Page 1

MALKIA!

HEBU CLEAR THIS MESS! UNCLE YAKO ANAKUJA KUNI-VISIT.

HAWA NI KINA NANI? 9


Oh, ni friends na classmates wangu. Sisi ni members wa peace club.

If not nitaku-transfer shule. Sawa!!??

For goodness sake Malkia! Sitaki uwe rafiki ya hawa foreigners!!!

But ni schoolmates mum! Mi si-understand sababu ya mathe kusema hataki niwe beste yenu.

Mathe Alisma ati watu wenu niwa-greedy,

Ohoo, ni hivo? Sasa nitakuonyesha vita wewe!

10

...na nyinyi ni wazembe, ...na kuwa wewe watu wenyu hutumia urogi kwa exams!

Na budangu alisema nyinyi Malkia huibaga doh kwa maskini!

Na nyinyi ati huwaga fitina na hupenDa kupigana vita.


Wacha kumpiga

Kichwa soo ntakwonyesha oxygen hu-spell-iwa aje

Heeey! Ni nini? Hii ni meeting ya peace club ama ni wrestling club?

11


i’m sorry, sikuwa nataka tupigane.

Na hii fighT imeanzia wapi? Na si ni wewe ulianza hIyo storo na mathako?

Sasa nimepata idea poa. Hii shida najuwa ina-represent wazazi wengi. So, kwa next parents meeting, situ-make ka-presentation juu ya tribalism.

Sorry kwa kukuvuruta nywele.

Come in

Excuse me sir, we want to have a presentation on tribalism in the next p.t.a. meeting.

IPAL

PRINC

We live together in harmony in school and need to show our parents how to do that...

12

That is a great idea. Prepare your presentation then call me To PREVIEW it once you are ready.


A WEEK LATER AT MALKIA’S HOME... Mum, Pleeease kuja uone play yetu kesho.

Nitakuwa niki-act

Mum thanks a million! Eee nita-try. Oookay.

Ma-Paro wame-come wengi? Ndio na ninatafuta mathangu

Simwoni.

13


“Tuachane na ukabila, kwani huleta utenganyifu, mgeni kumpokea kumbe ni kujitongea.”

Very good Malkia. The parents have received the message and understood.

MY MOM HASN’T COME...

ubaguzi

Jua kila mtu ni tofauti na special.

Mara nyingi, watu husikika wakiongea vibaya juu ya watu wa kabila, race, tabia, na tabaka tofauti na yao. Hii sio sawa.

Kuwa sensitive kwa feelings za watu wengine. Ni unfair kubagua.

Usikubali kuona wengine wakibaguana juu ya dini, lugha, kule wametoka, gender, au sura zao.

Wanaobaguliwa huanza ku-doubt watu wengine, wanaskia guilty na kuwa na low self-esteem. Utakuwa responsible citizen kwa kusaidia kumaliza ubaguzi!

Kuwa kwa activities zinazo-encourage watu wa different groups kuwa pamoja kwa concerts, sports forums, ku-visit festivals.

Jivunie kuwa from your culture, ambia watu wengine juu ya culture yenyu.

14

Tumia DJ B maoni juu ya ubaguzi on 3008, facebook Djboyie Shujaaz

Don’t be sad Malkia. Change begins with you and your generation

Teach friends zako kurespect tofauti za watu na kuwajulisha wanapo bagua. Hi DJB keep it up mnatia Wakenya moyo eg. Mi ni Mkamba I stay in Kerugoya pahali Wakamba uogopwa sana.1st niliwa-show mi ni mtu na Mkenya kama wao, u-join story za kukataa ukabila juu ata kama kwetu kuko uchawi sio kila mtu mchawi also hizo ni vitu vya kale, tena sijionangi au kujitenga kando kwa ujenzi wa taifa. Kwanza mi ni wanachama wa shule, na niliaza merry go round ya wamama ili tuwe kitu kimoja and they turned to love me and many have no problem with my tribe now. Always show people around you that, you are brothers, share your talent with them wherever you are na Kenya will be a nice place to stay.Tresa M. M from Machakos via Kirinyaga.

07.b - Malkia  

Chapta 7 - Malkia