skuma ni ten bob kwa bunch.
nifungie mbili what? latf meeting 14th september mnaalikwa kw a mkutanowa lat f ili kufuatilia miradi ya ma endeleo kwa ward s. venue: coun ty hall time: 8:30
sawa asante
september 14th ni leo! na watu hawajui! very good! watu hawajui, kama tulivyo panga. niliambiwa ukitaka kuficha kitu from an african, ifiche kwa maandishi.
18
ha ha ha haaaa!!!
nimepata hii kwa newspaper article. si watu wengi wanajua juu ya hii meeting. Tutafanya nini?
rusha mkono maze! rusha rusha!
si tuambie brathako na beste zake waende waki-announce barabarani juu ya hii meeting? thanks, j.k. kweli wewe ni genius!
twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!
endeni mkisema hivi: “twendeni kwa county hall! latf meeting ni leo kwa county hall!� sawa? then nitawapatia sweets.
19
twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!
twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!
sikujua ni leo. kwanini hawakutuambia? twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!
haki yeetu!
ona hata hakuna watu wengi
20
haki yeethua! ki yeetu!
aii! siachwi nyuma!
hamwezi fanya latf meeting bila watu wa community kuhusishwa!!!
na sisi ni akina nani madam? i am the councillor of this ward! si makosa yetu kuwa mmechelewa!
na sindio! na by the way, councillor hana mamlaka ya ku-chair mkutano wa latf, ni mmoja wa community anatakikana kuwa chair.
in fact, regulations imesema chairman awe appointed by the majority.
nani alisema hivo? kijana unataka kunionyesha kazi yangu?
nina chagua chuxx, nani anani-support? hakuna!! na...huyu...pastor?
ndiooo!!!
21
asanteni kwa kunichagua. hebu tuseme shida gani tuko nazo kwa community halafu tuziandike.
stima!..maji!
hatuna maternity iliyo karibu!
tunahitaji street lighting ili kukumbana na insecurity!
sawa. haya yote tumesema na nimeandika ile issues tatu mmesema kua muhimu. nitaandika minutes na kupatia latf committee. pangeni ku-attend annual latf meeting iatakayo kuwa next month. hapo mtajua kama miradi yetu itakubaliwa na kupatiwa funds. kisha mtatakikana ku-participate kwa miradi yenyu.
hawa ni wajinga!!! wanafikiri wameshinda? huu ndio mwanzo wa mapambano!!
22
siku ya leo ilikuwa a success! nimeanza kupenda company yako siku hizi
thanks to you kwa kutoa idea poa. i loved it!
ng!
kriing! kriii kriing!
najua, na mimi naku-like sana. nilikuwa nataka kuuliza...
tunakudai sweets zetu! wazee! tulikuwa na fun mob! Lakini chuxx akaja kutufunga mdomo ati tusiende tukiwaita watu kwa meeting.
Hiyo ilikuwa kitu serious! kuna watu wanapinga kazi tunafanya. jichungeni!
Je, community ya maria kim ita-pata funding? Cheki next comic!
Wengi wanaweza kuwa victims kama watu wa community yetu. Nime-share information tuliopata juu ya LATF na dj b.
Vile LATF inavyo operate Ulijua kuwa 5% ya national personal income ya tax collections huwekwa kando kwa matumizi ya LATF fund? LATF fund husaidia ku-improve service delivery kwa communities na local council. Pia, inasaidia management ya finances za local authorities na kupunguza deni. Councils hu-manage funds za LATF na ku-guide-iwa na Local Government Act. Unaweza participate kwa LATF fund ya area yenu
a) Attend meetings za LATF. Jua time na location ya meetings. Hizi hu-anounce-iwa kwa gazeti. b) Kwa LATF meeting, ongea juu ya mahitaji ya community na uwe involved kuchagua projects zitakazoanzishwa kwa area yenu. Itasaidia watu ku-own miradi yao. Watu walio na selfish interests watazuiwa ku-benefit na miradi ya community. c) Follow up miradi ya area yenyu na ujue inavyoendelea. Itafanya viongozi kuwa accountable. d) Soma financial reviews za LATF funds zinazowekwa kwa newspapers ili ujue vile pesa zimetumika kwa projects mlizochagua kwa area yenyu. Go ahead ma-fans na m-participate kwa LATF meetings za area yenyu na mtafaidika na maendeleo nyote!!
Tumia DJ B maoni juu ya LATF on 3008, Facebook kwa Djboyie Shujaaz na Shujaaz kwa Twitter ili tujengane kama vijana!!!
23
charlie avamiwa na worms!
...siku ya mwisho!!!
Hizi minyoo ni laana!!!
Zitakuwa mbaya kama... kama...
Lakini naweza kuwaokoaaa!!!
Leteni mali zenyu!!! Isipungue shilingi elfu mbili!!!
Ikipungua? Minyoo ya fumbo itaharibu shamba zenyu pamoja na wale hawatafanya ninachosema!!!
SangOma nitakuletea ng’ombe yangu!
24
Nitakuletea A.T.M. card!
Ngoja niwaambie ukweli!!!