Skip to main content

05.b - Malkia

Page 1

Tunasoma maths, Bio, Swahili, Geography, art, music etc na zote ni examinable

Tunakuwanga stressed by the end of the term

agenda ya malkia Am sure kuna kitu kinahitaji kufanyika kabla m-give up na masomo. Nitaenda nijulishe princie immediately

After kusoma hio yote, hatuna assurance kuwa tutapata jobo

Hiyo storo inanimalizia morale ya kuendelea na shule. Nita-drop out.

IT WASN’T included in the budget, so I can’T help you

Lakini wewe ni principal. Ukisema itafanyika

Yes Mr. Kibo

We need biscuits in the staffroom during tea break

Excuse me sir. We have a problem

9


It’s the students sir, they…. Not now Malkia! Out!

What is your son’s name

I want to transfer my son

Sir, SIR, THE STUDENTS..

10

Niambie bursar nini juu ya teachers biscuits?

Kwa nini mtoto wangu amepata 25% in MATHS!! Mnasema this is the best performing school!


Principal hayuko!

Nimekuwa kwa laini na hajatoka kwa ofisi

Muulize kama nimepAta tender ya unga

Mwambie nataka leaving certificate yangu Tunataka bursar a-release pesa za field trip baada ya shule. Phheew! Watu wameenda

EXCUSE ME SIR!

Woooiii! Sorry sir, but what I want to tell you is urgent. Students hawana matumaini ya kupata kazi baada ya shule

11


What do you want me to do?

Book an appointment with the secretary first thing tomorrow.

Nili-corner principal shule, halafuu‌, Mum? Mum! Uko?!

Sasa Mum! Kumbe uko home!

Muum! Guess nini ili-happen shule!

Aaaaaahh! Usifanye hivyo tena! Enda kwa room yako!

12

Lazima nijitayarishe this time! Agenda: school council findings


Hii ni list ya agenda ambayo tuta-present kwa principal kesho.

ting mee the r Hizo ni poa. Hebu o f er ast nda tu-rehearse vile age headm r e e tuta-present. ft Th the ty a in h a it t r w nce u s d nt l se hoo tude res 1. S ving sc re dep eer lea ents a r car fo tud 2. S equest R r . e 3 advis 4.

You can see the principal tomorrow at 9am for 15 minutes

Thank you

Knock!! knock!! Very good Malkia. YOu are on time. I have come with the school council representatives

Students don’t see education helping them in their future careers.

Thank you. I will attend and ask a career expert to join us.

So we would like to invite you to our meeting today at 4:30pm to talk about career and education.

13


later... Shhhhhhhh. Huoni niko buSY.. Welcome mheshimiwa, Oh! Nime-invite ma-councillors come in, come in! na important business people wa-visit saa hii. Caterers Asante. I have come wamenisaidia kui-organise. with some other important friends

Mum, tulipewa talk poa leo na career expert

Umeleta zile pesa

Kupata mathe ni shida. Lakini plan yangu ime-work na princie.

HA!

HA

HA!

Sindiyo! Hahahaaa

Ku-negotiate na kiongozi Principals na wale walio in leadership positions huwa na responsibilities mob na kupata wakati wa kuongea nao ni ngumu. Kwa hivyo ni important kujitayarisha na yale utakayosema kabla ya kuongea nao.

Ili kuweza ku-negotiate na headteacher au leader yeyote, ni vizuri kujua:

Duties za headteacher ni kama:

Jitayarishe na kile unataka kusema kwa kuandika agenda: 1. Kuwa na majibu ya the what’s, why’s, how’s. Tayarisha facts za ku-back ideas na suggestions zako. 2. Ongea na headteacher kwa repesct vile ungependa kufanyiwa kama ungekuwa na hiyo cheo . 3. Usi-meet headteacher akiwa na mood mbaya au akiwa busy na kitu kingine. 4. Kuwa na respect hata kama mambo hayataenda vile ulikuwa unatarajia.

• Ku-manage shule, finance, kuweka records, ku-create timetables, ku-meet mahitaji ya staff, ku-supervise na ku-instruct walimu na ku-implement curriculum mpya. • Represent goals na achievements za shule na kuleta support kutoka kwa community na kufanya maparo kuwa involved kwa masomo ya watoto wao. • Ni link kati ya shule na ministry ya elimu na hu-report achievements na kuwapatia info inayoweza influence mabadiliko kwa shule. 14

HA! HA

Headteachers na leaders wengine ni watu busy sana, kwa hivyo utakuwa na wakati mfupi kuongea nao.


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
05.b - Malkia by Shujaaz - Issuu