Niice shot!
Skills zako bado ziko! Si kama vile siasa yako ina-reduce. Yaani hujaonekana kwa magazeti for months!
Ime-happen tena!
Ngoja nitakuwa front cover hii weekend!
Niko na kazi yako. Watu wa kabila ile ingine wanaTuletea shida. Wao ni trouble makers!
Wanyamazishe halafu ukujie kaunga.
Nitajua vile nitafanya.
18
Tuna-threaten-iwa na kabila ile ingine ya walafi! Wanataka ku-control kila kitu huku.
Wanakosea mheshimiwa Godpapa heshima na kutaka kumtoa kwa uongozi!
Tumekataa!! Lazima tuheshimiwe. Ni sisi majority. Au sio?
Wale watakataa kuheshimu Godpapa watahamishwa. Au sio?
Ndiooo!
19
Kwanini una-shout uongo huu wa ku-cause watu wakosane? Unajua inaweza cause riot?
Kweli wewe ni fala! Unatumiwa nao ili waji-benefit.
Sweetness, hii ni kazi ya mheshimiwa.
Kwanza unafikiria utafaidika na nini apart from kifo au jela?
Mheshimiwa atani-sort vipoa.
Hakujali. Wewe ni puppet yake. Kama hawa wadosi walikuwa wakitaka ku-fight, wange-fight wenyewe.
Lakini sasa wanaenjoy weekend yao wakicheza golf na wewe una-risk maisha yako.
We hujui. Atani-buy-ia keja poa, ananijali.
Unaamini hivo? Wewe ni fala zaidi!
HAKI YETU!! HAKI YETU!!
Brayo tuishie, kutakuwa na noma. Pack bags zako.
20
wahame!
Mambo yanaenda kama nilivyo panga. Kesho nitakuwa kwa headline news! hahahahaaa!!!
21
Leo ni siku ya huzuni katika huu mtaa. sijui kwanini watu wanafanya matendo ya kinyama na kufurahia vita!
22
Inanivunja roho kuona kitendo hiki.
Bahati ni kuwa mimi ni mtu wa watu na nimekuja kuwahudumia. Nitahakikisha kuwa hiki kitendo hakitafanyika tena.
fala! Wananchi wanastahili kuniamini kama kiongozi mwaminifu na anayejali.
Eeee. Ndio, nimekumbuka. Ndio hii.
Mheshimiwa, kazi imeisha. Ulini-promise ungenipa kaunga, nimeikujia.
Ma-fans story ya Chuxx ilini-strike sana na kunifanya niulize fans wangu wanisaidie na ideas.
n through We insist on campaig ally. The rb ve development not lopment ve de ch mu winner with s Karah. gets the votes. - Lewi I think we should get out of our cocoons, why do we give our leaders the chance to destroy us? Why do we allow them to misuse our capabilities? - Ru Supuu Jamal.
50 bob tu? Boss, hii haiwezi nunua nyumba boss...
Pesa ya unga, nakumbuka nikikuahidi, lakini ya nyumba ni yako na ndoto zako! Jinga hii!
and very @ Mash hiyo ni true. Can’t We are the majority and abuse also youth be leaders? We use ey influential. Th e to keep pointing fingers @ us by using money du st youths mo those To yet sisi wenyewe are t. en ym plo em un in very petty the solution. Why wouldn’t tunajipa and indulge to ma-youths a youth vie for any post in violence. My advice in the ed olv the inv government? Lets be the t ge us let wote, tworks and change we want. The youths formation of youth ne ups to create being the majority will bring lobby educational gro of corruption the change. awareness of the ills sio? -‘Mash ‘VJ’. - Dee Akoth Otieno. .au na tukatae hiyo.. we Hey DJ B, sisi kama ma-youths lazima tusidangany atutaw hii -i round na hao viongozi wakatili and show the right direction by kukataa kulipwa tena ili . tupigane. Uko juu tu sana keep it up bro! - David Jones
DJ B mi na-think huyo msee anafaa kujulisha wasee ili wasikuwe victims tena, a-show ma youths wasikubali kutumiwa na politicians!
Manze! Naeza advice huyo youth a-keep it cool... Asijaribu vengeance. Violence is never the solution...Pia he should learn from mistakes na akuwe smart next time.- Simon Wambui Irungu.
Asante kwa wale walihusika kwa hii discussion. Ma-fans, ni juu yetu ku-decide tukatae kutumiwa vibaya na leaders sababu fahali wawili wakipigana, ni nyasi huumia. 23