Skip to main content

19.b – Malkia

Page 1

jitambulishe!

Najaribu lakini ni hardest‌ hata naona afadhali ni give-up. Life inakupelekaje Filo?

Filo! Mbona unasema hivyo, nini iliku-happen-ia?!

Ulikuwa leader mpoa zamani lakini una-give up!

Malkia, sio kwa kupenda‌

9


Nikimada seco nilikuwa na morale sana…

Na elections ndio hizi zina-come. Lazima nichukue hatua ni-vote!

Wasee, mimi nafikisha 18 years…

Nani ako na mimi?!

WAZI FILO!

WAZI FILO!

Nilifanya application yangu ya ID vipoa…

10


Hehehe! Si wewe uli-apply 3 months ago? Baaaado! Utangoja tu!

Kijana, naona umerudi kuchukua ID yako? Ndio… iko tayari?

BAADAE KIASI…

Ngoja kabisa!

Sawa.

Tena umerudi? Bado kabisa! Unataka nikuzalie ID ama?...Lakini ungekuwa unaongea vizuri, ungesaidika…

Kwani nafaa kulipa tena…?

Sina dooh… Usirudi hapa kama hauezi kuongea mzuri!

11


Sijui kama hizi dooh zitatosha yule officer, manze lazima ni-vote!

Turn yangu itafika kweli?

12


Orait! Tunafunga. Wengine mtarudi Monday!

Haki wacha tu nichukue yangu, ntashindwa ku-vote!!

Mbona mnaonea mayuts hivi?!

Mafala. Wakae na hizo elections zao!

Nilijam juu sikuona use ya kuwa patriotic any more‌

Vile violence ilitokea, nika-join wasee tukavunja ma-shops.

13


Unacheki Malkia, hakuna haja ya ku-struggle sana…

Usi-give up Filo! Wewe ni m-young na unaweza achieve vitu biggie! Kuna vitu unaweza do kama unakosa kusaidika kwa ofisi za ID. Nitatuma SMS kwa 3008 ndio DJB a-show mafans issue yako tupate solution.

Sawa, sina credo, tutumie simu yako…

ID ni LAZIMA kama unataka KU-VOTE kwa election yoyote! Anza mapema!

Hizi ndio time ya kawaida ye ID kutokelezea kwa areas tofauti Kenya: Nairobi 18 working days (Mon – Fri)

Apply-ia ID kwa District Registration Office (hii office iko kwa kila district). Wataku-show requirements za ku-apply, kumbuka…

Arid & Semi-Arid Lands na Border Districts 38 working days

!

! ni free e c i v r hii se sare!! re!! bwere

Usitumie ma-broker ku-apply ID, ma-officer wa registration wote wako na badge yenye inawatambua as workers wa gava. Usilipe broker, usilipe bribe. Kupata ID ni SARE! 14

Ma-district zingine zote 28 working days a pita, end time ime lace penye ii h r e ft A p yako kwa a uulizie ID ipoipata, na kam s U . ik ly a o h o, uli-app na ID yak ar o b m i w hauele egistr District R bonga na wa hiyo ofisi. ek in Charg

Kama ba do custome una maswali b o r care k wa hii a nga na ddress: National P.O Box Registration Bu 57007 – reau 002 020 272 00, NAIROBI 2526 02 custome 0 2720069 r.care@ identity.g o.ke


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook