Page 1

Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!

Ma-Sunguch! Si nimekufungia ya kutosha? Uko poa lakini? Poa!

Siko poa. Aki sunguch wangu wanasumbua! Sijui ni-do what!

Ah! Kuna mtu najua anaweza kuku-help. Yeye ni pro kwa risto za farming. Ana ma-ujanjez. Tuta-come na yeye baadae.

Umeni-save jo! Thanks. Baadae!

Poa!

12


Dan, nime-come na ule beste yangu.

Ndio huyu beste yangu. Ako poa sana na farming.

Wazi. Thanks sana.

Ala! Sasa unaniletea kiwete hapa anisaidie na nini?! Niaje? Naitwa Sifa!

Wee! Unaongeaje hivyo?!

Hebu kuja!

Sifa ni mlemavu, lakini ni binadamu kama mimi na wewe! Na amenisaidia sana. Ndio maana nimemwomba akusaidie hata wewe!

13


Haiya!

Ni kapoa!

Ah! Hakuna kitu kiwete anani-show mimi! Hata chukua hiyo sungura ni useless!

Na msirudi!

Sifa tuishie. Achana na huyu fala hasaidiki!

14


Sifa, unatakia nini sungura?

Unajua sungura ni rahisi kulea. Kuifuga haihitaji movement mob so ni poa kwa mlemavu kama mimi.

Mbolea ya sunguch ni poa sana kwa mimea

Pia una-get products mob kutoka sungura kama ngozi yake yenye ni poa ku-make ndula, na makofia

Kuanzisha kuweka rabbits si hard, naweza zijengea ka-hao na mbao na mabati zenye nimeokota mtaani. Pia sihitaji cheddars*4 mob kuanza!

Nyama yake ni tamu sana na inauzwa bei poa: kshs 300 kwa kg moja!

Wacha niishie home sasa. Chunga huyo sungura vipoa!

bye!

15


Baadae kidogo‌

Sunguch zangu!

Haiya! Dan anafanya nini pale?

Sasa nitaanzia wapi?

Dan? Ume-lost. Hebu kuja niku-show mtu amekuwa successful sana na rabbit farming‌

Oh? Sawa, twende.

Maria Kim! Dan! Karibuni. Sikujua mna-come?

Nimeamua nimtembeze Dan acheki rabbit farm yako.

16

Ala?! Manze sunguch wako wamekuwa wasoo! Kwani unazilisha nini?


Manze iza vile nilikubongesha siku ile. Sikujua una talent hivi. Ni ufala yangu. Ni-forgive tu.

Hakuna was! Lakini kuna vile unaweza ni-save…

Thanks! Farming ni passion yangu. So nawachunga poa na kucheki afya yao kila time. Ushasema! Nianze lini?

Nahitaji msee wa kunisaidia kupeleka sungura kuuza. Utani-help?

DJB, sunguch ni biz poa sana. Kuna huyu boy ana do works noma!

“Nilipomada chuo 2008, nilisaka ways za ku-make dooh lakini wapi! Big up sana kwa beste yangu, aliniambia nisi-concentrate na job za office, nikuwe creative. Nikaamua kufuga sunguch.”

HIVI NDIO NILI-DO

JINA: Moses Mudavadi

AKA: ‘Mdash’ 19 YRS BASE: Migori

Nilienda ocha nika-buy sungura male na female kwa kshs 500 tu! Saa hizi nina sunguch 17. Nikarudi nikawaundia hao na locally available materials: mbao na mabati scrap. Nili-raise hiyo hao ndio maji isiingie ndani mvua ikinyesha. Ndani ya hiyo hao, niliweka nyasi imekauka, na huwa nai-change kila siku.

mabaki ya sukuma “Nawalisha twice a day na a sokoni. Maji kot wiki na carrots yenye nao u. nawapa mara moja kwa sik Na kwa risto ya market… s wenye wametoka Huwa ninabonga na mayut pia kufuga e anz wa seco majuzi ili nao -supply! iwa nik wa eku nim So a. sungur ty soon, so Naingia Kenyatta Universi guch wangu wote, sun hao a nimeamua nitauz gine ili nijilipie zin nijaze na savings zangu to, haina stress, nzi job na hai ch fees. Sungu ” do! msee yeyote anawez Kuweni wajanja, sunguch ina dooh kuruka!

17

20.c – Maria Kim  

Chapta 20– Maria Kim: Masunguch

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you