...ati nilisikia ma stude wanataka kuchoma chuo...
ulisikia wapi?
n-n-nilisikia kwa shower, a-a-ati the princie a-a-a-ana stress watu...
sir, there is lots of tension in school. the students want to strike.
mazee knnoma, tu--show pinie!
strike... why!? jut when we are about to do exams! they say that you are too harsh. nani ring leader? find out who it is and report back immediately!
9
prefects wana-bully mastude pia.
kuna tension mob kwa chuo na wasee wanataka kustrike. shida ni gani?
ati chakula hakipikwi vizuri...? yenyewe hiyo sio poa
mambo underground wazeiya... sikizeni kila kitu.
ati kwani princie ana-stress kivipi?
hapa ma form 2’s wanatumonolise kila siku.
aaah bana, ukipatwa huja-tuck-in shati, unapewa suspension
pole form 1’s, kila stude ako na kitu ya kusema lakini hawaskiki.
mtu mmoja tu anaongelesha mastude
...it’s malkia!!
10
she ia also saying you are too harsh, she is addressing a meeting in the assembly hall
sir, it’s malkia who is leading the strike
she’s inciting students by telling them lies! loud mouth girl... she will know who i am!!
kuna tetesi nyingine niongezee kwa hizi kisha nipelekee principal hii list?
msiogope ongeeni freely
you see principal! you see!? malkiais inciting students to strike!
11
i will suspend the culprits!
strike?! in my school?? really!!?!!
Ididn’t know about any of this
ma-form 2’s wanaiba nyama zetu books hazitoshi! tuna-discriminatiwa sababu ya kabila yetu
sir, the prefects have not given you the right information.
if we can meet once a week and discuss our problems we can avoid such an incident in future.
we get stressed about exams and some students disrupt classes
ohhh... sikujua mna shida hivi... malkia, naona students kukutana na kusema shida zao mapema ni vizuri ili zitatuliwe. au mwaonaje? si muwe mkikutana kila wiki alafu naletewa ripoti kuliko kusikia fununu kuwa mnataka kugoma.
tutachagua ma-officials wa hi bunge halafu it will be made official.
12
School Council inaleta Democracy kwa shule Ni muhimu dialogue iwepo kati ya students na administration shuleni Ministry of Education ime-support ku-form-iwa kwa school council ili ku-replace prefects kwa shule in the next 2 years. Hii itafanyika kwa usaidizi wa Unicef na Kenya Secondary Schools Heads Association. Student representatives huchaguliwa na mastude, na kukutana na mastude ili ku-ongea juu ya problems shuleni.
Sababu za kuwa na shida kwa shule: a) Pressure ya ku-perform: Teachers na wazazi wanaexpect-students ku-perfom highly ili wa-enroll kwa machuo. Mastude hawana wakati wa kupumzika during holidays na instead huenda tuition. Mastude wengine huona masomo si important juu wanaona wasee wanamada shule na kukaa idle na unemployed. b) Maparo hawako involved kwa maisha ya watoto wao. Wanapeleka kwa boarding school na hawa-spend time na watoto wao. c) Bullying ya mastude especially monos. d) Prefects huwa wanaongoza kidikteta inafanya wasipendwe na mastude.
Faida za kuwa na school council kwa shule yenu: a) Inasaidia kusuluhisha shida za mastude kabla ya ku-cause demonstrations au strikes. 300 schools were closed down in 2008 as a result of unrest b) Students wanapewa power ya kuchagua leaders na play part kwa kusuluhisha shida kati ya students na school administration. Hii ni muhimu kwa sababu decisions zinazofanywa hu-affect wanafunzi. c) ita-improve performance: School council itasaidia ku-create atmosphere poa ya masomo na ya shule
Uliza headteacher kama shule yenu inaweza kuwa na school council. Tuma views zako juu ya school council on 3008.
Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Bridget Deacon Art: Daniel Muli, Eric Muthoga, Naddya Oluoch, Movin Were, Joe Barasa Layout Design: Joe Barasa Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication. Published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512 www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited. In collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.