Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!
Âť sasa bryo? habari ya ma-days? poa sana. eh, maze unasikia hiyo harufu?
Nyama nyama nyama?!
nadhani kuna msee ana-make mishikaki. twende tucheki.
cheki... ni chuxx na roba na dan wana-roast na kuuza.
i hope uko na coins kadhaa unibuy-ie. twende tupange line. aaaah! hehe! tutakuwa masonko! dan, fanya chap chap ma-customer wasichoke kungoja.
chuxx niliku-show hii story huwezi harakisha. lazima hizi vitu zichomwe ziive poa! golden brown! j.k. i hope una dooh enough. hizo vitu zina-smell poaa!
19