Mbona mna-fight?
mtoto mdosi amepata bursary fund na kila mtu anajua hafai kupata
Ee!! alidanganya na yenyewe sio
poa!!
niaje? nimesikia vile mnabonga, na naeza help
by the way, naitwa jk Ata bro yangu haku-get‌
18
Ebu nikaulize princie nini ili-happen
Asante, lakini zii
Excuse me madam, my brother applied for a bursary and he didn’t get it Yet some rich kids were given funds!
actually many parents complained. something did not go well
But I don’t know why, and there’s nothing I can do about it.
Pengine uulize chief
Yenyewe mimi hata sijui pesa ziligawanywa vipi.
Unaeza jua huku kulitumwa pesa ngapi? Hiyo siwezi jua. Hiyo ni mambo ya council. Uliza councilor
19
yEnyewe pesa za bursary ni kidogo hata sijui zilitumwa ngapi au kupewa nani
Yaani huna hata aibu!!
Lakini mrembo kama wewe, ongea vizuri nikulipie
Badala ya kunisaidia unajaribu nini mbaba kaa wewe?
Maria Naeza Kim!! kusaidia - tafadhali trust me kidogo
20
ebu kuja niku-show kitu
Kuna jamaa wanajiita open governance
Huyo JK anataka kuniibia DAME!!
Wanapeana bursary?
Hapana, wanachukua information kuhusu matumizi ya pesa za umma ya kila constituency Kisha, wanaiweka kwenye internet Wana-show chapaa ngapi zimepeanwa na ngapi zimetumika Unaeza cheki kwa internet au u-SMS
ala!! CDF yetu imepatiwa 800 thao kwa bursary!
Tucheki eneo letu
Please print that page!
Sasa ni hugs na kisses zenye sijawahi pata!!!
mtu honest kwa cdf committee alinipatia hii karatasi
inashow names za watu wame-get bursary
Waazi JK!! 21
Watsee, chekini hizi print –outs
Ati chapaa za constituency zilipeanwa mob kwa watu wadosi na wasio kwa constituency yetu
Hii ni noma jamaa, lazima tu-act!!
nitahakikisha kila sermon hii sunday ni juu ya bursary fund!!
ambie chief!
Kweli, tumepata info, sasa ni tu-act! Tusambaze hizi posters kila stude kwa kila chuo ajue!
22
hata kwa mosque pia!! ambie princie!
Godpapa! Kuna noma!!
Watu wamejua doh za bursary zilitoka na wanashow wengine zilivyotumiwa!
Ha! Hawanijui!
Nitawanyamazisha!!!
Secondary school bursary
B
ursary inatakikana kusaidia wanafunzi waliotoka kwa poor families kuwapatia chance ya kuendelea na masomo. Wanao-benefit na bursary ni orphans, watoto walio-affectiwa na HIV/AIDS, watoto walio na mahitaji ya kipekee kama walemavu au medical conditions, wasichana huwekwa kando, wanao-perform vipoa kimasomo na waliotoka kwa familia za maskini.
Commitee za ku-manage dooh za bursary zimeundwa kwa kila constituency. Members ni local MP, Education officer, KNUT representative, 3 religious leaders, 1 chairperson Board of Governance, 2 PTA chairpersons, 1 Councillor, DO, representative wa NGO au CBO ya shule, headteacher wa girl school na members wengine wawili wanaochaguliwa na committee. Nita-apply vipi ili kupata bursary fund? 1. Chukua bursary form kutoka kwa Divisions Education Office. Ni bure. Lazima uwe unaishi kwa hiyo constituency 2. Kuwa na barua ya shule na ya assistant chief au
religious leader na upatie Division Education Officer atakayeipatia kwa Constituency Bursary Committee 3. Constituency Bursary Committee’s huchagua students watakao-benefit kupata bursary. 4. List ya wanaopata bursary hutumwa kwa DEO na cheques hu-sign-iwa in 1 week na kutumwa kwa area officer ili aweke signatures mbili 5. Cheques za stude wale wame-benefit kutoka kwa bursary hutumwa directly kwa headteacher 6. Notice boards za shule na constituency huwekwa list ya mastude wale wame-benefit kupata bursary Nitapata dooh ngapi kutoka kwa bursary fund? a) Day school-Ksh. 5,000 b) Boarding school- Ksh.10,000 c) National school- Ksh.15,000 d) Primary school-Ksh. 1,020 Constituencies hupata 1 million shillings za bursary halafu amount ingine inapewa kwa constituency kwa kulingana na level ya umaskini ya watoto kwa hiyo constituency. 5% ya constituency budget huwekwa kando for masomo ya wasichana. Ili kupata more info juu bursary ya constituency yenu, visit, www.opengovernance.info
23