CHURCH NOTICE BO
WORKSHOP - Youth Time: 2.00 pm - 4.0
conflict mara nyingi hutokana na kutoelewana sababu ya kitu kidogo na huendelea kuwa worse isipo suluhishwa mapema
Na warning signs ni gani? Jua signs za conflict, tatua shida mapema ili kuzuia ugomvi na vita
18
Examples za early warning ni kama:
water shortage...
Mnatufungia maji kwa community ili mjitajirishe tukinunua maji yenu! unaleta kisirani tena? Nunua maji au uende zako!
Tutaweza kujilinda kama kabila kwa kuchagua kiongozi wa kabila yetu. Outsider hajui shida zetu!
Ma-Politicians wakiongea kwa lugha yao na ku-mock watu wa kabila ingine
Wamama wawili wanabargain bei ya mboga
Unapandisha bei ili tuwasaidie kupata pesa ya ku-campaign-ia mtu wenu!
Wengine wana-joke juu ya kabila zingine kuwa ni za warogi, wezi, wazembe, walafi‌
Tunashikwa na polisi mara nyingi kwa sababu hatuna sura ya Mkenya. Kwani Mkenya ana sura gani?
19
Ona vile rumours hu-spread:
Roba amepewa notice ya kuhama na landlord juu hakuwa analipa rent
Roba amepewa notice ya kuhama na landlord anayemchukia. Imagine si wa kabila yake!
Hebu nisaidie kutafuta nyumba ingine ili nitoke kwa ma-landlords wakabila Naskia notice imetolewa eti watu wa kabila yetu wanahamishwa
Aaaai! hatuwezi kubali kuhamishwa virahisi. Lazima tufanye kitu! Jitayarisheni, tuna-demonstrate kesho!!
20
Watu wanaoweza afford comfortable life hawabother about mabaya yanayofanyika kwa wakenya wengine
Ufisadi kidogo hu-grow into ufisadi bigtime
Kumaliza ufisadi kunaanza individual ku-decide hatatoa hongo. Kuwa transparent Wakati wananchi hawaheshimu mali ya wengine kwa kuiiba na kuiharibu
21
Hivi ndivo hate speech huanza.
Huyu chali hakubaliani na maoni ya wale wengine...
Ananogopa ku-express maoni yake kwa wengine...
Mwishowe atajikuta amejiunga na the majority na kufikiria ni sawa kuongea vibaya juu ya wengine...
Unaweza imagine mtu akikaa kwa room inashika moto sababu wenzake hawatoki nje?
22
DJB, nime-learn umuhimu wa kujua warnings za conflict ili kui-prevent mapema
Thanks kwa kutusaidia na hizo tips Nice seeing you Maria. Tuonane lunch kesho!
Huyu chali angekuwa surprised na watu ambao wangemuunga mkono kama angekuwa brave kuongea against hate speech
It’s a date J.K!
Mara mob, wakulima huchunga parts za mimea wanazoona na kujua very little juu ya roots na yanayo-happen huko chini. Kujua yanayofanyika ndani ya mchanga kungefanya mkulima kuchukua the first steps za ku-control worms na diseases kwa roots. Mwishowe, wakulima wangepata Nitumieni healthy plants experiences zenyu vile mna-overcome conflict inayoweza end up to violence on 3008 ili tuelimishane kama vijanaa!
Jua signs za conflict ili kuzuia noma Hizi ni possible signs za conflict: I. Insecurity nchini II. Debate juu ya opinions tofauti kati ya wananchi III. Human rights violations na wananchi kukaziwa madaraka yao IV. Kukosana kwa viongozi wa kisiasa V. Condition ya wananchi kiuchumi na institutions zilizo kwa society yao kama za kidini, masomo VI. Middle class kutokuwa concerned na maovu yanayo-happen kwa wananchi wengine VII. Politicians wanaweza incite watu na ku-cause violence kwa kutumia differences za kabila, dini, historia ya ukoloni, land distribution na natural resources VIII. Mabadiliko over time yanaweza fanyika kama kubadilika kwa government type, kiongozi kufa, kuongezeka kwa bei za bidhaa kama chakula, fuel na umaskini. Huwezi kuwa prepared ku-zizuia zisi-happen
conflict juu wana-experience life kwa njia tofauti. Local community iko-supposed kuhusishwa kwa process ya reconciliation, sio tu viongozi peke yao d) Ni muhimu ku-document mambo ya peace na cooperation. Signs za kuleta amani na umoja zinatakikana kuwa identified wakati wa ku-detect early warning signs. Conflict inapohappen hufanya watu kusahau mambo ya amani e) Penye nia pana njia: Anzisha njia za ku-communicate. Leta maelewano kati ya wananchi na sectors tofauti kama vikundi kwa community, religious institutions na NGO’s Tumia DJB maoni yako juu ya hii storo ya kuzuia conflict mapema on 3008
Ili kumaliza violence: a) Wanao-cause violence wanatakikana kushtakiwa b) Healing and reconciliation ianzishwe ili–ku-address injustices c) Watu wote wanatakikana kuhusishwa kwa ku-detect signs za
e
a Zui
nc e l o
Vi
23