Page 1

Taka ni pato!

Ok, so tuji-organize. Kwa hii fashion show lazima kila mtu a-take responsibility yake seriously.

Halafu Malkia afanye wardrobe…yaani kung’Arisha models wote on that day.

Jipendo wewe ndio Top Model…

Ati Malkia afanye?!

Malkia hana swag! Hajui kumatch colours...

...cheki hata nywele yake ni orange! YUko down tu sana…

9


Ati sina swag?! Ngoja ataona vile niko tops kwa design!

Wazi, hii duka ina vitu noma‌

Hizi ni how much?

10

19,999/=, unalipa na cheque ama card?

Ati?!

Kwani hizi nguo zitajifua ndio uziuze hiyo bei? Hata si poa vile‌


ntaanzia wapi? Jipendo atanichongoa‌

hana swag!

Hajui ku-match colours

nywele yake ni orange...

Niko down tu sana!

Aunty?

nisaidie kobole?

?! Zii! Sipatiani!

Si unipatie?

Ulitoa wapi hii bracelet?

11


Hii ni kitambulisho ya group yetu. Tunazi-make halafu kila member wa group lazima avae.

Kwa nini?

Fanya hivi, chukua hii finje... Wazi! Sitakudisappoint!

...halafu kesho uniletee bracelet kadhaa kama hiyo yako na mu-make vitu zingine poa. KESHOYE... Ndio huyu yule msanii nilikuwa nakuambia. I hope umetuletea vitu poa?

12

Ni selection kali! Cheki...

Wow! Si mnatalent! Malkia wasee watang’ara!


siku ya fashion show... JUDGE YA SHOW YETU LEO NI MR. g KUTOKA STYLEZ BOUTIQUE…

...NA tutaanza na our top model Jipendo…

And we have a winner….

JIPENDO!!

BAADAYE KIASI…

Uli-get wapi hizi earrings noma? Excuse me?

13


Vile nilimada Form 4, niliamua kufanya something about the environment, na pia kujitafutia dooh kwa njia poa. Hapo ndio Mother yangu alini-show kushona bags kutumia plastic bags.

Mimi hushona bags noma sana, na kuziuza.Takataka inaweza kukuinua kama una-recycle ama kuitumia kwa njia creative.

Sikujua ati unaweza tumia takataka ku-make vitu poa na bado u make dooh! Lakini nina beste yangu ameni-show: Unaweza recycle vitu kadhaa: Tyre Akala (viatu) Gazeti Kufungia nyama / mboga, cover vitabu Ndoo mzee dustbin Jaribu ku-recycle na uambie DJ B experience yako kwa sms 3008!

BOTUL ABOUBAK AR Mtaa: Kibera

14

Phone: 020 80406333

[ulizia Medina ama Alfred] Email: info@carolinaforkibera.org

Pata info zaidi juu ya hawa wasee kwa web: www.cfk.unc.edu

15.b – Malkia  

Chapta 15 – Malkia: Taka ni pato…

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you