni, niseme!

Ninayo idea poa!

Hatutaki idea ovyo ovyo! Cheki Malkia na ile council yao. Siamini wako in charge ya shule! Princie alikuwa anafikiria nini alipotutoa kama mapiri?

Kila mtu ana-behave vibaya tangu tuchujwe.

5


Hata Hata wengine wengine hawa hawa tuck-in tuck-in shati. shati.

Woi, Woi, hata hata dress dress code code imeharibika. imeharibika. Ona Ona bling bling bling bling wanazo-vaa! wanazo-vaa! wanazovaa

Kama Kama tungekuwa tungekuwa Prefects Prefects bado, bado, hakungekuwa hakungekuwa hivi… hivi… Hakuna Hakuna order order shule shule nzima… nzima…

Hata Hata discipline discipline ingekuwa ingekuwa juu… juu…

Hii Hii ndiyo ndiyo chance chance yetu yetu … …

Twende Twende kwa kwa principal principal mara mara hii… hii…

... ... Na Na tutapata tutapata power power ya ya upiri upiri tena… tena…

6


hint! Hamna bahati leo! Sasa‌mnaenda wapi in such a hurry? Tunaenda kuonana na Princie!

none of your business!

Students hawafuati school rules tena!

Hakuna discipline anymore. Woii. Hii ni noma!

Tunaenda kum-show vile council yenu ime-change vitu chuo

Haa haa!

Hiyo council yenu inaisha leo!

School Council kweli ita-survive? Cheki comic ya next week...

7


The information in this box is exclusively brought to you by the Committee of Experts on Constitutional Review and does not in any way reflect the views of the publishers or their partners

Sasa DJB? Ma opinion about constitution jo ipitishwe, but about abortion just waibadilishe. - Tasha, Meru. Abortion man si crime? We have heard of mums sacrificing their luv wapate wakidi. Mtu akiflash ata-get generation kweli? Abortion haijaruhusiwa kwa new constitution lakini imekukubaliwa only kama life ya mama iko in danger. - COE

Thanks bro, can u ask about the storo za mashamba? – Christopher Gichure Njoroge. Katiba haiwezi kuaddress mambo yote ya land. National land Commission itakuwa na jukumu la ku-address maswala ya land. Constitution inasaidia parliament in future kupitisha sheria zitakazo shughulikia haya maswala. Hakuna mtu atapokonywa land yake! - COE

Niaje shujaaz, nasikia hii new constitution ina allow lesbianism na homosexuality, hii risto ni ukweli? Hakuna section kwa new constitution inayoallow homosexuality na lesbianism. In fact, watu wa gender moja hawawezi kuoana. - COE

Why have the Muslims been given more power than Christians? Mi nataka kujua tu about kadhi courts. Sielewi. – Yusuf Sukrey Al-Alfasi Koti za kadhi hu-deal na marriage, divorce na inheritance ya waislamu. Article 8 inasema kuwa nchi ya Kenya haina dini na kuna hakikisho kuwa kila mtu ana haki ya dini na kuabudu. Khadhi courts zimekuwa tangu enzi za uhuru na kuwa nazo sasa haifanyi waislamu kuwa na cheo juu ya wakristo. - COE

Your Questions on the

CONSTItUTION answered by the

Committee Of Experts

Ma-fans! Mlinitumia big questions juu ya constitution thru SMS, Facebook na twitter na nime-pata real answers kwa ajili yenu directly kutoka Committee of Experts! Cheki Shujaaz.fm Special Edition 2 ili uone maswali mengine yakijibiwa hapa!

Spe kwa exp m


PUBLISHER’S INFORMATION Na vijana je, wana mazuri kutoka kwa constitution? – Kelvice Ambia. New constitution ina-recognise vijana (18 - 35 years) na kuwapatia rights kwa education na training, employment, kuwa represented politically, socially, economically na ku-protect-iwa kutokana na tamaduni. - COE

Sijatosheka na hii minimum acreage. Inatakikana kuangaliwa tena na more info kupeanwa juu ya land policy. – Algad Okoth New constitution hai-limit kiwango cha land unayoweza ku-own. Parliament imepewa jukumu la ku-determine kiwango mtu atatakiwa kuwa nayo na wakenya wata-consult-iwa kabla ifanywe kuwa law - COE.

ecial thanks ni Committee of perts waliojibu maswali yenu!

