Skip to main content

18.b – Malkia

Page 1

Teja

Haiya! Si yule ni Filo?!

Niajez wa-super!

Ala! Ni yeye!

9


Nacheki hata nyinyi mko in da hauz! Oh yeah mwanangu!

Uko poa kweli? Ulilost-ia wapi lakini?

Niko area kama bacteria manze!

Nimejaa tele kama tele-vision!

HAHAHA!

TIHIHIHI!

Hawa ma-boy wanasorora* nani pale kwa screen? Hii ndio ile movie Chuck Norris ame-act na Beyonce?

10 * cheki meaning ya hii word kwa sheng dictionary

Filo ume-beat! Hakuna movie kama hiyo!


Hamjaiona? Hiyo movie ni ya uduu*! Ati ni vile Beyonce ameenda ku-rescue Chuck Norris.

Halafu sasa, wakaenda na train mpaka border...

...ya Kenya na Uganda kubuy-ia Beyonce kitenge!

Filo?! Ana-joke ama amefaint?

11 * cheki meaning ya hii word kwa sheng dictionary


Ataamka tu aki-get mihadarati kadhaa‌

Msi-mind wasuper. Acha nimpatie stuff zake.

Acheni kujifanya! Si mnajua madrugs ndio zake!

Ati?

Siamini huyu ni yule Filo mmoja! Lazima nimbongeshe juu ya hii risto!

Niaje Malkia. Karibu‌

12


Filo, kwani kuliendaje? Uko down sana! Ulinishangaza kwa ile bash.

Unajua Malkia wewe ni beste yangu‌life imekuwa hardest. Vile nilijoin Poly, nikaanza ku-use drugs. Nilihata kwenda daro mwishowe nika-fail sana nikachujwa.

Nikajaribu kusaidia mbuyu na biz, huko pia nikaharibu. Nilisanya dooh kwa shop hapi biz ikaanguka. Saa hizi home hawanitaki!

Huwa na-pinch wasee kwa Ferry ndio at least nipate kashilingi ni-buy food na drugs kiasi‌sina any.

13


naelewa. lakini filo, haukuwa hivi zamani.

ulkuwa una-expect future poa unakumbukavile ulikuwa mnoma sports?

GE N A H C A UNAWEZ AKO LIFE Y

chukua action filo, unaweza achieve vitu mob sana ukiach drugs.

. do colle akiwa ba addict na s g ru d za wa Ali alian do aliku waks, ba life yake: Akianza s e ili-mes ke. mwishow mily ya fa s a n a n a wa drug s k o k te Ali oh zo b o jo d a d n jw e alichu Ali-sp healthy, Hakuwa e yake na kila tim t shida p e c c -a Ali ali ange! a ku-ch akaamu

Ni hard kutoka kwa drugs bila support, lakini niko grateful kwa wife na watoi wangu kwa kuni-challenge niache mihadarati!

Saa hizi nina-counsel wasee kwa center ya MEWA. Na-share nao risto yangu ili waamue kuacha drugs.

14

y stor full a a Som Ali kw m .f ya jaaz .shu w w w

Bado niko kwa journey ya kutoka kwa addiction, but saa hizi, nina control zaidi kwa life yangu, na nimefurahi!

diction na u-make Unaweza toka kwa ad life yako ikuwe poa. NA ADDICTION: KUNA VILE UTA-DEAL ba uko na problem Kubali uko na hii kwam na unahitaji help. trust wakusaidie Bonga na wasee unab. kutafuta place ya reha pia lazima s ict dd Families za ma-a idie ndugu sa wa ili wa-counsell-iwe yao ku-heal.

Kama wewe ni addict ama unajua addict flani, bonga na wasee wa rehab kaDhaa. Pata list ya rehab centers kwa www.shujaaz.fm.


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
18.b – Malkia by Shujaaz - Issuu