Maji ya sare!
18
19
20
21
22
gangare*
A
K O T U K I J I MA N I T S E V HAR A! U V M A KW
Mta-save dooh juu hamta-buy maji. Mtakuwa na maji hata kukiwa na dry period. Hii idea inaweza pelekwa home na wasee wako chuo, ndio nyumbani pia wakuwe na maji kila time. Hii idea inaweza pelekwa home na wasee wako chuo, ndio nyumbani pia wakuwe na maji kila time.
1 2 a kw ana ater s up nw big a rai ion y at ken ssoci fo! n a a i kw
BENEFITS ZA KU-HARVEST MVUA
Juu kuna maji constant, kutakuwa na maji ya kunawa after kuenda kwa choo, na pia itakuwa easy ku-make sure choo ni safi. Hivi, wasee hawatapata ugonjwa kama cholera na typhoid. Kuna wasee wanaweza kupa info zaidi, watafute huku: www.gharainwater.org Piga simu: 020 271 0657 Email: gharp@wananchi.com
23