Page 1

Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!

Sukuma Za Sifa! Kumekauka!

Poa... eh, si tuchekiane baadaye?

Wee! Nini unahepa hivyo?

Niaje Chuxx?

Si u-come u-buy sukuma woshe?

Eh, nina allergy flani ya sukuma siku hizi‌ DOKI daktari alisemaNa si hizo ni sukuma umebeba? Acha game. Una-buy wapi siku hizi?

18

Kwa yule Shosh pale kona. Lakini sina ubaya msuper si unajua?


MARA THAT THAT!

Oh, Maria Kim msichana yangu, nikufungie ya ngapi? Habari ya leo Shosh? Ni kuuza tu?

Ah, hata sinunui. Na hizi sukuma zako ni poa, kwani unazipanda na nini?

Eh, eh, ati unaulizaje?

Si unajua sukuma inamea na maombi tu!

Ai?!

Haiya, basi tutaonana.

Sawa, salimia wengine!

19


Naitwa Maria Kim. Sijakuona mtaani?

Poa! Sema. Niaje?

Niko tu. Naitwa Sifa.

Na sukuma zako ni poa! Ulijuaje hii story ya kupanda kwa gunia?

Kwa Chapta 1 ya comic flani inaitwa Shujaaz.fm. Cheki...

Haiya! Mimi ni fan wa hiyo comic damu! Lakini sukuma zangu hazi-grow poa saa hizi. Unaweza ni-save na tips kiasi?

Wacha ni-come kwenu nizicheki ndio nijue problem iko wapi.

20


Hakuna shida. Nipandishe kwa hii wheelbarrow unisukume.

Lakini, eh, tutafikaje huko na hauwezi…

Sasa hapa… kutapitika kweli?

Cheki, tuzunguke tu na ile baro ndefu.

Oh… na kwa nini hauna wheelchair?

Wee! Nitatoa wapi dooh za kui-buy?

Hata kama ningekuwa nayo, cheki hizi baro zetu, vile zina mitaro na mawe? Itakuwa hardest kuitumia.

Cheki, si yule ni Chuxx pale?

Chuxx, mambo? Nime-get mwenye hu-grow zile sukuma una-buy siku hizi.

21


Ah! Siezi kula hizo sukuma tena. Kumbe ni za kiwete?!

Eish! Sifa ni mlemavu, ni binadamu kama sisi. Usimwite kiwete tena.

Unaezaje ongea hivyo? Nakuonanga wewe ni mpoa uki-come ku-buy sukuma kwa Shosh. Nilidhani tunaeza kuwa mabeste, lakini nishaona vile wewe ni fala sugu! Usi-mind Sifa, Chuxx hajui kitu. Twende, karibu tufike.

KWA SHAMBA YA MARIA KIM‌

Nishacheki! Ma-caterpillar!

Unaona wako hapa chini ya leaves, itabidi uzitoe mwenyewe na mikono. Zinakula leaves na kuharibu sukuma zote.

Toa pia mayai za hao wadudu, ndio zisizaane. Aki thanks Sifa, umeni-save. Nita-do vile umeni-show. Hebu turudi haraka kabla kuwe na giza.

Weee!! Acha story, tuharakishe. Nikichelewa Shosh atajam!

Sifa! Unatoka wapi saa hizi!!

22


Unakaa nje gizani! Hata sikujua umetoka! Na kama ungeumia tungefanya nini sasa?

Shosh, umenificha 18 years! Nina ideas poa za farming, ningependa kuzi-share na wasee. Nipe chance!

Aki Shosh, Sifa ameni-help tu sana. Haiya. Ni sawa. Nimejua Maria Kim ni msichana mzuri. Lakini msirudie kutembea gizani.

Wacha ni-text DJ B hii story kwa 3008 a-show mafans!

wazi!

23

19.c – Maria Kim  

Chapta 19- Maria Kim: Sukuma za sifa (Walemavu)

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you