Naweza kupata ile current constitution wapi, ndio ni compare na hii proposed nijue nita-vote yes or no? Unaweza nunua current constitution kutoka kwa Government printer. Pia unaweza isoma kwa libraries na online kwa www.KenyaLaw.org - COE

This special edition has been produced at the request of National Cohesion and Integration Commission with the support of Committee Of Experts and GTZ, in collaboration with Safaricom and Saturday Nation. Factual content & technical info: National Cohesion and Integration Commission & Committee of Experts. Producer: Fatima Aly Jaffer.

Mambo! Nilisikia kuna katiba ya Kiswahili. Naweza ipata aje, niko na ya ngoso lakini sielewi hiyo ngoso. - Lucy Muthoni, Nakuru. Kuna Swahili version ya constitution na unaweza ipata kutoka kwa civic educators na kwa kila constituency. - COE

Layout design: Joe Barasa. Art: Daniel Muli, Eric Zoe Muthoga, Salim Busuru, Movin Were, Joe Barasa. Well Told Story © 2010 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication. Photographs kindly reprinted with permission from Kenya Burning. Copyright from Chiba Yasuyoshi. Shujaaz™ is published by Well Told Story Ltd. P.O. Box 1700 - 00502 Nairobi, Kenya. Tel. 020 603214 / 0719 407512. www.welltoldstory.co.ke. Printed on recycled paper Printed by Colourprint Limited. P.O Box 44466 – 00100, Nairobi, Kenya. Distributed by Saturday Nation.


rosie! sikia ringtone ya bro!

sasa wewe... nime-kushtua!

come, tushtue watu wengine!

tujifiche hapa nyuma ya bush...

10


nani mwingine ana-come?

haiya! ni mbuyu!

baba charlie, sema!

niseme nini? na hii mambo ya ku-vote inanisumbua!

tujifiche poa.

inaonekana hii kabila ingine itashinda kabila yetu.

ehe! alafu hawa watu wezi watuibie mashamba!

watu wa kabila hio si watu, ni wanyama...

si nimekuwa nikisema ni kunguni hawa, wanatunyonya damu!

ochea Mazee kubonga kuch ch’ chuki yaani ‘hate spee utashikwa na waweza 5 AMA kufungwa hadi miaka illion upigwe fine ya hadi m moja…ama zote mbili!

11


woishe charlie, kwa nini unakaa down hivyo?

naogopa rosie...

unakumbuka post election violence? ...nyumba zikabomolewa, zingine zikachomwa, wanyama wakaibiwa na mbaya zaidi... ilianza hivyo tu na hate-speech, halafu fights zika anza...

...watu wakauana.

aki, sitaki hiyo noma irudie...

lazima tu-do something!

Charlie na Rosie watafanyaje? Cheki comic ya next week...

12


Chukua Flier!

Rally ni kesho! Kujeni na wengine! Rally ya nini sasa?

Ni viongozi wanakuja kuzungumza juu ya constitution

Watai-explain vipoa na kujibu maswali na kui-turn inside out!

Utaenda rally?

Ndio, si tuende pamoja?

13


at the rally... yaani!!

Hebu niwasomee hi clause, Page 502, Act 934, inasema…aah, hamtaelewa…

kumbe!! lakini kwa ufupi, mkitu-support, kila moja wenu atapata pick-up!

Lakini mjue mki vote-ia opposition…

…wazee wote zaidi ya miaka sitini watachukuliwa na kufungwa kwa ma-camps!

wooi!! shosho!

oi!!

AAAAII!! AAAAII!! Lazima tu-cheki facts! Hizo story nazishuku!

budangu!

14


Hebu tui-print na tuisome

kwa power Watu wenye wako eli, na wanahawakuwangi wakw da zao binafsi. waeza kuwa na agen naku-show! Usiamini kila kitu wa taka kuleta Wengine wao wana ni na mabeshte chuki kati ya majira na na mgawanili wafaidike kutoka yiko huo.

Cheki hii website. Ina constitution yote online

http://www.coekenya.go.ke/

Haki! Ata ile act haiko!

hebu tu-organize meeting ya kui-discuss constitution

Lazima tuwa-ambie watu wote ukweli.

?!

Huyu JK ni spoiler! Ngoja tu! Tutapatana‌

Walikuwa wanatudanganya sababu hatujaisoma!

lo halikai Ukisikia jambo amba a umetafuta ish sawa kwako, hakik ces za kuafacts kutoka kwa sour mwenyewe minika ili ujue wewe ukweli na uongo.

Usisahau, waweza kusoma copy ya katiba kwenye mtandao au cheki kwa afi si ya chief wa area yenu.

story ya next itaendaje? Cheki comic ya next week...

15


01 - Shujaaz NCIC Special Part1 of 3  

Special 3 - part series commissioned by the National Cohesion and Intergration Commission.

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you